WAZIRI AWESO ALIVYOMBANA MTUMISHI MORUWASA "SITAMVUMILIA MTU MUONGO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1

  • @gwakisamwakaje1598
    @gwakisamwakaje1598 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndo tabia yao hao morowasa wanapenda sana rushwa sisi wananchi baadhi wa yespa kata ya kihonda morogoro manispaa tangu 2019 hadi leo hawataki kutuletea tawi la maji ili tuweze kuunganisha mwezi wa tano mwaka huu tulienda walisema watatuletea mwisho wa mwezi Wa sita hadi kipindupindu kilitokea kutokana na kukosa maji tunaomba tusaidieni tunateseka