ZEE CUTE ANALIA KAMA MWEWE WAKATI WA TENDO / ALINICHUNA SANA / NIMEMSAHAU - STAN BAKORA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Stani mstarabu sana sana na una hekima ya hali ya juu,wasanii wa kiume waige mfano huu pale wanapodhalilishwa.,I love you stan.
Hakuna mfano wa kuiga hapo
Big up Stanley ww kidume ume tumia busara sana kwa umri wako mungu haku afidhi
Stan ameongea vzur sanaa anaonyesha yuko matured enough Zee kazingua sanaa nmemshusha vyeo vyotee
Yaan mwanaume unahekima saana stan sikukuzan jamaniiii big gup saana bro
Huyu Dada amenikera,,,,,,utabaki kudanga tuuuu,,,,,,mwanaume atakayekuoa awe punguani kdogo,,,,,,Stan nimekuelewa 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mbona kasha olewa kitambo huyu dada 😅😅
th-cam.com/video/AP4C4v9_xmc/w-d-xo.html
Big up Stan kwa kutumia busara
Mondi hatar th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Mimi nimekuja tu kucheka kichwa cha habari 😂😂🤣🤣 I can't believe hiyo ni headline 😂😂
Hasa Nami nilikuja kisa mwewe
Hatariii🤣🤣
Hilo lihusiano balaaa
😂😂
hahahhaha hata mm!
We mwanamke ni chizi ukiachwa hachika mijimama ni yke na ww tafuta mijibaba mjinga ww nyokoooo umeachwa roho inakuuma hpo Dada chizi cute kwendraaa tuachie stan wetu tu nampenda
Da diva nakupenda dadangu😍
Stani Mstaarabu sana!
Huyu zee cute chizi, siwez kumsema vibaya mtu wangu hata siku moja hata aweje, yani ww dada ujielewi
Safi
Hahhaaahaha
🤣🤣🤣🤣
Dada kua wangu baca
Natamani nikuooee..kiukweli kuachana sio uadui Ni vile mapenzi ya maisha
Aaah sio vizuri bwana wanawake tunajishushaa
Kumbe zime towa stan big up huja mzalilisha mwanamke
Mshenz huyu dada ningempata huyu mwanaume aendeeeee tu kupandana m na chakulaaaa😍
Stan Anajitunza😂😂😂
Hana adabu huyo mwanamke kwakweli na atapata shida Sana ya kupata mume
Mondi hatar th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Jamani sio vizuri kudhalilishana ivyo' sijapenda kiufupi
Nmefurah mno na majibu ya Stan
Stan nimekuelewa sana huyo mwanamke ni nyoko
Mondi hatar th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Mahusian ya kudum Ayan effortsless... Ayaanzishwi yanaanza... KWANN Dunia inadumu akun mwanadam alianzish Dunia... 👏 BIGUP MZEE BBA
Lihusiano lenye alijadumu linamakolokolo kibao 😁🤩😁😁
Hahaha 😂😂😂mikolokolo kibao
Hahahha yake yakwenye jezi ya yanga
Kukoroma jamaa alikua hajui kama anakoromaaa
Mi mwenyewe nimecheka hapo 😄😄😄
@@rhamsindahamisi5257 wallah nampenda saana stan anajuwa kuchekeaha saan
Bro you are full of Wisdom
Wewe Stan huyo the cute ndo demu wako wa maisha,,mnafanana
Uyo mwanamke hana sifa ya kuwa mke wa mtu. Ataishia kupitiwa. Siri za ndan uwa zinabaki ndani
Kwakweli
Kweli hafai yaaaani.kwanza inakuwaje yy asilale akae kumtizama mwenzie au mchawi
Mondi hatar th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Kwetu tunamwita msungo
The cute weeeeeee mungu a nakuona
Mondi hatar th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Big up stan
The cute ni mzuri lakini inaonekana anatokea kabila gumu mno kujitambua, sijui ashafikisha wanaume wangap kwa lawama izo
Mmakonde huyo
Mwanamke mpuuzi Sana huyo 😆😆Ss kutoa siri za mwanaume ndan vip
Lihusiano halijadum lilikua likolokolo ...taharuki🤣🤣👌
🤣🤣🤣🤣zee cute kachomaa sanaa🤣🤣🤣🤣ety stan anadangaa
Sikudhania kabisa,the guy akiongea anaongea point tu!! Kasomea chuo gan jmn👐
Diva punguza kingereza hapo mshikaji wetu Stan hakuna itu anapata...ila interview nzuri
Na hakijui
Sisi wenye majina Stan tuko na maarifa ya juu sana. Straight from Russia
Umeongea vizuri Stan
Upo vinzur una hekima love you stany
Stan kumbe ana Busara hivi jamanii daah
Lihusiano lenye makorokoro kibao😁😁😁
Mimi X zangu wote washikaji wangu na twashauriana ways za life xn
Kam upo ivo bas we n mwaume aixee❤️🥰
Sauti yake vile anaongea Kweli anakoromaga akilala .his breathing is kinda blocked
STANI AMEKUA KISAIKOLOGY HAJAAMUA KUMTUSI HUYU DEMU LAKINI DEMU MSHAMBA
Kabisaaa yaan 🙌
Mondi nouma th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Tena mshamba Sana mwanamke huwez kumuanika mwanaume wako mambo ya chumban fala kweli huyu dada
Wanawake ndo walivo wengi sana
🤣🤣🤣 zee cute kama namuamin akili za stan mbovu hashindwi kujitunza
Husiano lilikua linafirisi😂😂😂ila stan.
Anaotaa anacheka usiku mzima, anakoromaa😂😂😂😂😂
comedy hizi jamaniii
😂😂😂
Nimependa alivyosema siwezi kumchafua mtu nikimwacha aende na huo ndo uanaume
th-cam.com/video/AP4C4v9_xmc/w-d-xo.html
Diva simpendi balaa,,ana chokonoko nyingi
Ni jitu lilofeli kimaisha ya mapenzi kwahiyo linataka kila mtu afeli hivyo hivyo.
Duuuh huyo dada aige mfano wa fayma Tena akafundwe kwao😄😄😄🙏
😂😂😂😂 wewe ni mwanaume wa ukweli
zee cute wee mbaya kwa nini umemdhalilisha mwenzio hivyo?
Bongo sihamiii!
🤣🤣🤣 wanawake sisi apan kweli 🤣🤣
Sana stani muhimu tu umemlala mbon safiiii hayo maneno tu ya kinamama ila muhimu umemlala imeisha iyo
Zee cute mshamba sana.
Kwan Wabongo mkoje kuachana ndo iwe sababu ya kutoleana Siri zenu jmn
Nashangaa
Mefurahi sana stan
Huyo Stan kimy🤣🤣🤣
Huyu bint ni mshamba halafu vitu anaongea upuuzi mara ohoo Hana pesa lakini akitoka nje anarudi na laki Saba kiufupi huyu mwanamke ajielewi
Mwanamke hana heshima hakufunzwa siri ya ndani hata mkiachana sio vizuri
Eti mdomo Kama kaunguwa😂😂😂😂
Huyu Stan nyie.....amenishinda sana jamani!!!! Mimi nachoka na kucheka hapa!!!!
Safi ninja
Alnalia Kama mwewe kweeee😂😂😂😂😂😂
Umetisha blood😁😁😁
😂😂😂husiano lina mikorokoro
Hilo la makabila umeongea point sana kuna makabila mengine bora ufuge mbuzi katulia ni style ya kuku hao.😂😂😂😂
yaani stan uko vzr kuachana si vita
Huyo mwanamke mshenzy sana cjapenda hata kdg
Sndo mlivyo mkiachwa
@@dennismrutu7824 sio wote
Hahahaha. Uuuuwiii. Yani mwisho ya mauhusiano jamani. Kama anaungua na chai vile. Wanawake nomaaaa
Hahaha Stan anadanga🤣🤣🤣
Mondi balaaa th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Hahaha nmecheka Karibu Ni zimie mie
stan wee umemjibu kisomi huwez mdhalilisha x wako
😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣zee cute jomoniiiii
Safiiii Stan una busara
th-cam.com/video/AP4C4v9_xmc/w-d-xo.html
Stan cheka tu bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Strong Man ndo wewe mambo ya kumsemea mtu madhaifu yake ni utoto. Mkiachana muachane Kila mtu ashike zakeeeeee
Ila jamaaa anavituko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo dada umenikera sana we danga tu
Niview kwaajili ya ZEE
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti jamani eti akimaliza mambo yetu mdomo wake kama anakula chakula cha moto🤣🤣
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah nyie
Hahaha wanawake ss khaa
Husiano lilimweremea Mwana....😂😂
Nmeipenda hii
Mmhh kumbe ze cute alishaachana na mzungu akarudi kwa Stan alafu anamtolea Siri ivoo mmh!!
Analia kama mwewe🤣🤣🤣
Alahaaaaa.....
Yaani nimecheka kwa sauti jmn Stan eti Kwaaaaaaaaa km mwewe🤣😂😂😂😂😂😂
Nimecheka hili swali la kukoroma ila hata mimi sipendi mtu anaekoroma 😂😂😂😂
Stan bhn 😄🇶🇦
Huyo demu mshamba kama umeachana na mtu kwann useme mazaifu yake yeye huyu mwanaume akiamua kusema yako si utazalilika
Bro upo pow sana
Ila huy dada anajua uongo dhambi
Nice stani bakola
Huyo mwanamke mkosaji to🤣🤣🤣mbona hakusema mwanzo wanawake wengine bwana🤣🤣🤣
Huyo ndo gentleman sio wale mazwazwa mara kimekwenda zimeshuka.
Stan Umejuw Kujielez
Huyu mwanamke ni hovyo sana hajafundwa je stan nae asema ya kuwa kuma yake inatoka maji au inanuka kweli ni sawa au haki
Nimjinga sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ilo lidada lijinga Sana sisi wanawake tunakasoro nyingi Sana wanaume mkiamuwa kututukana atubaki na kitu
😁😁🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣
Ukorofiiii ukorofiii uo ze cute😂
Huyo dada mjinga sana
Hilo lidada senge tu halijielewi mtu atakae kuwa nae tena anashuhuli mpaka unamsema mwenza wako fala kwel Yani hata kama mmekosana vip huyu dada msenge Sana kuma mayo
Duh mwanamke huna mshipa wa aibu wew ungenyamaza ungekufa au ushamba huo
Big Up🔥🔥🔥
Stan jmn eti lihusiano halijadumu🤣🤣🤣
🤣🤣😅😅
😀
th-cam.com/video/AP4C4v9_xmc/w-d-xo.html
Stan kwer ww unakoo biga up sana