KILE KIPINDI WALICHOMUACHA DAI AKAENDA PEKE YAKE BAADA YA NITAREJEA KUHIT,,NDO ILIKUWA MISTAKE YAO.,,,ILIBIDI WAENDE NAE NA TUNAONA MIFANO KWA KINA PROF JIZE
Huyu jamaa bado msanii wakati miaka kibao sijasikia hit. Au ndio zile havumi ila yumo. Sema bongo mtu akiwa mvivu lazima alalamike anaibiwa,unaibiwaje unaona si naye aibe tu kama ndio fashion
Good work ila nina swali hawa wasanii wa kitambo mbona humlaumu diamond, na pia hao wasichana pale nyuma ni wa nini😂, anyway njooni kwangu msupport nina ngoma mpya
Hao walimbwende kunammoja mbabaishaji sana 😂 pia anaonekana mbeba kibegi kidogo na ndala za manyoya(miaka ya 2000) jinsi anavyofatisha ngoma ya mapenzi kitu gani ni tofauti kabsa mdomoni kwake 😂😂😂🙌
sasa hao wanawake hapo nyuma wa nn,jaman wasanii wabongo wakiishiwa huwa naona kama wanachanganyikiwa kidogo. naona alipotoka hapo watangazaj walibak wanacheka sana
Naona wameitoa baana baada ya jamaa kustuka na wasanii wengine inukeni haiwezekani mnaishi maisha magumu wakati kupitia kazi zenu watu wanaishi maisha mazur
Huna elimu ya biashara ya hizi social media tafuta mtu akueleweshe unaweza lipwa ukifungua account zako official na ufanye sounds verification boya ww nyie ndio mulifaa mumuibie nasibu eti leo mwajiliza anamiibia nyinyi jinga sana
Mb Dogg wakupe mkwanja wako brother maisha magumu haya atari
Namkubali sana mwamba uyo dada nakumbuka mbalisana
KILE KIPINDI WALICHOMUACHA DAI AKAENDA PEKE YAKE BAADA YA NITAREJEA KUHIT,,NDO ILIKUWA MISTAKE YAO.,,,ILIBIDI WAENDE NAE NA TUNAONA MIFANO KWA KINA PROF JIZE
❤❤ sema hamna kwere mwizi nae ni mtaftaji tu
So vizur wampe nyimbo zake sovzur 😢😢😢
One of the best East African RNB artist
Oyaah jamaa kazi nzuri tu big up planet bongo👊
Mb dog angalie n blog moj inaitwa zerokay18 wazee wamekula views million na zaidi katika ngoma zake.
Daaaa hii ngoma hua ikipigwa haichuji bado iko on top
Jamaa anataka hela kimtelemko
Daah hao madem pale nyuma amewalipa shingapi sijui 😂
Huyu jamaa bado msanii wakati miaka kibao sijasikia hit. Au ndio zile havumi ila yumo. Sema bongo mtu akiwa mvivu lazima alalamike anaibiwa,unaibiwaje unaona si naye aibe tu kama ndio fashion
Mb doggy nimeskia hiyo style ya nywele Zanzibar utanyonngwa 😂
🤣🤣
huyo mwamba tunamuerewa daimondi mchawi tu anauwa vpaji huyo duu🎉🎉😢
Wakupe hakiyako MB doggy
Daimond wizi punguza utakwenda kuchomwa
Good work ila nina swali hawa wasanii wa kitambo mbona humlaumu diamond, na pia hao wasichana pale nyuma ni wa nini😂, anyway njooni kwangu msupport nina ngoma mpya
hao ni mabodi gadi 🤣🤣🤣
Walinzi wake. Mbona Mond anawalinzi wake na hamshangai jamani Gadafi walinzi wake nae walikua wanawake.
@@hamishatibu699 umewahi kuwaona walinzi wa gadaf wamevaa nguo mabega wazi
@@swatscomputers9250 wanawake🤣🤣🤣🤣
Sio kumlaum ngoma inasoma y mondi analaum nn sas wkt anasem kwel
❤
Hao walimbwende kunammoja mbabaishaji sana 😂 pia anaonekana mbeba kibegi kidogo na ndala za manyoya(miaka ya 2000) jinsi anavyofatisha ngoma ya mapenzi kitu gani ni tofauti kabsa mdomoni kwake 😂😂😂🙌
Kama ushahidi upo kwa nini asidai haki yake MB hana kosa alieiba yupo kwa nin asimdai ebu acheni kupenda wezi
❤️❤️
sasa hao wanawake hapo nyuma wa nn,jaman wasanii wabongo wakiishiwa huwa naona kama wanachanganyikiwa kidogo. naona alipotoka hapo watangazaj walibak wanacheka sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naona wameitoa baana baada ya jamaa kustuka na wasanii wengine inukeni haiwezekani mnaishi maisha magumu wakati kupitia kazi zenu watu wanaishi maisha mazur
Kwan ilikuw ktk youtube channel ya chibu au
Hawa wasanii wa njaa njaa ni shida tupu
Huna elimu ya biashara ya hizi social media tafuta mtu akueleweshe unaweza lipwa ukifungua account zako official na ufanye sounds verification boya ww nyie ndio mulifaa mumuibie nasibu eti leo mwajiliza anamiibia nyinyi jinga sana
TOA NJAA
Tumeona Tanzania wasani tofauti tofaut bodigad wao niwakiume lakin MB dogi kaja na style mpya bodigad wake ni wakike😺kama Gadafi
hao madem mbna kifuani ndala kulikoni km zimeenda sana au cjaelewa
Ameishiwa huyu jamaa
Inamanaaa Hujui kamaaa nakupendaa sanaaaa weee MB D Wewe unajuaaa
Huyu naye atulie tu alee wajukuu zake
Je agekua yeye agekubari kamtotoza konde yn huyu Simba amekamata msitu wa mziki Hana jipia kra means mziki anararamika 😢
Mondi mwizi komaa nae akulipe
Fanya kaz ww kidume
Walishaonaga diamond Ndo daraja
mbona sioni huo wimbo wenye jina la diamond
Weeee amekua wapi io time yote mkuu???
Walinzi wake jamani mwacheni mbona Mondi na Hamo anawalinzi wao
hao siyo walinzi
Vp huyu jamaa aliamua kuwa mganga wa kienyeji mbona huo mtindo sijauelewa
😂
Huyu mimi hata namsikia leo
Kama humjui itakua umezaliwa 2010
@@Kiulaini nonsense! Foolish,kumbaf,shenz,jinga type
When Diamond wanted your support you did not support, now when you want to hit you blame him. Get good social media manager and work on your youtube
🐕 ndomana ulifeli kimuziki studio2 unakuja na madem uko uswazi siatar kazi na mapenzi aviendani km unabisha mulize konde boy alicho fanya
🐕 ndomana ulifeli kimuziki studio2 unakuja na madem uko uswazi siatar kazi na mapenzi aviendani km unabisha mulize konde boy alicho fanya