Nilisilimu mwaka 2004 alhamdu lilahi bado nipo kwenye uislamu kwa neema ya Allah na bado sijaona shaka kwenye Quran. Allah awalipe pepo kwa kazi hii ya Wito kwa Allah.
Kazi nzuri Mwalimu Ustadhi Ramadan Bin Kaguo. Allah akulipe kheir hapa duniani na kesho akhera na Allah akuepushie mitihani yote na shari na Allah pia akuzidishie nguvu na uzima ili uzidi kuifanya kazi hii ya da'awaah ya kulingania wasio kua waislamu Amiin Thumma Amiin
Sheikh Ramadhan Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwako na dini yetu, Allah akuzidishie elim, hekma, busara na ujasiri katika kufikisha elimu ya kuujua uislam
Wallahi sheikh Ramadhan kazi ya Allah yataka Iman thabit, Allah akuzidishie Elimu na fahamu, mana iyo anaye jiita yesu ana njia za kupenya penya kujificha, Ila hamna mkwel
Allahu Akbar...ASTAGHFIRULLAH LAÀDWYM WAATUBU ILYH...Allah awaongoze hao ndugu zetu ktk adam na ww rama Allah akuwezeshe zaidi na zaidi kuufikisha ujumbe wa dini ya haqq na akujaalie IKHLASW ili upate malipo mema...amiin
SUBHANA LLAH, dunia hii Kuna wt wapo nyuma sn sn sn sn.... Wanatakiwa kuelimishwa kwa hali ya juu Sana .... Ingawa wanakua wabishi lkn wataelewa to. Maustadh wetu inshallah mwenyezmu gu awape ngv zaidi na uwezo mkubwa na Imani ya juu zaidi
YAA ALLAH WAONGOWE WAJA WAKO WAIJUA NJIA ILIONGOKA ASANTE SHEIKH YAANI ATA MIMI AU SOTE TWAJIFUNZA MENGI TUSIOYAJUA KWA WENZETU WAKILA KONA DUNIANI AU INCHINI NAKUOMBEA SHEIKH WETU UJUMBE UWAINGIA ROHONI MWAO NAKUJUA HAKI NAKUIFATA ALLAH AKUJALIA NGUVU NAKUCHOTA ROHO ZAO
Duuuh Kzi Uko Nayo Shekhe Ramadhani IN SHA ALLAH M/MUNGU Akupe Pumzi Ndefi Na Subra Na Hekma Ili Uwaoneshe Hivyo Wanavyo Fanya Wamepotea Ili Uwaoneshe Njia Ya Haki Yataka Subra Na zkekma Sana
Unamhurumia nani ?tuwahurumie nyinyi ambao kiongozi wenu harudi. Sisi tuna tumaini. Nyinyi hamna matumaini yoyote ndio maana mnatapatapa. Niakili hiyo umfyate mtu kanisani kwake eti muamini muhamadi. Mbonakama mushaanza kuchanganikiwa. Kama ni mimi mwenye kanisa mkija nawatoa na panga shenzi
@@pungopungo411hakuna alie changanyikiwa ndomana ata nabii Nuhu alikuwa ana wafata watu makwao na kuwafundsha dn ata nabii ibrahm alivunja masanam hakuna alie changanyikiwa
Ulikua na miaka 10 baada yahapo ukawamlevi ulivyo chacha ukahama kijiji ukaenda sehemu ya watu wasiokujua ukajiita yesu muogope mungu biblia huijui kazi kupotosha watu mkiota ndoto unasema mungu kanituma kakutuma uache uovu urudi kwake siokudanganya watu na mashaallah mnajua kutunga story kama filam mhhh
Lahaulawalakuwatah, tena wamejiamini kabisa, kweli mashekh wetu Allah amewapeni subira, Allah awape afya njema pamoja na umri mrefu mashekh wetu
Nilisilimu mwaka 2004 alhamdu lilahi bado nipo kwenye uislamu kwa neema ya Allah na bado sijaona shaka kwenye Quran. Allah awalipe pepo kwa kazi hii ya Wito kwa Allah.
Mashallah
Mwambie aonyeshe mikono yake. Viganja Kama Kuna alama za misumari
Pia mi 2013,nlikiri laa ilaha illallah sijai ona shaka
Huo ni ujinga na upumbavu hakuna dini ya ukweli zote ni uogo
@@alextercisio sawa
Mashaa Allah, Sheikh Ramadhani tunakuombea Allah Akupe afya njema na akulipe ujira Mkubwa huko tunakokwenda.
اللهم آمين يارب العالمين
Amiin
Haki hii kama sii bangi ni nini???
Straight path Da'awah Masha"Allah mpo tofauti kwa kufikisha Da'awah Masha"Allah 🤲
Subhanallah kwa kweli hawa wakiristo ni wapotevu dhahiri shairi,Allah awaongoze wapate mjua mungu wa kweli na dini ya haki uisilamu
Dah hii kali Wallahi Uislamu ni neema bana wallah mshkuru Allah kwa neema ya Uislamu wallah الحمد لله على نعمة الإسلام و السنة ❤️🥰
Alhamdulilah
Allhamdulillah kuwa muislam
Hii sasa ndio daawa ya kweli Allah awafanyie wepesi
Kabisa maana ss wengine tulikua hatujuwi km kunawatu wa Namba hiii 😂😂😂 iyo Ngoma Yao ss mpk nacheka
@@naimaabuualii578 bado utayaona mengi🤣🤣
SUBHANAĹLAH
MashaALLAH ALLAH awazidishie hekima... awalipe mema Kwa kuwapa elimu waliopotea
Du!! Hii Kali sana Kila siku wanaongeza mwendo kweye upotevu Allah atuhifadhi
Kazi nzuri Mwalimu Ustadhi Ramadan Bin Kaguo. Allah akulipe kheir hapa duniani na kesho akhera na Allah akuepushie mitihani yote na shari na Allah pia akuzidishie nguvu na uzima ili uzidi kuifanya kazi hii ya da'awaah ya kulingania wasio kua waislamu Amiin Thumma Amiin
Aamin Aamini
Duniani Kuna Mambo sikutegemea haya ninayoyasikia. Allah awafanyieni wepesi Mambo yenu.
Walahi your good work may Allah give you reward
Ust Ramadhan umeshafikisha. ALLAH akupe afya na elimu
May Allah guide this Ummah....its very sad to see how people mislead....May Allah guide them....thanks shiekh for teaching them....
SUBHANAH ALLAH huu ni ujasiri wa hali ya juu ALLAH akuhifadhi
😂 Noma sana,, Masha Allah,, Allah awape afya mufikishe mashinani dini yake iliyo nyooka
Ameen
Eeh hii noma sana...mungu awabarimi Kwa kzi nzur mnayoifanya mashekh wetu
Kwangumimi siafaham kama yesu minamfaham kama nabii issa
Sheikh Ramadhan Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwako na dini yetu, Allah akuzidishie elim, hekma, busara na ujasiri katika kufikisha elimu ya kuujua uislam
Mungu wangu!!kuna watu wamepotosha wenzao,Allah awaongoze
Yaani mtu unashangaa mpaka inafika mwisho! Jamanii asante Mungu kwa uislam!
Mungu akuzidishie kukupa ujasiri wa daawa
Ma shaa Allah Allah awafanyie wepesi
Wallahi sheikh Ramadhan kazi ya Allah yataka Iman thabit, Allah akuzidishie Elimu na fahamu, mana iyo anaye jiita yesu ana njia za kupenya penya kujificha, Ila hamna mkwel
Dunia kuna mambo sikutegemea hyo ninayosika ndugu yetu Ramadan Allah akulipe na janatul firdows
Nakwambia wahh
Mungu afanye rehmazake wote waujuwe uwislam nawate mungu awape nguvu mashehewetu inshallah
Masha Allah ramadhani Allah azidi kuwapa nguvu na afya ya kuilinganiya dini yaki mbona raha kutizama hii clip Allah azidi kuwa hifadhi wahadhiri wetu
Duuuuuu aiseeeee mashaallah shekh Ramadhan ! Swali zuri! Kwa yesu
MashaAllh, kwa Kweli tunajifunza mengi kutoka kwadini za wengine kupitia kwako. Allah akujaze kheri nyingi, na akupe afya njema
Amiin
Sana sana ndugu yangu!
Mashaaa Allah.sheikh ramadhan tunakuombea Allah azidi kukupa afia
MashaAllah Mashelhk wetu mnafanya kazi kubwa dawa mnaipeleka kiimani Mungu hawazidishie umu mrefu na afya njema mzidi kumtangaza Allah asanteni
MashaAllah Tabaraka Allah, Allah akulipe kila la kher sheikh Ramadhani. Allah akulipe Jana fradusi ameen
Mashaallah kazi nzuri sheikh wettu Allah atakulipa inshaallah
Subhanallah mbona 😭😭mitihani ni msiba sijawahi ona hii Channel inatuonesha mambo mengi Allah awape nguvu masheikh wetu 🤲🏻
Amin hivi ndivo inavotakiwa ili wajue kma uislam hauna ubaguzi wala hauna ugomvi kma wanavohisi
Alahuakubar sheikh tunafurahia sana sisi kama waislamu jazakalahu gheir Mimi nakupenda sana kuasababu ya mwenyezi mungu
Jamani tushukuru mungu sana kuzaliwa katika uslamu ni neema kubwa sana
Ukweli
Subhanallah, Allah akuzidishie sheikh wetu
Jazaaka lahu haira sheikh Ramadhan.
Masha ALLAH shekh kweli wewe ni jasiri ALLAH akupe kheri nyingi
Amiin
Allahu Akbar...ASTAGHFIRULLAH LAÀDWYM WAATUBU ILYH...Allah awaongoze hao ndugu zetu ktk adam na ww rama Allah akuwezeshe zaidi na zaidi kuufikisha ujumbe wa dini ya haqq na akujaalie IKHLASW ili upate malipo mema...amiin
AtupngozeWooteYaarabiSbhanaAllah
Subhanallah 😭 😭 mithiani wallahi..ALLAH awangoze njia iliyo nyooka inshaAllah..🤲🤲
Mashallah shekh wetu mungu akupe umri mrefu
Masheikhe wote nawapenda sana kwa ajili ya Allah
Shukran jazeelan na Allah akupende zaidi
Mashallah brother may Allah grant the highest jannah
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
SUBHANA LLAH, dunia hii Kuna wt wapo nyuma sn sn sn sn.... Wanatakiwa kuelimishwa kwa hali ya juu Sana .... Ingawa wanakua wabishi lkn wataelewa to. Maustadh wetu inshallah mwenyezmu gu awape ngv zaidi na uwezo mkubwa na Imani ya juu zaidi
Ma shaa Allah sheikh Ramadhan Allah jazallah khaira kwa kazi hiyo nzuri.
Mashallah sheikh Ramazan kwakaz kubwa Mwez Mungu akuwezeshe Dunia na hekrah in- shallah
Ila kenya kuna vituko sana
Mhhhhhh Mungu awaongoze maana wapo gizani sanaaaa
Wallah. Nakupenda shekh wangu. Allah akihifadh
Maa shaa Allaah akhiy Allaah akuzidishie hekima na Subra
MashaAllah ❤ sheikh wetu barakallahu fiiqum Allah akulipe pepo yake amini
Allah akuzindishie hadi wafahamu hao yesu si mungu
Mashallah brother may Allah grant the highest heist in janahan
Alhamdulillah kwa neema ya waislam maana!! Daaa ukristo kila siku vinatoka vituko!!
Mashalla allbdulilai ustaz ramazane bin kaguhoo 👐
Mashaalla halla aukongoshe na iyo rho ya imni awa halla awpnyie wepeshi wko na macho na waoni
Brothers and sisters be blessed being one in Godliness during this aramathan(pasaka )
Mashallah tabarak Rahman sheikh ramadhan barak allah feek ameen
MashaAllah mashkhe wetyu allah awape umri mref mzidi kuwakilish dini ya Allah
*Allah Atupe Mwisho Mwema Amiin*
Masha Allah , JazakAllahu kheyran sheikh Ramadhan
Ameen, na shukran jazeelan
@@StraightPathDawah marhaban bik Akhyl habib
Allah awaongoze kwa dini yake ya haki, uislamu..... Ameen
Hii Shetani ya Mzee yaaibisha ukristo. Shindwe hili Pepo kwa jina la Yesu!!!
SubhanAllah 😭😭😭😭mwenyeez mungu awasamehe hawajui walitendalo mwenyeez mungu awasimamie waingie kwenye din ya haki na waifuate
Amiin
Maashaallah Allah awatie nguvu na afya
Mashaallah mashaallah sheikh wetu
Allah akujaaalie maisha Marefu uzidi kutoa Daawa Insha Allah
MashaAllah ! Allah akujaaliye kila la kheir na akuepushie na kila la shari
Allahuma ameen
Ndugu yangu Ramadaan nakuombe kila siku May Allah akulindee Insha Allah
YAA ALLAH WAONGOWE WAJA WAKO WAIJUA NJIA ILIONGOKA ASANTE SHEIKH YAANI ATA MIMI AU SOTE TWAJIFUNZA MENGI TUSIOYAJUA KWA WENZETU WAKILA KONA DUNIANI AU INCHINI NAKUOMBEA SHEIKH WETU UJUMBE UWAINGIA ROHONI MWAO NAKUJUA HAKI NAKUIFATA ALLAH AKUJALIA NGUVU NAKUCHOTA ROHO ZAO
😀mashaallah jadhaakallahu kheri
MashaAllah Mashelhk wetu kwa kazi yakumtangaza Allah
Ustadhi hao wasilimishe tu wanatuchafria Yesu wetu pumbavu hao alafu muambie yuda eskaryoti yuko huku Tanzania🇹🇿 kamtoloka anaitwa Joshua mwamengo Yesu nipe sumu atume nauri tumsafilishe mwanafunzi wake haraka
MASHALLAH kazi mzuri
Masha-ALLAAH Swadakta
SubhanaAllah yaani I never knew mathehebu yengine existed 😳😳 am still in shock. Innalillahi wainnaillahi rajiuun 😪
All the best, good and loving work, may the help of Allah befall
Amiin
We we
mwongo mkubwa wewe kama shetani tu una ongae pumba tu babayako alie ji ita Yehovah amekufa.nyinyi mnala ana.
Duuuh Kzi Uko Nayo Shekhe Ramadhani IN SHA ALLAH M/MUNGU Akupe Pumzi Ndefi Na Subra Na Hekma Ili Uwaoneshe Hivyo Wanavyo Fanya Wamepotea Ili Uwaoneshe Njia Ya Haki Yataka Subra Na zkekma Sana
Natamani kucheka lkn badala yake 😭😭 yaa Allah, hurumia ummat Muhammad hakika ummah mwing waangamia😭
Unamhurumia nani ?tuwahurumie nyinyi ambao kiongozi wenu harudi. Sisi tuna tumaini. Nyinyi hamna matumaini yoyote ndio maana mnatapatapa. Niakili hiyo umfyate mtu kanisani kwake eti muamini muhamadi. Mbonakama mushaanza kuchanganikiwa. Kama ni mimi mwenye kanisa mkija nawatoa na panga shenzi
@@pungopungo411hakuna alie changanyikiwa ndomana ata nabii Nuhu alikuwa ana wafata watu makwao na kuwafundsha dn ata nabii ibrahm alivunja masanam hakuna alie changanyikiwa
Allah akulinde na akupe umri mlefi iliuwendelee kuwafundisha in sha Allah
Ndugu zangu hawa ni wakuombewa dua wallahi waijue hakki mana huyu yesu bandia ni uzushi huu wake hana ukweli..inshaallah mungu awaongoze
Kazi safi, pastor and sheik God is one only language and understanding made all this differences 🙏
Straight path maa shaa Allah
Mashallah good job
MUNGU akulipe jannatul fridausi amiin kwa kazi unaoifanya na akupe afya njema na umri mrefu wakuifanya kazi yake
Allaha akupe nguvu zaidi shekh Ramadhan
Mashallah Tabarakallah
SubhamaAllah ATI watume Wana salamia yye.
May Allah make it easy for u sheik
MAASHAA ALLAAH you did a good job ALLAAH help you brother
Ndugu zangu katika imani tushukuruni kuwa tumejaliwa kuwa waislamu
IN SHA ALLAH ALLAH Akujaze Kila La Kheeri Amin Ww Na Wenzako Wa Group Yko
MashaAllah Barakah Feekum
Ameen
Nakupata ndg yangu,nikiwa pande za Tz-Mtwara,endeleza mapambano mungu yupo...
Masha Allah
Mashallah kazi zuri
الله نورالسموات والارض
Aki hao wazee Wana zeeka vibaya sana
Allah Akibariki us. Ramadhani kariuki .hawo watu waione kweli ikio ya kweli in sha allah kupitia wwe
Ramadhan Kuria