SubhanaLLAH yani hii dunia inamambo namshukuru ALLAH kwakunijaalia mimi kuzaliwa katika uislam napia namuomba ALLAH anijaalie nife nikiwa muislam pamoja na kizazi changu kwamaana huu ni mtihani kwakweli yani inasikitisha wallah..alafu maajab ya ALLAH waislam yani palipo na waislam na makafiri utajua tu kwamaana waislam wako na nuru ALLAH AKBAR..mashekh wetu ALLAH awape subra na umri mrefu ulomwema yani ukomnakotembea mwayaona mengi sana yakushangaza nakusikitisha..yani nimeshangaa sana..
Inna lillah wa Inna ilayh rajiuna,huyu Mzee Allah amfanyie wepesi,apate kumjua Mungu wa kweli,na nyinyi masheikh wetu msichoke kulingania dini ya Allah.
Subuhannallah, yani mzee mzima unadanganywa kumuabudu binadamu mwenzio ukiona kabisa kua ni kufuru kubwa!!tena anaejiita mungu amekujia kabila 12 pekeyake Allah atuepushe na shetani
Astaghfirullah Rabbi min kulli zambi wa Atoobu llaiyh yani mtihani kweli inshaAllah Allah awaongoze awaongoze njia iliyo nyooka MashaAllah shaikhe wetu Allah atakubarik kila la kheir na baraka kwa kazi hii ngumu InshaAllah Allah atakulinda kwa kila libaya popote undapo amiin
Shukran sheikh Yusuf na ramadhan kwa kazi mzuri ya da'waa,Allah awalipe kila la kheri na waliosilimu ni ndugu zetu karibuni sana kwenye dini ya haki uisilamu
Asalaam Allaykum warahmatullahi wabarakatuh, masha Allah, kwa kweli sheikh Ramadhan unafanya Dawa kwa kila kijiji, natumaini utafika Changara siku moja, panapo majaliwa, nawaombea dua kwa Allah
manshaAllaha shukran shehe mwenyezi Mungu awajalie afya njema mzidikufanya kazi ya na kilawanapo Silim usisahau kuwaambia kwamba hawana dhambi hata moja paleu aposilim
Shekh ramadhan na mashekh wenzio Allah awape afya njema na ujira mkubwa hapa duniani na kesho akhera 🤲🤲🤲 na uvumilivu kwa changamoto mnazo pitia yaarabby watazame mashekh wetu kwa jicho la huruma 😭😭😭
Masha Allah, Allahu Akbar, kazi nzuri walimu wetu, Allah awazidishie elimu na afya njema na subra katika kazi mnayoifanya na awape amani majumbani mwenu Amiin Thumma Amiin
Masha Allah jazakum llah khair kazi nzuri straight path daawah, Allah awahifadhi ndugu zangu kwa kuwazindua hao ndugu zetu ktk Adam, kwa kweli endeleen na juhudi hizo hizo.
@@StraightPathDawah sheikh pls angalieni video za yule mchungaji ndacha na vitabu anazotumia kupotosha watu akisema vitabu zile ni za kiislam na mtume amekiri kufa kwa yesu na MUNGU kuwa na mwana pls angalieni hlo
Kazi unayo ifanya sheikh wetu ma sha Allah, jazaa yako iko kwa Allah. Sijakuona hata siku moja ukibishana na masheikh wengine mitandaoni bali kazi yako kubwa ni kuwalingania wasokua waislam kuja kwenye uislam na waislam wenye imani dhwaif kuwaleta kwenye imani ya kisawasawa, in sha Allah ukipata muda watembelee na ndugu zetu Wamasai, kuna video inetrend week hii kwa kweli imenisikitisha sana.
Giving Da'awah to the old man is the toughest of all Da'awahs.This people from my locality will confuse you with their own confusion until you can no longer understand where their brains relocated too.Innalillah wa innah ileyhi rajioun
Astaghafrulah jaman kwel mtu anajiita mungu,,,,wakati tumeambiwa mwenyez mungu hafananiahwi na chochote,,,,,Hana mfano,,,hakuzaa wala hakuzawa,,,,takbiiiiiiiiiiiiiiiiiir☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️
SubhanaLLAH yani hii dunia inamambo namshukuru ALLAH kwakunijaalia mimi kuzaliwa katika uislam napia namuomba ALLAH anijaalie nife nikiwa muislam pamoja na kizazi changu kwamaana huu ni mtihani kwakweli yani inasikitisha wallah..alafu maajab ya ALLAH waislam yani palipo na waislam na makafiri utajua tu kwamaana waislam wako na nuru ALLAH AKBAR..mashekh wetu ALLAH awape subra na umri mrefu ulomwema yani ukomnakotembea mwayaona mengi sana yakushangaza nakusikitisha..yani nimeshangaa sana..
Inna lillah wa Inna ilayh rajiuna,huyu Mzee Allah amfanyie wepesi,apate kumjua Mungu wa kweli,na nyinyi masheikh wetu msichoke kulingania dini ya Allah.
Mashaallah Allah akibar Allah awalipe inshallah
Am not a Muslim but I love your channel. Unapendeza na unafundisha watu kwa upendo bali si kwa kejeli na dharau kama wanavyofanya waisilamu wengine
Shukran kwa hilo na karibu sana kwenye dini yetu
Karibu ndugu katika uislamu.
Subuhannallah, yani mzee mzima unadanganywa kumuabudu binadamu mwenzio ukiona kabisa kua ni kufuru kubwa!!tena anaejiita mungu amekujia kabila 12 pekeyake Allah atuepushe na shetani
Astaghfirullah Rabbi min kulli zambi wa Atoobu llaiyh yani mtihani kweli inshaAllah Allah awaongoze awaongoze njia iliyo nyooka
MashaAllah shaikhe wetu Allah atakubarik kila la kheir na baraka kwa kazi hii ngumu InshaAllah Allah atakulinda kwa kila libaya popote undapo amiin
Allahuma ameen, nawe pia Allah akulinde
Amiin thumma amiin
Masha Allah, mashekh wetu Allah awape afya njema pamoja na umri mrefu, ombi langu hao waliosilimu washikwe mkono, namaanisha wapate elmu ya uislam
Shukran sheikh Yusuf na ramadhan kwa kazi mzuri ya da'waa,Allah awalipe kila la kheri na waliosilimu ni ndugu zetu karibuni sana kwenye dini ya haki uisilamu
C TV
I'm in my so I'm لا لا رز. At
Asalaam Allaykum warahmatullahi wabarakatuh, masha Allah, kwa kweli sheikh Ramadhan unafanya Dawa kwa kila kijiji, natumaini utafika Changara siku moja, panapo majaliwa, nawaombea dua kwa Allah
insha'Allah ,Allah awajaliye mufikishe dini kila Mahali
Shekhe Ramadhan Kzi Ipo Weee ALLAH Awape umri Na Elimu Subraa Na Hekma Sana YAARAAB
Mashaa Allah Tabaraka Allah mwenyezi mungu awaongonze ma sheikh wetu
Ma sha Allaah, Mwenyezi Mungu awahifadhi kwa Dawaa
Naomba siku moja mnikute na mniulize yesu ni nani nitawajibu vizuri
Wallwahi Adam mara tu baada ya kupiga Shahada, Kanawir uso wake. Alhamdulillah
manshaAllaha shukran shehe mwenyezi Mungu awajalie afya njema mzidikufanya kazi ya na kilawanapo Silim usisahau kuwaambia kwamba hawana dhambi hata moja paleu aposilim
❣️ Mashallah ❣️ mashallah ❣️ mashallah ❣️❤ Allah ❣️ awalipe ❣️ kheri ❣️ inshallah ❣️
Mashekhe nawapongeza sana Allah awalipe kheri
Shekh ramadhan na mashekh wenzio Allah awape afya njema na ujira mkubwa hapa duniani na kesho akhera 🤲🤲🤲 na uvumilivu kwa changamoto mnazo pitia yaarabby watazame mashekh wetu kwa jicho la huruma 😭😭😭
Amiin
Amiin yaarabiy
Mashallah. Ndugu yenu ktk imani nafatilia from Tanzania
She ramadhani kwa kweli unafanya kazi kubwa hivi mtu akitaka kuchangia Pesa ya mafuta kufika hzo sehem anatumia namba ipi
Masha Allah tabarak Allah Allah awahifadhi mashekh wetu...Alhamdulilah thumma Alhamdulilah
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
Watching this 2024 ,natamani sana kuwa muisilamu 🤲
Fuatilia zaidi, na umpate ustadh akusilimishe na usome zaidi Dini ya Kiislamu
ALHAMDULILAH KWA NEEMA YA USLAM ❤❤❤ NEEMA UMEINA IFUATE😘
Mashallah kazi nzuri Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏shk tuna wa shukuru sana
Mashaallah kapendeza adamu inshallah mwenyez mung atakusaidia unique kuruani
Mashalah mashekh wetu awape umri mrefu
Allahuma ameen
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
MashaAllah Tabaraka Allah Allah, masheikh Allah allalipe kila la kher fill Dunia wall akhera
Allahuma ameen
SUBHANAH ALLAH nimtihani huu
MashaAllah Mashelhk yetu kwakumtangaza Allah
Tubuni na mumpokee yesu kaa bwana...yesu anarudi kuchukua kanisa muache uislamu
Masha Allah wahadhiri wetu Allah azidi kuwapa nguvu na afya ya kuilinganiya dini ya haki
Jazakumullah khairul jaza fidunyaa wal akhera
Masha Allah, Allahu Akbar, kazi nzuri walimu wetu, Allah awazidishie elimu na afya njema na subra katika kazi mnayoifanya na awape amani majumbani mwenu Amiin Thumma Amiin
Ameen
@@prettyaysha7892 of
Masha Allah , JazakAllahu kheyran
Dawah lazima iendelee ..
Masha Allah jazakum llah khair kazi nzuri straight path daawah, Allah awahifadhi ndugu zangu kwa kuwazindua hao ndugu zetu ktk Adam, kwa kweli endeleen na juhudi hizo hizo.
Allah awatie nguvu masheikhe wetu inasikitisha sana watu hapo hawajielew kbc
Allah awape umri mrefu wenye manufaa, matunda tunayaona. Kazi mzifanyazo ni kubwa Sana. Tunawapenda kwa ajili ya Allah.
Jazakhallah shkh mungu awabariki
Masha Allah
Huyo msabato aitamka shahada vyema Hadi shedde na mada zake mashaa llah mungu awafaye waislam wakweli wenye kufuata dini Kwa hakika
Aamina
Kazi mnayoifanya insha,Allah ikubarike kwa Allah. Malipo yake makubw mno! Hata mm naifanya.
Ameen, shukran jazeelan Allah akulipe Jannah
@@StraightPathDawah kwa sote insha,Allah. Nipo mtwara huku kusini mwa Tanzania. One nitawatembelea Kenya.
@@StraightPathDawah sheikh pls angalieni video za yule mchungaji ndacha na vitabu anazotumia kupotosha watu akisema vitabu zile ni za kiislam na mtume amekiri kufa kwa yesu na MUNGU kuwa na mwana pls angalieni hlo
Masha allah allah awajaalie dini yetu ya uislam
Na shekhe hii mitaa pia yafaa tujenge madrasa na miskiti pia itakua ubora Sana InshaAllah
Allah atufanyie wepesi
Majnun, subhanalah
Sio sawa kumuita majnun. Hakuna aliekamilika. Tuwaombee Mungu na tujiombee Allah atulinde na tuongoze sisi na wao. Dharau sio njema
Mashaa.Allah. Allah.amuzindishia.muwatowe.watu.kwenye.geza..nawapate.kuona.nuru
Mashaallah mungu awaongoze vyema aamin.
Kazi unayo ifanya sheikh wetu ma sha Allah, jazaa yako iko kwa Allah. Sijakuona hata siku moja ukibishana na masheikh wengine mitandaoni bali kazi yako kubwa ni kuwalingania wasokua waislam kuja kwenye uislam na waislam wenye imani dhwaif kuwaleta kwenye imani ya kisawasawa, in sha Allah ukipata muda watembelee na ndugu zetu Wamasai, kuna video inetrend week hii kwa kweli imenisikitisha sana.
subuhanallah mungu yatupe hatima njema duniani n'a ahira ishallah sasa Malaika wapo duniani wanatembea nanguo zarangi yanjano navitabu mikononi yarabi
Nakupenda san kwaajil.ya Allah 😘😘😘
Asalam Aleikum Inaalilahi waina ilehim rajiun huu ni msiba mkubwa kama wako watu kama hawa duniani Allah awafanyie wepesi mashekhe wetu
Isha Allah mungu awajalie mufike hapo maana hata dini ya uisilamu wengine hawaijuwi mtihani
InshaAllah nass tuwasupport
Nice interview.
Subhana Llhaa .Allha awafanyie wepesi.
Haki mnasubra yakumsikiliza bila kucheka Allah atujaali khusnatul khatma inshaallah
Inaailah wainaailaih raajiun wallah huu ni msiba yaan unajiita malaika dah masheikh wetu hongeren kwa kaz nzur ya kuwaelimisha watu
Shukran jazeelan
Mungu azidi kuwalinda na kuwaongoza inshaallah ameeeen yarabb nafatilia sana hii chanel
We love you shiekh may almighty reward you
Masha Allah tabarak Allah 🤣🤣ati malaika gabriel
لا اله الا الله محمد رسول الله صلى الله عليه وسلم
USILAMU RAHA ALHAMDULILLAH
Masha Allah Ustaz
Subhannallah kumbe mpaka sasa wapo wenzie na firaun
Wapo tele Allah awaongoze
Mashaa Allah, Allah awalipe kheir
Duuh walai hii ni Kali eti ameoa Mtoto wa malaika Gaburili!! invunja mbavu mmenitengezea siku watu wangu.
Dah, hatari
Hatari sana
MashaAllah sheikh Yussuf
Allah awajalie kila la kheri Mashehe wetu
Mashaallah Allah awaongozee jukhud
Ma sha allah
Masheikh wetu allah awahifadhi
Mashaa llah lkini wanapenda Mambo ya mungu kusikiliza mungu awaongoze
Mashallah mungu awape nguvu
Straightpath TV si huyu jamaa alikufa kitambo sana ama ni mwingine.
Giving Da'awah to the old man is the toughest of all Da'awahs.This people from my locality will confuse you with their own confusion until you can no longer understand where their brains relocated too.Innalillah wa innah ileyhi rajioun
MashaAllah Allah barik
Amependeza sana Masha'Allah
Yesu alizaliwa kwa uezo wa roho mtakatifu .
Subhannallah ALLAH Allah amfanyie wepesi waione khaki
MashaAllah sheikh Ramadhan Kuria
Maasha Allah
Sheikh Allah akulipe kwa yale DAAWHA unayoyafnya na akupe umri mrefu uzidi kupambana na makafiri
Mashallah 😁😁😁
Masha Allah, Allahu Akbar
Mashallah hap ndo tnatakiw tutie akili wat wnahangaik kw ajil y Allah na cc tujitolee kwa Njia ya Allah kwa Njia yyt
Amina tafta pia wafuasi wa yesu wa tongareni🤦😄Amin🙏.
inshaAllah tutamwendea
Assalaam alaykum waramatullaahi, Akhy Ramadhan, Allaahu awathibitishe katika Da,awa, nawafwatilia, Muambie sheikh Yusufu, Sheikh Muhyddiin tz anatusalimi, muambie tulikuwa pamoja Ongata rongai
Ameen yaarab
Keep going bro🤲
Astaghafrulah jaman kwel mtu anajiita mungu,,,,wakati tumeambiwa mwenyez mungu hafananiahwi na chochote,,,,,Hana mfano,,,hakuzaa wala hakuzawa,,,,takbiiiiiiiiiiiiiiiiiir☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️
Maashaallh
Subhanallah, hii ni masikitiko,
IN SHA ALLAH Kwa Bidii Zenu Huyo Atasilimu Akiona Haki Ataifwata
Mtihani mkubwa Sana Allah awape wepesi
Allah amuongoze uyu mzee
Msomaji mashallah
Mshallh
Subuhanallah 🙄🙄😭😭😭firauni
Wapili huyu Allah amuongoze kabla umauti
Ati mungu anaenda state house kuimba na kuchezea binadamu
Msiba mkuu Wallah
Huyu mkora, Mwenye Enzi Mungu amwongoze
Part 2 sheikh
HasbunAllah. mzee akapimwe akili huyo