Huu ndio mkwanja JAY MONDY na GIRLFRIEND wake ISABELLA wanaingiza kwa mwezi YOUTUBE! Huwezi kuamini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 207

  • @Zenny89
    @Zenny89 4 หลายเดือนก่อน +148

    Inafurahisha sana kuona wabongo wengi Ndo wanashtuka sasa hivi Jay Mondy kashatoboa…😆 Hongera sana!!!!

    • @njoroboihastla
      @njoroboihastla 4 หลายเดือนก่อน +4

      😆😆😆kaondokaaa uyooo

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@liberatusjackson5045maneno mazuri sana hongera

    • @iddirajabu-vk7ej
      @iddirajabu-vk7ej 4 หลายเดือนก่อน +4

      Tunashtuka nini sasa,😂😂😂 tujuze linguine ambalo hatujashtuka mzungu

    • @Chrisscherry
      @Chrisscherry 4 หลายเดือนก่อน +3

      Halafu dullvani kuna siku alisemaga hamkubali eti hujui anachofanya

    • @Mina.15
      @Mina.15 4 หลายเดือนก่อน +3

      His working harder that’s why his where he is

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 4 หลายเดือนก่อน +59

    Nawapenda hii couple ❤ Isabella Go girl Watanzania tunakupenda mnoo❤

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 หลายเดือนก่อน +32

    MashaAllah 🙏🙏🙏🙏🥳🥳🥳maisha hayana formula jamani❤tujutume,ukitia bidii katika jambo lolote Mwenyezi Mungu anafanya wepesi unainuliwa,anafaidi mema ya nchi..

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 4 หลายเดือนก่อน +41

    Last time niliona wale jamaa wa wasafi walikuwa wanamkandia jamaa anamzungu ambaye hana pesa, Mungu anaplan zake kubwa kwetu zaidi tunavyofikiri. Kitu kikubwa jamaa hakuacha opinions za watu zimuaffect.

    • @Mina.15
      @Mina.15 4 หลายเดือนก่อน

      Wahasidi

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wanafiki hawakosekan

  • @EmilykuvunaKonzi
    @EmilykuvunaKonzi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awalinde na awazidiahie upendo❤❤🎉🎉💋💝😘

  • @user-op5gz7vj6w
    @user-op5gz7vj6w 4 หลายเดือนก่อน +48

    Broo sky napenda sn, unavyoo ibuuaa story za chin kabiixaa.. , Tanzania hapa hakuna meadia yoyote iliyoo onesha Nia, au inayoo onesha Nia ya kuwasaport hawa, Hi couple... mwanzo walianza ki masiara masiara .. Now saiv n wakubwa mtandoni kote kuliko Hata wasaniii we tu, piah wamekuwa mabaloz wanzuri sn kwenyee utaliii we tu nyumbniii.... , Inshaaalaaa Sns imeonaa iyoo kwa kuliongelea tu sas. , tutaonaa meadia nyngn zikijipendekez kujifnyaa kusaport, It's Good Sns Waoneshen wenzio njia... Sns for lifeee. Sky Loong live❤❤❤

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 4 หลายเดือนก่อน

      True my dear

    • @johnmwandu2116
      @johnmwandu2116 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@achawanunetv1167hii hii #SNS ndio media ya mwanzo kabisa kumuita JAYMONDY kumfanyia interview kuhusu uchekeshaji wake enzi hizo anafanya, kwenye kipindi chake Cha CHILL NA SKY

  • @roi2554
    @roi2554 4 หลายเดือนก่อน +39

    Pia wana chemistry nzuri sanaa

  • @blessedeaglemusic5324
    @blessedeaglemusic5324 4 หลายเดือนก่อน +46

    Sky😂😂hulaliii😮from Kenya upcoming artist

  • @lwanzodieumerci3029
    @lwanzodieumerci3029 4 หลายเดือนก่อน +20

    Alaf tunaliliyaga kwende ulaya nawakati kwetu Africa tuna maisha sema mujifunze kitu apo 😢😢

  • @officialosama
    @officialosama 4 หลายเดือนก่อน +8

    sky...hongera sana unafanya kazi nzuri sana nikiingia youtube yani ni moja kwa moja nakuja kwenye account yako yaan account yako peke yake ndo niliyoeka notification chochote kinachoingia niwe nakiona hakika natamani kuwa kama wewe japo najua ni kazi ngumu sauti yako iko powa sana itunze sana mana wakina ananias edga na mtiga abdallah washapotea umebaki wewe hatutaki kukupoteza big up broo ila jaymondy nilianza kumkubal toka enzi zile za mama jay

  • @alibinali_
    @alibinali_ 4 หลายเดือนก่อน +19

    Jay Mondy and Isabella they always travel in different countries waki shooting videos zao kwa kweli amefanikiwa sana na wanao wafatilia sio wa Bongo tu videos zao ziko viral all over the world big Sky what is amazing news congratulation for those too beautiful couple...

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwel kabisa sio wabongo 😅

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 หลายเดือนก่อน +7

    Juzi tu Isabelle alikua na laki sita na Jaymondi laki mbili subscribers sasaivi wasaaingia millions

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hongereni sana Allah azidi kuwabariki 👏👏

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 หลายเดือนก่อน +16

    Nawapenda sana Mungu akawafanyie wepesi

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral 4 หลายเดือนก่อน +23

    HAKIKA NIMEKUWA MFUATILIAJI MZURI WA JAYMONDY TOKEA YUKO ANAFANYA COMEDY NIMEKUWA FANS WAKE SANA NA KWA ALICHOKIFIKIA HII LEO KWANGU MIMI NI JAMBO LA KUMPONGEZA SANA ZAIDI AONGEZE JUHUDI KWA NDOTOZAKE NAAMINI MUNGU HAMTUPI MJAWAKE "MAMASAMIA WE MADE IT" CONGRATULATIONS #JAYMONDY AND #ISABELLA WE LOVES YOU MUCH💛🧡💝❤💖💗💙💕💙💚💟💜🤎🤍💋💘

    • @ommicreative
      @ommicreative 4 หลายเดือนก่อน

      p]❤)⁰ l

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 4 หลายเดือนก่อน +5

    Daaaah, kaka #SKY ulivyoelezea hadi raha kuisikiliza hongera sana

  • @MOREDI2024
    @MOREDI2024 4 หลายเดือนก่อน +10

    Njema sana, nime penda kila mtu alivyo Baki na account yake

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 4 หลายเดือนก่อน +9

    God bless them a lot

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 4 หลายเดือนก่อน +7

    Excellent story!

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr 4 หลายเดือนก่อน +27

    jmond kunanyingine imefika 192m

  • @user-rx7te2px5d
    @user-rx7te2px5d 4 หลายเดือนก่อน +24

    MUNGU azidi kuwabariki.

  • @officialsule270
    @officialsule270 4 หลายเดือนก่อน +73

    Kujituma ndo siri ya mafanikio

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 4 หลายเดือนก่อน +2

      Siri ya mafanikio kwanza ni kumtanguliza Allah halafu ndo jitihada kwani unaweza kuji2ma lakini usifike malengo kabisa

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mm pia ni moja ya watu ninao wafatili na niwatu wanapendana sanaa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน +10

    Ongera kwao washajipata tayari ..nimwendo wakupiga pesa zaidi..sasaiv watu ndo wanawatolea macho Yan..safi

  • @Storyzaibrahim
    @Storyzaibrahim 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mtafute jaymond mpige story nyingi kaka

    • @bilalbizimana980
      @bilalbizimana980 4 หลายเดือนก่อน

      Alichamtafuta kitambo check sns kuna bonge la interview walifanya n Sky

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ka history fulani cha kusisimua na kutia moyo😇🤍 wanastahili hongera 🔥🔥🔥🇹🇿

  • @user-gg3oy5mi5t
    @user-gg3oy5mi5t 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sawa kaka nimependa sana

  • @salamalupenza5082
    @salamalupenza5082 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu azidi kumuinua mtoto wetu

  • @PaskalFweda
    @PaskalFweda 4 หลายเดือนก่อน +10

    kaka unachambuaga vitu kwa umakini nakupenda sana

    • @gibbs1320
      @gibbs1320 4 หลายเดือนก่อน +2

      Marufuku kumuambia mwanaume mwenzako NAKUPENDA

  • @zuwenahassan3624
    @zuwenahassan3624 4 หลายเดือนก่อน +11

    Wamestahili Kwani wanajituma haswa

  • @officiallnobystar
    @officiallnobystar 4 หลายเดือนก่อน +3

    Safi Jay Mond Pambana My Bro🔥🔥🔥

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nimefurahi sana hawana mambo mengi wametulia , God bless them

  • @user-jo5ig8ww1b
    @user-jo5ig8ww1b 4 หลายเดือนก่อน +7

    Nawapenda saaana

  • @atumbwilo8277
    @atumbwilo8277 4 หลายเดือนก่อน +1

    Interview mpya please

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla หลายเดือนก่อน

    Jay mondy makes money more than our comedians wa bongo na dancers wooote wanaocheza amapiano Tz he is the best.

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 4 หลายเดือนก่อน +5

    Maisha una angaika angaika bhn alafu kuna mtu anashushwa kuja kukuletea maendeleo ktk maisha yko.

  • @whizzem
    @whizzem 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye rate ya dollar, huwa tunatumia Buying rate... Usitumie rate ya selling

  • @trommyx
    @trommyx 4 หลายเดือนก่อน +2

    simulizi nzuri sana

  • @chibuyechiteshechiteshefam7169
    @chibuyechiteshechiteshefam7169 หลายเดือนก่อน

    Wow great job 👍🏾

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 4 หลายเดือนก่อน +4

    Dogo alikua ana dance pale meta secondary na wenzie akina tyson,na lavy ngassa

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 4 หลายเดือนก่อน +24

    Alafu watu kama hawa Awanunui view wanaigiza mkwanja pafect ❤🙏✊

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 4 หลายเดือนก่อน +3

    These dude have that bag

  • @lakasid3860
    @lakasid3860 4 หลายเดือนก่อน +10

    Hawa wamejipata bana sie tupo huku nakina mwajuma ndala ndefu wanatusumbua 😢

  • @ernestchaulema226
    @ernestchaulema226 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ninakwenda kumfollow

  • @sephbuche9459
    @sephbuche9459 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hata Kenya ni nje😅😅

  • @bettyenoch2685
    @bettyenoch2685 หลายเดือนก่อน

    Wonderful

  • @nanaqueen4738
    @nanaqueen4738 8 วันที่ผ่านมา

    Cute couples ❤❤

  • @bintnouh4483
    @bintnouh4483 4 หลายเดือนก่อน +1

    nilihisi namfananisha❤❤❤

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Gostei muito até ouvir isso ❤❤❤

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 4 หลายเดือนก่อน +9

    Kumbe ndio mana wanasafiri sana

  • @ramatsimelarmamosebo9660
    @ramatsimelarmamosebo9660 2 หลายเดือนก่อน

    Translation please

  • @jeanpierrekwizera6400
    @jeanpierrekwizera6400 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wow! A good story ❤❤

  • @NassirMussa
    @NassirMussa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ila ajuwe kuweka pesa home uyo mzungu akichoka tu kaachawa

  • @Winifridainturkey
    @Winifridainturkey 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wana supportiwa na watu duniani sio watanzania. Watz sisi ni wabaguzi mnoo

  • @mohamedlegacy255
    @mohamedlegacy255 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani nimewapenda bure kupata mtu mwenye aspirations zinazofanana it's more than luck!!!!

  • @drewkyd_
    @drewkyd_ 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wowww

  • @hallin9561
    @hallin9561 4 หลายเดือนก่อน

    Ila mzungu bhana kukuzalia mtoto sio jambo rahis, utakuta ad wanabreak na bado hajaweka nembo yake apo. Congratulations to u

  • @Tozzyclever
    @Tozzyclever 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu dem alivylokujqga bongo daaaah alikuwa ana dance samaki samaki

  • @raymondmevamose2117
    @raymondmevamose2117 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechagua kuwa mwanafamilia wa SNS kwa sababu ya content ya ukweli wa maisha

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 หลายเดือนก่อน +10

    Halfu views wa halali sio wakununua. Mungu awafikishe mbali zaid

    • @mcback4384
      @mcback4384 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna views wa kununua? Acheni fikra finyu ninyi youtube sio maandazi

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla หลายเดือนก่อน

      Wakununua ni wake unalipia video yako itokee km tangazo kwenye video za youtube ​ utazoclick kuzi view ndo mana mie nalipia nipate youtube premium nisipate kuona matangazo.@@mcback4384

  • @beingothman
    @beingothman 4 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah

  • @KideArowo-zb7vv
    @KideArowo-zb7vv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo maneno tuu ya mitandao isiwachanganye bongo zenu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu awajalie wasiachane hata baada ya miaka10

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wow 😅

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sijaelwa hapo sasa Meneja anakua wa nini?
    Kujipunguzia mapato tu

  • @salmonmkanula3718
    @salmonmkanula3718 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mshaara wa mtu ambae ana hata degree Denmark unamuwezesha mtu kuushi miez mitano bongo Tena unaishi dar 😂 njoo bongo Sasa

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman 4 หลายเดือนก่อน +1

    @isabel

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe, duh! Hatariiii, mimi nawafatilia sana, nikasema uyu jamaa vip kumbe ndio katusua 😂😂😂

  • @godfreyalphonce5646
    @godfreyalphonce5646 4 หลายเดือนก่อน

    My country pipo ❤❤❤

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 4 หลายเดือนก่อน +4

    Siku hizi mambo ya "...atakuwa freemason...." hamna tena!!!! 😂😂😂.... mahesabu live na calculator yako mwenyewe.

    • @baraka5002
      @baraka5002 4 หลายเดือนก่อน

      kuloga loga amna 😂

  • @geoffreymwalingo7322
    @geoffreymwalingo7322 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sure nipo europe kuna mzungu aliniuliza unawajua akanionesha videos zao

  • @Obbyalpha-v5q
    @Obbyalpha-v5q 4 หลายเดือนก่อน

    anajitahidi sana uyu jamaa aysee

  • @RomeoBigirimana-ov5ns
    @RomeoBigirimana-ov5ns 4 หลายเดือนก่อน +2

    Burundi to the map

  • @salamalupenza5082
    @salamalupenza5082 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @fancymixx1026
    @fancymixx1026 4 หลายเดือนก่อน

    Ndo ujue saving ya mwaka mmoja nje ya nchi…ni unakuja kuspend miaka ata mitano na zaidi tanzania

  • @Storyzaibrahim
    @Storyzaibrahim 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wako bongo

  • @EddahBure-te7ft
    @EddahBure-te7ft 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maskin alivyokua bongo alikua anajishangaa na pua lake lkn saiv sijui kama analiona tena 😅

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio tujue kuoa kwa target. Sio kuoa upate utamu wa mlio wa matako tu

    • @RehemaJustine-co2kp
      @RehemaJustine-co2kp 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 dah umetutusi sasa wanawake wa kibongo

    • @JemieCarragher14.
      @JemieCarragher14. หลายเดือนก่อน

      😅😅​@@RehemaJustine-co2kp

  • @adinasii
    @adinasii 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna sababu ya kumtafuta umuhoji mana kitambo san

  • @kephatourssafaris
    @kephatourssafaris 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni mwanza boy🇹🇿🙂🙂🙂

  • @khamisjay488
    @khamisjay488 3 หลายเดือนก่อน

    To make the long story short, tutafute wazungu pia sisi sio?😂

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 4 หลายเดือนก่อน +6

    MAFANIKIO HAYATANGAZWI,,HUONEKANA....MFANO MKUBWA NI DAIMOND PLATNUMZ

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 4 หลายเดือนก่อน

      Nini Sasa Makasiliko Hayo Kwani Kukuambia Kuwa Kamzidi diamond

    • @Snuky54
      @Snuky54 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa diamond kaingiaje hapo Kila kitu diamond ushamba tu yaani

    • @imamhussein1104
      @imamhussein1104 4 หลายเดือนก่อน

      Wee jamaa unafikiria Kwa kutumia matako

    • @chobalikosimon6459
      @chobalikosimon6459 4 หลายเดือนก่อน

      Acha makasilika

    • @user-hi8le2vb7z
      @user-hi8le2vb7z 4 หลายเดือนก่อน

      @@chobalikosimon6459 KAJIFUNZE KUSOMA NA KUANDIKA AFU NJOO

  • @Sharifa_Fashion_21
    @Sharifa_Fashion_21 4 หลายเดือนก่อน +7

    Maisha sio lahisi hakuna mtelezo

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 4 หลายเดือนก่อน

      RAHISI BWANA LAHISI NDONINI😉

    • @JosephMilinga-nl4zh
      @JosephMilinga-nl4zh 4 หลายเดือนก่อน

      Duh!!umeniwahi nilitaka nishuke naye

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@JosephMilinga-nl4zh😂😂

  • @user-ye4iy8jy2z
    @user-ye4iy8jy2z 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huku zenj ni tsh 2750 kwa dollar

    • @hallin9561
      @hallin9561 4 หลายเดือนก่อน

      Kumbe zenji mnadola zenu zenjidola

    • @user-ye4iy8jy2z
      @user-ye4iy8jy2z 4 หลายเดือนก่อน

      @@hallin9561 tatizo shule sikulaum rate ya dar na zenj ni tofauti

    • @athuman6223
      @athuman6223 4 หลายเดือนก่อน

      sasa shule gan inahitajika apo🤦🏽‍♂️ ​@@user-ye4iy8jy2z

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 3 หลายเดือนก่อน

    Ukipitia mikono ya sky wallah tena lazima uwe mkubwa baadae

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 4 หลายเดือนก่อน

    Tatizo wabongo wanaile kiki yao kubwa ya migogoro ya mahusiano ndio inayo ongoza 😀😀

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 4 หลายเดือนก่อน

    Unarudia rudia Sana maneno ...sikiliza mwenyew Kwa making utagundua

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wabongo wengi hata mastaa wangechukulia TH-cam serious kama mastaa wakenya wangetoboa mkwanja sana, imagine wangekuwa wanaonyesha angalau video za dk 40 kuhusu lifestyle zao ya kila siku ila wamelalal mno.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla หลายเดือนก่อน

      Bro hilo linawezekana ila sie tunashida sana unakita mtu hata video grapher kumlipa hata its all bout investment

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ata sisi wakenya twamjua sana kama watanzania hamumjui dah aibu

  • @Snuky54
    @Snuky54 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna mijitu kila video lazima sasa diamond kaingiaje hapo ushamba tu kila kitu diamond hata mtu anaumwa diamond msaidie huyu kuna mijitu mishamba sijui diamond wanamuona nani mtihan wallah

  • @officialgakankara
    @officialgakankara 4 หลายเดือนก่อน

    Namimi jamani ntapata wap mzungu sasa😅😅😅

  • @hassanthechingaboy9704
    @hassanthechingaboy9704 4 หลายเดือนก่อน

    Izo nyimbo you tube sio copy

  • @user-gh8th5hz2q
    @user-gh8th5hz2q 3 หลายเดือนก่อน

    Waafrika twaskia yeye wazazi wake walimkopesha lkn sisi waswahili wataka usaidie n rafiki tu bure 😂😂😂

    • @UnitedAfrica-uw9ct
      @UnitedAfrica-uw9ct 3 หลายเดือนก่อน

      Amekopeshwa na ameshalipa....🤣🤣

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ni mbongo Mzazi akukopeshe alafu urudishe 🤣🤣🤣

    • @hallin9561
      @hallin9561 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi binafsi mshua akinikopa ela ajue kabisa amejichanganya. Hatoipata tena

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 หลายเดือนก่อน

    SKY UMEPIGA HAPO ASANTE SANA KWA KUNIPA MOYO WA KUPAMBANA SKY CHANEL YANGU PENDWA

  • @Momobably
    @Momobably 4 หลายเดือนก่อน +2

    🇧🇮

  • @ibrahimroble3837
    @ibrahimroble3837 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe diamondi ni mtoto😂

    • @Msafirimakini
      @Msafirimakini 4 หลายเดือนก่อน

      Umeropoka sana 😂😂😂

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 4 หลายเดือนก่อน

      @@Msafirimakini😅😅😅😅😂😂😂Some people 😮😮😮

  • @eliachaula6542
    @eliachaula6542 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kubababke🎉🎉🎉

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 หลายเดือนก่อน +1

    ✌️👊👍.