Allaah Akulinde Akupe Hekma na Busara Mh"Waziri Mkuu Watanzania Tunategemea Sana Uwepo Wako Allaah. Akujaalie Afya njeema Kiukweeli Nafwatilia sana Ziara Zako Allaah Awahifadhi Na Kila Shari Inshaa Allaah
Kwann hv kwenye nchi yangu?,kwann watu sisi siyo wazalendo?,kwnn watumishi mliyopewa dhamana na wananchi hamuwatendei haki wananchi wenyewe?.Ahsante sana mheshimiwa waziri mkuu kwa maamuzi ulochukua,M/Mungu atakulipa.
Unanifariji Sana waziri mkuu, nakuona kama uko na kipenzi chako magufuli maama mama vilaza wote majizi kawarudisha na kuwapa uwaziri, January makamba, riziwani, majizi matupu hayo
Sawa kabisa Muheshimiwa kwa Mwenyez Mungu kila mtu Mungu atatuhoji na tena kama watumishi wa serikalini ndio nampa Majibu vzuri molaa ni jalamba la motoo
Safi sana tena sana...ila jitahidi kuchunguza hadi Kwa wakubwa wengine humo humo ndani Serikalini ....kwa huyo cha mtoto tu Kuna watu wanajua kupiga deal
Atajengaje wakati mama amewarudisha wezi katika hii inchi mpaka mabehewa tumepigwa wameokota huko wamepiga rangi alafu wanatuambia sisi wananchi eti wamenunua tirioni+
Mzee hongera saana mzee yani mimi ni mzalendo mwenzako ila tu cjulikani kwani watu kama hawa aiseeeee! Basi tu mzee me ckufahamu hunifahamu lkn tuko per1
Muheshimiwa watu kama hao hayati Nilimsikia utuba yake mtu akialibu mkoa mmoja sio kumuamishia mwingine sio dawa ivi hulivyofanya ndio dawa mzuri bravo majariwa🙏🙏🙏
Well done Mr,Prime Minister!Hivi ndio tunataka kila Kiongozi aweze kufuatilia kazi zake kwa makini hakuna kuoneana haya au muhali ktk kazi na uzembe km huo,huyo ni mwizi tena mwizi mzoefu anayestahiki kuwa jela,chapa kazi Waziri Mkuu uwe mfano kwa hao mawaziri na waajiriwa waliozoea kufanya kazi kwa mazoea
Tatizo la serekali yetu viongozi kama hawa wabadhilifu wa umma wakishawajua hawawafukuzi kazi moja kwa moja na kuwataifisha kisheria Bali wanawapa kazi sehem nyengine na ndio maana kila wanapokwenda wanaiba ifike pahala watu wanaoiba fedha za umma wasipewe kazi sehem nyengine mana tabia ikishaingia kwenye damu ni mtihani
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....bdo vijana wako wachache uliowa wacha ni waadilifu na wazalendo kwel kweli....Kasim Majaliwa. Humphrey pole pole. Dct Phil Mpango
Mh waziri mkuu tunaomba serikali iwe inawafukuza kazi wale wote wanaowahamisha watu wanaofanya madudu katika nafasi zao. Hii itasaidia mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma waogope kubebana kwa njia ya kuhamishana.
SAMIA HANA SIFA YA KUONGOZA TANZANIA. Rais asiyejali nyumba yake kazi kutembelea nyumba za wenzake kwake panaharibika. Wakati wa kufanya mageuzi ni sasa.
Hongera Sana mh Waziri mkuu ila hapo sijaielewa hivi mita Hadi zinaingia nchini au kurtoka kiwandani Hadi kuuza tbs hawadhibitishi? Halafu tena mkinunua mdhibitishe halafu muwalipe tena tbs mmmh matumizi mabaya ya fedha ya serikali
Nashukuru kwa kufuatilia na kufanya kazi kwelikweli Muheshimiwa waziri Mkuu, swali mtambuka ni hili; nani anahamisha watumishi na yeye anawajibika vipi hapo!
@@yahyahamad1802 Walihamishwa kwingine. Mfumo wa serikali ulivyo sio rahisi rais aone kila mahali. Japo kuna mawaziri na watendaji wake wa karibu waliharibu mahali kadhaa na aliwapeleka kwengine.
Kwakweli mh fuatilia miradi yote tanzania nzima mikia yote kazi yako ni ngumu lakini inshaallah allah anakusimamie utekeze wajibu wako shukra allah kwakutuletea kiongozi muadilifu allah akuepushe na shari zao hao wahalifu na akuepushe na mabaya yote huo uongozi mh ni mas uli mbele ya allah lazima watu wafuatiliwe hao inshaallah
Waziri Mkuu safari hii yupo na Watumishi wa Umma 👏👏 Unapiga kazi Hon. PM 🇹🇿 hongera sana
Hongera sana, mh kassim majaliwa mungu akubariki na kukulinda,chapa kazi ,tunakutegemea,wee magufili mpya
Mwenyezi Mungu akulinde Kiongozi wetu
Allaah Akulinde Akupe Hekma na Busara Mh"Waziri Mkuu Watanzania Tunategemea Sana Uwepo Wako Allaah. Akujaalie Afya njeema Kiukweeli Nafwatilia sana Ziara Zako Allaah Awahifadhi Na Kila Shari Inshaa Allaah
Hii ndio serikali..imara big up
Kwann hv kwenye nchi yangu?,kwann watu sisi siyo wazalendo?,kwnn watumishi mliyopewa dhamana na wananchi hamuwatendei haki wananchi wenyewe?.Ahsante sana mheshimiwa waziri mkuu kwa maamuzi ulochukua,M/Mungu atakulipa.
Chapa kazi baba mungu akupe nguvu majaliwa tumbua mijizi yote maana mingi imerudishwa iliyotoka awamu ya nne
Mzeee chapa kazi namba hiyoooooo
Mhe Waziri Mkuu Tunakuelewa Sana wananchi ✅
Gombea uraisi brother viva sana
Unanifariji Sana waziri mkuu, nakuona kama uko na kipenzi chako magufuli maama mama vilaza wote majizi kawarudisha na kuwapa uwaziri, January makamba, riziwani, majizi matupu hayo
Hongera Mh Majariwa, Waziri wetu mkuu. Mungu akujalie.
Rais wetu wa badae allah akujaalie umri mref magufuli wetu mtarajiwa inshaallah❤❤
Kumbe tupo wengi wenye utimam tunaomuelewa huyu
Wow❤ real leader, may God protect you, huyo aende kabisa na aadhibiwe kwa ubadhirifu wa mali ya uma
Nakubali sana wazir
Mungu akuzidishie na akulinde na hasad zawaja waziri wetu
Sawa kabisa Muheshimiwa kwa Mwenyez Mungu kila mtu Mungu atatuhoji na tena kama watumishi wa serikalini ndio nampa Majibu vzuri molaa ni jalamba la motoo
Safi sana tena sana...ila jitahidi kuchunguza hadi Kwa wakubwa wengine humo humo ndani Serikalini ....kwa huyo cha mtoto tu Kuna watu wanajua kupiga deal
Kasimmmmmmmmmm majaliwa ya mungu piga kazi nakuombea kwa mungu Uwe rais wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu akulinde mkuu
Kwani tukikuhitaji ugombeee urais utakataa mheshimiwa kubali sisi tutajitoa kwaajili yako
Baba Mungu akuweke sana kwa haya unayo yasimamia aendelee kukutia nguvu.
Mzee majaliwa piga kazi nakukubali sana
Good work Waziri mkuu
Waziry👏👏👏allah akulide tanzania yetu irudi kwenye imaya Ya makufuli 🤲
Am so happy with this friend of mine Endelea kushikamana na mama mwijenge nchi
Atajengaje wakati mama amewarudisha wezi katika hii inchi mpaka mabehewa tumepigwa wameokota huko wamepiga rangi alafu wanatuambia sisi wananchi eti wamenunua tirioni+
@@jessegodson8575 Kaka tuchati
Acheni siasa kwani kahama mwemyewe au kahamishwa? Na jee mtu ana kesi nyingi vipi anahamishwa na kupewa kazi
Waziri mkuu big up
Amina 🙏🏿. Asipoingiliwa huyu mwamba kwenye majukumu yake taifa letu litakuwa salama.
Mungu akulinde zaidi na uzidi kubarikiwa
Safi sana wazili tunakupenda tunakuombea
Baba songa mbele, tunakuombea ulinzi wa mwenyezi Mungu
Allah akunusuru na mabaya ya waja - Waziri mkuu
Nmekuelewa Mheshimiwa majaliwa 👍👍🙏
W.M..UKIFIKA LINDI KUNYWA JUICI YA MABIBO MI NITALIPA👍
Mzee hongera saana mzee yani mimi ni mzalendo mwenzako ila tu cjulikani kwani watu kama hawa aiseeeee! Basi tu mzee me ckufahamu hunifahamu lkn tuko per1
Muheshimiwa unatenda haki,mungu akubariki kila hatua ,,,badae ujage kuwa Rais tu kwa namna yoyote ile..appriciate it.
Ili auwawe pia 🤔🤔🤔
Majaliwa na jpm hawa watu jambo moja akili moja na msimamo mmoja . piga kazi waziri nakukubali sana
Asante Sana waziri mkuu mama hajakosea kukuamin
endelea kuchapa kazi kwa maslah ya nch na mungu atakubariki mweshimiwa tunaona utendaji wako.mungu akufanyie wepesi uje uwe raisi wetu wabaadae
I like this Man tumpe rais huyu waziri mkuu
Mungu akubariki waziri mkuu nyie ndio mna uwezo wa kuwawajibisha wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma
Nakupenda Baba
Namkubali sana WAZIRI MKUU allah akubaariki sana
Muheshimiwa watu kama hao hayati Nilimsikia utuba yake mtu akialibu mkoa mmoja sio kumuamishia mwingine sio dawa ivi hulivyofanya ndio dawa mzuri bravo majariwa🙏🙏🙏
Kabisa
Well done Mr,Prime Minister!Hivi ndio tunataka kila Kiongozi aweze kufuatilia kazi zake kwa makini hakuna kuoneana haya au muhali ktk kazi na uzembe km huo,huyo ni mwizi tena mwizi mzoefu anayestahiki kuwa jela,chapa kazi Waziri Mkuu uwe mfano kwa hao mawaziri na waajiriwa waliozoea kufanya kazi kwa mazoea
Afukuzwe kabisa watu wapo mitaani hAwana kazi wanahangaika tu
Fanya kazi mkuu waziri
Good
Safi Sana Waziri Mkuu
Aisee naomba kazi TAKUKURU
Tatizo la serekali yetu viongozi kama hawa wabadhilifu wa umma wakishawajua hawawafukuzi kazi moja kwa moja na kuwataifisha kisheria Bali wanawapa kazi sehem nyengine na ndio maana kila wanapokwenda wanaiba ifike pahala watu wanaoiba fedha za umma wasipewe kazi sehem nyengine mana tabia ikishaingia kwenye damu ni mtihani
Nikiwa Nairobi Kenya nawapata live
Ukiwa unapita dodoma mheshimiwa nijulishe nikuchomee kuku pale chako ni chako ili usipate njaa ukiwa kwenye utendaji wako barikiwa sana mzee majariwa
Npo area a,kaniagiza kesho nije kula kwa niaba yake
@@giftmusa6543 ucjari kaka nikumbushe kabla mpira hauja anza😁😁😁
Mweshimiwa we washa moto tena ikiwezekana chukua form 2025 naomba mungu akupe kibali hicho uchukue hii nchi😁😁😁😃😃😃
unaishi maisha ya haki!
Piga kazi Mkuu
Ewe mwenyenz mungu mlinde uyu baba
Dah! Najisikia aman Sana napo sikia saut Yako bigap sanaaaaaa!
Safi waziri wetu mchapakazi
umefanya ni mkumbuke JPM maana alikua ndio kazi yake hiyoo halei ujingaa 🔥
apewe kilondo mwizi mkubwa hongera waziri mkuu
Sasa jamani mtu anamabovu kibao anahamishiwa sehemu nyingine tena🤔🤔🤔🤔
🙏
WAZIRI WA MAJI !!!!
KUNA MIKOA INALIA
DAY AND NIGHT ..
HAINA MAJI..ITS A
VERY SAD NEWS....
YET UNALETEWA BILI
KUBWA.
..HOW.????
Tatizo Sasa kwa nchi yetu hao hao Takukuru bado tu Kuna shida
Yaan hao ndo saivi wametengenezewa ulaji zaidi
Acha aisee
Baba nakuelewa,wewe ni baba kweli kweli ,heshima yako inapanda zaidi,
Nimependa kaza kiongozi
"Kama ulivyokuwa unafanya Igunga..." Kwahiyo mlikuwa mnajua huyu mtu anafanya makosa huko Igunga ila badala ya kufukuzwa akahamishwa. Leo mnashangaa 😳
Si ndio hapo: kisa kasoma na waziri🤔🤔 jamani:
Kwakweli mkuu msaidieni mama!!! Tupo nyuma yenu!!
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....bdo vijana wako wachache uliowa wacha ni waadilifu na wazalendo kwel kweli....Kasim Majaliwa. Humphrey pole pole. Dct Phil Mpango
Wanafaa kabisa kuwa warithi.
Baada ya hapo??????
Mungu amuweke huyuu kiongozi muadilifu mpenda haki
Vizuri kiongizi wetu
Value for money
Mh waziri mkuu tunaomba serikali iwe inawafukuza kazi wale wote wanaowahamisha watu wanaofanya madudu katika nafasi zao.
Hii itasaidia mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma waogope kubebana kwa njia ya kuhamishana.
Kabisa watu kama Hawa kufukuza cyo waminifu kunawatu wanatafuta Kaz Kwa jasho
Mwenyezi Mungu akulinde waziri mkuu,ni jukumu zito sana hili
Ana pepo la wizi tumuombee
SAMIA HANA SIFA YA KUONGOZA TANZANIA. Rais asiyejali nyumba yake kazi kutembelea nyumba za wenzake kwake panaharibika. Wakati wa kufanya mageuzi ni sasa.
Anza wew na MAMA Yako.
Nipe kitendo mkuu 'nikusadie kutumbua majizi 'hata yale makubwa nikonayo kiganjani
Prime minister inaction in deed good job.
Hongera Sana mh Waziri mkuu ila hapo sijaielewa hivi mita Hadi zinaingia nchini au kurtoka kiwandani Hadi kuuza tbs hawadhibitishi? Halafu tena mkinunua mdhibitishe halafu muwalipe tena tbs mmmh matumizi mabaya ya fedha ya serikali
Nashukuru kwa kufuatilia na kufanya kazi kwelikweli Muheshimiwa waziri Mkuu, swali mtambuka ni hili; nani anahamisha watumishi na yeye anawajibika vipi hapo!
Ni ukwel usiopingika majaliwa nikiongozi kuliko mfano ongera sana. Kwa kweli msaidie mama usiongope chochote mungu atakulipa
Unapambana waziri upokazin kweli
Next president 2025 KM💞
Hamna kitu hapa
Unatupigia kelele iwe nini
Yote ni kutaka sifa
Kufukuzwa Kaz haitosh. Mwiz anatakiw awekwe ndan arudishe Kodi zetu atoke zake aendelee ki hustle
Jamani wananchi wenzangu huyu ndo raisi tunaomba tumuombee jaman ndo mwenye uchungu na nchi
Mmmhhh 🙄
ndio mana hayati magu alitaka mtu akiharibu afukuzwe tu.sio.kuhamishiwa kwwngine
Usitukumbushe habari ya yule muaji
@@robertphilip385 kamuua mamako
@@prosperitymaarifa3324 weni g'ombetu hujui kitu
@@robertphilip385 hahahaha duh. ni binadamu.ana Mazuri na mabaya
@@yahyahamad1802 Walihamishwa kwingine. Mfumo wa serikali ulivyo sio rahisi rais aone kila mahali. Japo kuna mawaziri na watendaji wake wa karibu waliharibu mahali kadhaa na aliwapeleka kwengine.
Sukuma ndani
Majaliwa mungu akulinde baba,mtu akifanya madudu sehem na ikithibitika asihamishiwe pengine afukuzwe tu
Kwakweli mh fuatilia miradi yote tanzania nzima mikia yote kazi yako ni ngumu lakini inshaallah allah anakusimamie utekeze wajibu wako shukra allah kwakutuletea kiongozi muadilifu allah akuepushe na shari zao hao wahalifu na akuepushe na mabaya yote huo uongozi mh ni mas uli mbele ya allah lazima watu wafuatiliwe hao inshaallah
Tukuombee upokwenye midomo yasimba
Wanaudhi sana hawa kuna watu wanalala na njaa nyinyi mnachezea hela kama zenu
Hao wote ni ndugu hauwezi wamaliza!
Mmmmh
Hongera sana waziri wetu nahisi kama magufuli yupo kwa utendaji wako mzuri
Mmmh Aiseee jamaa anafamiliya yake watu wanamtegemea daah
Kwaiyo mwizi na mbadhilifu kama uyu tumwache ? hawa ndio wanatuchelewesha piga chini na hela zetu arudishe
We ni mtu wa hovyo kwelikweli aisee
Yeye mwenyewe anatakiwa kufulumishwa hana integrity ya kumfukuza yoyote
Iko haja ya tamisemi kuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu
Kassimu wajina wangu piga kazi baba kwa halali usimuonee mtu
Huyu ndie. Wengine wamebakiza kupamba malkia na genge lake.
Jiziiii usiwachekee hao Kama mama
Bado upigaji ni mwingi kila kona ya nchi!!
Lini uliisha?
@@TamuzaKale kamwulize mkeo
@@personpeter2221 Ninamwuliza mtoa mada. Wewe kazungumze na mkeo ndugu yangu!
@@TamuzaKale kipindi Cha Nyerere na Magu wizi haukuepo unajifanya hujui?
@@TamuzaKale Sio swala la mtoa mada kuulizwa kweli hujui? au makusudi?