Nimejifunza vitu vingi sana sana Kwa huyu bro asante sana bro sky Kwa hii interview yakibabe sisi wengine tumeptia vituvingi mabiashara yanaanguka na unaenda kuweka pesa kwenye kirimo unapigwa na mafriko unarudi mtaan una kitu unaanza na Moja now Tupo Asia tuna savaiv Mungu nimwema mzee.. One love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️
Nmeangalia hii interview wallah ww kaka unajiamin sna kitu ambacho weng wanashindwa hongera sna Allah akunyanyue tna pole kwa changamoto za Dunia........
I dont know why i missed this interview..One of the best real life expirience..Mengi sana nimejifunza..Shoutout for SNS..Mnafanya kazi nzuri sana aseee..Be blessed all
My home boys nipo hapa South Africa nimeangalia hii video yani duh swai big up sana nipo kwenye changa moto nabiashara kama hii ya magari sema nimejisikia furaha sana kuona hii yani duh I'm so happy for this
THIS IS ONE OF THE BEST INTERVIEW FOR YOUNG BUSINESS MEN HAVE TO LEARN.....PONGEZI SANA SWAI, MUNGU AKUBARIKI SANA NA ENDELEA KUMWAMINI MUNGU WETU.... STICK TO YOUR PRINCIPLES
Much respect bro it's really a touching life story Zaidi nimefurahishwa na moyo wako wa kusamehe hasa huyo mlinzi kidogo chozi linitoke kwa jinsi ulivyomsamehe
Kitu kikubwa sana bro sky unafanya, pia swai ni mtu kazi kweli, kiukweli madeni yanaua jumla, SnS ni dude kubwa, nilichokipenda unaruhusu hata kutaja watu au company bila hiyana✅✅✅✅🤛🤛🤛 nimepata kitu kikubwa leo🙏🙏🙏🙏
Japo sijaishi sana kwenye hii dunia ila moja ya point kubwa alioongea brother hapa ni "KITU CHOCHOTE KINACHOKUPA MATOKEO HASI(NEGATIVITY) ACHANA NACHO KABISA HATA KAMA NI NGUMU VIPI PAMBANA KIACHE KWA AJILI YA FAIDA YA NAFSI YAKO.Katika kila kona ya maisha hii nadhani inaokoa sana amani ya moyo
kila mfanyabiashara anapaswa kuangalia hii interview. God bless you Sky. God bless you Swai. Swai you are a giant na huna kiburi. watu wengi hawako tayari kufichua walipofeli ili wengine wajifunze. kuna watu wajinga watakudharau kwa sababu ya kufunguka hivi. umesema siri zako kama sadaka. Mungu akubariki. kama wewe umeweza na mie naweza
Daaah Asante sana swai.! najiona ni mimi kabisaa, mapito uliyo yapitia hata mimi nimepitia yani nimeanza upya kabisa. Nilikuwa na Duka Kubwa zuri sana la nguo ila nimeanguka mno sasaiv nipo oman najikusanya upya. Kikubwa ni mwiko kukata tamaa🙏
Much respect my brother sky interview Fulani ivi ya kibabe inajenga na kuelimisha, by the way kipindi hiki tukiite HARAKATI ZANGU ambacho kitakua kinagusa wajasiriamali wote wakubwa na wadogo ili tuweze kujifunza kutoka kwao yaani movement zao mwanzo mwisho
Psychology na body language vinaweza kusema mtu akiwa anaongea ukweli na hata anapo danyanya. Nice interview, jamaa ni mpambanaji ila kuna namba ukifikisha huwezi ongea kama unaziota. Watu wenye pesa hawasemi , na wakisema unaweza usiwaelewe.
Mungu wangu ame ni jibu ku pitiya iyi interview na Furaha Ndio kila kitu ❤na nda pambana tu hadi mwisho,changamoto ni rafiki ya mafanyikio,big up kwa SKy na Asante sana kwako mupambanaji kwa ku ni tiya moyo na ku nipa nguvu
swai wewe nimfano wa vijana wengi sana namimi nimepitia mengi magumu nabado napitia magumu japo kilamtu hanapitia magumu kufatana na kitu unachotafutia riziki mungu hakulinde sana
Hii interview imenigusa Sana nlidhan nipo pekeyangu biashara unatakiwa upambane Sana na ukubali changamoto na majina mengi utaitwa ila muhimu kumuomba mungu tu uchawi hauwezi kushinda nguvu ya mungu.. Muhimu kuomba kupata wateja sahihi bas maana wengine huwa Sio wateja.. Wanakuja kwa lengo la kukutia katika matatizo..
Alichokisema swai nikweli hauzagi gar za kishamba na za hovyo, nilikuwa namkubali sana kipind anaanza hiyo biashara ila ilibid nimkimbia kwa hasira maana nilikuwa kwenye kujtafuta alafu mm nilikuwa nahitaji tugar twa 4+, ila kiukweli ndo mana nmefatilia mahojiano yote sababu nikir swai nimemfaham ameanzia chini sana....tumejifunza meeeng sana kupitia hili sana sana hongera kwake, ELIMU ALIYOTOA NI YAKULIPIA ILA TUMEIPATA BURE. NA KUNA KIPANDE AMEONGEA NAKICHUKUA NAKIPOST STATUS NIKIKUBWA SANA NA NNAJUA WATU WANGU WATAKISAMBAZA SANA, KIPO DAKIKA YA 38, kuhusu wanaokupga vita,
kuhudumia mgodi si mchezo mume wangu aliingizwa kingi kuhudumia mgodi akajikuta afika milioni 200 na bado hajapata kitu nikamwambia mzee achana nahii mambo bahati nzuri akanisikiliza 😢😢🥲
Mwamba umetisha sana hizi ndio interview ambazo tunazihitaji zina chunvi na sukari si wapuuzi wengine wanatudanganyadanganya hapa Big up kwako Mungu akusimamie nimejifunza vingi sana
Chunya sio simple kama wengi wanavyodhani Walapesa yake si nyepesi kama mnavosimuliana UKWELI ni chunya pesa mingi watu wako nazo si zakawaida ukijidanganya we umejichanga vpesa zako miaka kadhaaa udanganywe ukaanze biashara ya madini chunya umekwisha Kwa nza utapokelewa na matapeli pili hakuna la maaana utafanya CHUNYA IS MY HOME KIBAONI
Hii interview imenipa Mtazamo tofaut sana kuhusu maisha. Kuvumilia, kufanya utafiti kabla sijafanya maamuzi, kusamehe na kutoamini mtu kirahisi
Hii interview ingeweza kuoneshwa na kuuzwa kws big media ili watu wajifunze katisha sana. Big up Swai🔥🔥🔥
Nimejifunza vitu vingi sana sana Kwa huyu bro asante sana bro sky Kwa hii interview yakibabe sisi wengine tumeptia vituvingi mabiashara yanaanguka na unaenda kuweka pesa kwenye kirimo unapigwa na mafriko unarudi mtaan una kitu unaanza na Moja now Tupo Asia tuna savaiv Mungu nimwema mzee..
One love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️
😳 Iraq mzee umeweza
@@hajjiomary2383 mbona kawaida tu wa Africa tupo wengi
Kuna Moshe gani uko tuje
@@hajjiomary2383 🤣🤣🤣 daaaaaaaaaaahhhh nakweli Mzee umeweza Baghdad Iraq wewe ni hatariii
@@issansengiyumva5888 Iraq mbona fresh tu tatizo watu waoga
For the first time In life I just watched a whole hour interview session🔥🙌 Big up SNS
Best interview ever jamaa is very smart Mungu atamfanyia wepesi.
One of the best real Interview i have seen. Naona kwa sasa amesharudi kwenye ramani 2025. Hongereni SNS kwa interview kama hizi.
Interview kama Hizi ndio zinazotakiwa kwa Sisi Vijana watafutaji Big Up Swai utafika mbali sana kwa Ujasiri ulionao
Sio zile za kina dada ambao hawana maadili hata makaka nao wapo wanahojiwa adabu hawana.
Nmeangalia hii interview wallah ww kaka unajiamin sna kitu ambacho weng wanashindwa hongera sna Allah akunyanyue tna pole kwa changamoto za Dunia........
Mafunzo ni mengi Sana kwenye hii interview Sky. Social media is very powerful in business, Kukata tamaa ni mwiko katika maisha
Dah Mwenyezi Mungu azidi kukupigania na usiamuache Mungu utamiliki zaidi na zaidi
Uko sahihi Mr Swai; SNS is gonna be the future of the modern media in Tanzania 🇹🇿.
Yaani naipenda style yao; just the best.
I dont know why i missed this interview..One of the best real life expirience..Mengi sana nimejifunza..Shoutout for SNS..Mnafanya kazi nzuri sana aseee..Be blessed all
My home boys nipo hapa South Africa nimeangalia hii video yani duh swai big up sana nipo kwenye changa moto nabiashara kama hii ya magari sema nimejisikia furaha sana kuona hii yani duh I'm so happy for this
Achilia mbali huu mkasa, Huyu jamaa ni story teller mzuri sana
Mi nimemuelewa lakin.
For real..is a storyteller
Anachekesha pia
Mungu amfanyie wepesi bro, kayapitia makubwa mno. Utasimama tena. Jina la kipindi- GREAT COME BACK.
Kakangu Swai wewe ni fighter sana..hongera na pole na changamoto za biashara...kabla hujanunua na kuuza anza na Mungu
Mungu pia kuna mda anakupa mtihan kukupima iman yako km ni wengne angeshajiua.
Bro amefungua siri nyingi sana kwenye biashara mwenye kusikia na asikia! Be blessed bro🙏🏿
Bro Fred maji au juice would be great 😃 watu wanakaukiwa sauti
This is great approach,nadhani wadau wataiona nakuifanyia kazi ndomana tunaonaga maki katika mikutano au semina kumbee
Kazi nzuri mno.
Big up sana crew ya sns na Mr. Swai
Life is all about learning. Tuendelee kujifunza
Asante kwa hii interview imenitia moyo sana namshukuru Mungu nimeanza kuwalipa wateja wangu.
Ndio raha ya kufanya biashara huku kichwani uko vizuri, huyu ni Mchumi, big up sana for sharing your ups and downs, a lot of lessons 👏🏽 👏🏽 👏🏽
Best best ever interview ,Big lesson.
Swai, you are a man and a half. Roho nzuri nayo inakufanya ubarikiwe zaidi
Best interview ever, sky mtafute na yule mr kuku kama atakua mkweli ana kupanda na kushuka sana yule jamaa
Yaani umenikumbusha kitu,niliporudisha furaha yangu nimeanza kuamka tena kidogokidogo,hongera Kaka umenigusa sana
Nimejifunza mengi sana Asante sana brother
Hongera Bro Sky
Kazi nzuri sana bro
Unatufungulia Dunia, infos za tech kama crypto, habari, interview za kutu-energize
You are really special
THIS IS ONE OF THE BEST INTERVIEW FOR YOUNG BUSINESS MEN HAVE TO LEARN.....PONGEZI SANA SWAI, MUNGU AKUBARIKI SANA NA ENDELEA KUMWAMINI MUNGU WETU.... STICK TO YOUR PRINCIPLES
Pl
Walah namkubali sana magari mtaani kwa mara ya kwanza nimeangalia interview nzima amenobadilisha mindset kaongea facts sana
Much respect bro it's really a touching life story
Zaidi nimefurahishwa na moyo wako wa kusamehe hasa huyo mlinzi kidogo chozi linitoke kwa jinsi ulivyomsamehe
Interview ipo very educative…. Muhoji na Mr Kuku tafadhali
Kitu kikubwa sana bro sky unafanya, pia swai ni mtu kazi kweli, kiukweli madeni yanaua jumla, SnS ni dude kubwa, nilichokipenda unaruhusu hata kutaja watu au company bila hiyana✅✅✅✅🤛🤛🤛 nimepata kitu kikubwa leo🙏🙏🙏🙏
Japo sijaishi sana kwenye hii dunia ila moja ya point kubwa alioongea brother hapa ni "KITU CHOCHOTE KINACHOKUPA MATOKEO HASI(NEGATIVITY) ACHANA NACHO KABISA HATA KAMA NI NGUMU VIPI PAMBANA KIACHE KWA AJILI YA FAIDA YA NAFSI YAKO.Katika kila kona ya maisha hii nadhani inaokoa sana amani ya moyo
SNS Huwa mnanikosha sana, keep it up the good content
kila mfanyabiashara anapaswa kuangalia hii interview. God bless you Sky. God bless you Swai. Swai you are a giant na huna kiburi. watu wengi hawako tayari kufichua walipofeli ili wengine wajifunze. kuna watu wajinga watakudharau kwa sababu ya kufunguka hivi. umesema siri zako kama sadaka. Mungu akubariki. kama wewe umeweza na mie naweza
Daaah Asante sana swai.! najiona ni mimi kabisaa, mapito uliyo yapitia hata mimi nimepitia yani nimeanza upya kabisa. Nilikuwa na Duka Kubwa zuri sana la nguo ila nimeanguka mno sasaiv nipo oman najikusanya upya. Kikubwa ni mwiko kukata tamaa🙏
Kijana muwazi na mkweli..,hawa ndio wanaume sasa. Sky is not the limit young man.
Safi sana,nimependa zaidi alipoona waganga na washilikina wasingemtoa kwenye changamoto zake za kibiashara safi sana.
Well said Young Guy. Ukiwa nacho na Kusaidia Wengine wenye Uhitaji inampendeza Mungu. Stay Blessed.
Mfano mzuri sana brother, we shoul stand up and accept the chellenges
I got some points.jamaa ameongea vzurii Sanaa💪🏿💪🏿
Kusamehe kwako kaka ALLAH atakuinua zaidi ya ulivyokuwa una roho nzuri bro
The best interview ever Asante sana Sky
BIASHARA zote ni nzuri na zinalipa ukiwa unasimuliwa
Kabisa
Ukweli usio pingika
Kweli
😂😂😂
Watu tunalia kweli umenena vyema
Swai nimesikiliza story yako mwanangu, nakupongeza kwa kumsamehe huyo mzee mlinzi na kijana, Mungu anasema samehe na wewe umesamehe.Mungu akuinue.
Uyu blazaa apewe maisha marefu🙏💯💯💯
Much respect my brother sky interview Fulani ivi ya kibabe inajenga na kuelimisha, by the way kipindi hiki tukiite HARAKATI ZANGU ambacho kitakua kinagusa wajasiriamali wote wakubwa na wadogo ili tuweze kujifunza kutoka kwao yaani movement zao mwanzo mwisho
Kweli inanipa ujasiri kutokukata tamaa , shukran brother kwa lesson nzuri yako yamaisha
I can see the next Tanzanian billionaire.. big up bro.. ntakuja kununua gari kwako
Interview nzuri sana Allah atakuraisishia usijali Bro
You have such a good heart bro 💜 even the way you talk
Psychology na body language vinaweza kusema mtu akiwa anaongea ukweli na hata anapo danyanya. Nice interview, jamaa ni mpambanaji ila kuna namba ukifikisha huwezi ongea kama unaziota. Watu wenye pesa hawasemi , na wakisema unaweza usiwaelewe.
Smart
Point yako kwamb jamaa muongo
Endelea kumtegemea Mwenyezi Mungu, Utasimama tena.
Daa umebomoa palepale iliwahi kunitokea mimi iyo mtu asiombe ni kitu mbaya sana.
Pole sana ndugu.
Nimejifunza kitu kikubwa sana,ubarikiwe sana. Asanteni sana SnS
Safi sana. You have a right attitude towards life and business. Posperity is yours. Thanks alot. You have inspred me. Am not gona give up too.
Big up sana Swai.Hongera kwa kupambana na mapito.Aisee umenielemisha sana
Namshukuru Mungu yaan Nina kiubahir fulan,yaan mm tu kiwepes nikutumie ela yangu kirahs nikupe ela tufanye biashara
Mimi nilikimbiya pressure za deni moja tu nikaja south Africa nikafanikiwa kulipa big up sana kwa mama yangu kwa kunitia moyo
Mimi mpaka Leo napambana 😪😪😪
Dah madeni yasikie tu kwa watu 🥹
Stori nzuri sana inafanana Na mapito yangu kabisaaaa. MUNGU mwema sana tusikate tamaaa nimejifunza kitu kikubwa
Kweli ndugu yangu
Mungu wangu ame ni jibu ku pitiya iyi interview na Furaha Ndio kila kitu ❤na nda pambana tu hadi mwisho,changamoto ni rafiki ya mafanyikio,big up kwa SKy na Asante sana kwako mupambanaji kwa ku ni tiya moyo na ku nipa nguvu
👍
Dah jamaa inaonekana anaroho nzuri sana, ila kapambana sana toka student to 2bil inazunguka 🙌🏾
Nimeelewa sana ,umenifundisha jambo
One of the best interview 🙌
Big up sana Swai very inspiring
Hizi stor nzuri zinatufunza maisha safi sana kaka nimejifunza kitu
Very educative interview. Always, turn a challenge into an opportunity.
pole sana broo maisha ya utaftaji yanachangamoto pole sana mm mwenyewe nimepitia ayo🙏🙏
Good heart,keep on going swai
Jamaa nimemkubali yupo vzr
My best interview in this channel 🙏
Asante Sana Kaka swai Mungu azidi kukupigania.
Thank you SnS❤ Shukran sana kaka @SWAI umeibua faraja kwa wengi kupitia hii interview..
Mungu akubariki kaka, you have a good heart ❤️
swai wewe nimfano wa vijana wengi sana namimi nimepitia mengi magumu nabado napitia magumu japo kilamtu hanapitia magumu kufatana na kitu unachotafutia riziki mungu hakulinde sana
Keep going thank you I'm also there but God is good naomba muite SkyWith buSnessTYcoon
Mmetisha sana sana wakuu!! Sky na Jose mmeua, hii interview ni kiboko sana.. nitaisikiliza wiki nzima. Part 1 nimeisikiliza mara 5 hadi sasa
This is true life story
Big up for this interview
Interview bora ya mwaka
You have a big heart bro, congratulations
Hii interview imenigusa Sana nlidhan nipo pekeyangu biashara unatakiwa upambane Sana na ukubali changamoto na majina mengi utaitwa ila muhimu kumuomba mungu tu uchawi hauwezi kushinda nguvu ya mungu.. Muhimu kuomba kupata wateja sahihi bas maana wengine huwa Sio wateja.. Wanakuja kwa lengo la kukutia katika matatizo..
Bro nimekukubali sana, una moyo mzuri.
Alichokisema swai nikweli hauzagi gar za kishamba na za hovyo, nilikuwa namkubali sana kipind anaanza hiyo biashara ila ilibid nimkimbia kwa hasira maana nilikuwa kwenye kujtafuta alafu mm nilikuwa nahitaji tugar twa 4+, ila kiukweli ndo mana nmefatilia mahojiano yote sababu nikir swai nimemfaham ameanzia chini sana....tumejifunza meeeng sana kupitia hili sana sana hongera kwake, ELIMU ALIYOTOA NI YAKULIPIA ILA TUMEIPATA BURE. NA KUNA KIPANDE AMEONGEA NAKICHUKUA NAKIPOST STATUS NIKIKUBWA SANA NA NNAJUA WATU WANGU WATAKISAMBAZA SANA, KIPO DAKIKA YA 38, kuhusu wanaokupga vita,
Brotha uko vzur sana .... Stori nzur sana very inspiring
Best interview inafundisha sana
kuhudumia mgodi si mchezo mume wangu aliingizwa kingi kuhudumia mgodi akajikuta afika milioni 200 na bado hajapata kitu nikamwambia mzee achana nahii mambo bahati nzuri akanisikiliza 😢😢🥲
Mwamba umetisha sana hizi ndio interview ambazo tunazihitaji zina chunvi na sukari si wapuuzi wengine wanatudanganyadanganya hapa Big up kwako Mungu akusimamie nimejifunza vingi sana
Kuna kitu kikubwa Sana cha kujifunza hapa.big up Sana bro.
Namkubali sana mwamba MAGARI mtaani anajua sana
This is a very strong guy,big up bru!
Aisee ,,, speechless ,,Safi sana kaka
Shukrani sana kwa kipindi
God bless you kakaa
Kupitia interview hii nmejifunza kituu
Pole. Na hongera sana.
Wooow..i love the Interview
Pole Sana Kaka binadam hatujui kuna kuanguka nimejifunza kitu kikubwa Sana kutoka kwako
Chunya sio simple kama wengi wanavyodhani Walapesa yake si nyepesi kama mnavosimuliana UKWELI ni chunya pesa mingi watu wako nazo si zakawaida ukijidanganya we umejichanga vpesa zako miaka kadhaaa udanganywe ukaanze biashara ya madini chunya umekwisha Kwa nza utapokelewa na matapeli pili hakuna la maaana utafanya
CHUNYA IS MY HOME
KIBAONI
nimejifunza sana aisee ...hili ni somo kubwa
Umetema sana madini Swai,...aseee Elimu hii ni kubwa...
Nimeangalia mwanzo mwisho daaah inasikitisha pia inafraish daaah pole sn broo