DKT. MPANGO KUZINDUA MPANGO WA MAKAZI KWA WATUMISHI WA UMMA DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia taasisi yake ya Watumishi Housing Investments (WHI) imeandaa hafla muhimu ya Uzinduzi wa Mpango wa Makazi kwa Watumishi wa Umma utakaozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango Disemba 11, 2024 katika eneo la Mradi wa Nyumba Njedengwa, jijini Dodoma.
    Hayo yamebainishwa Disemba 04, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule wakati akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa ofisi yake iliyopo kwenye jengo la Mkapa Jijini Dodoma.

ความคิดเห็น •