SIMULIZI MPYA: KARMA, By Ankojay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Kwa majina naitwa Blanka Meena, nimelelewa nikiwa na baba na mama nyumbani kwetu moshi.

ความคิดเห็น • 220

  • @ankojay_
    @ankojay_  ปีที่แล้ว +33

    Kupata part 02 kwa haraka wasiliana nami Ankojay kwa namba hii +255684-689-541

    • @zainbzainb9283
      @zainbzainb9283 ปีที่แล้ว +1

      Una pesa mbona una sema tuwasiliane na wew😂😂😂

    • @polinlizzlizz
      @polinlizzlizz ปีที่แล้ว +3

      ANKO mapesa fanya kazi

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      @@zainbzainb9283 😂😂😂

    • @zainbzainb9283
      @zainbzainb9283 ปีที่แล้ว +1

      @@ankojay_ nambie

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      @@Alice-tk8vt Elfu 5 tu... Kisha nakupa na part 3

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 7 หลายเดือนก่อน +10

    Anko jey natamani siku nikirudi Tanzania nije nikutembele nataka nikuwone ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @rukiawaziri4871
    @rukiawaziri4871 7 หลายเดือนก่อน +7

    Mtoto ni mtoto awe wa kwako ama sio wa kwako hustahil kumfanyia unyama kama aliofanyiwa Blanka❤❤❤
    Watu wanatakiwa wawe makin na waume zao kwaajil ya watoto wao wa kike na wa kiume
    Nice story Lissa Mwala with a good voice of Ankojay you may feel like life is simple ❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 ปีที่แล้ว +11

    Usisau bwana Alex na madam babi love wache maneno makali wapunguze wivu wewe ni mume wetu jabali wetu daima sawa kipenzi anko Jay mapesa mungu akubariki zaidi na zaidi ufanikiwe popote uwendapo na lolote ufanyanyo lizidi kubarikiwa maishani mwakwo twakupenda bure tu mpendwa wetu ❤❤❤ too much anko mapesa

  • @DalinaSamweli-ji3fc
    @DalinaSamweli-ji3fc ปีที่แล้ว +4

    Jaman nachelewa sikuhizi twendelee napnd kaz zko anko jay by d

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว +3

    shukrani anko jay kwa elimu unayo tupa kila leo ukishirikiana na kipenzi lissa mwala

  • @bahatimwachepha9902
    @bahatimwachepha9902 ปีที่แล้ว +3

    Laa usiwatete waume wenzio ank jey ,,,hakika waume hawana shukran

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anko jey wewe tu tunakupenda sana ❤️ ❤️❤️ kwasababu unatufariji sana 🎉🎉🎉

  • @roselinegendo7664
    @roselinegendo7664 ปีที่แล้ว +4

    No matter what anko J story zako kalii San😌🥰..alooh Mungu saidia nikuone live usimulie kidogo😂😂

  • @risperwangari4879
    @risperwangari4879 ปีที่แล้ว +3

    Waah mubaba hiyo Hana adabu, ahsante 🙏 ankojay 🥰

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +14

    Mhm jamani huyu baba badala ya kumlinda mtoto wake yeye anageuka simba wakurarua na kuua😭😭😭😭

  • @puritylobun5313
    @puritylobun5313 ปีที่แล้ว +2

    Aaa kumbe lissa asha achia mzigo!, Wow 😲

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 ปีที่แล้ว +3

    To be continued Ankoay simulizi ❤👏👌

  • @user-vg5sf7kh2s
    @user-vg5sf7kh2s ปีที่แล้ว +3

    Wanaume ovyo sana mbaka watoto wao

  • @imanwalid6549
    @imanwalid6549 ปีที่แล้ว +3

    Am waiting anko jey

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 9 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuh 😢😢huyu baba 🙌

  • @tatukigua5456
    @tatukigua5456 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤Ankojay asante Lisa mwalla love 😍

  • @user-pr1uy3sh3o
    @user-pr1uy3sh3o ปีที่แล้ว +2

    Jamani baba,, gani 😢😢 Ibilisi mchafu alaaniwe kabisaa mpaka kifo chake

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +3

    Jamani naisubili hapa saa nne sio mbali nishandaa 🍿🍿🍿za kutosha ankojay tupo teyari hapa 🥰🤣

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 ปีที่แล้ว +2

    Kwenye kuimba ankojay 😁😁😁😁😁😁😁sina mbavu

  • @Grace-xh6zq
    @Grace-xh6zq ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤ npo ndan nasbri ntafurahia najua nirahatu anko unajua nngekua napesa nngekupa gari kbs yn

  • @saidyaman8158
    @saidyaman8158 ปีที่แล้ว +4

    wakina mam ulinz kwa watot man hayo mamb cyo magen kabisa kweny jamii watot weng wanafanyiw vitend viovu na baba zao

  • @brigdk
    @brigdk ปีที่แล้ว +3

    Nko ndani ndani nasubiri kwa hamu ❤❤❤❤

  • @dormshana3173
    @dormshana3173 ปีที่แล้ว +1

    Jmni stry zur ach niendlee kuskiliz ❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana kazi zenu anko Jay pamoja na Lisa mwana congratulations 👏 all, tatizo nko mbali na nchi yangu kutuma pesa ni shida huwa yakatwa pesa nyingi wewe wataka 5 dollar na huku niliko huwa wanakata shillingi 7dolo ni sawa na kunitwangisha maji kwenye kinu

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Kuna njia nzuri.. naweza kukusaidia..fanya tuwasiliane +255684689541

  • @user-tv9zv6eo4e
    @user-tv9zv6eo4e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Anko j dah unakipaji sana sana yani sana unajua kubadili sauti we kaka uwiiii nikuone basi nikirudi jamanii🤣

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 ปีที่แล้ว +3

    Tupo pamoja na anko jay mapesa 🥰🥰🥰

  • @kevenkeven7381
    @kevenkeven7381 ปีที่แล้ว +1

    Simulizi nzulisan 😘 anko jay❤❤

  • @wakiomimi7853
    @wakiomimi7853 ปีที่แล้ว +2

    Hii simulizi jemeni ilifanya niote jana hati Ankojay amekuja mtaa wetu kusimulia simulizi 😅😅😅😅😅😅 jemeni ankojay 😘😘😘😘😘

  • @mkasiseif4587
    @mkasiseif4587 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awalaani wazee kama hawa😥😥

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 ปีที่แล้ว +1

    Asante anko jay na lisa mwala kwa kazi nzuri

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nilipoumizwa zaid ni pale hilo libaba lilipombaka kwa mara ya kwanza na kuendelea had akapata magonjwa niliumizwa sana

  • @fjggoxfh9502
    @fjggoxfh9502 ปีที่แล้ว +4

    😢😢😢😢😢uyu baba huuuuuu .mola amusameee

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂anko jay kwa kujitetea

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 ปีที่แล้ว +3

    Simulizi tamu sana ila Anko jey unajtetea😂😂😂😂❤❤

  • @jenniferlicko4736
    @jenniferlicko4736 ปีที่แล้ว +7

    Hello everyone my Anko Jays family how are youn 💗💗💗🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺💞💞💞🥰🥰🥰💗💗💗 let's go to start to ::::::::::::::::🥂

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 ปีที่แล้ว +3

    Hapo kwa bichwa kubwa ndio nacheka mpaka 😂😂😂

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 ปีที่แล้ว +2

    Fantastic ❤❤❤❤

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 ปีที่แล้ว +3

    40 minutes to go Anko jay wewee mm pia nakuita mara tatu jey jey jey haya lete kibao

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว +3

    I can't wait this ❤❤❤

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭 wababaz wa aina hii kama wako they should not be in society so sad,, alf mm nashangaa babangu anibake then niendelee kunyamaza aaaah wee nijikute yaani baada ya kumaliza kunibaka naishia kituoni

  • @zaynabumfamao6792
    @zaynabumfamao6792 ปีที่แล้ว +3

    so sady 😭😭 baba kambaka mwanae uwiiiiii

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 ปีที่แล้ว +2

    Duh aiseeee eee

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana manka

  • @fatumamuhoma5902
    @fatumamuhoma5902 ปีที่แล้ว +3

    ❤❤❤❤❤ sins jenginelakusema

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Ankojay

  • @HappyMshanga-xx1ob
    @HappyMshanga-xx1ob ปีที่แล้ว +3

    Ndio ndio wa 100😂😂❤

  • @mwananassor8602
    @mwananassor8602 ปีที่แล้ว +2

    Waoo tayari

  • @EmilyBulimo-bw6ee
    @EmilyBulimo-bw6ee 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi Niko Kenya napenda Sana simulizi zako zinanipunga Sana mwenyezi mungu atuwezeshe usonge mbele

  • @MourineJebetkibor-vk9ti
    @MourineJebetkibor-vk9ti ปีที่แล้ว +2

    Hii ni funzo kwa wamama tuchunge watoto wetu wa kike sana kwanza hawa baba za kambo

  • @mayasamayasa1205
    @mayasamayasa1205 ปีที่แล้ว +2

    Asante anko jay

  • @ColethaMwenda-qd1ck
    @ColethaMwenda-qd1ck ปีที่แล้ว +9

    Nimekuwa wakwanza naomben like zangu

  • @ChristinesifaRuwa-ix9iy
    @ChristinesifaRuwa-ix9iy ปีที่แล้ว +3

    Hata kama hajakuzaa lkn hafai kufanya unyama kama huo

  • @issanuru9552
    @issanuru9552 ปีที่แล้ว +2

    I'm waiting❤❤❤❤

  • @maryworkman635
    @maryworkman635 ปีที่แล้ว +2

    Thank you Anko Jay ❤❤❤❤❤ 👏🏽👏🏽👏🏽

  • @noonnoon9476
    @noonnoon9476 ปีที่แล้ว +2

    Ankojay upewe mauwa Yako kwahuyo mwimbo wakaciri nimeceka

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana

  • @ShukuraniMapunda-lz3un
    @ShukuraniMapunda-lz3un ปีที่แล้ว +1

    P😢😢😢😢 jamani huyu mbaba duu kichomi

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh หลายเดือนก่อน +1

    Anko uyo mwalim mkuu kamwaga mboga mbele yatuca.

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +3

    Jamani!!!,miaka 11?

  • @user-np8ol7bd4r
    @user-np8ol7bd4r 9 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢😢huyo baba anapaswa kunyogwa huyo😢😢😢😢

  • @user-sb4fj9iq6f
    @user-sb4fj9iq6f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume ni wanyama😂😂😂😂😂

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 ปีที่แล้ว +2

    Aaaaaaaahhh..Anko kajisifia utadhani si mwanaume😅😅😅 ama yeye malaika???labda Anko ndio mkali kuliko wote💔💔💔

  • @user-sp9tq8mq6q
    @user-sp9tq8mq6q 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @maimyuss5863
    @maimyuss5863 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ankooooooh akakuzaba mdomo et 😂😂😂

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว +2

    Ila kwakweli mtoto asie zaliwa na mtu kweli haumi maana yake nikweli siku zote wanaume wengi huwa hawatoi misaada ya bure haswa kwa watoto wakufikia huwa nikama wana laana fulani inayo wasukuma kuwafanyia unyama pale maombi yao yanapo kataliwa

  • @Sabrina-oc5nc
    @Sabrina-oc5nc ปีที่แล้ว +3

    Nipo ndani na waiting card😊

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 ปีที่แล้ว +2

    Baba shetani huyu na wa mama tuwemakini na watt

  • @beatriceonsongo9915
    @beatriceonsongo9915 ปีที่แล้ว +2

    Amazing ❤❤

  • @janethdaud201
    @janethdaud201 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja🚶‍♀️

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli Kuna wanaume vichomi San hap dunian walikuja kuumiz watu

  • @reginarichard3349
    @reginarichard3349 4 หลายเดือนก่อน

    Inaumiza sanaa😭😭😭😭😭 shukrani ancle na Lissa❤❤🎉🎉

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว +2

    Asate sana ako j ila baba we ulaniwe

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว +2

    Mmh wa baba wengine wana roho mbaya kikwel

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 7 หลายเดือนก่อน +1

    Makubwa hayooo 😂😂😂

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 7 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wengi ni ooooovyooo wengine ni jinaa Tu,

  • @GodlygiveKazadi
    @GodlygiveKazadi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bb malaya 😢

  • @mercymusundi8779
    @mercymusundi8779 ปีที่แล้ว +2

    Anko unaniumiaza niko mbali na mume wangu jamani 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

    • @MsChocoFlava
      @MsChocoFlava ปีที่แล้ว +1

      Pole bora Hata wewe una mume wengine tuko
      Single 😂

    • @epmarkchami2536
      @epmarkchami2536 ปีที่แล้ว

      Hahahaha broo bn. Ww

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiiiii nyie watu jmn

  • @zainbzainb9283
    @zainbzainb9283 ปีที่แล้ว +2

    Hyu bint Hana ukimwi kwer😂😂😂

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄

    • @graceibada4907
      @graceibada4907 5 หลายเดือนก่อน

      unawaza kama mm😅

  • @user-sb4fj9iq6f
    @user-sb4fj9iq6f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu baba mungu hamrani

  • @salmahasani5169
    @salmahasani5169 ปีที่แล้ว +1

    Jmn tamuuuuu

  • @laizakisiaka2064
    @laizakisiaka2064 ปีที่แล้ว +2

    Roho inauma kabisa

  • @user-hf9cc6sw7c
    @user-hf9cc6sw7c 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 ปีที่แล้ว +1

    Mhm mkuu kaniacha hoi😂😂😂 shukran anko J❤

  • @AminaHusseni-yd7nm
    @AminaHusseni-yd7nm ปีที่แล้ว +1

    Anko jay mapesa

  • @violetmulya
    @violetmulya ปีที่แล้ว +2

    Love❤❤❤❤❤

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +1

    Sw Anko asante

  • @nackymrutu1869
    @nackymrutu1869 ปีที่แล้ว +1

    Siku zote huwa napenda sms Ila hii ,😭😭😭umri wa binti na anayoyafanya sio,wanaume,nawaita Mara 3😭😭😭😭

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 ปีที่แล้ว +1

    Mambo moto Lisa mwala

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 5 หลายเดือนก่อน

    Very stor so much ❤❤

  • @user-yk6dg4kl3s
    @user-yk6dg4kl3s 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nipen like bc

  • @user-xv6xe3vv9n
    @user-xv6xe3vv9n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda Ako jay

  • @catherinekadima
    @catherinekadima 10 หลายเดือนก่อน

    Hii nayo hapana its so painfull

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 ปีที่แล้ว +5

    Hili lizee lijinga sana yaani anambaka mtoto wake kweli 😭😭

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว +3

    Kunawatu wanaroho mbaya kaaa mtoto wa 11 years unambaka😢😢

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤❤😊

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @OliviaWtiness
    @OliviaWtiness 4 หลายเดือนก่อน

    Anko j kwa kujisifia una atal😅😅😅😅

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +1

    Darasa la leo ni komakoma

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 ปีที่แล้ว

    ❤❤ thanks 👍