Maulidi kafa kaoza anasubiriatu kuzikwa😂 ila Trisha usije ukamtenda kijana wa watu, Nahisi huyu mwaipopo anamtaka Trisha si kwa kumpenda huko, waiting for part 2
Yani unaolewaa kwa mpango maalumu ndoa yakanisani lkn kumbe ulifuata pesa.halafu huyu mzee mwaipopo amemanisha nn eti huyu nimali yangu ama anatoka na mwanae kuna kazi kweli
Inatokea kua kila mmoja anaanza kuandika comment yake, akizan ni wakwanza kumbe kuna mwingne anaandika pia, ndo unaona kila mmoja anasema ni wakwanza 😅😅😅😅😅
🎉🎉🎉❤
Number one 1 namba 1 😁😁😁😁
Sijachelewa sanaaa 😂 mob love kwako mr lukas lumbasi ❤❤❤❤
Number 1
Mashallah ka rukas Tricia anamsimamo vizuri sana tabaka Allah
🔥🔥🔥
Leo nipo tisa bora jmn nasikiliza faraha yangu❤❤
Nime wahi leo kwel wa 4 leo 😊😊🎉❤
Wooooow 🥰💞💗 nilimiss hii sauti yako Lucas Lumbas ❤❤❤❤ any way l m busy this time l will be back to ::::::😅😅😅✌️✌️😎
Nyie Leo nmewahi😂😂
💞🙏💞 Mwana wa Lumbas
Part2 isichelewe plz simulizi nzuri sana ❤️🥰
Stori nzuri kweli ❤❤❤❤
huu mzigo tayari naiskiliza ni 🔥🔥🔥😂😂😂
Wewe tena 😂😂
Maulidi kafa kaoza anasubiriatu kuzikwa😂 ila Trisha usije ukamtenda kijana wa watu, Nahisi huyu mwaipopo anamtaka Trisha si kwa kumpenda huko, waiting for part 2
Nimewahiii 😂😂
😂😂😂😂 kweli bangi sio chai ety unaongea na mm na watu ni wawili
Maulidi hizo ndevu ni ugonjwa wetu sisi wanawake
Mr Lucas Lumbas sauti yako baba na mpangilio wa maneno yako.
Bas Pat 2 tutasubir we mpaka msitufanyie ivyo jaman
Yani unaolewaa kwa mpango maalumu ndoa yakanisani lkn kumbe ulifuata pesa.halafu huyu mzee mwaipopo amemanisha nn eti huyu nimali yangu ama anatoka na mwanae kuna kazi kweli
Pendo la mungu hudum lakini la shatani halidum
🎉
❤❤❤❤❤
Asante ❤️❤️❤️❤️
Hivi watu wa ngapi wanakua namba 1😂😂kila mtu wa kwanzaaa mmezidii bhnaa😂
Inatokea kua kila mmoja anaanza kuandika comment yake, akizan ni wakwanza kumbe kuna mwingne anaandika pia, ndo unaona kila mmoja anasema ni wakwanza 😅😅😅😅😅
Asant kk Luuu
Leo nimejalibu
Mm wa saba
Tunasubiri part 2 kka lukasi
Aloooo
❤️❤️❤️🤣
❤❤❤❤😂😂😂
Kumi bola
❤
😜🤪
❤❤❤❤❤