ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2022
  • 🔴#LIVE: SPIKA NDUGAI AMUOMBA MSAMAHA RAIS HADHARANI, KAULI ALIYOITOA KUHUSU MIKOPO - "NIMEKOSEA"
    Spika wa Bunge, Job Ndugai, leo amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa ofisi ya spika, Dodoma.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 116

  • @bulagalabbulagala3309
    @bulagalabbulagala3309 2 ปีที่แล้ว +6

    Hapo ndo umeboa umeshindwa kusimamia haki mwanzo uliongea kizalendo umepigwa mkwala ukausaliti ukweli daa hakika kumpata Mzalendo ni kazi hongela kwa kua mlopokaji wala hufai kuigwa na jamii

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 2 ปีที่แล้ว +3

    Ndugai you were right and message sent. You don't need apologize to anyone. We need strong people who will call a spade a spade. Nchi hii ni yetu wote hatuwezi kaa kimya mambo yakienda mrama, tutaumia watz wote. Haijalishi ni nani muhusika.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Mhe Ndugai, Anna Makinda umemfanyia nini?

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 2 ปีที่แล้ว +6

    Watu maskini ya Mungu vp watoleshwe kidi. Kwann nyinyi wabunge msikatwe mapato yenu yakila mwezi ili kusaifia uchumi wetu. Mnapokea mapato makubwa wala hamufanyi chochote bungeni

  • @mako331
    @mako331 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee ukitaka kubaki na heshima kubwa katika Taifa hili usiwe mtu wa kuyumbishwayumbishwa, kauli yako iwe moja na msimamo mmoja

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 ปีที่แล้ว +3

    Wasiwasi umekukumba mzee pole sana.atutaki history ulisema ulimuona yesu na mkewe je nikweli?

  • @ShaabanTech
    @ShaabanTech 2 ปีที่แล้ว

    Ndugai bhana

  • @joelmwanza6009
    @joelmwanza6009 2 ปีที่แล้ว

    Hata mimi nimekuwa najiuliza, huyu bhana na experience yote aliyonayo alibugi hivyo vipi!! . Baada ya kumsikiliza naamini kuna uwezekano kalishwa matango pori. Hivi karibuni amekuwa mkali sana na mwenye kutoa maagizo yaliyotafsiriwa kuwa anazuia watu kulijadili bunge na kwa hivyo baadhi ya watu wanaweza kuwa na an axe to grind. Pole sana Mh Spika lkn ndo changamoto za kazi zenye madaraka.

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mh ndugai kweli wewe nikiongozi mwenye hekma

  • @alexkabale8772
    @alexkabale8772 2 ปีที่แล้ว

    Umelogwa ndugai

  • @rashidiakili412
    @rashidiakili412 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee sijuwi anamatatizo gani. Kauli zake anazosema huwa zinabadilika badilika kila wakati. Maneno ameyasema mwenyewe na yamerekodiwa leo anasema mitandao imetafsiri visivyo.

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 2 ปีที่แล้ว

    Umefulia

  • @kurwijilamalima4012
    @kurwijilamalima4012 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Mh Spika

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 2 ปีที่แล้ว +1

    NDUGAI MNAFIKI SANA WEWE NA GENGE LAKO

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 2 ปีที่แล้ว +1

    Wengi tu wataonekana hawa gengi sukumagenge

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru wa Vyombo vya Habari ndo huo.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 ปีที่แล้ว +1

    Mgogo Ndugai ameshaipata harufu ya kufutwa ktk ulingo wa siasa kama alivyofutwa Bashite, ndio sababu leo anaongea kama mdangaji wa Margot kwa upole na unyenyekevu, kihere here kwisha chezea wapenzi na wa Tz tunaomsapot rais Samia Suluhu Hassan.

  • @alexkabale8772
    @alexkabale8772 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndugai,ndugai!!sisi tulikusikia wewe ukisema mama amekopa pesa na ukasema nchi itapigwa mnada,sasa unaanza kusema wabunge watasema pesa imetumikaje

  • @julianpeter7165
    @julianpeter7165 2 ปีที่แล้ว

    Hivi ile hospital ya milembe iko mkoa Gani ? Naombeni information s zake

  • @lukaseliasobwolo7498
    @lukaseliasobwolo7498 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani uyu mtu hafai kabisa kua spika wa bunge Hana Imani na kauli zake

  • @ismailgadiye6966
    @ismailgadiye6966 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo in vyombo vya habari vilikusemea Siku ile

  • @venantchami960
    @venantchami960 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana, uongozi ni changamoto.q

  • @jumanguru8455
    @jumanguru8455 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu amesha changanyikiwa

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 2 ปีที่แล้ว +1

    MNAFIKI SANA NDUGAI ULIPOKUWA UKISEMA MANENO YALE ULIKUWA UMELEWA ?

  • @basharimmari7164
    @basharimmari7164 2 ปีที่แล้ว

    Duh. Huyuuuuu!!!!!!

  • @bonifacemkanga6302
    @bonifacemkanga6302 2 ปีที่แล้ว

    Speaker acha kuongea kiupole umekosea umechambaaaa mzeee we mnafiki

  • @zainabmohammed6700
    @zainabmohammed6700 2 ปีที่แล้ว

    Selewi chochote 🤣🤣 Hebu mdomo koma niach nion t😄😄

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 2 ปีที่แล้ว

    UMEONGEA POINT KISHA UNAGEUKA NILIKUPONGEZA LAKINI SASA UMEHARIBU KABISA DENI LA TAIFA NI TATIZO LIKIZO ZA SHULE BILA KUJISOMEA SIO SAWA...

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 ปีที่แล้ว

    Kwa maoni yangu kwenye haya mambo ya tozo . Wamachinga kuibiwa mali zao ,kuchomewa vibanda vyao.. Tangu samia achukue nchi kila kitu kiko juu . Mbolea wakulima wako taabani. Wamachinga ndo usiseme.2025 Wabunge wa ccm watarundi wachache sana. Hata samia watanzania wengi hawamutaki. Kwa ushauli wangu kama mnataka ccm ibakia madarakani samia asigombee urais 2025. Ila kama atangombea ccm ndo kwaheri..

  • @rashidiakili412
    @rashidiakili412 2 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania tumekwama sana kwa hali hii.yani yaani viongozi hakuna anayejiamini alichokisema. Yaani ndugai ameomba radhi wakati alichokisema ni sahihi.Ndugai pia ni mnafiki na ni kigeugeu wa maneno

    • @faustinemavere1450
      @faustinemavere1450 2 ปีที่แล้ว +1

      Rashidi uwe mwelewa msamaha wa ndugai nimeupenda ni mwelewa sana atakaejiona kaombwa msamaha na akajiona mshindi hajitambui kuna maneno yaliyotamkwa na mtu moja hayapendezi kwa wana ccm kwa hiyo watu wanapitishwa kiaina tuyaache ndugai Mungu akutie nguvu maneno hayo ni mafuta tu neno msamaha ni zuri sana Mungu akubariki hakuna dhambi kubwa kama kutokusamehe wala haisemehewi kwa muumba wetu

  • @jumakapesa5289
    @jumakapesa5289 2 ปีที่แล้ว +1

    Utenda kiungwana sana kuomba msamaha. Make hatukukuelewa kwakweli.

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 2 ปีที่แล้ว

    AIBU!... AIBU...! AIBUUU!!!!.....

  • @moshimona3071
    @moshimona3071 2 ปีที่แล้ว

    Siulisema nchi itapigwa mnada ww😂😂😂😂

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 ปีที่แล้ว

    Kama anakopa aziondowe tozo zote,, ndungai unaomba radhi kwa kosa gani?

  • @Steward885
    @Steward885 2 ปีที่แล้ว

    Hii inathibitisha ccm inatuibia na kuikopesha nchi, maovu yameamza kufichuka polepole hii ni dalili ya ukombozi upo karibu

  • @hamiduchingi2672
    @hamiduchingi2672 2 ปีที่แล้ว

    Ndugai wewe nitimamu.ila iposiku watakuelewa ulikuaunamaanishanini.lisemwalo lipo nakamaalipo basi linakuja,🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 2 ปีที่แล้ว

    Wee fala nini unaongelea mambo ya kujenga makumbusho wakati fedha zenyewe unategemea kwenda kukopa huyu mzee fala sana Huna point wala misimamo

  • @richardmayenga6277
    @richardmayenga6277 2 ปีที่แล้ว

    Ndugai siyo wa kuamini dharau imemzidi

  • @lukaseliasobwolo7498
    @lukaseliasobwolo7498 2 ปีที่แล้ว +3

    Au tuseme sikuile alikua anaongea vile kwasababu ya kutetea maslai yake binafsi Sasa kashapewa chake ndicho maana anaongea hivi au tumuweke kwenye kundi gani

  • @petersonjoseph7672
    @petersonjoseph7672 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama husemi Kama mnafiki wewe ni Nani basi ...msaliti

  • @godfreyjoseff235
    @godfreyjoseff235 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania tuamke huyu ndo spika wa bunge anaye takiwa kuiwajibisha serikali Leo anaomba msamaha tumekisha Tanzania yetu yakikoloni yakibebari tunataka Katiba mpya acha kujikosha

  • @emanuelombeni4531
    @emanuelombeni4531 2 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana

  • @mtoikanyawanah585
    @mtoikanyawanah585 2 ปีที่แล้ว

    Hivi, hii mihimili mitatu hakuna sehemu mnaweza kukutana kushauriana na kuondoa tofauti zenu kabla ya kuongeza na vyombo vya habari?

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 2 ปีที่แล้ว

    Ata kuongea huna confidence unajikaza tu wewe ndumila kuwili.

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 ปีที่แล้ว

    Mwanzo nilkuona hillo saizi Ovyoooo... yan prof Assad kumbe alikuwa sahihi wew na bunge lako wote hamna kitu yan hamuwez kuisimamia serkal....yan hujielew kabisa kuwa wew ni muhimili ktk nchi haraf mkwara kdg tu umenywea ama kwel hii Nchi inacomedy sana

  • @hono1232
    @hono1232 2 ปีที่แล้ว

    Mh ndugai ni bonge la kigeugeu. Haaminiki kabisa . Yeye yupo kwa maslahi
    Huyu haaminiki

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 ปีที่แล้ว +4

    Watawala huwa nashindwa sana kuwaelewa. Ndugai unasema mambo mazuri yanayofanywa hayajawahi kufanyika na kwamba fedha zinatumika vizuri. Haijawahi kutokea!!!!! Mnashangaa kwa fedha nyingiiiiii na. Badget imenda vizuri. Hivi yule mliyekuwa mnataka kumwongezea muda wa kuiongoza hii nchi ina maana hakufanya vizuri? Basi sasa mwombeeni Samia Suluhu naye aongezewe muda wa kukaa madarakani. Nashangaa sana ati haijawahi kutokea!!!!!! Ulisema MIKOPO haifai na kwamba tutakopa mpaka lini, leo umegeuza lugha. Acheni kupamba kila kiongozi anapokuwa madarakani kwa kutetea nafasi zenu.

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe Ndugai hufai kua spika km kweli unataka kuomba radhi kwanza ujiuzulu Uspika ndio tutajua unajutia uliolifanya

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 2 ปีที่แล้ว

      Wagogo ni mgongo hawatabiriki. Hauwezekani unamponda Rais halafu unakula kumsifia. Wapi na wapi. Hapo hapo wakati tulimpoteza jemedari wetu maguful. Alikuja kumjeuka na kupigia debe mradi wa bagamoyo.

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 2 ปีที่แล้ว

    Muuuuh

  • @abubakariwangwe7264
    @abubakariwangwe7264 2 ปีที่แล้ว

    Pole nduguyangu umepakwa matope mnoooo, lakini mimi najua mwanadam akikuona uko kwenye sehem ya riziki mwanadam lazima akuchukie. Napia kwahilo mtu yeyote anakusubiri tu uteleze ili apate njia yakukusema weee pigakazi mzeeeee

  • @frbm1729
    @frbm1729 2 ปีที่แล้ว

    Kwa hyo ndugai unaunga mkono nchi kuchukua mkopo wa kujenga vyoo shule za msingi.

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 2 ปีที่แล้ว

    Mbn kama unalia??

  • @lukaseliasobwolo7498
    @lukaseliasobwolo7498 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha propaganda zaa njaaa
    Watanzania wengi tumekuzarau kwamatendo yako ya uchu wa madaraka

  • @onesmomlinga2739
    @onesmomlinga2739 2 ปีที่แล้ว +1

    Msemo wa msemaji wa ruvu shouting naona kabsa sura ya yuda

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣 TURUDI KWA VIJANA WENYE MATAMKO SASA NA MAKEMEO🤣🤣🤣🤣

  • @bettyrugemalila9185
    @bettyrugemalila9185 2 ปีที่แล้ว

    Blaha blaha hatutaki,twambie nchi imepigwa mnada wp tujiandae

  • @johnsonmashauri63
    @johnsonmashauri63 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbunge wa rorya fatilia kama haya madarasa pia yamejengwa ktk maeneo yako ?
    Hususan ktk kata ya nyamtinga
    Fatilia kinachoendelea

  • @ismailgadiye6966
    @ismailgadiye6966 2 ปีที่แล้ว

    Ni nini kile ambacho kilitaka kusababisha nchi ingelipigwa mnada

  • @tabithaikwabe3624
    @tabithaikwabe3624 2 ปีที่แล้ว

    Mnafiki wewe dawa yako ichemke tu sikutegemea kama ungekuja mikono nyuma hivi

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmhhh nijifunzee kukaa kimyaa

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 2 ปีที่แล้ว

    Ndungai mwezi haumalizi atakuja na contradictions zake

  • @lukaseliasobwolo7498
    @lukaseliasobwolo7498 2 ปีที่แล้ว +1

    Wee tetea ugali wako
    Subiri mda wako uishe ukapumzike

  • @hajiiddi1085
    @hajiiddi1085 2 ปีที่แล้ว +3

    Dungai huna maana fala jinga, ulipata bahati TU ya Kula hela ya watanzania! Adhabu yako inakusubiri, umemsaliti Magufuli! Utalaaniwa!!!

  • @bettyrugemalila9185
    @bettyrugemalila9185 2 ปีที่แล้ว

    Leo unaongea kwa upole,kweli umekaliwa kooni,uwasamehe bule we Mungu,we ndo wa kusamehewa

  • @ipinimarco8468
    @ipinimarco8468 2 ปีที่แล้ว

    Hivi mpaka unatoa kali unakuwa haujajiridhisha na unachokizungumza jamani,,,, mimi naamini ulitoa angalizo na tahadhari zuri kwa serikali na taifa kwa ujumla

  • @lukaseliasobwolo7498
    @lukaseliasobwolo7498 2 ปีที่แล้ว

    Yaani hatawewe mwenyewe unajionea haibu

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 2 ปีที่แล้ว

    Leo hana vicheko vya kejeli na anajifanya mnyongee

  • @sujatatom5047
    @sujatatom5047 2 ปีที่แล้ว

    Ndugai wewe si ulisimamia pesa zikaenda kujenga uwanja wa Chato? Hapo ulichemsha. Pesa zilikuweko lakini zilitumika visivyo. Hapa bado utalaumiwa

  • @hansmosses9422
    @hansmosses9422 2 ปีที่แล้ว

    binadam bhana

  • @nixonjohnson6346
    @nixonjohnson6346 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe umefika .. hata wafanye nini ..no way ndio fact hiyo wasijioshe kwa maneno .. .. hao sio 2025 tutaamua waache kuona ulikosea.. hapana.. ..ndio ukweli..

  • @katangaminerals8047
    @katangaminerals8047 2 ปีที่แล้ว

    Umeogopa, ulie mpiga kungwe na salasala mbona ujawaomba msama?

  • @oyay2821
    @oyay2821 2 ปีที่แล้ว

    Tayari ashampinga Raisi, siku za mbele kikiumana atasema ingawaje niliomba msamaha nilisema mikopo haifai. Tafuteni rekodi zenu nilisema au sikusema?

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 2 ปีที่แล้ว

    Zao LA jpm hilooo,kukurupuka tu kama farao

  • @gilbertmaganga8476
    @gilbertmaganga8476 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnafiki wewe

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 2 ปีที่แล้ว

    Ndugai utababaisha wapuuzi sio wenyeakili timamu.ww hufai ht kua mtu wausafi bungeni.

  • @senizengo9949
    @senizengo9949 2 ปีที่แล้ว

    Hv mjomba magu nae alikopa kama mnavyokopa ninyi saiv, ama hakka Tanzania iko sokon, wazalendo mko wap mtuepshe kuingia mnadan

  • @joseeandrew7343
    @joseeandrew7343 2 ปีที่แล้ว +2

    tozo zinaumiza watu maskini na mafukara rudisheni makato ya kawaida munalazimisha lakini makundi haya mawili hayataki na yanaumia.nchi hii ina vyanzo vingi vya kutoza kodi na nchi ikapata maendeleo kwa kasi isio pimika

  • @hawajuma3200
    @hawajuma3200 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ndo spika naye mjua yule wa siku ile hakuwa yeye kbx😂😂😂

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 2 ปีที่แล้ว

    Historia hamuitaki. Anzeni kabla ya utawala wakigeni ndo mengine yafuate.

  • @kasumilikamilius1338
    @kasumilikamilius1338 2 ปีที่แล้ว

    Hii ccm tuichinje kabisa 2025 Mana hata viongozi wa ccm hawaeleweki hawajui hata wanachokizungumza Sasa hili taifa wanalipeleka wapi Mana Mimi siwaelewi viongozi wa ccm

  • @arafamwilapwa6940
    @arafamwilapwa6940 2 ปีที่แล้ว

    Haaaa mzee mnafiki huyu! Mungo anakuona wewe mzee dah just ulidhahaki mpaka jinsia leo hii unasifia dah huendi mbinguni wewe ushindwe wewe na ulegee mnatuyumbisha sana mpaka hatujui pa kusimamia

  • @vedastotegga8820
    @vedastotegga8820 2 ปีที่แล้ว

    wewe kama spika ulimfanyia figisu jerry silaha sliyesema wabunge amlipi kodi ampapo nikweli ukasema amedanganya

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 2 ปีที่แล้ว

    unafiki tu ninani asie kujua 2025 wewe ndio utakua OUT tumeyasikia ulio sema wala ulikua haukulewa ukiwa na wagogo wenzako

  • @Mr.Wilson_M
    @Mr.Wilson_M 2 ปีที่แล้ว

    So clip iligeuzwa eeh??🙄🙄🙄

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 2 ปีที่แล้ว

    Kiongozi wa Ajabu

  • @Steward885
    @Steward885 2 ปีที่แล้ว

    Kweli unaumwa kichwa wewe

  • @crispinpayovela7903
    @crispinpayovela7903 2 ปีที่แล้ว

    Duh!😳😳😳

  • @makeafricapreachtv1992
    @makeafricapreachtv1992 2 ปีที่แล้ว

    Mzee vipi tena??!!!!???!!!

  • @salumumangi994
    @salumumangi994 2 ปีที่แล้ว

    Kutoa tahazari muheshimiwa sio tatizo kwani hatakama tutapewa zawadi nzuri kiasigani ila ulipaji wamadeni tunayokopa unaitaji umakini hata mitaani huku watu hukopa nakufanya maendeleo yao ila mwisho wa siku vinakuja kupigwa minada mikopo nimitamu sana ila kuchukua tahadhari ni jambo zuri mwenda zake alisema watanzania sio wajinga kiasi hicho

  • @lukaseliasobwolo7498
    @lukaseliasobwolo7498 2 ปีที่แล้ว

    Kwani kipindi unaongea hukujua unamvunja moyo

  • @kasumilikamilius1338
    @kasumilikamilius1338 2 ปีที่แล้ว

    Hayo madalasa tunayasikia mtandaoni lakini mashuleni hatuyaoni kweli wazalendo kwenye nchi hii ni wachache Sana kama akina polepole ushafeli ndugai

    • @jumannengoffa769
      @jumannengoffa769 2 ปีที่แล้ว

      Acha unafiki madarasa yamejengwa kila shule hapa nchini wewe kwa kuwa ni kipofu huyaoni haya madarasa

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli, Nchi imenyanyuka kila Mkoa... TAMISEMI, naomba mtengeneze video kuonesha kazi hizo kwenye vyombo vya habari na hasa kwenye social media...

  • @raymonadsaliboko3068
    @raymonadsaliboko3068 2 ปีที่แล้ว

    Dalili za mvua mawingu,

  • @Officalnaph
    @Officalnaph 2 ปีที่แล้ว

    kwani huyu ni nani? anajishughulisha na siasa au

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 2 ปีที่แล้ว

    NDUGAI WEWE NI MNAFIKI TU HUNA LOLOTE OMBA RADHI

  • @mustaphamsangi4091
    @mustaphamsangi4091 2 ปีที่แล้ว

    Agwee. Tuongee mambo ya kitaifa.Tuache mambo ya ukabila. Mambo ya kikabila jadiliana na wenzako wa mitaa hiyo ya kanda ya kati.

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo deni,kubwa

  • @vedastotegga8820
    @vedastotegga8820 2 ปีที่แล้ว

    msiitufanye kuwa atuelewi tunjua wewe ulisema mradi wa bagamoyo magufuri saida ganywa kumbe magu alikuwa mtu wa data ns anayepitia kila data

  • @semeninyerere3573
    @semeninyerere3573 2 ปีที่แล้ว

    Kaufyata

  • @richardmayenga6277
    @richardmayenga6277 2 ปีที่แล้ว

    Mpaka lini wa Tz watabaki wajinga mjanja ni were tu Acha dharau

  • @andrewfelix7009
    @andrewfelix7009 2 ปีที่แล้ว

    L

  • @startanzania2469
    @startanzania2469 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿

  • @fuadbattashi2005
    @fuadbattashi2005 2 ปีที่แล้ว

    Umeumwa ungekufa 2 unafaida gani