DUH! ONA MAGARI ya WIZI 17 YALIVYONASWA DODOMA, Kamanda MUROTO AMEYAONYESHA Hadharani...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @ffsd1719
    @ffsd1719 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana RPC wa Dodoma. Wenye Magari hatulali

  • @karimmsosa4262
    @karimmsosa4262 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kuusu scania hy uwa wanatengeneza kwa kutumia vitu vya kununua used na hy manuka yk engine gear box ceben kwa usishangae sana hicho kitu sisi wengine tunanunua magar ya kuungaunga hatuna uwezo wa kupata mapya

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 4 ปีที่แล้ว

    Kuwe na Sheria kila badda ya miezi 3 magari yote yapekekwe police kuchekiwa

  • @lutimahimbo9607
    @lutimahimbo9607 4 ปีที่แล้ว

    hapakazitu
    Weziwatafutekazi
    Nyingine

  • @ooredooooredoo7426
    @ooredooooredoo7426 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania utakamata magari yote mtu kanunua mashine ya mtumba wasema magari ya uwizi kwanini musiweke utaratibu huwo tokea mwanzo Kuna magari ya uwizi na Kuna magari ya halali mtu anunue mashine ya mtumba useme kaiba gari