Ni Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto tena mbele ya Waandishi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 176

  • @mcrahaleo688
    @mcrahaleo688 6 ปีที่แล้ว

    Huwa napata raha sana kwa kazi ufanyazo mheshimiwa Mkuu wa Polisi Dom, hakika wewe ni mfano wa kuigwa ktk nyakati hizi zenye wizi mwingi na ujanja ujanja mwingi. Keep it up to you!!

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 6 ปีที่แล้ว

    Hayo ndiyo mambo mema ya wito wa kazi yenu Mungu akubariki kamanda.

  • @mwanakwetu6472
    @mwanakwetu6472 6 ปีที่แล้ว

    Aise huyu Kamanda anapiga kazi...Hongera sana Kamanda

  • @jeremiahibrahim299
    @jeremiahibrahim299 6 ปีที่แล้ว

    Hcho kituo kitakacho jengwa kiitwe muroto Maana Ana nyoosha tabia za watu v zuri tangu yupo nyakato mwanza kiukweli alitulza wenye tabia za wiz ........kunarungu yake ilikuwa imeandkwa mama mkanye mwanao ......salute kwake kamanda muroto

  • @moseskisingi7696
    @moseskisingi7696 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde Afande!

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde kamanda kwa umahiri wako kiutendaji.

  • @jumbeybrowney7310
    @jumbeybrowney7310 6 ปีที่แล้ว +2

    Safiii sana..HAKUNA MAISHA YA MTEREMKO..SHAURI ZENU VIJANA...

  • @barikimollel7890
    @barikimollel7890 6 ปีที่แล้ว

    Hongerani Jeshi la polisi Dodoma nimewakubali sanaaaaaaa

  • @yohanamaugila743
    @yohanamaugila743 6 ปีที่แล้ว

    Hongera muroto kwa kazi nzuri!
    Huyo mwizi atapata kipigo cha mbwa koko

  • @boniventuremaduga8579
    @boniventuremaduga8579 6 ปีที่แล้ว

    nakubali sana utendaj wako wa kazi! watapata baaabu sana

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 6 ปีที่แล้ว

    Jamani Mungu ambariki huyu Kamanda na wasaidizi wake wote

  • @fantsonmpango7742
    @fantsonmpango7742 6 ปีที่แล้ว +4

    Bahati mbaya umri wa muroto umetaradadi angefaa kuwa igp ajaye. Kazi nzuri sana

  • @renatusmgina4003
    @renatusmgina4003 6 ปีที่แล้ว +5

    Hongera kamanda mroto wahalifu watapata tabu sana

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubali saana Mkuu

  • @martinyahaya331
    @martinyahaya331 6 ปีที่แล้ว

    hongera kamanda mroto

  • @yusuphishengoma6306
    @yusuphishengoma6306 6 ปีที่แล้ว

    Sir Muroto loved by few,hated by many and respected by all!!!

  • @detectivejeffrey6401
    @detectivejeffrey6401 6 ปีที่แล้ว

    Kazi ni nzuri.. Mwenye kituo cha Mafuta haukuwa na ulinzi kituoni kwako?

  • @tumainimikina8807
    @tumainimikina8807 6 ปีที่แล้ว

    uko vizuri kamanda

  • @eliasjillanga999
    @eliasjillanga999 6 ปีที่แล้ว

    Shikamooo murote uko vzr sana
    Watapata tabu sana

  • @stephanokanyika6988
    @stephanokanyika6988 6 ปีที่แล้ว +2

    Sasa hapo kiki ziko wapi ndugu zangu mtu ameibiwa na polisi wame Fanya kazi yao nzuri big up sana polisi kazi nzuri sana na hongera sana mkulugenzi wa kampuni iliyo ibiwa fedha kwaku toa shukulani hiyo

    • @omanioman8952
      @omanioman8952 6 ปีที่แล้ว

      Yani ndugu yangu ww acha tu sisi watanzania atuna shukran sababu wakikamata waalifu wasipo tuonesha tunasema maaskali waongo tukioneshwa hooo anatafuta kiki mbona mupo ivyo jamani
      Kamanda fanaya kazi fanya kazi ivyo ndivyo vzr mungu akubariki sana na akulinde kwa maadui

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 6 ปีที่แล้ว

    Respect Kamanda Mroto, Sirro ajiangalie😁😁

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 ปีที่แล้ว +4

    daah polisi nyinyi mungu awachunge kama jicho nahis tz yangu ishakua kama nchi zile ambazo mwizi hatoki

  • @edmundndunguru2117
    @edmundndunguru2117 6 ปีที่แล้ว

    well done. unastaili kupongezwa and if possible even to be promoted to the higher level

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu kamanda ni moto apewe Uwaziri tu

  • @christopherkidawa8889
    @christopherkidawa8889 6 ปีที่แล้ว

    yaani watapata TAABU SANA. Hongera kamanda MUROTO upo juu kama nazi

  • @hassanmakamba7166
    @hassanmakamba7166 6 ปีที่แล้ว

    Mroto ni RPC ambaye anatimiza wajibu wake vizuri sana..

  • @TopTenKaliTV
    @TopTenKaliTV 6 ปีที่แล้ว

    Kwa video Kali na muhimu kimaisha na afya bonyeza hapa th-cam.com/channels/MqCfgzOvP0I25aPnHamnsw.html th-cam.com/channels/HC1E0DBbTvmd03gThKlArw.html

  • @khamisissmaily7430
    @khamisissmaily7430 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahhaaha Safi Sana mze Baba piga kazi kamanda

  • @pigapesa1013
    @pigapesa1013 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana kamanda muroto .

  • @pointmarkjconsultinglimite6075
    @pointmarkjconsultinglimite6075 6 ปีที่แล้ว

    Dah Mheshimiwa Raisi tunakuomba mpandishe Cheo huyu RPC anafanya kazi nzuri sana

  • @ramadhanisakalani8372
    @ramadhanisakalani8372 6 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuriii afande chapa kazi wezi wata pata tabu sanaa

    • @shimbicharles9391
      @shimbicharles9391 6 ปีที่แล้ว

      Ramadhani sakalani najivunia kuwa tz

    • @bigshaelimia9143
      @bigshaelimia9143 6 ปีที่แล้ว

      Unazngw tu kamanda wengin hawan makosa bwana

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 6 ปีที่แล้ว +6

    daaa inatia amasa sana kwakwli police dodoma wko imara ase napia tajiri mwenyewe kaamua kutoa kiroho safi kujenga kituo kidogo cha police ase inatia amani Sana ila naww jambawazi utanyoosha maelezo maake kuna mibuyu mikubwa imekaaa pembezoni mwa barabara inaitaji kutolewa sasa lazima mkatoe iyo mibuyu barabara zipanuliwe pumbafu San ww

  • @obeyboy3725
    @obeyboy3725 6 ปีที่แล้ว +19

    RPC Muroto ndio angefaa kuwa waziri wa mambo ya ndani

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 6 ปีที่แล้ว

    Hongeren sana police

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Kamanda watapata tabu sana wew e ni Mfano wa kuigwa kwa maneno yako na vitendo vyako. Ukiwa mwizi au mjanja mjanja usije Dodoma kwetu utapata tabu sana. Hutatoka utaambulia kipigo cha Mmbwa Koko

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 6 ปีที่แล้ว

    safi sanaa

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 6 ปีที่แล้ว

    GUD JOB

  • @abdulazizramadhan5119
    @abdulazizramadhan5119 6 ปีที่แล้ว

    Saf sana kamanda mungu akuweke saanaaaa

  • @estermpili6577
    @estermpili6577 6 ปีที่แล้ว

    safi sana makamanda chapeni kazi

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 6 ปีที่แล้ว

    duuh toka leo kamanda nakupa heshima yako #Watapata tabu sana

  • @alistairelias536
    @alistairelias536 6 ปีที่แล้ว +1

    I see Muroto, I click.

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 6 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli mtazame kwa jicho la Tatu kamanda mloto watu wanamchukulia powa but anapiga kazi na vijana wake na matokeo yanaonekana

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว +7

    dah kamanda ubalikiwe sana hata Mimi sijawahi ona askari akamate pesa halafu mwenyewe uzikute nindoto asante kamanda

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 6 ปีที่แล้ว

    Good sana watapata taabu sana

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 6 ปีที่แล้ว

    Hilo ndo kazi yajesh lapolice inatakiwa. Himongera rais wangu kwakurejesha nidhamu kwenye jesh lapoloce.

  • @sarahjohn7772
    @sarahjohn7772 6 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri kamanda

  • @shadiluck9015
    @shadiluck9015 6 ปีที่แล้ว

    kaz nzr ...

  • @abdurrahmanyahya6240
    @abdurrahmanyahya6240 6 ปีที่แล้ว

    We bos ulieibiwa toa sadaka kwa mungu yeye ndo kakusaidia upate pesa hizo

  • @godluckorago3517
    @godluckorago3517 6 ปีที่แล้ว

    alitegemea ataambiwa tunakupa million moja

  • @chambimagele6726
    @chambimagele6726 6 ปีที่แล้ว

    Kama kuna mtu anadhani unatafuta kiki kamanda mroto basi atapata tabu Sanaaaaa......

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso หลายเดือนก่อน

    Jeshinle linafanya kaz nzul ila cjapendezwa kuona mnamwinesha mtu anae wapa ushilikiano wa kuwapata mwaalifu hii ipo sahh kwl jamn

  • @privinusdecroshan135
    @privinusdecroshan135 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubal sanaaaaaa murota

  • @mtasma1994
    @mtasma1994 6 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana huyu polisi

  • @salymking1892
    @salymking1892 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana kamanda #muro

  • @sarahjohn7772
    @sarahjohn7772 6 ปีที่แล้ว +1

    magufuri mpandishe Cheo huyo kamanda

  • @limokisuda4145
    @limokisuda4145 6 ปีที่แล้ว +2

    muroto unafaa kuwekwa kanda maalum maana wakiingia dom hawatokiiii

  • @georgemafayo2797
    @georgemafayo2797 6 ปีที่แล้ว

    Aisee hongera sana afande Muroto😂😂😂 bado naikumbuka sana ile rai yako kwamba "watapata tabu sana"😂😂😂😂 nadhani unaelekea sasa kuukwaa uaijipii😂😂😂

  • @augustinogaspar7286
    @augustinogaspar7286 6 ปีที่แล้ว

    Huyu RPC yuko vizur

  • @stephanokanyika6988
    @stephanokanyika6988 6 ปีที่แล้ว

    Ni kweri kwa dunia fanya kazi kwa kuufwata sheria tu ukisikiliza watu atufiki kabida

  • @rashidibrahimshemlugu7845
    @rashidibrahimshemlugu7845 6 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa anatufaa hapa bongo

  • @khamisissmaily7430
    @khamisissmaily7430 6 ปีที่แล้ว

    Ili katika kuweka katika mji wetu katika Hali ya ushwari haaaaaaaa nakukubali Sana kamanda Gilles

  • @dicksonisakwe3063
    @dicksonisakwe3063 6 ปีที่แล้ว

    Hajakutana na police aftet money huyo,,,,,,hizo pesa angezckia kwenye bomba tu! Hahahaaa

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 6 ปีที่แล้ว

    Wow mjomba magu mwangalie huyu kamanda yuko vzr sana

  • @wilhelmibaganisa8143
    @wilhelmibaganisa8143 6 ปีที่แล้ว

    daah.afroil kampuni kubwa nimefanya nao kazi pale kahama

  • @farajafaraja3494
    @farajafaraja3494 6 ปีที่แล้ว

    huyu Kamanda Wa dodoma nimempenda bure aisee anapiga kazi

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 6 ปีที่แล้ว

    Akujipanga uyo mchiz alikurupuka ndomana kakamatwa.

  • @manjaruujr6504
    @manjaruujr6504 6 ปีที่แล้ว +6

    See you muroto

  • @salomeherbert4407
    @salomeherbert4407 6 ปีที่แล้ว

    Huuwi jamani I wish ungekuwa kamanda wa Afrika

  • @chacha-255
    @chacha-255 6 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda mrudishe yule bodyguard wako wa zamani ....tumemkumbuka

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 6 ปีที่แล้ว

    Ivi kwann wasiwe wanauliwa hao waarifu??????? Wanaenda jela kumaliza ugali wa serikali mxiiii

  • @moshibuhoyero7316
    @moshibuhoyero7316 6 ปีที่แล้ว

    Pongezi kamanda wa Dodoma kwaoporesheni sasa tutakua nauhulu wakutembea nahera

  • @bonifacepontian1391
    @bonifacepontian1391 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 6 ปีที่แล้ว +4

    Hyu jamaa angefaa kuwa IGP

    • @utukufueliya5279
      @utukufueliya5279 6 ปีที่แล้ว

      Annanias Byarugaba usimchonganishe na IGP simon siro....

  • @elisantente2518
    @elisantente2518 6 ปีที่แล้ว

    Wakimpandisha cheo ndio basi tena, kama mnamkumbuka kamanda Siro alipandishwa cheo sasa hivi hasikiki tena na mambo yanarudi taaaaratibu mko wa dar!

  • @raji3432
    @raji3432 6 ปีที่แล้ว

    Big kamanda muroto

  • @bwiganeafwene1039
    @bwiganeafwene1039 6 ปีที่แล้ว +4

    Namshauri Mkuu uwe IGP kwasababu unauwezo wa kusikilizwa na askari wako

    • @jamesjamesh.5822
      @jamesjamesh.5822 6 ปีที่แล้ว

      tatizo KAMDANDA Muroto umri umemtupa lkn alikuwa nafaa sana kuwa IGP

  • @patrickmbogo7805
    @patrickmbogo7805 6 ปีที่แล้ว

    uyo jombaaa atakufa maskini

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 6 ปีที่แล้ว +9

    Lazima apate kipigo cha mbwa koko

  • @arahmantvonline
    @arahmantvonline 6 ปีที่แล้ว

    Weka tarehe wakati wa ku upload

  • @OmanOman-iv6si
    @OmanOman-iv6si 6 ปีที่แล้ว

    Safi saana unafanya kaxi yako vixuri

  • @KarimSalum-c9m
    @KarimSalum-c9m หลายเดือนก่อน

    Baba hapo wameyakanyaga muroto ni mwanaume bwana

  • @tadeombuba3860
    @tadeombuba3860 6 ปีที่แล้ว

    Atapata tabu Sana'a😁😁😁😁

  • @tibrucemushi1735
    @tibrucemushi1735 6 ปีที่แล้ว

    kiki.....

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 6 ปีที่แล้ว

    Mwizi hanaupeo mdogo mno

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 6 ปีที่แล้ว

    Dodoma wahalifu wanaiogopa kama ukoma😂😂😂

  • @jafarym77
    @jafarym77 6 ปีที่แล้ว

    Huyu kamanda ana sura ya kazi...hataki mchezo na kiswahili chake sichoki kukisikiliza

  • @TheOne-fi6cs
    @TheOne-fi6cs 6 ปีที่แล้ว +3

    Watapata tabu sana!

  • @daudjames1793
    @daudjames1793 6 ปีที่แล้ว

    upo vizur kamanda nataman nikupe hata IGP yaani ni hatar

  • @salomebakanabakana3857
    @salomebakanabakana3857 6 ปีที่แล้ว

    Atapata patatabu Sanaaaa!!! Huyo dada

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 6 ปีที่แล้ว

    Rais hamuon RPC Muroto kuwa anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani??? mbona ingekuwa balaa

  • @maarlioo
    @maarlioo 6 ปีที่แล้ว +3

    Atapata tabu sana

  • @emanuelmalamla1233
    @emanuelmalamla1233 6 ปีที่แล้ว

    Huo ulikuwa mchongo wa wote wawili, mkamateni huyo Mwanamke atawaambia ukweli, huku mtuhumiwa mkiwa mmemweka ndani Kwanza!

  • @gaspaljoseph1831
    @gaspaljoseph1831 6 ปีที่แล้ว +4

    Polic wasasa wanaadabu wanakama pesa wanazionesha hatari

  • @alquinwilla8343
    @alquinwilla8343 6 ปีที่แล้ว +6

    Yaaah kuna watu wamedislike... i thnk hao watakuwa miongon mwa waharifu

  • @valentinemtei2927
    @valentinemtei2927 6 ปีที่แล้ว +4

    picha ya mhalifu je

    • @mtindamtinangi346
      @mtindamtinangi346 6 ปีที่แล้ว

      Valentine Mtei picha tena huyo kachezea kichapo mpaka raha

    • @ramaomary539
      @ramaomary539 6 ปีที่แล้ว

      Valentine Mtei ww jambazi Toa pongezihela kapata.wapi kituo ipigoro

  • @lilianmwakapala3658
    @lilianmwakapala3658 6 ปีที่แล้ว

    tena uyo kijana anyongwe kikatli maana mjinga sana uyo alaanike milele

  • @angelamartinchiteji2461
    @angelamartinchiteji2461 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mnyang'anyi hana bahati kabsa..... Amepita sipo...
    Atapata tabu saaana

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 6 ปีที่แล้ว

    Duuuuuuu

  • @hajimakame8122
    @hajimakame8122 6 ปีที่แล้ว

    Mzee wa kiki huyo mxee, ila hongera sana umekutana na mwiz mtt uyo ndio ukamkamata

    • @abdalaalmas2535
      @abdalaalmas2535 5 ปีที่แล้ว

      Ukikamatwa unaanza kulalamika smart phone ulionayo itumie vizuri.. Unasema jambazi mtoto we unawajua walio sugu?

  • @daudmsemo7025
    @daudmsemo7025 6 ปีที่แล้ว

    HATA PATA TABU SANA