BILA UOGA MBUNGE AINGIA NA POMBE BUNGENI "Mimi siyo kichaa nakuheshimu | MBUNGE MSUKUMA AMTETEA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Mbunge wananchi wa jimbi lako wakuongeze mitano tena umetuwakilisha vyema sana MUNGU akutunze
Kabisaaaaaa... mu5 tenaaa
Dada Umeubariki sana moyo wangu kwa kusema ukweli ,Mungu akubariki . Niwaombe wabunge tuige mfano huu kuongea mambo ya kujenga nchi yetu kama huyu dada
kuongea ukweli kabsa ila utekelezaji kwa huyo rais wake utafsnywa maana awam hii maongezi tu hamna utekelezaji kabsa
Ama kweli tupo wachache wenye uwezo wa kuongea mambo yasiyo faa kwenye jamii dadaangu mungu akupe ujasiri kesho iwe njeema kwetu sote sio kwao tu yamoyoni yamenitoka nawachukia watu kama huyo alievaa kibakuli kichwani hajui hata kuonya wala kufundisha anataka aitwe mwalim cheeeee
Dada umeubariki sana moyo wangu kwa kusema ukweli mungu akubariki niwaombe wabunge
Mbunge ameongea point mpaka Mimi niliyopo huku Arusha imebidi nimpigie makofi,hongera sana kwake.nami naunga mkono hoja
Makofi yako hata mimi nimeyasikia huku
Sawa
Sawa
🤣🤣🤣🤣🤣
Mheshimiwa Asante.Mimi siyo mnywaji, Lakini nimefurahishwa na mchango wako. Aidha nimefurahishwa sana ,tena sana jinsi ulivyo mjibu Huyo mzee. Majibu yako na mheshimiwa Tulia, yamemfanya ajue ana Akili na uelewa kiasi gani.Barikiwa mama.
Naomba moja hapo nizimue mueshimiwa Asante sna ukweli umewapa waache kukualili maisha yakaisali apwe kaisali na ya mungu pew e mungu
She is a genius MP with enviable swahili command , tumpigie makofi. Watching from Uganda
Daah HUYU Mama amenissimua kwa Hoja yake natamani nimuhagi 😂😂😂 kwa pongezi Gongo letu safi san😂😂😂😂😂 tuboreshe ili iwe na tija kwa Taifa letu
Asante sana dada umeongea point kubwa sana na Nina uunga mkono hoja yako Asante sana na ubarikiwe sana dada💛💚💚💚💚
Hongera sana sana dada una kipaji waambie ukweli japo ukweli unauma
Dada umekitumia vyema kiti chako cha ubunge kwa mawazo chanya. Ubarikiwe
Dah mbunge wetu leo umejadili uovu kweli. Umeiudhi mbingu sana kwanafasi alokupa Mungu, umeitumia vibaya leo. Unywaji na wanywaji niuovu na hakuna mbingu kwa walevi.
Imemaanisha ni kwanini tuthamini vya wenzetu wakati vyetu vipo ?? KAMA NI DHAMBI BASI VIPIGWE MARUFUKU KABISA NA SIYO KURUHUSU VYA NCHI ZA KIGENI.
Mungu akupe maisha mrefu akuondolee usda na hasada msema kweli mpenzi wa Mungu kila anayesema kweli anawekwa kundi la kichaa je uyo anayeweka wenzake kundi la wakichaa je yeye anayoyafanya kijamii yanampendezesha Mungu ukweli wamtu upo ndàni ya nafsi yake kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe
Dada hongera sana kwa kusisitiza kuthamini vya kwetu alikuumba akubariki kwa kusema kweli
Tungekuwa na kumi kama wewe nchi ingekuwa zaidi ya ulaga ❤❤
We mwanamke unaakili sana mungu akubaliki sana iyo kitu ijadiliwe kikamilifu sana
Safi sana endelea kumshika yesu mama wangu
Nimekuelewa sana mawazo yako nimakubwa sana mh Mungu akubariki sana
Umeongea vizuri sana dada ubarikiwe sana
Dah ama kweli wanaichi wa momba wanamuwakilishi bungeni dada hongela sana upo vizuli hakika mungu akuzidishie miaka na miaka Ijayo wanaichi wa momba watambue uwepo wako bungeni
Hongera sana mungua akutie nguvu
Uko vizur mh wangu by simfukwe chole
🔥Hawa ndio aina yawabunge tunawaitaj sio wale wanaoenda kula mpk wananenepa hovyo 😊
Tunauwezo wa kutengeneza wine hata katika ngazi ya kijiji kupitia sido
Katika wabunge ambao wapo bungeni kwajili yakuijenga icho hii wewe upo miongoni mwao! Msukuma pia dada uyo ongozen maisha mtupambanie wakipato Cha chin.
Wabunge kama hawa kwenye Bunge letu ni wachache sana Safi sana Dada Anguu unaupiga mwingi aiseeee
Asante sana dada yangu Kwa hoja thabiti.
Gongo ibotreshwe iwe na viwango...Ajira zipatikane na tuviheshimu vya kwetu
Asante sana pombe niharamu kwenye vitabu vyote
Hii habari inastahili kujadiliwa katika bunge la Kenya.....napenda hoja hii
Jamani wabunge pombe nidhambi sana Mungu awa saidie sana
Kama ni dhambi kwanini zinaruhusiwa na Kama zinanunuliwa kwanini tuwaungishe mataifa ya mbali?? NADHANI HII NDIYO HOJA YAKE
Daa!! Barikiwa sana mama momba hongereni
Mbunge wetu be blessed
Hongera sana hawataki kupima tbs yetu
Bakukubali
Mungu kutunze uendelwe kutetea wanachi wako waliokupa kibali na ukumbuke pia kuna taji yako mbinguni kaza mwendo ingawa utapigwa vita ila mungu hajawahi kuacha kuwalinda mashujaa wake
Gongo Nchi zingine ni pombe ya asili Namibia gongo inauzwa sokoni mpaka kwenye baa ndogo ndogo.
Dada yangu mheshimiwa umenena, mimi ni mkenya na nimefurahishwa na economic mindset ya mheshimiwa. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿
Dada kaongea point,, Big up my Dada 👊
Mwanamke unaakili sana.
Tena pombe yetu inalewesha vzur kweli...unabaki na akili.🤣🤣🤣🤣🤣akili ya kuanza nayo kesho.
😂😂😂
😂😂😂😂
Kuna vitu navishangaaga sana ukiona wabunge wanavowaka bungen kweli utasema wamechukia kumbe ni nguvu ya soda Kwa ajili ya maandaliz ya uchaguzi wa 2023 ila wajue na njue sisi watanzania tunatumia Kwa maigizo hayo na mkumbuke sisi ndo walipa kodi tuliona hayo maigizo yanayoendelea tunatumia sana sana.Tupunguze masiara na tuache masiara.
Mhe. Big up. Shida ni kwamba ukoloni umetulemea akilini. Tunakopi tu naku paste
Wabunge wa chama kimoja ni wa hovyo sana mnadhan tumesahu zile hela zilizoibiwa pesa zetu wananchi...msituletee propaganda tunataka mjadili kuhusu zile pesa hizo habari za pombe ..waambien walev wenzenu ..tunataka pesa zetu zirud mtaan maisha magumu sana
Mungu akulinde na husda maana umeongea mitano haitoshi
Hongera sana kwa kusema ukweli
Such amazing topic
Upo sawa Mh.
Dada mweshimiwa uposawa kabisa kabisa , wandugu watanzania .
mungu akulinde usem ukwel
Yes sister 👏 🙌
Wanywaje mupo twendezetu bungeni nimewapenda sana
Dada nimekupenda uongezewe miaka 50 bungeni
Umetengeneza point japo haikuwa imenyoooka mwanzo
kuna watanzania wana akili kinoumaaa yaan....
Dada sio poa😂😂😂😂😂
Ilo ndo tatzo la TZ ukibuni bunduki unakamatwa ila wanatumia mamilion kuagiza Silaha nje daaa! bongo😂
Tuna import mpaka dhambi. Huyu Dada akifika Oldenburg Germany naomba tusalimiane. Huyu Dada ni Kichwa.
Hapo elimu inatakiwa hayo anayo Zungumza ni kweli kabisa kwa sisi tunao fanya kazi za hotel tunaelewa anachosema mbunge sema hapo tatizo wanao kunywa wanatumia vibaya gongo ni sprit kama hizo alizo nunua mh yaani ni elimu tu hapo ni pana sana
Nmependa majibu yako kwa uyo mzee na Mungu ajutunze umeongea ponti sana nchi ingekuwa na wabunge wa namna iih hakika tungefika mbali
Hivi
wanini msimuache huyo mh Kondesta aongeee,mnakatisha katisha nini?
Waafrika tuna kasumba mbaya sana, tunathamini vya nje tunadharau vya kwetu.
Jamani kwetu moshi tunaitafuta kwa toch nakumbuka zamani mtambo nyuma ya nyumba
Yani hili binge la sasa Lina vioja Yani wamekunywaaaa usiku mzima pombe zikawatuma waingie nazo wakazitetee
kwa huyo mnae muita rais wenu hana akili wala moyo wa kuwajali wanainchi wa kawaida miaka mi 2 sasa mnaongea tu hamna utekelezaji hakuna hata faida ya bunge awamu ya samia hamna wakutekeleza anapenda maaovu sana huyo mama ndio maana anashindwa kuyazuia maovu na maaswi yupo kimya waiz wanaiba wapo tu
Mwalimu Bora huingia darasani na zana za kufundishia
Uko sawa
Ongera mtumishi
V good gongo ililea nakutusomesha
Ni mbunge wa kwanza mwenye mawazo chanya mama mwaga cheche kututete wa pika pombe wanateseka sana
nimependa iyoo mada tupewe uhuru tu gongo nipombe peke yakitaalamu mtwara oyeeeeee
Mbona kama kalewa ye mwenyewe, akisikia taarifa analeta attitude, kweli pombe ina frequency mbaya hata ukikaanayo karibu tu
😂😂😂😂😂
Kenya can never explain such 😅😅😅
KUNA sababu ya kuwa na taasisi ya kukusanya wabunifu bila kujali vyeti vyao ili kubaini vipaji na bunifu nzuri.
Kiwanda chibuku muekezaji alie kuwa anakiendesha amerudi kukihitaji baada ya Tbl kushindwa kukiendesha jiji wamekataa wakati mkuu wa mkoa wakati huo kabla ya Makala hakuwa na shida ila jiji wamekataa sababu wanaijuwa
Hongera sana
Well said
Safi xana mama
😂😂 nasubiri siku mkijadili barabara na madaraja nayo myabebe kuyaingiza ndani ya bunge
Asant mama ❤❤❤❤
Wambunge wengine wanachaguliwa na majimbo yao ni kwenda kutoa taarifa tu hawana mawazo au shida ya kutetea jimbo lake kila bunge likikaa taarifa watu kama hao muwaangalie 2025 hawafai
Mbunge baada ya kukemea pombe unaenda kutetea pombe hiv umesoma na elimu yako inakusaidia kwel
Huyo ni mtumjshi wa serikali serikali haina Imani...Imani Ya wananchi ndioinakataza matumizi Ya pombe ila Serikali haikatai ndo mana inaruhusu importation ikiwa bidhaa haina madhara kwa watumiaji na ndo mana kuna taasisi ya kuthibitisha bidhaa kuingia kwenye mzunguko
@@delimachesa5007 ukisikia serikali ni watu sio jengo wala vifaa soma vitabu vya dini zote utaona pombe inavyokatazwa ila sehem yoyote inaposhuka elim ndipo walipoanza kutofautiana hao wasomi au wavumbuz wa vitu wanafalsafa wamechukua vitu kwenye vitabu vya dini zote ndio wanatamba mpk leo mawazo yao
Kwahiyo ukimaliza show waenda kujitwika sharubati kuanguka😂😂😂😂
Sista ukitoka tuonane unikabidhi huo mzigo
😂🤸
😂😂😂
Umenena sana
Pombe za nje zifungiwe , zitumike za nchini kwetu tu..Hakuna shida mbona!!
Pombe za kienyeji haitakiwi kwa sababu viongozi hawapata asilimia 10 ndo mana wanadharau ili tu ije toka nje
Safi kabisa
Hili Jambo wakati mtu anaongea alaf mwingine anasema taarifa inakata sana
Kushika pombe sio dhambi Bali ukitumia
Hakuna Mbunge hapo. Hatuwezi kuruhusu GONGO iwe kinywaji cha Watanzania, wakati wapo wanaokufa kutokana na kutokuwa na viwango vilivyopimwa kisayansi.
Mbn ht hz k_vant wapo wanaonywa mpk wanakufa
Duuuh nimeipenda iyoo
Umesema kweli kabisa
Hii nchi ukiwa mbunifu unaitwa muhuni?
Kipanya kabuni gari,kisha watendaji wa wizara ya viwanda wanamuita muhuni.
Well said madam
Hivi inakuaji mtu mzima Tena msomi anatamka maneno kisengere nyuma?
Mfano:
1 dhambi mtu anasema zambi
2 R ( Ara ) mtu anatamka L ( ELO )
3 serikali mtu anatamka selikali
4 Brother eti blaza!
5 Road eti load!
6 light eti right
7 Right eti light !!!! Duh, aibu sana.
Kiukweli nawashangaa sana
8. Kura eti kula!
Nimependa Mawazo ya Mh,Mbunge
Mmekuwaje ninyi wasomi wetu na wabunge wetu? Mmekosa cha kutetea mpaka mnatetea pombe!!? Daaa! Vipi wasomi wetu!!!?
Sasa izo zimemwangwa au waziri alitaka kujuwa laza ya KackDaniel
Kampa King
Watu hawawezi kuachiwa kulewa ovyo ovyo kwa pombe za ajabu ajabu halafu wakachinja watu mitaani, na hizo za tanzania si zimeruhusiwa zilipokidhi vigezo?
Acheni kujidanganya pombe nidhambi Jehamu inawangoja ole wenu
Sasa wewe haunywi pombe jee?? Hizo utazipeleka wapiii? Ukitoka nazo bungeniiiiii??? Duuuu!! Bunge hili balaaaaaa!!! Au umpe mkulya yule anayeliaga akilewagaaaaa!!!
Sijawahi kuona maskali wakimwaga gongo waliyo kamata hivi inapelekwa wapi,?