NIKULIPE NINI MUNGU-Kwaya ya Mt Anyesi (Official Gospel Video-HD)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 355

  • @robert.maganya1051
    @robert.maganya1051 5 ปีที่แล้ว +1

    bwana awabariki waimbaji nasi tupate baraka kwa wimbo huu mzuri, nikulipe nn bwana Wangu hata hii sauti inatosha kukuimbia

  • @sianasiana9467
    @sianasiana9467 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarik na akutie nguv tuendelee kuifany kaz yak

  • @gifttewele9968
    @gifttewele9968 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana watumishi wa Mungu wimbo mzuli sana hakika unatufariji

  • @josephbalele1812
    @josephbalele1812 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana Mungu awainue zaidi

  • @gladysgesare9549
    @gladysgesare9549 3 ปีที่แล้ว +1

    Am proud 2 be a catholic😍😍😍🎉🎉🎉

  • @elizabethmichael7817
    @elizabethmichael7817 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmbalikiwe Sana nyimbo Kama hizi huwa nafalijika Sana hata Kama ninamawazo huwa nafalijika sana

  • @LaurenciaBarnabas-n9t
    @LaurenciaBarnabas-n9t ปีที่แล้ว

    Kwakweli mnanikumbusha mbali

  • @ednahmercy9717
    @ednahmercy9717 3 ปีที่แล้ว

    Munaimba fisuri sana
    Nitumie

  • @mwalimupatrick2249
    @mwalimupatrick2249 6 ปีที่แล้ว +2

    Aisee kwaya ya mt. Anyesi sio ya mchezo mchezo hat kidogo....hongereni sana kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri.....

  • @PaulineOtieno-tm9ht
    @PaulineOtieno-tm9ht ปีที่แล้ว

    My God bless this kwaya

  • @yudakamaro7463
    @yudakamaro7463 4 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe.sanamungu.awalinde

  • @gracefeldinandi838
    @gracefeldinandi838 3 ปีที่แล้ว

    Wako sawa kwakuimnba

  • @tinyicyahatv847
    @tinyicyahatv847 4 ปีที่แล้ว +1

    Yesu niyamamare hose Tv
    Ongera wakire ibyiringiro bishya muri wowe.
    Itangiriro :28:15
    Dore ndi kumwe nawe, nzakurindira aho uzajya hose, kandi nzakugarura muri iki gihugu, kuko ntazagusiga ntarakora ibyo nkubwiye.”
    Mukundwa Mwene Data ongera wizere ibyo Imana Uwiteka umuremyi wabyose yavuganye nawe kuko no kubikora izabikora.
    Dore umuntu wese wabikijwe isezerano n'Uwiteka ntabwo Uwiteka azabura kumusohoreza ibyo yamusezeranije.
    Kereka uwayavuyemo ntampamvu.
    Nuko rero tugumemo mumasezerano nimo Uwiteka azadusanga by'ukuri Amen.
    Kora share sangiza abandi ubu butumwa bwiza butangwa buri munsi kumbuga nkoranya mbaga nyinshi zitandukanye zacu Ndetse nizabandi
    Facebook, Twitter, Instagram, TH-cam channel Yesu niyamamare hose Tv
    Naniho mwadanga Ubundi butumwa bunyuranye bwiza cyane bwatambutse mbere yubu
    Sura channel usige ukoze SUBSCRIBE +🔔 kugirango unjyuhita ubona ubutumwa bwiza tukibushyiraho.
    Niba wifuza ko tugufasha andika kuri whatsapp cyangwa uhamagare +260974550458
    Murakoze
    Shalom, shalom
    Ev.isaie

  • @emanuelmayunga6382
    @emanuelmayunga6382 3 ปีที่แล้ว

    Amina sana watu wamungu

  • @christophersafari1698
    @christophersafari1698 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni wapendwa wa bwana Yesu Christ kwa kazi hii yakutangaza. Injili

  • @gracechanya7014
    @gracechanya7014 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kuwabariki wanakwaya wetu wa anyesi kweli Mungu yupo pamoja na wane vwawa

  • @agriciousmwanji9098
    @agriciousmwanji9098 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwalim Choga katika ubora wakeeee

  • @goldensimkonda2106
    @goldensimkonda2106 6 ปีที่แล้ว +2

    safi sana mungu awazidishie nimependa,tunawasubiri watakatifu wote na bona

  • @risperorwaru4338
    @risperorwaru4338 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU awatetee wanao mkimbilia kwaimani💒📯🎶🎼🇰🇪

  • @olivashayo2177
    @olivashayo2177 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri umenibariki

  • @seraphinamwamlima7901
    @seraphinamwamlima7901 4 ปีที่แล้ว

    Mmeimba vizuri sana, wapahaya.

  • @victorvincent.2588
    @victorvincent.2588 6 ปีที่แล้ว +6

    Hongera saaana kwaya ya Mt.Anyes kwa uinjilishaji. Mungu awe nanyi. Nakuona Mr.Henry. so good aise

    • @essijomushi2736
      @essijomushi2736 5 ปีที่แล้ว

      Hongera sana kwaya ya Mt inyasi.

  • @pascalbahati4837
    @pascalbahati4837 4 ปีที่แล้ว

    Na ipenda sana wimbo huu Mungu awabariki kwutuburudisha,

  • @emanuelmgayascyprian9616
    @emanuelmgayascyprian9616 6 ปีที่แล้ว +4

    Tunawakaribisha parokiaya Mtwango Jimbo la Njombe hongera sana

  • @josephoteko4487
    @josephoteko4487 3 ปีที่แล้ว

    Congratulation gud job done 4 our God. Continue pls doing so

  • @beatriceochieng6334
    @beatriceochieng6334 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri ya mungu

  • @saraphinampoma5945
    @saraphinampoma5945 4 ปีที่แล้ว

    Waoooo kaz nzuri aiseee mbarikiwe sana

  • @tejitubenti8238
    @tejitubenti8238 3 ปีที่แล้ว

    Tv ifa fayyinaa

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 4 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤great work...napenda dance style

  • @adelab.mwambambe1736
    @adelab.mwambambe1736 5 ปีที่แล้ว

    Mko viwango vya juu Sana daah wimbo mzuri Sana 😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘Mungu awabariki

    • @mikaelijohn7715
      @mikaelijohn7715 5 ปีที่แล้ว

      Adela B.Mwambambe mkovzri natamani nijiunge nanyi

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 5 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri hongereni watumishi

    • @bethkimathi873
      @bethkimathi873 5 ปีที่แล้ว

      Sina Cha kukulipa mungu wangu pokea sifa na shukurani....

  • @hildajohn8380
    @hildajohn8380 4 ปีที่แล้ว

    Wow had aman

  • @pedomsongo4407
    @pedomsongo4407 4 ปีที่แล้ว

    Pendo somanda nawashukuru sana huu wimbo nimeupenda nimefarijika sana Mungu wa zidishie nguvu

  • @farantinechepkwech4387
    @farantinechepkwech4387 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelea kuwapa neema

  • @mariethapesha593
    @mariethapesha593 6 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana yaani huu wimbo naupenda kweli👏

  • @raphaelmogire9744
    @raphaelmogire9744 3 ปีที่แล้ว

    Shining ministers nyabisase

  • @devothamchami7685
    @devothamchami7685 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera vijana wangu Namuon dalucy mtawa Hongera Sana kwa uimbaji mzurii

    • @nyabendadomistien2592
      @nyabendadomistien2592 5 ปีที่แล้ว

      Devotha Mchami safisan kwer Burundi tunashukuru kway nzuri kabisa

  • @kenmusembi4565
    @kenmusembi4565 6 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri sana.Kenya twaikaribisha kwaya hii.

  • @beatriceawino2542
    @beatriceawino2542 4 ปีที่แล้ว

    I like this song

  • @lusyleon9766
    @lusyleon9766 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @nagagwanagagwa9591
    @nagagwanagagwa9591 6 ปีที่แล้ว +15

    Nikulipe nini Mungu wangu. Hongereeni sana

  • @godfreymongomongo7505
    @godfreymongomongo7505 4 ปีที่แล้ว

    Nakuona kaka fred choga mungu awabariki kwa kaz nzur

  • @emmyndumi5336
    @emmyndumi5336 5 ปีที่แล้ว +3

    I love to be a Kenyan just from their melody and Catholic songs. I enjoyed listening to their song's though don't understand Swahili. I sometimes believe all Kenyans shall see the king glory. From Cameroon.

  • @attufrank1485
    @attufrank1485 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni sana wana wa Mungu kazi nzuri

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว +13

    Wow lini mtakuja huku jmn muimbe huku wanapenda sana nyimbo za Afrika hasa swahili

  • @eunicekisali5093
    @eunicekisali5093 5 ปีที่แล้ว +1

    God grant all singers lot's of blessing

  • @stevenjonas6771
    @stevenjonas6771 5 ปีที่แล้ว +11

    Mungu azidi kuwasimamia ktk kazi zenu njema,,,,mbarikiwe mt anyes kwaya

  • @marybaitwa5994
    @marybaitwa5994 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki

  • @dennisevarist
    @dennisevarist 4 ปีที่แล้ว

    Mpiga kinanda umenikosha sana unavyoungurumisha hiyo bass aisee mguu speed hatari

  • @bettyakitsa5896
    @bettyakitsa5896 5 ปีที่แล้ว +3

    Sina cha kulipa mungu bali kumshukuru...good song be blessed

  • @franciscakerubo3587
    @franciscakerubo3587 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Tuondolee Tama za kuiba pesa za Wanainchi, walipa Kodi? Tama za Viongozi serikalini zimezidi kule Kenya inchini kwenye nilizaliwa, Kila siku yanayo aandikwa Magazetini, Y

  • @martinadiona9834
    @martinadiona9834 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Sana kwa kazi nzuriii

  • @veronicahaule1083
    @veronicahaule1083 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awape nguvu as kumtukuza mbarikiwe sana

  • @lcwtpathfinder6209
    @lcwtpathfinder6209 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana, ! Nahasa sauti ya tatu maana ndo sauti yangu. Mungu awabariki

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante YESU wangu

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki kwa kazi nzuri

  • @lubangohenemama8647
    @lubangohenemama8647 5 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru kwawema wangu

    • @gracenavilo5872
      @gracenavilo5872 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awasongeshe mbele ktk kutuinjilisha ,asanteni

  • @finirasaint-velus9883
    @finirasaint-velus9883 4 ปีที่แล้ว +2

    Good job, Jésus bless the group Gospel

  • @magedenis1155
    @magedenis1155 6 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana kwaya ya anyes mungu awabarik Kwa uinjilishaj

  • @vailethjamson6521
    @vailethjamson6521 6 ปีที่แล้ว +3

    Jaman Hongeren Sana wana nyasi nawapendaaaaaaa, sanaaa

  • @antoniakinunda6690
    @antoniakinunda6690 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe xana

  • @dennisaraka3914
    @dennisaraka3914 4 ปีที่แล้ว

    Kwa zuri sana

  • @jamesmwenda2861
    @jamesmwenda2861 6 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kuwabaliki

    • @rosekapaya6261
      @rosekapaya6261 5 ปีที่แล้ว

      Mbarikiwe na bwana mungu anawapenda wote

  • @yoshuahaule8325
    @yoshuahaule8325 4 ปีที่แล้ว

    Mito yasifa

  • @linuskobero9144
    @linuskobero9144 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kumsifu mungu

  • @devymahenge1752
    @devymahenge1752 4 ปีที่แล้ว

    Kwaya mama ria

  • @mariammwegamile4138
    @mariammwegamile4138 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabarik kwa utume mzuri

  • @neemalwitiko4142
    @neemalwitiko4142 5 ปีที่แล้ว

    Aiseeee hongereni sana

    • @halimamolela241
      @halimamolela241 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awabarikiwimbo wenu nzuri sana

  • @magrethseleman2064
    @magrethseleman2064 5 ปีที่แล้ว +1

    hongeren kwaya ya mtakatifu anyesi kwa uinjilishaji mzurt

  • @kivyiroaudronicus5599
    @kivyiroaudronicus5599 6 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana Mt. Anyesi Mungu aendelee kuwatumia katika kumsifu

    • @neemamgaya6720
      @neemamgaya6720 6 ปีที่แล้ว

      Asante saana ni kwa maombi yenu tunaweza kusonga mbele

    • @stelambenga8092
      @stelambenga8092 6 ปีที่แล้ว

      Hongereni kwa nyimbo nzuri Mungu awabalike

    • @allymaulid5118
      @allymaulid5118 5 ปีที่แล้ว

      Hatar saaana mungu awapiganie nimewapenda bure mbarkiwe

  • @mumberefabrice8800
    @mumberefabrice8800 3 ปีที่แล้ว

    Bsr Nanub bmreaeuir

  • @annakadahya8703
    @annakadahya8703 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kwa nyimbo nzuri

  • @jantehomaco5529
    @jantehomaco5529 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina. You are great O Lord everything written about you is great

  • @stephenmwangangi7868
    @stephenmwangangi7868 4 ปีที่แล้ว

    Upendo wa mungu uwe kwetu zote

  • @mohammedalshahwani1542
    @mohammedalshahwani1542 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @deogratiusmkamba8573
    @deogratiusmkamba8573 6 ปีที่แล้ว +1

    Barikiweni saaana waimbaji

  • @halimasamson4801
    @halimasamson4801 6 ปีที่แล้ว +9

    mbarikiwe sana kwa kazi nzuri

    • @jonhshamba4590
      @jonhshamba4590 5 ปีที่แล้ว

      Amakwel wanajuwa ndugu zangu

  • @josephatpatrick8304
    @josephatpatrick8304 6 ปีที่แล้ว

    mbalikiwe kwa nyimbo nzuri ameen

  • @bonfacemutwiri8425
    @bonfacemutwiri8425 4 ปีที่แล้ว

    very encouraging,,,keep on spreading the word of God

  • @diamatyyoha1457
    @diamatyyoha1457 6 ปีที่แล้ว +6

    mpendeza sana na voko unazoimba nzuri sana

  • @scholarsticah1584
    @scholarsticah1584 6 ปีที่แล้ว +3

    Wacheni nimushukuru Huyu Mungu

  • @robert.maganya1051
    @robert.maganya1051 5 ปีที่แล้ว

    Amina bwana ni mwema

  • @poritpeter1492
    @poritpeter1492 6 ปีที่แล้ว

    Wimbo umenibariki. Waimbaji mbarikiwe

  • @nshimiyimanajeanbosco1663
    @nshimiyimanajeanbosco1663 6 ปีที่แล้ว +3

    DUNIA inatufundisha kila siku.

  • @deussimion3275
    @deussimion3275 6 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana kwa utume huo wa kuinjirisha neno la mungu.

  • @josephgedion4899
    @josephgedion4899 5 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzur

  • @denicnyoka952
    @denicnyoka952 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yu mwema sanaa

  • @zahabufrancine4606
    @zahabufrancine4606 5 ปีที่แล้ว

    Barikiweni Sana, mnapendeza pia.

  • @fridayetiobhio2537
    @fridayetiobhio2537 5 ปีที่แล้ว +2

    God is good 🎤🎺📯🎸🥁🎻🔔✔

  • @felixluoga3394
    @felixluoga3394 6 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo ni mzuri nimeupenda

  • @benjaminamandus3220
    @benjaminamandus3220 6 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana nawapenda sana

  • @winnydepayfavoured9383
    @winnydepayfavoured9383 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana

  • @betriceepuu9048
    @betriceepuu9048 4 ปีที่แล้ว

    Our God deserve all praise

  • @mtakatifumgisha346
    @mtakatifumgisha346 6 ปีที่แล้ว

    hongera kwa utume wenu kwaya ya mt.anyesi

  • @autofocusultimate1317
    @autofocusultimate1317 5 ปีที่แล้ว +2

    Sina cha kukulipa mungu wangu ,good song be blessed wanachoir

  • @mariammichael9773
    @mariammichael9773 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki zaidi na zaidi

  • @vailethkijamunu7321
    @vailethkijamunu7321 6 ปีที่แล้ว +2

    Naivunia kuwa mkatoliki nabalikiwa sana

  • @salhaheko3412
    @salhaheko3412 4 ปีที่แล้ว

    Asante namimi naitwa anyesi yiyinikwaya yangu🙏😍

  • @petrosinkala6967
    @petrosinkala6967 6 ปีที่แล้ว +3

    hongereeni Mt. Inyasi kazi nzuri

  • @federicksiame9158
    @federicksiame9158 6 ปีที่แล้ว +7

    hongereni sana kwa uinjilishaji

    • @isacktango7002
      @isacktango7002 5 ปีที่แล้ว

      Injili ya bwana ienende kwa amani ya mwenyez mungu

    • @jtotojean1505
      @jtotojean1505 5 ปีที่แล้ว

      federick siame
      grev aihiti a