Nikupe Nini Mungu Wangu | B A Lukando | Sauti Tamu Melodies |Sadaka/Matoleo ~Skiza 7482438

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini we Mwokozi, nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza?
    Ninakuomba Mwokozi, nifanyie msamaha na unipokee
    Mema unayoyatenda, nitafanya nini mimi, nikurudishie.
    Tazama pia Anayekula Mwili wako, Nijaposema kwa Lugha, one of our latest Catholic Music choir songs Kenya and Tanzania.
    Waimbaji - Sauti Tamu Melodies
    wimbo wa sadaka na matoleo /vipaji
    Mtunzi: Basil A Lukando
    Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki
    Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, sadaka yangu kwako ee Mungu, nitakwenda mimi mwenyewe, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe na Sala yangu na ipae mbele yako
    #SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @Mzeewainfo
    @Mzeewainfo 4 ปีที่แล้ว +126

    Asantee sana ..Kazi zenu nzuri.. hata mkiurudia wimbo wa kale mnaufanyia haki na Audio Quality mnazingatia ndo kitu kilikosekana kwenye nyimbo nyingi za zamani
    ...Mungu awabariki sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +14

      Ubarikiwe nawe pia.

    • @margaritandungemargaritamu9496
      @margaritandungemargaritamu9496 4 ปีที่แล้ว +14

      Watching from Spain,very nice voice,may God bless all of you for making this song more colorfull.i like África

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much @Msigwa

    • @cosmasngolomole6517
      @cosmasngolomole6517 4 ปีที่แล้ว +4

      @@margaritandungemargaritamu9496Mungu azidi kuwainua watumishi Cosmas ngolomole wa Dsm

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Amina @Cosmas

  • @terrenceomondi5190
    @terrenceomondi5190 2 ปีที่แล้ว +7

    Proud to be a Catholic.....ukiskia Malaika huimba usitafute kwingine....Sauti Tamu...

  • @dianamwacha6517
    @dianamwacha6517 4 ปีที่แล้ว +16

    Nyimbo zetu za enzi hizooo hazichuji .soo nice lovely voices. Thanks God am a catholic

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Tungo za zamani tamu sana!

  • @mawaggalinoah7359
    @mawaggalinoah7359 2 ปีที่แล้ว +19

    Just now came accross "sauti Tamu". Na ni tamu kweli. Beiutiful melodies. Mbarikiwe nyote.

  • @aronkinunda342
    @aronkinunda342 ปีที่แล้ว +6

    Proudly catholic! Wimbo mzuri sana kwa kweli.

  • @kisibowarioba456
    @kisibowarioba456 4 ปีที่แล้ว +5

    wimbo mzuri umenikumbusha mbali sana wakati naimba Kristu Mfalme Jimbo katoliki la Moshi

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante, ubarikiwe

    • @sundayssmile2128
      @sundayssmile2128 3 ปีที่แล้ว

      karibu pia kutazama Muziki Mtakatifu kupitia link hii! Usisahau kusubscribe tafadhali na kuwashirikisha wengine!
      th-cam.com/video/uU3GrBC4onY/w-d-xo.html

  • @nesphorysungu4934
    @nesphorysungu4934 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awabariki sana. Zamani hizo tungo zilitendewa haki kweli kweli. Hongereni sana.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante. Mababu zetu walikuwa vizuri sana kwa utunzi

  • @lawrenceomondi3826
    @lawrenceomondi3826 4 ปีที่แล้ว +6

    Mie pia niko hapa ..wimbo mzuri mno. Mbarikiwe... Napenda sana KWAYA

  • @annamathayo9984
    @annamathayo9984 3 ปีที่แล้ว +1

    Anne, kweli mko vizuri mnanikumbusha mbali enzi za ujana wangu

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante, ubarikiwe

  • @doreenandcollins3435
    @doreenandcollins3435 4 ปีที่แล้ว +16

    Just what we needed. Hamtuangushi sauti tamu. Tutaendelea kuwaombea faraja za Mwenyezi Mungu ili muende Lee kumtumikia🙏🏽💯💯💯💯👍🏾👏🏽👏🏽❤️

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante Doreen

  • @stephentembo8526
    @stephentembo8526 3 ปีที่แล้ว +4

    Mema mengi unayoyafanya kwangu nashindwa nikupe nn Mungu wangu Cha kukupendeza, wimbo mzuri sana

  • @castorylai4896
    @castorylai4896 ปีที่แล้ว +8

    Mbarikiwe sana nasikiliza kutoka parokia ya Bikira Maria mpalizwa mbinguni Jimbo la Tunduru_Masasi huu wimbo naupenda tangu nipo mdogo

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  ปีที่แล้ว

      Shukrani sana Castory
      Ubarikiwe pia

  • @michaelchoma3074
    @michaelchoma3074 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo Mzur sana barikiwa sana waimbaji

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Amina, Ubarikiwe nawe pia

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 3 ปีที่แล้ว +3

    Nikupe nini wewe mwokozi, jameni asanteni saaana, continue uniting the world, much love and much blessings, watching from Maryland U S A

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      🙏🙏🙏

  • @lomindaafedraru2842
    @lomindaafedraru2842 2 ปีที่แล้ว +27

    Proud to be a Catholic and a Choir member singing Altor, St Paul Choir Our Lady of Africa Mbuya, Uganda. I enjoy listening to these Angelic voices

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Thanks a lot Lominda, be blessed

    • @wowcheers7488
      @wowcheers7488 ปีที่แล้ว

      Respecting and expressing one's beliefs is a great harmony among us. We are also a Roman Catholic ever since. Cheers.

  • @gilbertnduwimana2644
    @gilbertnduwimana2644 3 ปีที่แล้ว +1

    Mubalikiwe sana Burundi tunawa pongeza ongea

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Amina, mbarikiwe nanyi

  • @emmanuelbuganga7325
    @emmanuelbuganga7325 3 ปีที่แล้ว +4

    Da kwa kweli wimbo mzuri sana, alafu auchujiki jamani mungu awabaliki sana.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante ubarikiwe

  • @noemipius1574
    @noemipius1574 4 ปีที่แล้ว +6

    Bravo from Madrid España. Naskia ssa hivi kwa train. Sweet home kenya

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you, ubarikiwe

    • @sundayssmile2128
      @sundayssmile2128 3 ปีที่แล้ว

      karibu pia kutazama Muziki Mtakatifu kupitia link hii! Usisahau kusubscribe tafadhali na kuwashirikisha wengine!
      th-cam.com/video/uU3GrBC4onY/w-d-xo.html

  • @constantineevarist7130
    @constantineevarist7130 4 ปีที่แล้ว +20

    Wimbo wa zamani ila mmeurudia na mmeimba vizuri sana. Hongereni sana

  • @ericksonkibasa8504
    @ericksonkibasa8504 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwen kwa nyimbo mzurii mnooo....

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Nawe ubarikiwe pia

  • @kemuntoangie1859
    @kemuntoangie1859 3 ปีที่แล้ว +15

    This choir sings so nicely it's therapheutic to my heart 😭🙏❤️
    Mbarikiwe nyote waimbaji na wasikilizaji/watazamaji

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante, nawe pia ubarikiwe

    • @sundayssmile2128
      @sundayssmile2128 3 ปีที่แล้ว

      karibu pia kutazama Muziki Mtakatifu kupitia link hii! Usisahau kusubscribe tafadhali na kuwashirikisha wengine!
      th-cam.com/video/uU3GrBC4onY/w-d-xo.html

    • @wowcheers7488
      @wowcheers7488 ปีที่แล้ว +1

      I do agree on solemnity and coming within their hearts when they sing. Cheers.

  • @raylaurent4389
    @raylaurent4389 4 ปีที่แล้ว +3

    Waaaoh.. Wimbo wa zamani hata sasa unapendeza

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante🙏🙏 ubarikiwe

  • @michaelayubu9100
    @michaelayubu9100 3 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mzuri sana,hongera mtunzi ubarikie

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Shukrani, ubarikiwe

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 3 ปีที่แล้ว +4

    Oh! Hallelujah! Ahsanteni kwa Uinjilishaji Watu wa Mungu. Sauti nzuri na ubunifu wa hali ya juu.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante Issack

  • @thomasondabu6884
    @thomasondabu6884 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki na awatunze mnapoendelea na uinjilisti kupitia kwa nyimbo na Sauti zenu nzuri

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Amina, nawe ubarikiwe pia

  • @saidmboya5284
    @saidmboya5284 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbarikiwe wanakwaya wimbo mzuri

  • @puritynyarinda3229
    @puritynyarinda3229 3 ปีที่แล้ว +3

    I feel near to God nilisikiza huu wimbo love my Catholic faith

  • @calvinakuom9544
    @calvinakuom9544 3 ปีที่แล้ว +1

    Upendo wa dhati kweli.. Mungu akubahariki

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe pia

  • @lomelingalipansodavid4855
    @lomelingalipansodavid4855 2 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful I love this song though I don't know that language

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Thank you so much Lomeling

  • @muzikimtamumtakatifu897
    @muzikimtamumtakatifu897 4 ปีที่แล้ว +5

    Waaaaaaooooh safi sana kazi tamu sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante, 🙏🙏

  • @jovitajovin7156
    @jovitajovin7156 3 ปีที่แล้ว +9

    Nikupe nini bwana wa mabwana umenitendea mema bwana naaikiliza huu wimbo mpaka nalia asante bwana wewe unaweza endelea kutenda bwana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante, ubarikiwe

    • @gudilamichael6112
      @gudilamichael6112 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio mimi, siwez kujuzuia

  • @christianmichael5331
    @christianmichael5331 3 ปีที่แล้ว +2

    Aaaah jamani naona mmeamua kutupa raha
    Old is Gold

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      🙏🙏🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      Much more coming

  • @eliaspatrik8186
    @eliaspatrik8186 3 ปีที่แล้ว +2

    hongereni mmeimba vizuri sana cjajua mnapatikana wap

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante, tupo Nairobi

  • @linetnato4199
    @linetnato4199 4 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni sana kwa wimbo mzuri 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante Linet

    • @vedastusrobert7744
      @vedastusrobert7744 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu awabarik sana kwanyimbo zenu nzuri

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe nawe

  • @richardkatompwa8172
    @richardkatompwa8172 4 ปีที่แล้ว +3

    na barikiwa , asante Sauti tamu sana / Richard apa Denmark

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Shukrani🙏🙏🙏

  • @pondapapa8371
    @pondapapa8371 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi waimbaji wateule! Atsi!

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Shukrani

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante🙏🙏🙏

  • @sylvanusmillanzi
    @sylvanusmillanzi 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu kwa vpaji hivi

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Karibu, ubarikiwe

  • @unclewanairobioriginal
    @unclewanairobioriginal 3 ปีที่แล้ว +4

    May God continue to bless u all..sauti mzuri za kumtukuza Mungu...

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Amen. God Bless you tooo

  • @gafkosoft_tv
    @gafkosoft_tv 3 ปีที่แล้ว +5

    Sauti Tamu never disappoints

    • @sundayssmile2128
      @sundayssmile2128 3 ปีที่แล้ว

      karibu pia kutazama Muziki Mtakatifu kupitia link hii! Usisahau kusubscribe tafadhali na kuwashirikisha wengine!
      th-cam.com/video/uU3GrBC4onY/w-d-xo.html

  • @JoyLucy-lv4yf
    @JoyLucy-lv4yf 3 หลายเดือนก่อน

    Asante xana Mungu kwa yote umenitendea hata ka cna shukran ya kutosha

  • @frolenziaandrea7822
    @frolenziaandrea7822 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa 🇴🇲🇴🇲🇴🇲 nakusikiliza na pia tumeuchagua kama wimbo wa matoleo katika kusherehekea sherehe ya wa Takatifu Mashahidi wa Uganda, ambae ni MSIMAMIZI wa Africa cominity, ndani ya parokia ya MT SANT JOSEPH, HOLLY SPIRIT CATHOLIC CHARCH GHALA, NCHIN OMAN HAKIKA UNATUPENDEZA SANA ❤❤❤❤❤❤🎉🎉

    • @antonyndinga8890
      @antonyndinga8890 2 หลายเดือนก่อน

      Nilifikiri nipo peke yangu katika kuusikiliiza na kuupenda wimbo huu pamoja na kwaya nzima
      Ki ukweli unanibariki sana

  • @mariamsospeter8622
    @mariamsospeter8622 3 ปีที่แล้ว +3

    Nikupe Nini MUNGU wang Sina chakukupa MUNGU wang nitakuhimid maisha yang yote

  • @corneliuskipkoech1101
    @corneliuskipkoech1101 4 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri sana mkuuu🔥🔥🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you🙏🙏

  • @mugishakashonda4800
    @mugishakashonda4800 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa kumtukuza Mungu

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante🙏🙏

  • @deogratiuskisaka1640
    @deogratiuskisaka1640 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo ni mzuri sana mungu awabariki na kazi zenu amina

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Amina. Ubarikiwe sana nawe pia

  • @verotura2041
    @verotura2041 3 ปีที่แล้ว +3

    hizo sauti ni tamu kweli😍😍alto is so lovely💓

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante Vero, ubarikiwe

  • @dolphinewandede4820
    @dolphinewandede4820 10 หลายเดือนก่อน +7

    Proudly Catholic. The song is inspiring and a good way to thank God for what He has done in my entire life.

    • @adelakisonga9929
      @adelakisonga9929 9 หลายเดือนก่อน

      Hii nyimbo naipenda tangu utoto wangu🙏🙏🙏🙏🙏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  8 หลายเดือนก่อน

      Thank you Dolphine. God bless you

  • @donaldkomba5541
    @donaldkomba5541 3 ปีที่แล้ว +1

    mbarikiwe kwa sauti nzuri.hongereni sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Shukrani Donald. Nawe ubarikiwe

  • @user-lq1pz5oj1k
    @user-lq1pz5oj1k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo nzuri saaanaaaa. Congratulations

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  8 หลายเดือนก่อน

      Thank you so much.

  • @Annwambui5
    @Annwambui5 4 ปีที่แล้ว +13

    Nitampa sifa na shukrani tele.
    Be bkessed guys and keep serving the Lord for great is the reward present and in eternity

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Be blessed too

  • @davidkomba3868
    @davidkomba3868 4 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzur sanaa

  • @jeanmapela
    @jeanmapela 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana kwa sauti tamu

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Amina.
      Ubarikiwe nawe pia

  • @nyabendadomistien2592
    @nyabendadomistien2592 3 ปีที่แล้ว +2

    Saw kabis wimbo muzuri kabisa ndazikinda cane

  • @priscaiman2081
    @priscaiman2081 4 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana hawa wanakwaya

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante🙏🙏🙏

  • @margretnangonzi2344
    @margretnangonzi2344 2 ปีที่แล้ว +6

    Uganda we love your music 🎶🎶

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว +2

      Thank you so much. Blessings

  • @michaelmuimi9811
    @michaelmuimi9811 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika sina cha kukupa! Nifanyie msamaha na unipokee mema unayo yatenda nitafanya nini mimu nikurudishie? Nothing at all.
    Straight to the point! We cant give back!
    God's love endures forever!

  • @elizabethkiarie550
    @elizabethkiarie550 4 ปีที่แล้ว +7

    Beautiful voices, nicely done, Mungu awabariki

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe pia

  • @adrienndimurukundo5560
    @adrienndimurukundo5560 ปีที่แล้ว +8

    Very nice song.proud to be a Catholic and enjoy listening to these Catholic songs. Respect to Tanzanian catholic choirs.

  • @paulkariukimunene8285
    @paulkariukimunene8285 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo unanibariki kwa kuwa Mungu amenitoa mbali....Naupendekeza kwa mtoto wangu Claire wanjiru

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante Paul, barikiwa sana pamoja na Claire

  • @footballgladiator2542
    @footballgladiator2542 2 ปีที่แล้ว +1

    mimi sauti zimenimaliza, literarally good song

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      Thank you so much

  • @philomenasjohn9083
    @philomenasjohn9083 4 ปีที่แล้ว +4

    Sauti ziko vizuri, hongeteni sana

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante Philomena

  • @TomNyongesa
    @TomNyongesa 4 ปีที่แล้ว +79

    Lyrics
    { Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini we Mwokozi
    Nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza } *2
    Kila nitakachoshika mbona bado ni kidogo
    Fadhili unazotenda kwangu mimi naogopa
    Ninakuomba Mwokozi, nifanyie msamaha na unipokee
    Mema unayoyatenda, nitafanya nini mimi nikurudishieNakutolea mkate toka mmea wa ngano
    Nakutolea divai ni tunda la mzabibu
    Ninakuomba Mwokozi . . .Mchana hata siku wewe wanisimamia
    Na nikiwa safarini waniepusha ajali
    Ninakuomba Mwokozi . . .Nikiwa na matatizo Bwana wanisaidia
    Nikiwa kwenye majonzi Bwana unanifariji
    Ninakuomba Mwokozi . . .Kama njia siioni Bwana unaniongoza
    Na hata nikipotea kwako unanirudisha
    Nitatoa nini mimi, kitakachokuwa sawa, na fadhili zako
    Nitaimba vipi mimi, niyataje mema yote, utendayo kwangu

  • @alexhamiss1441
    @alexhamiss1441 3 ปีที่แล้ว +2

    Imekaa poa sana nanimekumbuka mbali sana mwasalipa

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante, ubarikiwe

  • @elizabethapondi8655
    @elizabethapondi8655 3 ปีที่แล้ว +2

    Sauti tamu nawapenda bure...barikiweni mnapotubariki kwa uimbaji wenu

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante Elizabeth, ubarikiwe

  • @evelyneblessed1673
    @evelyneblessed1673 2 ปีที่แล้ว +8

    Am not a catholic but touched with the song

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว +1

      Thank you Evelyne

    • @wowcheers7488
      @wowcheers7488 ปีที่แล้ว +2

      Kudos to you friend. Cheers.

  • @laliakiza371
    @laliakiza371 4 ปีที่แล้ว +3

    Nikupe nini chakukupendeza nice song🎤🎤❤❤❤🙏🙏🙏God bless you

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      God bless you too Lalia

    • @laliakiza371
      @laliakiza371 3 ปีที่แล้ว +1

      @@SautiTamu ❤izi song kwa audio naweza nikazipata kwa name gani??

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Audio pengine udownload ukitumia app ya kudownload audio from TH-cam, au uwhatsapp +254718801590

    • @laliakiza371
      @laliakiza371 3 ปีที่แล้ว

      @@SautiTamu thx I'm mu catholic❤❤❤🙏🙏🙏

  • @paschaldamian4597
    @paschaldamian4597 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni kwa kutuinjilisha kwa wimbo mtamu unaogusa hisia za mioyo yetu ,mbarikiwe mno wanakwaya wetu

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Shukrani, ubarikiwe nawe pia

  • @barnabangetich
    @barnabangetich 3 ปีที่แล้ว +2

    Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza,,,very blessing song

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      blessings to you

  • @hilalionhilaliont2324
    @hilalionhilaliont2324 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli mmenigusa sana.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Karibu, ubarikiwe

  • @esthermbithi1128
    @esthermbithi1128 ปีที่แล้ว +3

    Wauh!!!!!!what a song,,,,,hongera kwenu,,,mnazifanya nyimbo zile za kitambo kuwa Tamu Zaidi,,,,I like your melodious voices ,,,,be blessed

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much.
      Blessings to you

  • @gastorynestory9034
    @gastorynestory9034 3 ปีที่แล้ว +2

    Amaa kwelii nimebarikiwaa sanaa

  • @aureliachaki5882
    @aureliachaki5882 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa sijui nimpe nini Mungu cha kumpendeza

  • @schefferoderakadu6327
    @schefferoderakadu6327 4 ปีที่แล้ว +42

    This song is just too nice,proud of being a Catholic man

  • @kateloshande1034
    @kateloshande1034 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika mmeuteka moyo wangu! Mbarikiwe na ikiwezekana, ningetamani maneno ya sauti zote nne yachapishwe hapo chini. Karibuni tena North Horr.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante Katello.🙏🙏 North Horr was a beautiful tour

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Sop:
      Nikupe nini Mungu wangu,
      nikupe nini we Mwokozi
      Nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza
      Alto:
      Nikupe nini we Mwokozi,
      Nikupe nini we nikupe nini cha kukupendeza
      Tenor
      Nikupe nini we nikupe nini
      Nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza
      Bass
      Nikupe nini we
      Nikupe nini we Mwokozi
      Nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza

    • @kateloshande1034
      @kateloshande1034 4 ปีที่แล้ว

      Thank you so much. Be blessed

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Welcome

    • @kateloshande1034
      @kateloshande1034 3 ปีที่แล้ว +1

      I really want to join this choir. Sana sana hawa wa zilizopendwa.

  • @quinkei5587
    @quinkei5587 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi safi sana, Alto mko juuuuuuuuu pongezi. Continue praising God 🙏 all time

  • @festotemba7405
    @festotemba7405 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnaimba viziri Sana sauti zenu nzur

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante Festo, ubarikiwe

  • @patriciajulius4010
    @patriciajulius4010 3 ปีที่แล้ว +16

    Am proud to be a Catholic not only Catholic but a singer.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Amen God bless you

    • @wowcheers7488
      @wowcheers7488 ปีที่แล้ว +1

      Nice to meet you, my friend. Cheers.

  • @mercymacline658
    @mercymacline658 4 ปีที่แล้ว +8

    Blessed of very nice song,vocal keep it up

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you, be blessed as well

  • @marymwachofi7321
    @marymwachofi7321 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda hii song hunibariki sana

  • @adrolpfinakwimba6009
    @adrolpfinakwimba6009 3 ปีที่แล้ว +1

    Mko vizuri,Mungu awabariki

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏Mungu akubariki pia

  • @sauti_za_kuimba
    @sauti_za_kuimba 4 ปีที่แล้ว +3

    Sauti Tamu. Sauti nzuri ya kuimbia

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

  • @normanmoriasi49
    @normanmoriasi49 4 ปีที่แล้ว +7

    Could not make to church and had to listen to mass songs and i bet you guys made it worthwhile

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Be blessed, thanks for watching

  • @KimuliDenis-ch7ti
    @KimuliDenis-ch7ti 2 หลายเดือนก่อน

    Am so happy to be a Catholic. Thanks so much.

  • @victoryshivan3207
    @victoryshivan3207 2 ปีที่แล้ว +1

    Sauti tamu kweli 👏🤝

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  2 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏🙏

  • @AnalystTosh
    @AnalystTosh 2 ปีที่แล้ว +5

    This song is giving me high school flashbacks inside the school chapel.. St Pius X Seminary - Nkubu

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  ปีที่แล้ว +1

      Thank you Clement
      Blessings to you

  • @SirJames065
    @SirJames065 4 ปีที่แล้ว +5

    quality production kama kawaida..

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Asante Jaymo

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice song nikupe nini mungu wangu 🙏🙏💞💞💞🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante, ubarikiwe

  • @rebeccamutembule644
    @rebeccamutembule644 2 หลายเดือนก่อน

    Sure, sijui ,nimpe nini kwani siwezi nikamtoshanisha ni chochote mimi. Hakika amenitenda mema

  • @okongostephenv5421
    @okongostephenv5421 4 ปีที่แล้ว +5

    Good work, what shall I give you oh my God to make you happy

  • @blessedjaneffer665
    @blessedjaneffer665 4 ปีที่แล้ว +7

    Nice song,, thanks to sauti tamu

  • @jenniferkinyanjui7059
    @jenniferkinyanjui7059 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikupe nini Mungu wangu ..... 🙌

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kutazama, Ubarikiwe

  • @victoriamutinda6501
    @victoriamutinda6501 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba original wa wimbo huu ulivyo imbwa zamani...

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Audio yake haipatikani

  • @Collinscj
    @Collinscj 4 ปีที่แล้ว +8

    I miss attending mass in my country.... Be blessed so that song... watching from Doha Qatar.

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Be blessed, wherever you are watching from

    • @shafysjhd7430
      @shafysjhd7430 4 ปีที่แล้ว

      Miss tu aki niko saudia

  • @classjapuonj
    @classjapuonj 4 ปีที่แล้ว +9

    Reminds me of my late mother. Nice song

  • @SadickKatundu
    @SadickKatundu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzuri hongereni jaman

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 หลายเดือนก่อน

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @verotura2041
    @verotura2041 3 ปีที่แล้ว +2

    lovely💞💞huu wimbo huguza sana🥰
    kazi safi Munyoki and the Team👏👏

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  3 ปีที่แล้ว

      Shukrani sana Vero🙏🙏

  • @speciozamethod6554
    @speciozamethod6554 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana mwendele kutuinjisha

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Shukrani Specioza, ubarikiwe

  • @matthiasmaganga8196
    @matthiasmaganga8196 4 ปีที่แล้ว +6

    Favorite song...! proud of Christian/Catholic

    • @SautiTamu
      @SautiTamu  4 ปีที่แล้ว

      Thank you

    • @matthiasmaganga8196
      @matthiasmaganga8196 3 ปีที่แล้ว

      We expect a lot of songs from you, showers of blessing to you all!

  • @veroniquevee2444
    @veroniquevee2444 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikupe nini bwana wangu cha kukupendeza🙏

  • @ewardmichael8385
    @ewardmichael8385 3 ปีที่แล้ว +1

    Unanikumbusha mbali sana st Joseph sanu seminar mpo