PASCHAL CASSIAN NIKULIPE NINI OFFICIAL VIDEO (NIKULIPE NINI ALBUM)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 486

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 3 ปีที่แล้ว +32

    Kuna wanawake wengi lakini wewe dada ni Mke... kwa kwel Ubarikiwe
    ❤️

    • @AgnesKilingo
      @AgnesKilingo 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 3 ปีที่แล้ว +16

    du 🤔🤔🤔 nimetokwa na machozi 😭😭😭😭😭 hivi ni wewe ulikuwa ukiteseka kiasi kile? nilitokwa na machozi kila nilipoangalia nyimbo zako harafu mwisho wa siku ukawa hujiwezi kwa chochote, ila nikafurahishwa na mwanamke mwenzetu alivosimama na wewe kwa uzima na marazi bila kukata tamaa wala kukatishwa tamaa kweli unajambo la kujibunia kuimbanae, hapo ndo nilijifunza kitu kwake, na leo tena mtumishi wa mungu umesimama!!! kweli mungu anatakiwa aitwe mungu. amekupigania mpaka hapo ulipo ni neema yake pia amekupa mke bora si bora mke tunawaombea awaweke myaka yote, bila kusahau mheshimiwa Paul makonda uliko urifanya kitu kwa Paschal barikiwa sana mungu atakupa fungu rako

  • @dianasimon7769
    @dianasimon7769 3 ปีที่แล้ว +7

    Daaaah nikulipe nn? Mungu kwa kumponya mtumishi wako cassian hakika nikulipe nn? Mungu kwa haya yote Asante yesu

  • @dottodismas6672
    @dottodismas6672 ปีที่แล้ว +3

    Penda sana wimbo huu mungu Akubaliki sanaaa

  • @Herimapesaog
    @Herimapesaog 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongela sana mtumishi wa mungu kwa kaz njema ya mhubli wa injili

  • @gitiganiibrahimdanhi7692
    @gitiganiibrahimdanhi7692 3 ปีที่แล้ว +16

    Hakika huyu Mungu anastahili Sifa,Hekima na Utukufu Siku zote.
    Yaani ninavyoendelea kukuona Mr Paschal ndipo ninavyoamini Mungu yupo na anaishi Sifa na Utukufu ni kwake.
    Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki siku zote za Maisha yako mtumishi.

  • @josephmasika1604
    @josephmasika1604 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo zako sio nyimbo tu bali ni mahubiri yaliyo na mafunzo Kwak Jamie nzima.ubarikiwe ndugu

  • @MailesYanga-dg7we
    @MailesYanga-dg7we 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka nyimbo zako zinanifundisha kitu sana naelew Nini unataka Kwa watu wafanya kuwa ni nyakati za kuamka sio kulala tena Mungu saidia watu waelew Nini yaliyo mapenzi ya Mungu kwao , kweli Mungu amekusaidia hakika ni Ebenezer

  • @nuruelmada9570
    @nuruelmada9570 3 ปีที่แล้ว +14

    Nikulipe nini Mungu wangu kwa ajili ya mtumishi wako Huyu Uliempa nafasi nyingine , Niseme aksante

  • @sajocbc7726
    @sajocbc7726 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu ni mwema, nyimbo zako zote ni fundisho sana kwangu. Hii nyimbo imenifurahisha mkimtukuza Mungu kwa makuu alotenda. Mke wako amesota sana na wewe leo hii mnaenjoy mkimtukuza Mungu. Pascal natamani tukutane ila sijui wapi. Unanipa faraja sana. Mke wako ni mke wa mfano sana. Mungu amuinue ktk hata mahubiri ili aweze kuokoa wengi waliokata tamaa. Uvumilivu ni mtaji. Ameni

    • @faridanjwete7445
      @faridanjwete7445 ปีที่แล้ว

      Huyu ndiye mke aliyetoka kwa bwana, moyo wa huyu dada ndiyo moyo ambao tulitakiwa tuwe nao wanawake wote Duniani kwa maana hiyo hata migogoro kwenye ndoa zisingekuwepo....Mungu azidi kumuinua zaidi na zaidi, nakosa ya kuandika all in all Mungu awatunze

    • @AnisetaMeena-pz7ft
      @AnisetaMeena-pz7ft ปีที่แล้ว

      Wanawake tuvae magazine kusitiri

  • @dottodismas6672
    @dottodismas6672 ปีที่แล้ว +2

    Penda sana nyimbo zako mungu Akubalikii

  • @user-yn5jx5et5y
    @user-yn5jx5et5y 6 หลายเดือนก่อน +1

    hakika huna chakulipa zaidi ya kumtukuza mungu wetu naupenda huu wimbo nausikiliza kila siku nabado haunichoshi masikiyoni mwangu MUNGU akubariki Sana mtumishi

  • @jamesdonard2081
    @jamesdonard2081 3 ปีที่แล้ว +25

    Kaka MUNGU akulinde na mabaya yote uishi maisha marefu yenye heshima nakukubari sana kaka natamani siku moja nifanye kazi na wewe

  • @user-gt2hh1wk7r
    @user-gt2hh1wk7r 8 หลายเดือนก่อน +1

    ohooooooh!!mungu wewe na familia yako kaka niklipe nini mungu kwa haya yote umenitendea ahsante mungu akubariki

  • @emmanuelnasasi5943
    @emmanuelnasasi5943 2 ปีที่แล้ว +3

    Wadau jaribuni kutoa comment zenu kwa lugha ya Taifa hats aliyeimba tumemuelewa si wote in wasomi. Amen Mungu anawapenda.

  • @marymichael5735
    @marymichael5735 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mwema mtumishi nakufatilia sana Yan napenda nyimbo zako Mimi pia ni fans wako naomba mungu anipe hata kipaji cha kuwa muimbaji

  • @antonybella3778
    @antonybella3778 2 ปีที่แล้ว

    Kali sana nikulipe nini mungu kaka uko vizuri natamani nifanye kazi na wwe

  • @AngelAngel-sy6my
    @AngelAngel-sy6my 3 ปีที่แล้ว +14

    Nikulipe nini MUNGu 🙏🙏🙏🙏sina chakukulipa Pokéa sifa

  • @stjfamilytz7824
    @stjfamilytz7824 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri nimeupenda! MUNGU akuinue pia awe pamoja nawe usiishie njiani sikumoja tuketi pamoja na kristo YESU,natamani nikuone sikumoja na ninaamini tutaonana unanibariki sana b blecd

  • @edwardjohn6597
    @edwardjohn6597 3 ปีที่แล้ว +1

    Naskia machozi ndani yangu

  • @shukurumamba7329
    @shukurumamba7329 3 ปีที่แล้ว +3

    Mumenibariki Sana Hadi nimecheka mwenyewe mlivyopendeza na kucheza kwa furaha ya YESU kristo

  • @gisellekavira8966
    @gisellekavira8966 3 ปีที่แล้ว +15

    Mama asante kuhudumu panaja na mzee wako .
    Mothers let us support our husbands.❤️❤️❤️❤️

  • @RitaAndai-uy8zb
    @RitaAndai-uy8zb 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kusema kweli sina cha kukulipa Mungu wangu zaidi ya kukuabudu na kukutumikia. God your faithful, umenitoa mbali sana. Always grateful to u Lord, be blessed bro for this wonderful song

  • @michaelalfonce6340
    @michaelalfonce6340 3 ปีที่แล้ว +4

    Shetani hajawahi tegua kitendawili cha Mungu,hii chenga aliyopigwa na Mungu hatasahau maana alijua umeshikwa na mauti kumbe uko kalakana.

  • @jacquelinemkatolamkatola2519
    @jacquelinemkatolamkatola2519 3 ปีที่แล้ว +5

    Yesu nimwema maana mamulaka nayo yeye walitaka ufee ila walisaau kuwa funguo wa mauti na uzima anawezo yeye siba wa Yoda

  • @WittnessShoo
    @WittnessShoo 5 หลายเดือนก่อน

    Good song balikiwa sana sana kakayangu mwenyezi mungu akupiganie akubali penda sana music zako zinanipa tumaini

  • @happinessshirima3279
    @happinessshirima3279 2 ปีที่แล้ว

    Hakika wew kaka ulipata mke Bora sana na sio Bora mkee

  • @ahadikabuje
    @ahadikabuje 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Kwa wimbo huu ukisiriza kuondoka nyumbani kazi

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 3 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa amekusaidia kaka hata mke wako kwa uvimilivu wake mungu ambariki

  • @sophiezakaria
    @sophiezakaria 3 ปีที่แล้ว +9

    Pascal ana sauti nzuri sana, mtumkie mungu ndugu, Dunia itapita ila neno la bwana litasimama

  • @user-ww9gd8pb7o
    @user-ww9gd8pb7o 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nikulipe nini Mungu kwa yote uliyonitendea AMEN 🙏🏻

  • @theheavens8002
    @theheavens8002 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Mungu kwaajili yako na Mungu akubariki sana pia amuongezee zaidi mkeo maana hakujaribu kukuacha huyo ni zaidi ya Mke maisha yenu yainuliwe sana.

  • @ireneabrahamu4436
    @ireneabrahamu4436 2 ปีที่แล้ว

    Katika vyote mke tu umempata, nampenda sana mkeo nimfano wakuigwa.

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 4 หลายเดือนก่อน

    Szan saiv afrik masharik kuna mtumish unae hubir njia ya kwel kama wew,Mungu awez kukuacha ata kdogo

  • @sajocbc7726
    @sajocbc7726 2 ปีที่แล้ว +2

    Pascal Pascal Pascal leo nyimbo hii nimetingwa na majonzi baada ya kupitia video zako kuonesha ulivyoteseka,kuwa ulivyo sasa ni Neema ya Mungu sana. Maono ya kutunga na kuimba wimbo huu ni shukrani kubwa sana kwa Mungu wetu aliye hai. Nikusihi usimuache Mungu wetu,usiache huduma yako na usiache kumwambia mke wako kupitia Mungu amekuheshimisha. Hakika nakupenda asanteni sana kwa wimbo huu.

  • @eunicenanzala2784
    @eunicenanzala2784 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa Sana'a kupitia kwa hizi nyimbo be blessed my brother

  • @annemakonjo
    @annemakonjo ปีที่แล้ว

    Amen napenda ujumbe wa nyimbo zako uwa sinaniguza mahali aki

  • @RehemaKatana-gc1mz
    @RehemaKatana-gc1mz ปีที่แล้ว

    My daily watching aki hapa lazma nitoke na baraka Mungu skia ombi langu

  • @fredrickmikera5998
    @fredrickmikera5998 3 ปีที่แล้ว

    Nimeamin wew ni mtumishi wa Mungu kweli usiekuwa na mawaa nimekufatilia sana kaka

  • @barasaisabella97
    @barasaisabella97 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako. May you live long to continue ministering. #much love from Kenya

  • @undulemwakibabala8119
    @undulemwakibabala8119 3 ปีที่แล้ว +1

    Sifa na Utukufu tunampa Mwenyezi Mungu maana ndiye aliyeshika funguo za uzima wako

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 3 ปีที่แล้ว +7

    Dhahabu lazima ipete kwenye moto ili in’gae ni kweli Mungu yupo.👏🏿

  • @alexgabriel1192
    @alexgabriel1192 4 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo sio bure inautukufu wa Mungu mana kila nikisikia nakuta Machozi yananitoka mana binadam uwa tunapitiaga magumu sana ambayo bila Mungu wengine tungeshazikama hakika maisha ya mtumishi wew ni shuhua tupu

  • @espoirmlondani-ue2fm
    @espoirmlondani-ue2fm ปีที่แล้ว

    Amin nyimbo zuri sana tumebarikiwa pia baba Mungu mbinguni akubariki

  • @marrymayamba6868
    @marrymayamba6868 3 ปีที่แล้ว

    Obeja sana kaka lembo lawiza sanaaaaa

  • @user-ep9by3ui1v
    @user-ep9by3ui1v 8 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kaka mungu atukuswe kabisa

  • @jenifamaeda1068
    @jenifamaeda1068 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema sana nyimbo zinaujumbe mzuri sana jamani

  • @fatumanaliaka2210
    @fatumanaliaka2210 3 ปีที่แล้ว +6

    Ameeeeen and Ameeeeen Kaka Mwenyezi Mungu akulinde akutunze akutawale akuongose aendelee kukupa nguvu na afia njema na uzima tele na familia yako na azidi kukuinua juu sana kwa kazi yake katika Jina La YESU Kristo aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @protaisburundi9081
    @protaisburundi9081 3 ปีที่แล้ว +8

    Nyimbo nzuri kabisa hatuna chakumripa sifa zimurudirie amen

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sawa. Mtumishi ..mungu ambariki pia mkeo

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga หลายเดือนก่อน

    Nikulipe nn mungu kwa afya na uzima unaoachilia juu yangu na watoto na ndugu zangu ninakushukuru 🙏🙏

  • @hellendaudi7756
    @hellendaudi7756 3 ปีที่แล้ว +9

    God works in a define Protocol.. Uko na ushuhuda mkubwa sana kaka...mungu azidi kukuinua ...nakufatilia sana..

  • @medarute-yo6qz
    @medarute-yo6qz ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu hatuna chakumludishia Mungu

  • @antonywendall
    @antonywendall 2 ปีที่แล้ว

    nyimbo za kugusa roho barikiwa Ndugu yangu

  • @winniejosephat
    @winniejosephat ปีที่แล้ว

    Sauti nzuri kweli😘😘😘😘😘

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Cassian hakika Bwana anastahili maana hakika amekutendea.

  • @gabrielkway7374
    @gabrielkway7374 3 ปีที่แล้ว

    Hongeraa sana kweli mungu anatenda

  • @paolabiregeyi7344
    @paolabiregeyi7344 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Kaka...uliniimbiya iyi nyimbo.....🥰♥️♥️♥️♥️♥️

  • @PaskalEmilist
    @PaskalEmilist หลายเดือนก่อน

    Nikulipee nini mungu wanguuu akikaa unakilaaa sababuu ya kupewaa sifaa mungu wangu

  • @jacklinehermani1491
    @jacklinehermani1491 3 ปีที่แล้ว

    nataman kulia nikisikiliza huu wimbo mungu akutunze kaka Pascal amtunze na wifi yetu dada anamoyo anaupendo wa dhat uyo dada jaman mungu azid kukutunza kaka

  • @patriciangonyani9108
    @patriciangonyani9108 3 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa xn Mungu azidi kukutumia kaka angu

  • @safisimkoko1932
    @safisimkoko1932 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka barikiwa sana mwenyezi mungu azidi kukuinua katika viwango vya JUUU sana nasituweze kupata faraja daima

  • @sikudhanimkwama6084
    @sikudhanimkwama6084 2 ปีที่แล้ว

    Pascl kasian naomba Mungu akupe ujasiri mana nilipopitia mapito magumu sna nilikimbilia kwa wchungji wa miujiza lkn ile nyimbo yko ya mafuta uombewe imenitia nguvu sana Mungu akubariki sana

  • @ericko2694
    @ericko2694 11 หลายเดือนก่อน +1

    I love it from Kenya be blessed

  • @pendocephas3281
    @pendocephas3281 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu aendelee kukuinua wimbo huwa unanibariki mno sina cha kukulipa Mungu wangu uliyonitendea ni mengi Sana nikitafakari najikuta namwaga tu machozi

  • @user-tg5rm8ch4m
    @user-tg5rm8ch4m ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭 nikulipe nn mungu wangu nikulipe nn nilipata ajali ambayo nilijua cntopona lakn Leo natembea nkulipe nn mungu mbarikiwe sn mtunmishi🙏🙏🙏🙏

  • @ezekielsonda3335
    @ezekielsonda3335 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu Yuko nasi big Brother

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 ปีที่แล้ว

    Amen sauti nzuri sana❤❤❤

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukutunza hakika Mungu ni mtetezi ila vita bado Endelea mbele

  • @irankundaeric6397
    @irankundaeric6397 2 ปีที่แล้ว

    Mi ni Éric gutoka Burundi nagpenda sana

  • @victorraphael9542
    @victorraphael9542 ปีที่แล้ว

    Mungu abarik Kaz ya mikono yako uishi Manisha marefu

  • @emediapela4802
    @emediapela4802 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mtoto wa mfalme . Ila kwawenzangu wote tufanye ima kubwa kwa mchango wamazabao kila mtu kwakile alicho Nacho natusichoke kusoma biblia hapo ndipo tutakapo muelewa zaidi hasante

  • @reymasenya6450
    @reymasenya6450 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikulipe Nini Mungu Wangu

  • @hildahokororo5932
    @hildahokororo5932 3 ปีที่แล้ว

    Du ubalikiwe na mungu akika umepitia magumu akika mungu ametaman uwendelee kuishi ubalikiwe

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

    Ila we mjamaa mungu anakupenda Sana nkikutzama wwnamuona rose muhando wa kiume

  • @monucesthela6089
    @monucesthela6089 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amekutowa mbali kweli hauna chaku mulipa mutumikie

  • @furahamambusu4456
    @furahamambusu4456 3 ปีที่แล้ว

    Ndugu pole sana hii wimbo inanisaidia sana. Ubarikiwe

  • @kenethmichael5427
    @kenethmichael5427 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @flom7808
    @flom7808 2 ปีที่แล้ว

    😌😌😌 this song 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ubarikiwe kaka

  • @user-oj2yp6ju5b
    @user-oj2yp6ju5b 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika mungu ni mwema sana yeye no mkuu sana kwetu

  • @anicetoguarda960
    @anicetoguarda960 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa kutenda Miujiza baba inulia baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mungu sio mwana dam

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 3 ปีที่แล้ว

    Barikiw San mtumishi song kali

  • @ChaulaFredrickHenricus
    @ChaulaFredrickHenricus 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika hakuna Cha kumlipa Mungu tumuombee ndugu yetu anaujumbe mzuri wa nyakati za mwisho Hakika ni Mungu Pekee aliyebaki hakuna mwingine ametusaidia ametuokoa na ametuhurumia

  • @nizaelluka627
    @nizaelluka627 3 ปีที่แล้ว +1

    Chakumlipa hatuna baba, tuseme tu mungu asante, kwa ajili yako cassian namshukuru sana mungu, mungu anahajambo nawewe hakika,

  • @ptheservant8974
    @ptheservant8974 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wewe ni ushuhuda mungu akutie nguvu, ni kweli Zaburi 34:19
    Mateso ya mwenye haki ni mengi lakini bwana humponya nayo yote...
    Nakutabiria kishindo katika huduma wako, na neema zaidi ya kutangaza injili katu hautanyamaza wala kunyamazishwa kwa lolote, kwa jina la Yesu kristo paa kwa juu zaidi.

  • @gabrielmwaipopo1739
    @gabrielmwaipopo1739 2 ปีที่แล้ว

    Mwinjilisti balikiwasana munguakuongezee miakayakuishi kamayote

  • @bkmatelephone142
    @bkmatelephone142 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zako Kama vile unaniimbia Mimi mungu akubariki kakaaa Pascal Cassian

  • @yusuphhelman
    @yusuphhelman ปีที่แล้ว

    Ubarikiwee xana mtumishi mungu akutunze

  • @BenjaminSuleiman-wt4ye
    @BenjaminSuleiman-wt4ye ปีที่แล้ว

    Asante Sana Una ujumbe mzuri ningependa uzidi kumtumikia Mungu and I know he will reward you friend

  • @evelynejuvenary2631
    @evelynejuvenary2631 2 ปีที่แล้ว

    Amen Cassian Mwenyezi Mungu akutunze Sana 🙏

  • @neematausi1115
    @neematausi1115 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishi iyi karama iyendeleye

  • @fednandkisinda7632
    @fednandkisinda7632 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anamakusudi nawew majalibu unayopitia wew mi nisinge weza

  • @janengunguru4710
    @janengunguru4710 2 ปีที่แล้ว

    Kila wakat nasikiliza wimbo huu mzur sana sana

  • @mariamjuma2908
    @mariamjuma2908 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu hua unabariki Sana

  • @Nywage200
    @Nywage200 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana, Kamanda wa injili Mungu azidi kukutunza

  • @barakajacobs4539
    @barakajacobs4539 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nikulipe nini MUNGU kwa haya yote mema umenitendea, Asante YESU wangu .

  • @neematausi1115
    @neematausi1115 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishiye iyi karama iyendeleye

  • @sekelabrown2301
    @sekelabrown2301 3 ปีที่แล้ว

    Amina atuna cha kumlipa mungu balikiwa sana mtumishi

  • @AnnoyedAstronomicalModel-im2tu
    @AnnoyedAstronomicalModel-im2tu 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi

  • @bukuruphilibert8658
    @bukuruphilibert8658 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki wanawake wote wanaosimama na wenzi wao katika hali ngumu hao ndio ubavu sahihi