Aysher Vuvzela - Sipendi Kugombana (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 366

  • @jumannerashid7862
    @jumannerashid7862 3 ปีที่แล้ว +32

    Jaman hii nyimbo ni zaid ya taarabu like za kutosha

  • @HawiaFrancis
    @HawiaFrancis 11 หลายเดือนก่อน +6

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥wimbo wa mie jaman

  • @SmonTangas
    @SmonTangas ปีที่แล้ว +2

    Ukopowa vuvuZera nakupenda sanatenasana w2wwa

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 2 ปีที่แล้ว +5

    Hawa mabonge bonge wanakuwaga na roho safi asilimia Chache ndo wabaya

  • @wadidazone5759
    @wadidazone5759 2 ปีที่แล้ว +6

    hii nyimbo pambee sana inakuna mpk kwenye rohoo ujumbe sasa moto

  • @keziahapiyo3871
    @keziahapiyo3871 ปีที่แล้ว +7

    Huu nymbo Aysher alitisha sana naipenda mno💞💓

    • @Ashajumababuhija
      @Ashajumababuhija 11 หลายเดือนก่อน +1

      Huu nyimbo uliweza ata wakiiga awakomboi

  • @husnabakari-km2bf
    @husnabakari-km2bf ปีที่แล้ว +3

    Unajua mpaka unajua tena

  • @soniachenga1762
    @soniachenga1762 2 ปีที่แล้ว +3

    Una nikosha mie

  • @issahabunu197
    @issahabunu197 2 ปีที่แล้ว +2

    Tom rey kibajajiiiiiiiiiiiii😂😂😂

  • @Kibitiyetu1
    @Kibitiyetu1 3 ปีที่แล้ว +64

    Kama Ww ni Team Vuvuzela 👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josephinandimbo4947
    @josephinandimbo4947 3 ปีที่แล้ว +8

    Nakubariiiiiiii apo ukisema potelea mbal nawambia wakaz gani namjali anae nijal namthamini anae nithaminiiiii

  • @LatifaIssa-u7v
    @LatifaIssa-u7v 14 วันที่ผ่านมา

    Duuh ni moto

  • @mambaby4174
    @mambaby4174 2 ปีที่แล้ว +3

    Asant napenda san

  • @FauzHamisi
    @FauzHamisi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aisha Tanzania I love you song I don't understand that language but it's nice song nice❤❤❤❤❤🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇺🇬🇺🇬❤

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 2 ปีที่แล้ว +7

    Usafi wangu wa moyo Mungu kanijaalia nzuri sifa yangu ndio mana mwanichukia..
    Maisha sasa mapambano sio kucheza makida, mie sipendi marumbano kwangu hayana faida..

  • @PrudenceAlphonce-hf3xc
    @PrudenceAlphonce-hf3xc ปีที่แล้ว +3

    Asante sana dada vuvzela heshima kwako nimeipenda sana

  • @HadijaRamadhan-s2l
    @HadijaRamadhan-s2l 2 หลายเดือนก่อน +3

    2024 team vuvuzela ❤🎉

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 4 หลายเดือนก่อน +10

    Kama unasikiliza 2024 pembeni unashushia maji barid gonga like😂😂

  • @SmonTangas
    @SmonTangas ปีที่แล้ว +2

    Mmm taangiareoo Tim vuvuuuzeeeranampenda sana tenasana

    • @SmonTangas
      @SmonTangas ปีที่แล้ว

      Ooooooooyooowawooo

    • @zainatvonline9389
      @zainatvonline9389 7 หลายเดือนก่อน

      Naipenda sana hii taarabu😍

  • @abdalahsimba
    @abdalahsimba 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wakuache jamani penda sanaaaaaaa

  • @hassanjuma8940
    @hassanjuma8940 2 ปีที่แล้ว +2

    Wemdad mungu akuondoshee usda napenda manenoyak kwakwel nidhair binadam wanayo👉❤️💯💯🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zinabzinabo8916
    @zinabzinabo8916 3 ปีที่แล้ว +3

    Santaaa 🇧🇭✈️🇰🇪 kufatilia mpaka wpiii umenigusa

  • @rahmaiddynyarando2782
    @rahmaiddynyarando2782 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo unanitoaga machoz

  • @mariammussa614
    @mariammussa614 2 ปีที่แล้ว +2

    Naielew hi balaa umeimba dada

  • @ashamchani8834
    @ashamchani8834 2 ปีที่แล้ว +3

    Wajina hiii nyimbo Ni tamu Sana mama tudambue tu wajina wangu maisha marefu

  • @mwanashasalim-ts4hz
    @mwanashasalim-ts4hz 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤hapo Sasa ukweli kabisa

  • @ShadiaShomary
    @ShadiaShomary 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupend sana uwe na maisha marefu❤❤❤

  • @luqmaniddy742
    @luqmaniddy742 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akusmamie tunakukubali sana

  • @abubakaryabrahman9109
    @abubakaryabrahman9109 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @FloisAiyeta
    @FloisAiyeta 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hua sipendi kugombana yamenishinda🔥🔥🔥

  • @ChikuAbushiri
    @ChikuAbushiri 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda bure Mamaa Vuvuzela❤

  • @MagdarenPauro-oi8kw
    @MagdarenPauro-oi8kw 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewaa sana we dada ❤

  • @kelevinally2962
    @kelevinally2962 3 ปีที่แล้ว +6

    Tupooooo anajua anajua kabisaa

  • @raiyahamis7581
    @raiyahamis7581 2 ปีที่แล้ว +2

    Atariiii

  • @tatushebe8781
    @tatushebe8781 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda buree eeee

  • @omarymussa1714
    @omarymussa1714 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah dada anaweza💯💯

  • @SalhaMikidadi
    @SalhaMikidadi 5 หลายเดือนก่อน

    kwa kweli mashallh naipenda saana❤

  • @RamlaJuma-ct9jb
    @RamlaJuma-ct9jb 7 หลายเดือนก่อน

    Fundi kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZuhooraSalim
    @ZuhooraSalim 5 หลายเดือนก่อน

    Kweri ❤❤❤nakupenda sana

  • @RajabuMwago-ck9mt
    @RajabuMwago-ck9mt ปีที่แล้ว +1

    Kuongea mmejaaliwa mnavo nifatilia mnachelewa kulla atareeee

  • @Esther-rk9ir
    @Esther-rk9ir 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada wimbo wake una ujumbe mzuri

    • @mimubabe3950
      @mimubabe3950 ปีที่แล้ว

      Mimi hii nyinmbo nazipenda cpenda taatabu lakn hii aaah too much jaman

  • @fatumasalehe-ch9jf
    @fatumasalehe-ch9jf 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sanaaaa

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 3 ปีที่แล้ว +2

    Iko poa sana

  • @bakarihamisibakari3004
    @bakarihamisibakari3004 2 หลายเดือนก่อน

    Sana mamaaaa

  • @mwahyariseyo6981
    @mwahyariseyo6981 2 ปีที่แล้ว +2

    Unavaa simple na unapendeza kazi upo vizur pia

  • @aishalikopaga4341
    @aishalikopaga4341 2 ปีที่แล้ว +4

    Unanikosha sana wajina wangu Mungu akujaalie uzima na afya,,nakupenda sana kipenzi changu ♥️♥️

  • @luhendesalaganda8782
    @luhendesalaganda8782 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimependezw n mashauzi yko

  • @FatumaNasri-tn7wk
    @FatumaNasri-tn7wk ปีที่แล้ว

    Nakupenda vuvuzela iyooo nyimbo ikiimbwa adi nalia

  • @abbasschezntemba3815
    @abbasschezntemba3815 3 ปีที่แล้ว +2

    Safiiiiiiiiiiii hoooo

  • @mejumaabati5375
    @mejumaabati5375 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo zako mashaallah dada 👍🥰🥰🇰🇪🇰🇪✌️✌️💋💋

  • @abubakaryabrahman9109
    @abubakaryabrahman9109 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo nzur sana

  • @saidshaibu6676
    @saidshaibu6676 ปีที่แล้ว +1

    Unajua dada tena usimami unageuka na nyuma xo wengine wanasimama 2 kaa misumar

  • @fredyamon329
    @fredyamon329 11 หลายเดือนก่อน

    Naipenda ihii nyimbo jamani ninavyofanyiwa jamani kujipendekeza kote umenikosha dada

  • @jumaahussein4847
    @jumaahussein4847 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda sana 🇰🇪

  • @ulongebaba2871
    @ulongebaba2871 3 ปีที่แล้ว +1

    NNakubari Dada vuvu zera ila naomba ratiba za show zako naskiaga raha sana nikuonapo unaimba ukiwa live

  • @swaumuugata4166
    @swaumuugata4166 23 วันที่ผ่านมา

    Katika taarab zoote za vuvuzela hii pekee ndo naipenda😂

  • @AminaMgunya-i5s
    @AminaMgunya-i5s หลายเดือนก่อน

    Kipenz changu nimekumis❤

  • @jobkarani9547
    @jobkarani9547 ปีที่แล้ว +1

    Napenda tamu

  • @rizikikazi3221
    @rizikikazi3221 2 ปีที่แล้ว +1

    Hadi raa vuvuzela

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 3 ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza meme my wii nipewe tunzoo💃💃💃

  • @starboy3891
    @starboy3891 2 ปีที่แล้ว +3

    Isha nakupenda cna mom angu Love you ♥️

  • @nadiaasedi5181
    @nadiaasedi5181 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda kusikiliza sipend kugombana na kibaya kina mqenyew izo nyimbo mm na enjoy sana dada Mungu azidi kukupa nguvu zaid na zaid

  • @SmonTangas
    @SmonTangas ปีที่แล้ว

    Nakupendasana niiteshoo ikowap nakuja sawadada

  • @JenithaSebastian
    @JenithaSebastian 7 หลายเดือนก่อน

    Bonge la jimboo❤

  • @SalmaPeter
    @SalmaPeter 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda san

  • @aminajuma7662
    @aminajuma7662 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunaachje kuanglia love ake cc

  • @jenipherdeodartus3493
    @jenipherdeodartus3493 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali dada yangu saut ya pesa

    • @mwajumakheri561
      @mwajumakheri561 2 ปีที่แล้ว

      Huu wimbo kiboko mashallah ❤️❤️❤️

  • @allymiraji1155
    @allymiraji1155 2 หลายเดือนก่อน

    Vuvuzera umetisha hiii tarabu

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว +1

    My love nalipenda sana pia

  • @andreworenge-qk9bu
    @andreworenge-qk9bu ปีที่แล้ว +2

    Hii nyimbo ni Rika yake

  • @nadiaasedi5181
    @nadiaasedi5181 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana dada vuvuzela ww jaman

  • @roseemmanuel5519
    @roseemmanuel5519 3 ปีที่แล้ว +2

    Msisahau mlikotoka

  • @SmonTangas
    @SmonTangas ปีที่แล้ว

    Wwewee nakupenda sanadada nyimbozako sawa

  • @bakarimkunyulia6687
    @bakarimkunyulia6687 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada tuna taka talabu irudi tena nakubali kazi zako

  • @LatifaMohamed-ij1sb
    @LatifaMohamed-ij1sb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Umenikoshaa roho yangu mauyako upewe pambee

    • @Maryam-n6p4z
      @Maryam-n6p4z 2 หลายเดือนก่อน

      Asante umeukosha moyo wangu aisha

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 3 ปีที่แล้ว +1

    NAKUPENDA VIBAYA SAAAANA DAAA. UNAWEZA SHOST ANGU JAMANI

  • @ZainaKide
    @ZainaKide 8 หลายเดือนก่อน +1

    Penda sana hii nyimbo mimi

  • @mishimwarabu1824
    @mishimwarabu1824 3 ปีที่แล้ว +4

    🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰🤝 nice song nimeipenda sana 🇰🇪🇰🇪

  • @rukiamkingwa1542
    @rukiamkingwa1542 3 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️hatar

  • @AmbakisyeSimion
    @AmbakisyeSimion 6 หลายเดือนก่อน

    Hii ni mashine❤❤

  • @rabialikoko9507
    @rabialikoko9507 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo ya taifa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌👌👌

    • @aishatanzania1194
      @aishatanzania1194 3 ปีที่แล้ว

      Umeona ehee........😉😉😉🥳🥳🥳🥳🥳🎤🎤🎤🎤👇👇

  • @fatmam7814
    @fatmam7814 3 ปีที่แล้ว +2

    Tarabu pambe

  • @MwanaidiMwisheh
    @MwanaidiMwisheh 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉🎉hongera

  • @maryndullu1288
    @maryndullu1288 3 ปีที่แล้ว +1

    Umejua kuinyongesha nyonga shoga yangu naiona mizungu kwambar ukiipanga ...👌👌👌👌😘

    • @mwanakherially7042
      @mwanakherially7042 2 ปีที่แล้ว

      Nafurai xna nyimbo hii nakukubali xna ni zaidi y taarabu wanikoxaa xn

    • @rajay7553
      @rajay7553 ปีที่แล้ว

      👌👌👌👌👌

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 ปีที่แล้ว

    Nyimbo tamuu hii ❤❤ 2024

  • @MaryNderehimana
    @MaryNderehimana 15 วันที่ผ่านมา

    Imenifanya strong

  • @maryndullu1288
    @maryndullu1288 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda anajiamn sana afu anaunyamwez mwing✊

  • @halimajuma4043
    @halimajuma4043 3 ปีที่แล้ว +1

    Maisha sasa mapambano sio kucheza makida song tamu saaaaaana

  • @ZaudiaAli-d4j
    @ZaudiaAli-d4j 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤.nilikuwa snahaja.lakini.mmeniafuta.wewwee

  • @baabsq3393
    @baabsq3393 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda Sana Aisha vuvuzela

  • @semenimohamedi9062
    @semenimohamedi9062 3 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana

  • @KikaNde-w5w
    @KikaNde-w5w 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ninapendeza

  • @MwaNtumu-z8z
    @MwaNtumu-z8z ปีที่แล้ว

    ❤❤❤. Aysher ulitisha mnoo

  • @WalterSumsung
    @WalterSumsung 6 หลายเดือนก่อน

    Mi nakupenda dada

  • @elizabethmwita7661
    @elizabethmwita7661 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana, hata kuimba kwake napenda sana

  • @aminanjimbwi4968
    @aminanjimbwi4968 3 ปีที่แล้ว +1

    Naupenda sana huu wimbo natamani kuusikiliza kila dk majukum yanazuia

  • @Elizabethmhaiki
    @Elizabethmhaiki 4 หลายเดือนก่อน

    Maisha mapambano sio kucheza makida unanikosha sana

  • @ukhtyaysharashidy5031
    @ukhtyaysharashidy5031 3 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah iko vizur atary

  • @aishatanzania1194
    @aishatanzania1194 3 ปีที่แล้ว +3

    Jisong paambe vidio ya uhalisia ✊✊✊🥰🥰

  • @zenamussa4722
    @zenamussa4722 3 ปีที่แล้ว +1

    Mainshaallah mdogo wangu nakukubali sana