ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nmekuja hapa baada ya kutoka Tiktok 2023 nani ndo anausikiliza kama mie
Sawaaaaaawewee
Wajna umetisha
Anapenda kivuli changu sembuse mimi mwenyewe
Nimeipenda hii nyimbo kiukweli
huu wimbo mzuri sana nmeupenda iLe sana_Fikra pevu.. mapenzi hayana dalali ni uamuzi wa mtu binafsi!mkinisema mimi ni mbaya kibaya kina mwenyewe mkimsema bwana ni mbaya nishampenda mwenyewe!
Nzury San iwafikieee wote wanoingiliaa mapenz yangu
Limewafikia my dear macho yamewatoka wanajifanya wanamashetan🤣🤣🤣
Wajna umetisha ❤
Mwenye kimin kaboa, taarab na kimini makubwa
Kweli yani hii taarabu naipenda lakini mwenye kimini ameharibu
Kweli kimini na tarabu wapi na wapi haipenzi
chuki mzigo😏😏😏
Kweli kabisa mapenzi hayana dali
Ndani ya doha nakupata vzr vuvu uko juu mama
Unanikosha sana
Napenda nyimbo zote za vubuzela anazitendea kwakweli
Unajua dada❤❤
Njimbo nimeipenda sana maneyeke niyakweli binadam
My favourite song❤❤❤❤❤
Hatarisana,ishaa
Agostini mwanza Dada napenda.sana sauti yako ukojuu.utabakikuaju sikuzote.
kiukweli naupenda Sana 😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mambo ya pwani
Yani wimbo huu unanikosha mie jamani awe saizi au kanizidi haiwahusu 💗💗💗💗
Aweeee umetixha Dada m2
Nyimbo naipenda sana
Je suis sûr qu'avec cette belle musique et romantique led anxiodepressifs se sentent mieux avec un bien etre suznd ils l 'ecoutrny
Zote zimetulia , I love you vuvu zela
Kibaya kina mwenyewe heheheyyaaaa
Unajua dada
nakupendaga bure da Aisha km mapenz in upofu bwana haoni kwangu mie na km mapenz in uziwi mi cckii kwake yeye
Nakubali Dada nace
Kura raha hiyooo
Alicho halalisha mungu katu sikitii uharamu heheeee Acheni nijilie utamu mie
Kabisa da.lsha kibaya kinamwenyewe walaujakosea
Napenda sn wimbo huu
kibaya kinamwenye big up vuvuzela mom
Aisha vuvuzela nakubali
Kibaya kina Mwenyewe big up lv ❤💋unajua mnooooo💃💃💃
Unanikoshaje mama la mama💋👄💋💓
nlvokua cjaion nlidhan muimbj ni mauwa tego...
kibaya kina mwenyewe manshaallah
Nzuri zana
Hapo chachaaaa mambo ni bureeee wapambe mupo
mkinisima nimbaya kibaya kina mwenyewe hhhhhhhhh wambiy hao ukweli dada
AHHH RAHA JAMANI FROM OMAN🇴🇲🇹🇿
Sawakakanimekuona kutoka. Oman
Yah tmk mashaallah watt 💋💋💋 mashair kuntu
Utamu wangu Wa halali pambeeee Aisha vuvuzela
Love u vuvuzela nice song I love it
Miakaaa miaaaa
Vuvuzelaaa oyeeeee
weweeeeeeee aisha weweeee apo chachaaa
nice song mkumbwa fella ukumbwa wa fondeshio sio kujengwa gorofa
Bamboo kamabambo nakura chuma sijararamwana
Very true,
Mashaallh unimba viur sana
unajua kuimba sana Aisha we nyokooo
Mmhh paambee❤
Kibaya kina mwenyewe ni ukweli Tupu. Dada una kipaji cha Hali ya juu. Ninakusikiza sana huku USA
Watu wanapenda Sanaa kufatilia mapenz ya watuu umenikoshaaa
Kilichokushinda kula bure sikitie ila 📩
Weeweeeeeeeeeee hatariii
Mimi na mpenxi rika moja tunamechi kila style 👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿
bg vuvuzela
Nakupenda sana, Khadija Ali nikiwa Qatar
Kweli kibaya kinamwenyewe laaa napendasana hinyimbo
aisha nakupenda sana una sema ukwili mimi napenda sana taraab niko fan yako tena niku fan ya taraab yote
Mm ufanya video nainyimbo naupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
sio sili mnaweza sheti lahaaa
Safi sana hapo sawa mapemnzi hayana umiri
ukinisema Mimi mbaya kibaya kina mwenyewe,ukimsema bwana mbaya ndio nishampenda mwenyewe manshaallah wimbo mzur
Kila mtu na mtue
Mmmh mkinisema mm mbaya kibaya kina mwenyewe
Me nampenz rika moja tunamech kila stail
Mkubwa na wanawe group never disappoint
Tajiri bambo kamabambo tunapendakitukitamtaji
Dada nakufatilia sana kati ya kiduka ubarikwe
Weuweee tam iyo
Kwani hawa wanawake wote wana mimba maana naona hata wembamba wana vitumbo au macho yangu
Hahahaha wewe 💃💃💃💃
Ni kula Mali zao vyema sasa unaona kama ni vitumbo
Hapo chacha utamu wangu wa halali
Nakupenda sana Tena sana maana unanikosha kumoyo songa mbere usirundi nyuma nakukubari sana hauna kazi mbovu
Ameweza
Awe mdogo mkubwa kwangu najilia utam mie uwiiiiiiii umejuwa kunifurahisha da vuvuzela
Good nakupenda buleeeee
Naipendaje eeh taarabu
Napenda sauti yako vuvuzela isha
Mashaaaaal? Isha,vuvuzela unaambiwa mapenzi hayana dalali niuamuz wa MTU binafsi ay hahahaha naipenda sana
Kukupenda tu dada 💔
Da aisha vuvuzela nakukumbuka kinyasi /kiduka kama masihara hatimae umetoka dada big up
Sugar Mussa wakinyasi wap ten jaman
Tupe jibu
Kijimbo kizuri hiki
Wa 2020 mpooo
Rareeee..
Is OK I like it so much and more.
Rahaa kwangu dada
Kweli vuvuzela iko vzr sana
Ninoma Hugo dd
Anapenda kimvuli changu sembuse mimi mwenyewe weee latamu hapoo
Sawa nawapendasana nimeashwaaa jaman
Still watching MtwaaaaPa oooye
Sina mpenzi jaman nawaka
taarabu
taarBu
Km mapenxi nikipfu bwana haoni kwangu mieHaha uko gd sana
Naipenda saana hii nyimbo, Ina uhalisia na ukweli
Hahaha umeona!!!
Kweli mama mapenzi ni ya watu wawili wa tatu ni sumu💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💘💘💘💘
Tenaàaaa
, ahsanten kwa ushauri ntaufanyia Kaz video ingne itakuwa poa
aysher vuvuzela Poa
Ngoma iko juu mama +974 twaipata vizuri
Nakuelewa mama
Nakpenda bureee,eti kbaya kna mwenyewe.
umetisha 💪💪💪👏👏👏
Najmah Baby 💯💯👏😘
mashaal imetisha big up
Wajina wangu umetisha,jimbo kali sana kila nikikumbuka huu wimbo nimemliza mtu nabaki nacheka 🤣🤣🤣tuu,big up kipenzi ♥️🤝
Nasemajee nawapendasanakama nanyie kama mmm nimerizwa namapenzi wwww
Hayanakura manenoyawimbooo
Saf!!!! Napenda sana nyimbo Zako......
Naici nawapenda sana
Mapenzi hayana dalali ni uamuzi wa mtu binafsi hahahaaa santheeee
Wabebe tena Isha vuvuzele.

Km mapenxi nikipfu bwana haoni kwangu mie
Haha uko gd sana
Naipenda saana hii nyimbo, Ina uhalisia na ukweli
Hahaha umeona!!!
Kweli mama mapenzi ni ya watu wawili wa tatu ni sumu💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💘💘💘💘
Tenaàaaa
, ahsanten kwa ushauri ntaufanyia Kaz video ingne itakuwa poa
aysher vuvuzela
Poa