Hakika Bhudagala Wewe ni Mwalimu Kupitia Nyimbo Zako Aise Wasukuma Tunajivunia Mungu Kukuleta Kwenye Taifa Letu Mungu Akubariki Sana 🙏 Wimbo huu ni Bora sana🎉🎉
Hongera sana babu Angu nyimbo zako nzuri sana Naikumbuka Ile siku tunatoka bariadi ulikuwa na pikipiki tulifukuzana nikaishia luguru ulikuwa na mbina nyamalapa
Nipo Zanzibar unguja hapa stone town, aisee nafatilia Sana nyimbo za nyumbani, budagara wabeja Sana nkulu wane, hivi nyumbani kwako ni sehem gan nije nikuone kabisa namie nikupe shairi langu unitungie nyimbo
Kwamba wasukuma hatuna Hela mpka tunashindwa kuwapa wasani wetu tuzo ya kila mwaka iwepo wimbo bora msani bora video bora ILA siku tuzo hizo zimeazishwa bhudagara apewe tuzo yake kabla yaaa
Kaka wewe nibaba laooooo hauna mpizani tz kwamakabila yote akitoka mod kwenye bongo asili unaishikilia wewe makabila yote❤❤❤❤❤ for kahama
Bhudagala tunaombeni nyimbo zako za zaman kama mele na kapembe unajua wewe ndiyo unaweza kuzipandisha nyimbo hizo
msanii wetu amenenepa nanyimbo zake Zina ujumbe Sana katika jamii nakwa watanzania kwa ujumla Kama unakubaliana na Mimi toa like yako
kaka nakuelewa mm mshabiki wako nipo dodoma❤
DJ KONK tm From mwashimba hapa kak nakufuatilia vyema kabisa. Brother like yako chukua pia ❤ na🎉🎉
Mwaka huuu umeamua kutoka kivingine broo duuhh unapeleka moto sijui utamaliza mwaka huu na speed hii wabheja sana mungu akusaidiee❤ nipo dar
Hongera Sana kaka Kwa kuelimisha jamiii Mungu aendelee kukulinda
th-cam.com/video/rq92u1de1FA/w-d-xo.htmlfeature=shared
Lazima ucheke tu hapa😂😂😂😂
Ukishare nkunisapot kazi yangu
Safi sana nyimbo nzuri inaelimisha jamii napia yanayotokea kwenye jamii
Nywele zimenisimama baada ya kusikia mziki wa budagara kama. Na panda ndege kwenda KOREA. 🎧🙏✈️
Niko muhimbili dar es salaam imenibidi nikoment ❤❤ tolaga milemo ❤ ni hatari 😂 ogopa 😂
Kaka mungu akuongezee bidii uko vzr sana
Hakika Bhudagala Wewe ni Mwalimu Kupitia Nyimbo Zako Aise Wasukuma Tunajivunia Mungu Kukuleta Kwenye Taifa Letu
Mungu Akubariki Sana 🙏 Wimbo huu ni Bora sana🎉🎉
Hongera sana wasukuma tunajivunia kua na bhudagala hongera sana kaka
Kaka huu mwimbo sichokaki kuusikiliza kwakel respect sana❤🎉
Hongera sana babu Angu nyimbo zako nzuri sana Naikumbuka Ile siku tunatoka bariadi ulikuwa na pikipiki tulifukuzana nikaishia luguru ulikuwa na mbina nyamalapa
jamii tunajifunza kutoka kwenu msituchoke wasanii wetu tunawapenda❤❤❤❤
Bhudagala wabheja sana, bonge la ngoma. Nakufatilia kutoka Mwanza .
Budagala hatari sana
Nipo bariad kijiji Cha nyawa tupo pamoja sana bhudagala
Wasalimie sana apo nyawa
Wimbo mzuri sana hongera bhudagala
pongez kaka budagala pamoja sana mshabik wako toka dodoma
Wa kwanza leo nipeni maua yangu,, kazi nzuri kaka bhudagala❤
Kazi kubwa sana jamani
Nyanda wa makolo obeja bhahebu ,true story hiii kuna moja ilitokea busega huko
nakukubali sana bhudagala piga kazi vp yulita mbona hatuioni video yake
bhudagala toa nyimbo zingine nyingi unawashabaki wengi Sana ila nyimbo ambazo umetoa mwaka 2024 zinatupelea sisi washaki Zako heshima kwako
Nakupata poa sana kaka nikiwa Kenya kazi nzur sana kaka hakika ww ndo mkubwa
Kazi Kali sana kaka edelea kutupa kazi zuli
Daaah kazi nzurii sana
Unaweza mkuu🎉🎉🎉
Mkubwa nimkubwa tu jaman bro bhudagala chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kaka ❤❤❤
Hongera Sana Kaka Bhudagara kwa ujumbe mzuri Sana
Kaz nzuri,
Hongera sana kaka
wimbo mzuri sana kaka hongera bro always mie mpenzi wa mziki wako mzuri
Kindly upload "Mama wa kambo" and "Kinyonga nimeteswa".Am one of your greatest old fans from Kenya
Dah kweli mkubwa ni mkubwa2 hata umuzidi mwili nakubali kaka
Nakuamini sanaaa kaka yetu wa nyumban
Sana mwamba we king
hii imefika Morogoro salamiti kwa dj Juma manamba 💥💥💥💥💥
kaka achanana wa sanii uchwala piga Kaz kaka ❤
Sawa kabisa mkuu wa asili
Wewe ongopaaa❤❤❤
❤bhudagala hongera
Pamoja saaana mwanamalonja kaka angu kaz nzr saaana wafundash jamii kaka
Kazi nzuri na ujumbe mzuri sana
Kazi boraaa kabisa, ubunifu ni ngao yako
yes budagala nasikiliza. wimbo wako
Nakupata vzr sana nikiwa kisiwani Comoro
Moto 🔥🔥 ni ule ule 💪🏼 ni nani
imefika salama huku masumbawanga kazi bora sana
Pamoja kaka tumeipata iyo karibu sana bulige
Pamoja sana kaka karibu sana Kahama uwanja wa Magufuli
Naona umerud kazin Kaka 🔥🔥🔥
Daaa,Kaka wewe ni Moto mkali usiopimika
Kazi unaijua kaka ,,ielimishe jamii
Ahsante
Kahama Moja Niaje
daah HAPO kweli KAZI IPO 🥲
Nipo Zanzibar unguja hapa stone town, aisee nafatilia Sana nyimbo za nyumbani, budagara wabeja Sana nkulu wane, hivi nyumbani kwako ni sehem gan nije nikuone kabisa namie nikupe shairi langu unitungie nyimbo
Nyimbo lna Mafundisho Sahihi kwa Hawa Dada zetu
Tunakufatilia saaana kutoka burundi 🎉❤
Et nikimuita jose analia 😂😂😂😂
Budagara we nimwqmba
Bms ni 🔥🔥🔥🔥
Kaka nakualika arusha please njoo nipe garama zote broo
Kaz njema
Hongera
Pamoja sana mwalimu
Pamoja sana🎉🎉❤❤
Huja waki Kufeli Kaka Salout 👍👍
BMS daima Dj Bosco hapa mwakitolyo
Chuma Cha zaman😅😅 mkongwaa😅
Big up
alie muona opyi ongw'ana akisukuma rumba like apa
Sana bingwa wa nyimbo za asili
Jaman alie waona wakina misso misondo kwenye hii ngoma agonge like zake apa
Alve budagala
Kazikubwa sana kaka
Hapo sawa
🔥🔥🔥
tupo pamoja kaka
Kwamba wasukuma hatuna Hela mpka tunashindwa kuwapa wasani wetu tuzo ya kila mwaka iwepo wimbo bora msani bora video bora ILA siku tuzo hizo zimeazishwa bhudagara apewe tuzo yake kabla yaaa
Mm nataka Ile nasimiza mpaka wiporu
Hiii nikali sana ila inaukweri wake nauona sana
simon danger the number oneDJ
Team kiba misalaba dotto super staar. Mungu akupe maisha
Bhudagala mwanamalonja wewe ni hatari sana 🤣🤣🤣
bhudadala wew ni super ster
Bhudagala una siri gani mbona wewe husemei madawa na waganga kama akina flani?
Hahahahahaha ❤kwel huyu msaniii anajtambua sana
kweli bulaza❤❤❤❤
Nyanda makolo😂😂
Ngosha kinehe ndugu wane
kaka achanana wa sanii uchwala piga Kaz kaka
jaman naomba msaada hum naitaji wimbo wa mhapolu nausearch siupati niandikaje
Hogera
Kaka huu wimbo umeutolea wapi maan mazingira kama nayajuwa mm nip Kenya lakini nyimbo nasikiliz
Nakukubal mwamba
Kaka bhudagala hakika we ni chuo
Achia na ile majungu na ile nzunaone
bhdagal wewe ninoma niko mwanza buhgw
Ngoma nzuri
Kitu kiko poaaa
Kachoji kazi yako nimeiona
Bro naona kz inazidi kuedelea