munajua sana kuimb mungu awazidichie awainue zaidi kwavipaji vyenu naawabariki kwaku saidia wajane namayatima nawakubali sana muna jua ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🫶🫶🫶💪💪🙏🙏😂
Hiki kichupa ni kikali sana kaka unakiskiliza mpka hisia Zina shuka duh mm napenda sana mziki wa asili brother ila hii ngoma ni habari ya mjini endelea kudondosha code zingine
Alafu Kuna ngoma yako moja ya zamani nimeitafuta siipati ila nakumbuka mashairi yake Yana sema zogo zogo zogo tubhine ila wimbo ndio sjui jina lake nakupenda San huo wimbo kaka nakuhitaji kweli shabiki yako
2024naitazama ngoma 🥁🎶 hii yana bado inanipa wazimu kama vile ndio imetoka leo huyu mfalme ni mtaalamu sanna kufanya ngoma akiaamua ngoma 🥁 mbili tu akitoa nizauwezo wa kusumbua mwaka mzima hata asitoe nyingine❤❤🎉🎉🔥🔥🔥🧏💯
Vijana bado wanapelea sana kwako kaka bhudagala, pia maproducer bado wanapelea sana kwa Simon danger , lakin pia madirector nao bado sana kwa migera wanaelea tu , sijaropoka nimeongea
Hakikaa wewe ni mfano mkubwa pia ni hazina kwetu wasukuma tunaojua ulikotoka, Mungu akutunze sana bhudagala uzidi kutupa burudani na kuibua vipaji Kwa vijana wengne chipukizi❤.
Wimbo uko vzuri ila Video haijakaa vzuri kwan zipo sehem zilihitaji Dron ili ziwe safii na hii 4k sio 4k watu sura zao na macho hayaonekaniki vzuri, Kwakua pengne unaanza jitahid kununua vfaa ili iwe 4k harisi sio ya mchongo.
Unajua me ni professional yangu hii nafanya sana kazi hizi km msanii record, Zabron singer's, na wasanii kibao hapa Tz Kubali maboresho na kukosolewa ujifunze kupitia makosa sio kubisha.
Leo nimechelewa lakni mkono wa bwana umenifikisha salama kuangalia kichupa kikali🔥🔥🔥🔥
munajua sana kuimb mungu awazidichie awainue zaidi kwavipaji vyenu naawabariki kwaku saidia wajane namayatima nawakubali sana muna jua ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🫶🫶🫶💪💪🙏🙏😂
Thank u producer 4 quality videos, much respect!
Pongezi sana kaka kipenzi Cha wasukuma kazi nzuri sana 🤝 na bila mfano
Safi sana, hakuna kitu kizuri kama shukrani na kumbukumbu za maisha yetu maana hutusaidia kujua tupasavyo kwenda
Bhudagala hongera kwa kuwa hujamsahau MUNGU
Ngwingwa ugunwamakolo tupo pamoja saana kutoka Marekani, NEBRASKA
Mzigo huooo....mungu akubaliki Sana ktk Safar hii ya mkono wa bwana
Nice song bro, nafurahi sana nikisikiza nyimbo zako zina mafunzo tele tele.
Nice Good Job Respect Kwako Director MIGERA Pia msanii Bhudagala
Wewe ni fundi kwenye hizi kazi hayupo mwingine zaidi yako Mungu Akuweke zaidi Ameen
Biga up sana unatuwakilisha wasukuma 🎉
kaka pamoja sana mshabiki wako nipo dodoma❤❤❤❤
Bhudagala nimsanii Bora sana hapa Tanzania 🇹🇿 anastairi kupata tuzo ya usanii Bora ya mwaka 2023,,
Hii imekuwa kazi bora sana kutoka kwa msanii mkubwa, umetisha sana muongoza njia
Amen amen Simba WA nyimbo za jad mungu azidi kukutetea❤❤
Huyu jamaa ni fundi sana aseee
THE NTUZU MUSIC KAFIKA KUCHUKUA MZIGO
Hiki kichupa ni kikali sana kaka unakiskiliza mpka hisia Zina shuka duh mm napenda sana mziki wa asili brother ila hii ngoma ni habari ya mjini endelea kudondosha code zingine
Alafu Kuna ngoma yako moja ya zamani nimeitafuta siipati ila nakumbuka mashairi yake Yana sema zogo zogo zogo tubhine ila wimbo ndio sjui jina lake nakupenda San huo wimbo kaka nakuhitaji kweli shabiki yako
Brother yang hashima kwako kwa kazi nzuri ww napenda kukwita super Star ⭐⭐⭐⭐⭐⭐ brother yang
Uko vyema bhudagala endelea kuelimisha jamii
2024naitazama ngoma 🥁🎶 hii yana bado inanipa wazimu kama vile ndio imetoka leo huyu mfalme ni mtaalamu sanna kufanya ngoma akiaamua ngoma 🥁 mbili tu akitoa nizauwezo wa kusumbua mwaka mzima hata asitoe nyingine❤❤🎉🎉🔥🔥🔥🧏💯
Kwa hapa kaka Budagala umefanya vizuri sana kumpa Mungu utukufu
Naomben like zen
Nakubal sana budagala❤❤❤❤
Sawa Rais wa nyimbo za asili nakul Sana show zako zakibabe
Good job na mkono wa bwana uwe na wewe
Hii chuma ni kali kweli ase
Bms ni nomaa
Kawaida kaka nyimbo zako nizikubali zinafundusha jamii
Kama unamkubali budagala gonga like zen 😅😅😅😅🎉❤
Yaani unajua mpaka unakela 😂😂🙌 nakufatilia sana bro kutoka DSM shibiki yako mkubwa umenifanya nmechukia hii music yao ya kisasa
Vijana bado wanapelea sana kwako kaka bhudagala, pia maproducer bado wanapelea sana kwa Simon danger , lakin pia madirector nao bado sana kwa migera wanaelea tu , sijaropoka nimeongea
Wa kwanza hatari nipeni Maua yangu😂😂😂😂
Shemu unatisha unastahili maua shemu wangu ❣️♥️💐💐🙏
Shwali bradha
🎉🎉🎉🎉
Hatar yao fimbo yao
Nafasi yako ipo pale pale bro namba moja nakukubali sana
Salute Kwako Brother Men a k a budagara pia director Konk Kama mim new DJ w Konk Tm simwengne ni migera bland fund 💯💯💯💯 ROGETI
Ishalaaah kazi nzuri
Ngosha the done
Big up sana
Naomba ule wimbo wa nengejege mayo ikumbi
nyimbo yag pendwa kama dozi ya kila siku 🎧🎧
Big up Migera kamwe hujawahi kosea.
Nyimbo hii imeniliza sana ni kama vile naimbiwa mim tu daaaah bhudagala mungu akulinde kaka
Ooooooh wew budagala from canada
Nakubali 👑 👑 👑 ❤
Bro bravo sana we n mkongwe kene hizi nyimbo
That's true story of your life my brother Sumbuko ,I know that
Bhudagala nakuomba uniwekee wimbo wa mere
ata mm pia nauhitaji Sana bhudagala song mele
🔥🔥kazi nzuri baba
Hakikaa wewe ni mfano mkubwa pia ni hazina kwetu wasukuma tunaojua ulikotoka, Mungu akutunze sana bhudagala uzidi kutupa burudani na kuibua vipaji Kwa vijana wengne chipukizi❤.
Kaka shikamoo kwa kazi hii
Pamoja sana mashabiki wa bhudagala
Mwanamalonja
#historia
Unatuwakilisha vyema sana mfalme wa asili yetu
Kazi nzur bms
Good work BMS and sniper Migera
Uhakika mwamba
Hongeraa kaks
Faya nakubali❤❤❤
𝑵𝒚𝒂𝒏𝒌𝒐𝒎𝒐𝒈𝒐 𝑻𝑼𝒎𝒆𝒔𝒉𝒂𝒊𝒑𝒂𝒕𝒂
𝑲𝒂𝒛𝒊 𝑵𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒚𝒆𝒏𝒚𝒆 𝑽𝒊𝒘𝒂𝒏𝒈𝒐
Diamond wa Kanda ya ziwa
Niko temeke kaka umepigajehapo
Safi sana
🔥🔥🔥💯💯💯👍👍👍
Nakubalii
Kwa mkono wa Mungu! Watosha umegusa wengi kwa wimbo huu!
Pamoja kaka
🕺🕺🕺🕺🕺🕺🤙🏿
hataliiiii
kaka elimisha vizaz kipya cha mziki mana wao nimatus 2 alf chapili achana nahuyo chiz waiganiko hakuwez 7:01
Ila Simon Danger jamani apewe tu maua yake
ASILI YETU INABEBWA NA VINGI
Tuko pa1 ng'wana malonja
We are together brother,
Manyangalika
Manyangalika
Kaka MIGERA Siulisema Ile Logo Ndio utatumia Jumla kila video Utakayo toa mbona umebadilisha Sasa Lini kaka utaweka Logo moja ambayo ni Official
Itazame ipo
@@bhudagalamwanamalonja9582niwekee wimbo wa Zaina
𝙬𝙚𝙚𝙚𝙚 𝙣𝙞 𝙢𝙛𝙖𝙣𝙤 𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙞𝙜𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖💥💥💯
Ndege kubwa Tena ya Bei Kali hii naichota mala mbili 720 kwa wateja wangu was nguvu 360 wapunjaji endeleza kazi kaka
👍🔥🔥🔥💯
continuem tirar os videos, akiIAC studios
Sapoti yenu
Tuko pamoja kaka we tupe vitu vikalo
Ngoma Iko 🔥🔥🔥🔥
Tuko nyuma yako kaka migera big up kwako mwamba
❤❤
JERE COMPUTER KATORO CCM NIMEIPATA
Wimbo uko vzuri ila Video haijakaa vzuri kwan zipo sehem zilihitaji Dron ili ziwe safii na hii 4k sio 4k watu sura zao na macho hayaonekaniki vzuri,
Kwakua pengne unaanza jitahid kununua vfaa ili iwe 4k harisi sio ya mchongo.
Auna macho kaka
Dah binadamu sijui tunataka nn tufanyiwe acha unafiki
Unajua me ni professional yangu hii nafanya sana kazi hizi km msanii record, Zabron singer's, na wasanii kibao hapa Tz
Kubali maboresho na kukosolewa ujifunze kupitia makosa sio kubisha.
@@MigeraStudio jifunze ili uwe bora km sina macho nmeona je?
@@werungugweso3684 😂😂😂😂 Unafiki gn? Sasa ukweli ukubal ili upone tumia camera 📸 4k n. K
Nice song bro, nafurahi sana nikisikiza nyimbo zako zina mafunzo tele tele.
❤❤