🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 หลายเดือนก่อน +12

    NASISI WENYESIO WATANZANIA TUMEGUSWA NAHILIJANGA LA KARIAKOO KWAKWWLI INAUMA SANA WATUWANA KWENDA KUTAFUTA RIZKIZAO ALAFU UMAUTI UNAWAKUTA HUKO MUNGU AWALAZE MAHALIAPEMA I'M WATCHING FROM CANADA

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og หลายเดือนก่อน +13

    Pole sana mama Samia kwa msiba wa Kitaifa na tunakushukuru sanaaa kwa kuwapambania watanzania M/Mungu atakulipa kwa upendo ulionao kwetu, tunakuombea maisha marefu mama yetu

  • @ScolasticaKinyage
    @ScolasticaKinyage หลายเดือนก่อน +5

    Asante mama kujali watu wako.Mungu akupe maisha marefu yenye afya njema na baraka tele.

  • @AminaKanyika-k1y
    @AminaKanyika-k1y หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante mama kwa kuonyesha ushirikiano tokea mwanzo. Mungu akupe umri mrefu na mwisho mwema

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 หลายเดือนก่อน +1

    Mama tupoe sana sana,,Allah atupe subra,nakupenda Mama ana ahebik waajid ummi

  • @Planet_Zong
    @Planet_Zong หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana Afande CGF Masunga, you lead the way

  • @ShukuraniJohn-c7v
    @ShukuraniJohn-c7v หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wapendwa Mungu awasaidie.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi mungu awalaze pema peponi mlioondoka na hususan mlionasa hadi leo mola awahifadhi peponi kwa machungu mliopitiya hadi kutoka roho

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt หลายเดือนก่อน

    Pole sana mh rais wetu mpendwa kwa kuondokewa na wananchi wako.

  • @DonaldJumanne
    @DonaldJumanne หลายเดือนก่อน

    Pole sana Kwa waliokutwa na ajari hiyo

  • @janecharo1196
    @janecharo1196 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubarik San mama samia kwa Roho ya utu ulío nayo.swali làngu je watu walíokolewa wote ama bado wengine wapo kwa kifusi,,😭😭😭

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 หลายเดือนก่อน +23

    Pole sana mama yetu kwakweli unaonekana umechoka na safari lakini bado umekuja kushiriki na kuwapa pole wahanga na watukio hiyo inatosha kuonyesha unavyo tujali maana hatautikapo unatoka kutuhangaikia wanao mungu akuepushe na kila lashari akuondolee husda na wanao kuchukia balaa na shari zote ziwarudie wenyewe mungu akujaalie kheri Afvya na umri mrefu iliuzidi kututumikia na kumtumikia mungu ubarikiwe sana assalamualaikum 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🙏

  • @JosephLukumy
    @JosephLukumy หลายเดือนก่อน

    Nafuatilia rais wetu Samia ubarikiw

  • @SaidNgongo
    @SaidNgongo หลายเดือนก่อน +7

    Mama tunae natunatamba naee.mungu akulinde rais wetu...🙏🙏🙏

  • @Abdulrahim-z8i
    @Abdulrahim-z8i หลายเดือนก่อน

    Allah awabariki viongozi wetu wapendwa. Na wale wote walioshiriki kwa namna moja au nyengine katika kuwaokowa Watanzania wenzetu. Kwa juhudi zenu na upendo wenu. Allah akupeni maisha marefu na akuzidishieni upendo. Sisi kama raiya wema wa nchi hii tunasema tuko pamoja na nyinyi bega kwa bega. Yaa Allah tunakuomba ibariki nchi yetu. Amiin

  • @JokyamSerujo
    @JokyamSerujo หลายเดือนก่อน +2

    uwepo wako kweli ni siraha tosha maishani mwangu mungu akubariki sana na akutie nguvu ya kutuongoza salama.

  • @mussaame9175
    @mussaame9175 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni wenzetu kwa msiba ahsante mheshimiwa Rais kwa kujali raia zako

  • @SamsonManjerenga
    @SamsonManjerenga หลายเดือนก่อน +1

    Asante. Mh.Rais kufika eneo la tukio

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mama na Asante waziri mgùu kwa Kazi

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest หลายเดือนก่อน

    Janga hili linasikitisha sana, Mungu akubariki Rais Suluhu kwa kuonesha moyo huu na kuwatembelea waokoaji eneo la tukio.

  • @AlphonceKishoke
    @AlphonceKishoke หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana mlioguswa na hili janga

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka หลายเดือนก่อน +2

    Mamaa asante sn huruma yk na utendaji wako namuomba M/Mungu akulinde na mabaya nawanaokukusudia mabaya Inshaallah

  • @ahmedmassoud1502
    @ahmedmassoud1502 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mama na ahsante sana kwa kutujali sana watanzania

  • @daudzabron5514
    @daudzabron5514 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Muheshimiwa Raisi Kwa majukumu, na nakupongeza Kwa kufika kuwaona manusura na wahanga wote wa tukio hili lenye kufadhaisha.

  • @fakizubeir
    @fakizubeir หลายเดือนก่อน +1

    pole mama na ahsante sana kwa upendo wake kwa watanzania

  • @innocentmoyo5894
    @innocentmoyo5894 หลายเดือนก่อน +1

    Mama samia pole Sana kwa niaba ya wafiwa na watanzania wote no way no matter it is happened god realise relief.

  • @SindoYimpa
    @SindoYimpa หลายเดือนก่อน

    Poleni watz wenzagu MUNGU atutie nguvu

  • @BarakaWicklifu
    @BarakaWicklifu หลายเดือนก่อน +2

    Pollen watanzania wenzangu pole mama yangu @samia kwa hili😢😢

  • @AngelMgonja
    @AngelMgonja หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli MUNGU akubariki raisi wetu ubarikiwe sana❤

  • @MagrethAndrew-p5o
    @MagrethAndrew-p5o หลายเดือนก่อน

    Poleni sana sana wa Tanzania wote wote Tumesikitika sana kwa Tukio hili kubwa na lakutisha ukifiria Akili in mwili una unafadhaika Tuendelee kumwomba Mwenyezi Mungu.katika yote.

  • @JosephLukumy
    @JosephLukumy หลายเดือนก่อน

    Poleni sana waliopatwa janga Mungu awatoe nguvu 😂😂😂😂

  • @wildentheophil4813
    @wildentheophil4813 หลายเดือนก่อน +1

    Mh, Rais umefanya jambojema kutoapole nakujiakikishia mwenyewe pamoja na mh,wazili mkuu asante

  • @MosesMzakwe
    @MosesMzakwe หลายเดือนก่อน +2

    Aliyeruhusu jengo lichimbwe Atafutwe naye aje ajieleze na Mwisho Maamuzi yachukuliwe juu yake

  • @AbeidkhalfanAbdalla
    @AbeidkhalfanAbdalla หลายเดือนก่อน

    Tuwe pole sote WA Tanzania subra Allah atufanyie wepesi zaid

  • @paulokosmas
    @paulokosmas หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana kariakoo😢😢😢

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🔥KARIAKOO NI MALL KUBWA KULIKO ZOTE AFRICA 🇹🇿🔥iliyo jiunda naku jijenga yenyewe 🇹🇿🔥BILA USIMAMIZI WAKI TAALAM 🇹🇿🔥Shida ita endelea kama hatua makini HAITA🇹🇿🔥

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f หลายเดือนก่อน +1

    Polee mama. Na munguakulinde

  • @NestoBanda-c4r
    @NestoBanda-c4r หลายเดือนก่อน

    Polen sana mungu azilaze mali pepa pepon

  • @LeonardPondamali
    @LeonardPondamali หลายเดือนก่อน

    Polen sana wahanga wa ajali hii pole sana rais wetu mpendwa kazi ya mungu haina makosa tuendelee kumuomba mungu atuepushe na mjanga makubwa kama haya waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa aman

  • @RahmaMakanza
    @RahmaMakanza หลายเดือนก่อน

    Ahsante mama, mungu akujalie

  • @RoseLaizer-st3rn
    @RoseLaizer-st3rn หลายเดือนก่อน +1

    Asantee mama kwa Moyo wako wa Upendo

  • @khatibmohd7756
    @khatibmohd7756 หลายเดือนก่อน

    Ahsante mama Rais wetu

  • @pascofp145
    @pascofp145 หลายเดือนก่อน +1

    Mama katoka safari hajafika hata ikulu kaonganisha karikoo na muhimbili kila kila kiongozi ana kitu chake chema aiseee

  • @alpiusmwageni475
    @alpiusmwageni475 หลายเดือนก่อน +1

    Mama yetu anauchungu mkubwa hadi anashikilia tumbo akitembea pole sana mheshimowa Raisi wetu huu ni msiba wa sote

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli tuombe zaidi ila naimani bado kunamaiti pale mungu azihifadhi pema peponi roho zao

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli mi mwenyewe nahisi hivyo sidhani kama wameisha wote

  • @happykazikuboma2427
    @happykazikuboma2427 หลายเดือนก่อน

    Pole mama tunajua unavyo ipenda Nchi yako na watu wake

  • @HalleyAnderson-t5q
    @HalleyAnderson-t5q หลายเดือนก่อน +1

    Daaah Mungu atutie nguvu katika kipind hiki kizito. Wale Tisa jaman wako wap.

  • @ipyanamwaipaja3720
    @ipyanamwaipaja3720 หลายเดือนก่อน +1

    poleni sana viongo wetu kwa umoja wenu pamoja waokoaji wote kwa ujumla poleni sana namungu hawabariki sasa sana kwa kujitoa kwa moyo wote kuwaokoa watanzania wenzetu japo kwenye wengi kuna mengi hamukuyasikiliza mliyapuza mkaendelea nauokoaji maana wengine wanataka wajulikane wanaongea hawaju mngefanya jinsi walivyo taka wao hawajui kua ndo kungekua na mafaa mengi sana

  • @EmancipateGodfreyKishimbo
    @EmancipateGodfreyKishimbo หลายเดือนก่อน +2

    Rais na Mama unajali asante Waziri Mkuu Asante Uongozi na Utawala wa Tz

  • @YasserSuleiman-s5y
    @YasserSuleiman-s5y หลายเดือนก่อน

    Mungu awawezeshe kiukweli kaz ni ngumu sana

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 หลายเดือนก่อน

    Sina cha kusema ila Bwana yesu asante

  • @dandynyota2838
    @dandynyota2838 หลายเดือนก่อน

    Daaaaah inasikitisha sana

  • @Josseline-w3w
    @Josseline-w3w หลายเดือนก่อน

    Mama mh rais wetu awamu ya sita kwakeli mama wewe ni mama wa huruma na mama jasiri mpambanaji mkakamavu na umejifunga kibwewe na umepambana sana mno kuokoa roho za wenzetu

  • @drsamsonkibona371
    @drsamsonkibona371 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana mh waziri mkuu, Tuko nyuma yenu, tupo pamoja, huko ndani bado wenzetu wapo. mama mmoja mjane alipoteza binti zake wawili siku ile, ila mwili wa mmoja umepatikana majuzi na leo tumesafirisha kwenda tunduma na bado tunasubiri mwili wa biti wa pili is still missing.

  • @FatumaAlly-i8w
    @FatumaAlly-i8w หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @IssaMkali-k6y
    @IssaMkali-k6y หลายเดือนก่อน

    Mungu awalinde,na awatunze mahali pema ndugu zetu walio tangulia😢

  • @LydiaLoduvo
    @LydiaLoduvo หลายเดือนก่อน

    Kwakweli inaumiza mno.
    Hakika Mungu ni mwema Kwa yote.
    Tuendelee kujinyenyekeza Mbele za Mungu Kila wakati.
    Kila nikijaribu kutafakari tukio Hilo namshangaa Mungu sana.

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z หลายเดือนก่อน

    Pole sana Rais wangu majanga haya

  • @mashManjari
    @mashManjari หลายเดือนก่อน

    Pole sana walioadhirika

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿TUME JIJI CHINI ROBAT KEENJA🇹🇿🔥.ili waka sheria ya ujenzi wa Majengo marefu Kariakoo bila kuunda kikosi kazi kusimamia viwango na UBORA wa majengo MAPYA🇹🇿🔥na yaliyo tangulia kujengwa🇹🇿🔥

  • @KassimuMbarack
    @KassimuMbarack หลายเดือนก่อน

    Mama yetu tunamuamini kikosi chake kipo sawa sana kazi kubwa inafanyika

  • @AbeidChitete
    @AbeidChitete หลายเดือนก่อน

    Pole mama na watanzania kwa ujumla

  • @alfamgayatv872
    @alfamgayatv872 หลายเดือนก่อน +1

    Rais alikuwa yuko fafali ya wapi

  • @BetyMahenge
    @BetyMahenge หลายเดือนก่อน +1

    poleni waookoaajii kazi ngum kweli

  • @FatumaMwinyimvua
    @FatumaMwinyimvua หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana mama,Umejali kwa kiasi kikubwa kuja kuangalia maafa yaliyotokea kariakoo,hongera sana mh Rais,Hakuna kma mama

  • @HamisAjibu
    @HamisAjibu หลายเดือนก่อน

    Mungu ametukadiria sisi watanzania tumhimid yeye pekee anafanya yatakayo pia tuchukue fursa hili kuwaombea wote walio shiriki na janga hili napia tuishukur serikali yetu kwajitihad kubwa walizozionesha Mungu awape kher nying

  • @athumanabubakary5930
    @athumanabubakary5930 หลายเดือนก่อน

    Kazi za kila siku kariakoo vp zinaendeleaa??

  • @deusytem
    @deusytem หลายเดือนก่อน

    Asante mama, kwa hotuba yako namaelekezo asatesanamama

  • @FrankDaudi-x6w
    @FrankDaudi-x6w หลายเดือนก่อน

    Mama❤❤❤❤

  • @innocentmoyo5894
    @innocentmoyo5894 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu uwarehemu wote waliopoteza maisha

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula หลายเดือนก่อน +1

    Tumenya lowasa ya ghorofa 100 zivunjwe kwanza, ndio muanze y.a 2024

  • @EmanuelPatrice-m3f
    @EmanuelPatrice-m3f หลายเดือนก่อน

    Mungu awalaze mahali mahala. pema pepon

  • @parasidomwananjela-e6u
    @parasidomwananjela-e6u หลายเดือนก่อน

    Poleni sana watanzania we zangu kwa janga hili kiukwer nijanga la kitaifa tutaendelea kuwaombea malehem kea moyo mmoja na upendo mkuu

    • @justinamlengule6687
      @justinamlengule6687 หลายเดือนก่อน

      Amina kazi ya Mungu Haina makosa mie ndugu yangu hajaonekana mpaka sasa 😭😭😭

  • @nicksonwangila3017
    @nicksonwangila3017 หลายเดือนก่อน +2

    I feel sorry to our neighbour country TZ 😢

  • @TumainieliMamuya
    @TumainieliMamuya หลายเดือนก่อน

    Mwenyenz mungu atulinde tanzania

  • @RahimuAbdala-j5e
    @RahimuAbdala-j5e หลายเดือนก่อน

    Mama Samia upo vizur kuitetea Tanzania Kila maafa upo una fika haraka ila huku kijijin tuna teseka mama tuangalie xn nipo bbt vijijin kata endakiso mama Kila aina ya misaada haifiki huku kijijin inaishia mijin mama tunakupenda tuangalie vijana wako

  • @kale_maga
    @kale_maga หลายเดือนก่อน

    walietangulia mungu awaondolee adhab ya kabri

  • @HamzaomariRwambo-t4x
    @HamzaomariRwambo-t4x หลายเดือนก่อน

    Laaa ilaaha illallaah

  • @MarjaanMehrab
    @MarjaanMehrab หลายเดือนก่อน

    Mungu uwampe falaja dugu zeta hawa

  • @JulithaParreso
    @JulithaParreso หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @kezianathan3963
    @kezianathan3963 หลายเดือนก่อน

    Uishi milele mama tunakupenda

  • @MturukiKarim-h9t
    @MturukiKarim-h9t หลายเดือนก่อน

    poleni sana

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 หลายเดือนก่อน +2

    Wallah watanzania napenda sana umoja wenu ingekuwa kenya watu ingekuwa wanaiba mali badala ya kusaidia 😢

  • @hassankhamis4117
    @hassankhamis4117 หลายเดือนก่อน

    2025 na mama samia

  • @isackmosha4283
    @isackmosha4283 หลายเดือนก่อน

    Pigo letu kweli Mama yangu, tumeumia

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x หลายเดือนก่อน

    Naomba kuongea na waokosji nisaidie maarifa namnagani watu waweze kufika ndani bila kutingisha jengo

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz หลายเดือนก่อน

    Atoke m2 apo aseme tunataka katiba mpya

  • @BRAINMASTERTANZANIA-qs6ky
    @BRAINMASTERTANZANIA-qs6ky หลายเดือนก่อน

    GOLOFA 3 mpaka leo watu bado wapo chini , ingetolewa kwanza mizigo then wakatolewa watu

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je หลายเดือนก่อน

    Huu muda mnaoupoteza hapa mkiwaacha mainjinia waendelee na kazi huenda kuna mtu amebakisha dk chache afe akifikiwa na waokoaji anapona

  • @mashamasoud4705
    @mashamasoud4705 หลายเดือนก่อน

    Tunakipongeza kikosi xha majeshi ....hongeren viongozi kwa kulisimamia zoezi zima la.uokoaji....

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt หลายเดือนก่อน

    Serekali isicheck tu majengo ya kariakoo Bali majengo yote miji yote tanzania

  • @NgunoSangano-w9s
    @NgunoSangano-w9s หลายเดือนก่อน

    Nitukio baya inauma sana😂

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน

    Informer informer informer

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 หลายเดือนก่อน

    Hizo nyumba ziko karibu na Hilo jengo ni hatari so heri watu wahame mapema

  • @gilionintellectual9312
    @gilionintellectual9312 หลายเดือนก่อน

    Rais samia

  • @KashinjeMageta-v1m
    @KashinjeMageta-v1m หลายเดือนก่อน

    Sasamweshiwa alitoa msaada gani

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 หลายเดือนก่อน

    Swal8 je wametolewa watu woteee

  • @MakoyeMange
    @MakoyeMange หลายเดือนก่อน

    Polen sana

  • @PetroMbise
    @PetroMbise หลายเดือนก่อน

    Huyo camera man hafai huyo

  • @bishothti
    @bishothti หลายเดือนก่อน

    Nawawaza wale watu 9 iliosemwa wamebaki jamani