Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Maneno mengine huja kama utani,lkn jina la kilicho bora hupatikana kutoka , Kilcho bora zaidi. Lissu ni hazina kubwa katka Haki na Uhuru, na Mungu wetu,siku zote amemkinga na balaa. Na kama ,simba anavyowakinga wana wake . Ndivyo Lissu amewapigania watanzania siku zote juu ya Haki na uhuru, bila kujali kifo. Hakika Lissu ni jina sahihi.
@@gracemwakibolwa7910 Kweli kabisa ukiona mtu anakuita ama anakufananisha na simba jua anakupenda na Hana kinyongo na wewe, maana Jina la Simba sio jambo dogo
Sasa roomzulii bila kufuatilia watekaji au watu Wana toza pesa shuleni wakati Eli bulee Sasa apo kitu Gani Cha kupongezaa wakati Kuna mambo muimu Yana tesa Wana nchioi Aya tatuliwi Sasa pongezii ILO la nn
Watanzania tujivunie viongozi wetu, Mh.Samia ni kiongoz mzuri sana kiukwel binafsi navutiwa na kuridhishwa na kazi kubwa anazozifanya, tumpe moyo aendelee hivi na tafadhali tusimkatishe tamaa, na kiongoz wa kike shupavu sana kwa kweli.
Wengi Utafasili Lakini Ukweli Raisi Amemuona Simba Anavoangaika Kwenye Banda Lake Utazani Anataka Kutafuna Mtu Ndio Mana Kamfananisha Na Tundu Lisu Jinsi Anavoangaika Kupata Uongozi Ajui Kwamba Kuongoza Ni Mpango Wa Mungu
😂😂😂😂 hakia ya munga wazanzibar kwa zihaka eti mwiteni tundu lisu nnaimani hadi tundu kacheka kwa hili😂😂😂 subir tundu apande kwenye kirir tusikilize episode ya pili😂😂😂😂
Inawezekana mtu kuitwa simba,ukiona mtu kakusifu jijrize nimekosea wap? Najua sifa huwa niza mungu je simba akionekana mjini huyo kafugwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hamjaelewa kamaanisha nini mama😂😂 Kusema aitwe tundu lisu nikwasababu ni kua simba huyo hana akili hatulii anadhani kukimbia humo ndani kutamletea mlango.yaan ni sawa na kuludia kosa na kutegemea matokeo tofauti... yaan huyo ni simba wa kwenye carge hana madhala😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂jamani mpendwa wangu mama tangu leo umenichekesha. Duu mama unautani sana Alllah akulinde na maadui wanaokuchafulia nchi. Ukiwaupovizuri kwaajili ya Allah utalipwa Duniani na.ahlah. ..
Hilo ni tongozo la kisiasa kwanza kachangiwa hela ya gari pili ameitwa jina la simba tatu abduli kampelekea hela kazikataa sitashangaa lisu kusikia kahamia CCM 😅😅😅
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Tundu Antpas Lissu ni shujaa kama Simba💪💪💪👏👏👏❤️
Tundu lisu is very strong man..... 🦁 Kwel
Mwamba Tundu Antipas Lissua shujaa kama Simba
Mama anamkubali lissu, Ila basi tu
Anajua Lissu ndiye aliyeshinda uchaguzi
@@mandelasamson8401😂😂😂 unaota ukiwa wapi?!
@@rayisadesigns2646 Nipo Selian
Asante Sana mama unazidi kunipa furaha kilanikuonapo na wananchi wako mama kwili kazi iendelee
Maneno mengine huja kama utani,lkn jina la kilicho bora hupatikana kutoka , Kilcho bora zaidi.
Lissu ni hazina kubwa katka Haki na Uhuru, na Mungu wetu,siku zote amemkinga na balaa.
Na kama ,simba anavyowakinga wana wake .
Ndivyo Lissu amewapigania watanzania siku zote juu ya Haki na uhuru, bila kujali kifo.
Hakika Lissu ni jina sahihi.
Moto wa tundu lisu mama kaukubali
Sio kwaubaya😂😂😂😂
Leo naendelea kupata furaha, Rais umenifurahisha saaana, hongera sana.
sasa ww ana kufulaisha uku mitaani watu Wana kufa Kila Leo sasa ww ana kufulaisha nn
@@RomanMwinyi sasa awo wanaokufa kwani anawauwa yy? Na awo walokufa apo kabla ya yy si ungewazuia wewe wasife maana yy hana uwezo wakuzuia mtu asife
Broo endelea kufurahi hakuna dunia ya pili
Namkubali sana anti pasi
Nimecheka sana na huu utani w muiteni tundu lissu😂
Hongera mama, una roho nzuri kwa kweli, na upendo ila Kuna watu wanakuharibia kwa makusudi, Allah yu pamoja nawewe.
Ukweli maisha yaendelee mama anajua kufurahi na watu utani tu huo ni moja ya upendo Rais yupo pamoja nao wapunguze hasira.bigup Madame Rais.
@@gracemwakibolwa7910 Kweli kabisa ukiona mtu anakuita ama anakufananisha na simba jua anakupenda na Hana kinyongo na wewe, maana Jina la Simba sio jambo dogo
Sasa roomzulii bila kufuatilia watekaji au watu Wana toza pesa shuleni wakati Eli bulee Sasa apo kitu Gani Cha kupongezaa wakati Kuna mambo muimu Yana tesa Wana nchioi Aya tatuliwi Sasa pongezii ILO la nn
Hao ndio watanzania.. Wanaogopa kutumia akili wanadhani zitaisha ati wanategea wengine wafikirie.@@RomanMwinyi
Ukwer wa roho haupingik iko waz mama anaona mazur y lisu
Hilo Jina Lina maana kubwa Sana kupewa hyo SIMBA,"indomitable lion"(LISU)
Watanzania tujivunie viongozi wetu, Mh.Samia ni kiongoz mzuri sana kiukwel binafsi navutiwa na kuridhishwa na kazi kubwa anazozifanya, tumpe moyo aendelee hivi na tafadhali tusimkatishe tamaa, na kiongoz wa kike shupavu sana kwa kweli.
Wallah mama yangu Samia amenivunja mbavu alivyosema huyo Simba aitwe tundu lissu😂😂😂😂😂
Mama kakusudia, huyo simba keshashiba vizuri lkn mbele za watu anajifanya kuhangaika , ndio alivo Lissu, keshashiba vizuri lkn anadanganya watu tu
Rais😂hana roho mbaya. Si mchoyo. Tundu lisu akili yake kila wakati anatafuta fursa hachoki. Ni strong.
Nimependa hii kumbe mama anamkubali lisu
Big up mama kaz iendelee
mama hajakosea maana yake kweli tundu lisu nikama simba haogopi chote palipo na ukweli lisu anasema
HAOGOPI CHOCHOTE ILA KWA MUDA HUO YUPO KITUNDUNI HAPO 😂😂😂😂😂
Tundu Lissu ni shujaa kama Simba haogopi @@R10_Rajab
Na keshashiba lkn mbele za watu anawadanganya kwa kuhangaika hana ukweli
Rais Samia ni rais extra extra smart. Sema wasaidizi wake wanamuangusha sana. Wasaidizi wake wangeenda na kasi na maono yake nchi ingeendelea sana.
mama anampenda sana tundu
Tundu lisu
MANGE IS TYPING.......
Hongera mama wa taifa
Safi sana
Lissu Yuko very strong aisee na sio mwigizaji
Huy dada aotangaza tangazo la voda mkwanja mashallah mashallah
Euwiii😂😂😂mama kajua kanichekesha.eti mwiteni tundu lisu
😀😀😀😀😀nimejua kucheka
Kweli mama unawajua ndg zako vyema kabisa
YAONEKANA LISU ANAWANYIMA USINGIZI LISU 2025 Fahari ya WATANZANIA
Tundu lisu ndio kiboko Yao hata rais amekubali 2025 Lisu Simba waoooooo,Samia arudi kizimkazi.
Safi😂Sana kama lisso.hatulii nakweli 😂
Wengi Utafasili Lakini Ukweli Raisi Amemuona Simba Anavoangaika Kwenye Banda Lake Utazani Anataka Kutafuna Mtu Ndio Mana Kamfananisha Na Tundu Lisu Jinsi Anavoangaika Kupata Uongozi Ajui Kwamba Kuongoza Ni Mpango Wa Mungu
Mwenyezi Mungu anapiga kura,au anaiba kura kama ccm msimshirikishe Mwenyezi na uwovu
Tafasiri yako tu rais hajawaza kama wewe ulivyo waza
Mmh..! hayo ni maoni yako wewe.
We nawe mawazo yako finyu kabisa. Watu kama wewe tunawaita wachonganishi. SHINDWA!!!!!
Hii ndio TANZANIA siasa utani furaha na Amani
YAANI RAIS TUNAE WAUKWELI ANAJALI WATU WOTE MITANO TEEEEEENA
Upuuzi Mtupu ....
😂😂
Ndioooo
😂😂😂😂 hakia ya munga wazanzibar kwa zihaka eti mwiteni tundu lisu nnaimani hadi tundu kacheka kwa hili😂😂😂 subir tundu apande kwenye kirir tusikilize episode ya pili😂😂😂😂
Hongera Dr mwakyusa
Kamwita tundu lisu sio kwa sababu ni shujaa ila kwasabu hatulii anahangaika hangaika tuliosoma Cuba tushaelewa.
Mama kama mama,upo vzr sn ktk uongozi wako,wachache tu wanakuangusha tu
Kama Kuna fiisi aitwe cc..
I love that president, she is the best ever
Mama lisu atajidai sana
Simba wa maonyesho,.... Hana madhara. Najiwazia zangutu
Ni kweli mama Samia anafahamu kuwa Tundu lisu ni mkali kama Simba
Mama yupo sahihi maan tundulisu anahangaika kama huyu Simba
Lisu anaangaika baada ya kuona watu😂😂😂
"Du kumbe Mh. Lisu ni SIMBA aliyeko kizuizini" Nimekuelewa Mama.
Tundu Lisu, the lion
1:23 1:26 1:29
Tundu Lissu simba wa Tanzania!! Mama anajua
Ila nimexheka! Eti aitwe Tundu Lissu!
😂😂😂
Hamna kitu anamuogopa Tundu Lissu na alivyowatuma askari wafanyie Chadema kule Mbeya
Sijakuelewa..!!?
Daah anavyo haaaa natamani wamfungulie ata dk 10 tu..
Imara kama simba Tundu Lisu
Nyie machawa mmensikia rais wetu alivyo na hekma anamkubali Tundu lissu sana,
We ndio chawa vitu vya kijinga
Samia.leo.ndio.umesema.ukweli.tangu.uingie.ikulu.lisu.akili.kubwa.shujaa.msomi.mzalendo.ndie.anaefaa.kuwa.raisi.wa.nchii.hii.
Simba yupo very stressed, ndio maana hatulii anataka kutoka jela. Hawa wanyama wanataka uhuru wa kutembea, msiwaweke mwenge matundu kama ya ndege.
Hahahahaha Maza anamchokoza tundu lisu aiseeeh
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni jina nzuri mh rais umempatia huyo simba
Hahahaaa mama unamkubali lisu na unamchokowq ajibu subiri jibu lako kwake
Mbona TBC kwenye sakata la Ngorongoro haijib chochote au wanangorongoro hawatoi kodi inayowaendesha niny TBC????
TBC ni shirika la serikal ndo maaan ndugu yangu
Vip mbona maccm wanmtaja taka lisu au ashasilimishwa kisiri bado kuanika tu
Ameeleweka!
Huyo Simba anaonesha ni mkali lakini hana madhara kwa kuwa kafungiwa ndani ya banda....atahangaika tu, lakini hana madhara.
Nimecheka kwa sauti
Nimemuelewa sana Rais kulingana na uyo Simba, na Mimi naunga mkono aitwe tundulisu 😂😂😂
Kwa kwel Tundulisu n kama SIMBA
Inawezekana mtu kuitwa simba,ukiona mtu kakusifu jijrize nimekosea wap? Najua sifa huwa niza mungu je simba akionekana mjini huyo kafugwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Watamtaja japo kimya kimya😂
hamjaelewa kamaanisha nini mama😂😂
Kusema aitwe tundu lisu nikwasababu ni kua simba huyo hana akili hatulii anadhani kukimbia humo ndani kutamletea mlango.yaan ni sawa na kuludia kosa na kutegemea matokeo tofauti...
yaan huyo ni simba wa kwenye carge hana madhala😂😂😂
Kumbe unamwogopa 😅😅😅
Weenimama huwez kuwaacha watoto wafenjaa tunaimani nawewe mungu akulide tunakuombea
Duh watanzania bhana wadanganye hata kwa kipande cha pipi watakuita una roho nzurii😅
Mama anamappreciate Tindu Lissu!!😂😂😂
SIO TUNDULISU AITWE SIMBA HAPANA ILA SIMBA NDIO AITWE TUNDULISU KUNTOFAUTI HAPO😅😅😅😅
Na ndio tabia ya tundu lissu anakuwa strong, anapewa chakula lakini bado hatulii
Mama yetu Samia aonekana alikuwa mtani sana enzi zake..Samia jmani😅😅
Akiona wetu wengi Anahangaika lakini hana madhara. Wenye D 2 tumekuelewa Mama
Jina Lina mfaa,
Na nisimba kweli
Tundu lisu yeye anasemaje😅😅😅 siyo kwa kuhangaika huko akiachiwa hapo mmekwisha
😂😂😂😂😂😂😂jamani mpendwa wangu mama tangu leo umenichekesha. Duu mama unautani sana Alllah akulinde na maadui wanaokuchafulia nchi. Ukiwaupovizuri kwaajili ya Allah utalipwa Duniani na.ahlah. ..
Hilo jina mlilompa huyo Simba Mungu amalipokea hivyo mtapata majibu yake
Ni kweli kabisa kwasababu tundu lisu haogopi mtu so ni kama simba.😂😂😂😂
Hilo ni tongozo la kisiasa kwanza kachangiwa hela ya gari pili ameitwa jina la simba tatu abduli kampelekea hela kazikataa sitashangaa lisu kusikia kahamia CCM 😅😅😅
Mimi nasoma tu comment zenu nacheka😅
Haa mm hapa umemaliza kweli bb yule mkali km simba
Tundulisu ni Simba dume..kweli kweli...
MHESHIMIWA RAIS UMENICHEKESHA SN LEO.😂😂😂
Kuanzia leo ni lisu simba
Mbona alikuwepo faru jon kwann lisu
Kwa hiyo lisu ni simba dume aliyefungwa? Au anamaanisha nn?
Hiyo ni amri au pendekezo
Yani mama kanifuraisha sana jamani mtu wamana sana
Nimecheka mpaka,Eti mwiteni Tundu lisu.🎉🎉😂😂😂😂😅😅😅😅
😢
Hatimae Tanzania tumempa Simba anayeitwa Tundu lisu😂
😂😂😂 ila mama🙌🙌🙌