Hii Ngoma nakumbuka nkiwa lighano seminary jimboo kuu Songea..wenzetu wako kikizo ya pasaka sisi tulibaki tuliuwasha huu wimbo Acha kabisa nkiwa form 2 ..sauti ya tatu. Dahh kwasasa nko parokiaa ya mkata Tanga..jaman kumwimbia Mungu Raha ..kama kawaida sauti ya tatu Sasa ni 2023 karibuni
Nimefufuka na ningali pamoja nawe asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Hongereni sana kwa utume mliokuwa mkiufanya. Mungu awajalie mrudi pamoja muweze kuiendeleza kazi yake. kwa waliotangulia mbele za haki. Mungu awapumzishe kwa amani na awape raha ya milele. Amina

Katoliki tamu kiukweli
jamn huu wimbo schoki kuuskiriza kama na ww huchoki gonga like twende sawa
Une très merveilleuse chanson !!! Rendons gloire au Seigneur
Hongereni sana waimbaji! wimbo mzuri sana.
Ni mzuriioo mnzuri mnoooo hauishi utamuuuu
Nani anasikiliza pasaka hii 2021, maalifa haya kweli ni ya ajabuuuuuu aleluyaaaaaaa
Niko pamoja na wewe kak ubarukiwe sana
I love the song
Tumsifu yesu kristu.Napenda kufundisha wadada zangu hapa DRC. Yafaa nifahamu vizuri
jamani gongeni like zenu kama piga kinanda yuko vizuri sana anajua kushusha nakuchomekea test kwakila sauti nasati zawainbaji zimechangamka daa tumegusa mbingu kiroho
Amina
Ameen Amen
Kweli maarifa haya ni ajabu sana.. mbarikiwe sana wanakwaya.
Wimbo mzuri sana,sichoki kuusikiliza hasa kipindi hiki cha Pasaka.abarikiwe aliyetunga na waimbaji wote.
Nimefufuka na ningali pamoja nawe asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
I guess I am quite randomly asking but do anyone know of a good website to watch new series online ?
@Ishaan Andrew i watch on flixzone. You can find it on google :)
nawatakieni mafanikio makubwa ya unjilishaji mallyas famili ili tusaidiane kutakatifuza malimwengu AMINA
Amina.
Huu wimbo naupenda sana. Nilisali parokia ya nyarugusu Geita pasaka mbili Miaka tofauti nikaipenda sana mpk Leo huwa nasikia raha sana nikiisikia
Mbalikuwe sana kwa nyimbo nzur
Utunzi wa mwalimu Bimanywenda kwaya Bmm Ukonga
Axanten xana kwa wimbo mzuri unanikumbusha mbali xana
Nimekumbuka sana familia yetu tulivyokuwa tunaishi pamoja halafu tunapangana sauti tunaimba...Leo hii tumetawanyika wengine wametangulia mbele za haki
Hongereni sana kwa utume mliokuwa mkiufanya. Mungu awajalie mrudi pamoja muweze kuiendeleza kazi yake. kwa waliotangulia mbele za haki. Mungu awapumzishe kwa amani na awape raha ya milele. Amina
Pole yote ni mipango ya mungu
Amina. 🙏🏿 Kweli Yesu amefufuka.
Nakumbuka kwaya yetu ya Francisco wa Assisi pâle Mbagala majimatitu
Very well sung. Please include words and people so we can sing and dance alongside
Nice song. Hauchiji kabisa
Big up our singers god give us power to praise all over the world
Naupenda mnooo
❤❤❤ Sichoki kukupenda Yesu wangu
wakati naucheza kwenye kinanda siku ya jpili ya pasaka, kiroho sikuwa katika Dunia hii. nilibarikiwa sana na hii tungu murua ya Bimanywenda
Amina sana ndugu. Endelea kumtumikia Mungu kwa talanta uliyopewa
be blessed !
Wimbo nzuri.....Hongera
maarifa hayo ni ya ajabu....hallelujah
Maarifa hayo ni ya ajabu alleluia
Amina mubarikiwe
I have to work hard to be in heaven kama huko ni hivi tu daily🤔😄
Nabarikiwa sana na huduma itolewayo. Izidi kudumu.
Amina
Happy Easter 2020.Very nice song. Blessings
Sawa kbs salah salah
Mmeukimbiza sana hadi tafakari ya maneno yanakosekana. Reduce the tempo to allow contemplating
2019 kristu kafufuka. Amina
Imani yangu yaimarika ninaposikiza nyimbo hizi.Mungu aibariki kazi hii.
les go🎉🎉
Daaaaaaah Jamani
Mungu awabariki
Nice song mbarikiwe sana.
Nice. Unaruhusiwa kuibwa hata kipindi hiki cha august na kuendelea?
Huu wimbo unafaa dominika gani ya Pasaka?
Pasaka yenyewe
Kipindi chote cha pasaka unaimbika tu hauna shda hasa siku yenyewe ya pasaka
❤❤❤❤❤
Amina
Amina
Notes please