#Mix

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • #thanksgiving #imanikuu #catholicchurch #catholicsongs

ความคิดเห็น • 47

  • @JamaalRashid51
    @JamaalRashid51 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante, mung, kwazawadi,na,afya,njema,uliyonijalia,hakika,wewe,ni,baba,mwema
    Kwangu

  • @scholasticaelias2049
    @scholasticaelias2049 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mungu Kwa neema zako na pumzi ya uhai, uhimidiwe mungu wetu milele yote

  • @StevenTossi-ff1jf
    @StevenTossi-ff1jf 15 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu kwa zawadi ya uhai ulionijalia mpaka mdahuu nina nitakutukuza siku zote zamaisha yangu amina

  • @zoomcapacity5160
    @zoomcapacity5160 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema kila wakati , Asante Mungu Baba Kwa Kila kitu 🙏 🙏 🙏

  • @clarenaliaka7573
    @clarenaliaka7573 2 หลายเดือนก่อน +7

    Asante Mungu Baba kwa wema wako ulio nijalia manake kama siyo wewe sijuwi Mimi ningekuwa wapi asante 🙏 na Uhimidiwe milele yote 🙏🙏🙏

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน +1

      Amina. Mungu akubariki sana.

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Mungu kwa neema na baraka zako unazonijalia siku zote za maisha yangu🙏🙏

  • @GeorgeKachwele-lv3pj
    @GeorgeKachwele-lv3pj 26 วันที่ผ่านมา

    Nitaendelea kukushukuru mungu kwa yote

  • @rozkiwale912
    @rozkiwale912 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ahadi yangu bwana nimehamua nitakutumia maisha yangu yote. Wewe ni bwana utabaki kuwa Mungu maishani kote

  • @rozkiwale912
    @rozkiwale912 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu ninakushuru sana Mungu wangu umenitoa mbali sana Mungu wangu Kila siku unanipa vitu vingi hata amboavoyo sijakuomba Mungu wangu . Asante sana Mungu wangu ❤

  • @YustaWilbad
    @YustaWilbad 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asantee mungu kwa kuendelea kutupa nguvu za kukitukuza

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa wingi wa baraka alizonijalia Mungu sina lugha ya kutosha na kufaa kuweza kumshukuru 🙏

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

  • @YasintaEmmanuel-yj8jm
    @YasintaEmmanuel-yj8jm 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nakushukuru sana bwana wamajeshi kwamaan pasina wew unipae haya mim sichochote 🙏🙏🙏🙏

  • @rozkiwale912
    @rozkiwale912 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni upendo wewe ni WA rehema ninakushuru sana Mungu kwa upendo wako daima Mungu wangu

  • @vincentmboti
    @vincentmboti 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante.Wonderful catholic songs.

  • @jairuschampa7136
    @jairuschampa7136 หลายเดือนก่อน

    Nitakushukuru sana mwenye mungu kwa uhai na pumzi cha bure na afya mzuri sifa na utukufu sifike kwako eeh mwenye mungu

  • @Aida-w8i
    @Aida-w8i หลายเดือนก่อน +1

    Tuishimile iyo mana nafurah kusikiliza nyimbo ya kilugha

  • @ErukudiManu
    @ErukudiManu 2 หลายเดือนก่อน

    Shukrani imurudie Kristo kwa ajili ya uwema wake uliyonijalia

    • @abelikisima
      @abelikisima 2 หลายเดือนก่อน +1

      13: 1 15:37 15:37 5:36 13:06 15:43 :07

  • @LaurianmethodMwijage
    @LaurianmethodMwijage 25 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe kutuandalia nyimbo nzuri za shukurani.

  • @josephmeinradhyera7672
    @josephmeinradhyera7672 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah to Jesus forever 🙏

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน

      Amen. My the Almighty God bless you abundantly

  • @josephmeinradhyera7672
    @josephmeinradhyera7672 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah to Jesus forever

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน

      Amen. My the Almighty God bless you abundantly

  • @rozkiwale912
    @rozkiwale912 2 หลายเดือนก่อน

    Nitakushu kwa kuwa nimeumbwa kwa jinsi ya ajabu

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera kwa nyimbo mzuri zinanifariji mno jamani nimefurahi sana ❤

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana kwa pongezi. Mungu akubariki sana.

  • @leoncenduka7756
    @leoncenduka7756 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuri inanifariji

  • @GorethLutego
    @GorethLutego 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen , Thanks God for your bless

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน

      Amen. My the Almighty God bless you abundantly

  • @OlimaLuben
    @OlimaLuben 2 หลายเดือนก่อน

    Amina sana

  • @TheresiaMbiduka
    @TheresiaMbiduka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nina Kila sababu ya kushukuru MUNGU wangu ,hapa nilipofika si Kwa akili yangu ,Mimi na familia yangu tunakuabudu milele

  • @kabelegecletus718
    @kabelegecletus718 หลายเดือนก่อน +1

    Niseme nini e bwana nitamke maneno gani kinywani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sina neno Zaid ya kusema nimekombolewa kwa Neema zako

  • @norbertjosephat7831
    @norbertjosephat7831 2 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kwa nyimbo hizi nzuri zenye tafakari ya kina

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa mimi napata fundisho,,! mungu anapokupa jukumu lakua kiongozi, yan kuwatumikia watu, unapaswa kua mkweli na mtenda haki kwa watu wote maskini na matajiri, usipo tenda hayo ukiwa kama kiongozi wewe ni sawa namtu anaye igiza movie tena bongo movie, na hukumu yako ipo palepale maana mungu yeye hapindishi mambo kama wamadamu.

  • @JustinaBukwimba-sc1vz
    @JustinaBukwimba-sc1vz 2 หลายเดือนก่อน +1

    asante sana kwa nyimbo zuri zinafulahisha sana❤❤❤

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwa kushukuru. Mungu akubariki sana.

  • @ReubenAmos-v1x
    @ReubenAmos-v1x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeraa sana kocha wetu kazi ni nzur mno mungu aendelee kukulinda

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwa pongezi. Mungu akubariki sana.

  • @SARAPIONIFREDERICK
    @SARAPIONIFREDERICK 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nzuri mno

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  3 หลายเดือนก่อน

      Asante sana. Mungu akubariki sana

  • @venerandamorewa-h2t
    @venerandamorewa-h2t 2 หลายเดือนก่อน +2

    NINAKILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU KWA YALE ALIYOTENDA KWANGU.

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.

  • @evalynekibutit6267
    @evalynekibutit6267 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Mungu kwa neema na baraka zote .
    Sifa na utukufu ni vyako.

  • @LeahMahizi
    @LeahMahizi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Sana Mungu wangu Kwa kunijaria watoto nakushukuru❤

    • @ImaniKuu
      @ImaniKuu  2 หลายเดือนก่อน

      Amina. Mungu akubariki sana.