MSHIPI (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania - Sms SKIZA 7012622 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Available on all Platforms: album.link/tnz...
    Download or listen online: mdundo.com/son...
    Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
    Publisher: Verony Productions Ltd.
    Composer: E. F. Jissu
    Copyright ©Verony Productions Ltd.
    Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana
    Ni nani aliye mwamba, mwamba ila Mungu
    {Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu aha!
    Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu aha!
    Naye anaifanya kamilifu njia yangu } *2
    Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana
    Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu
    Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia
    Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu
    Katika shida zangu nilimwita Bwana ee Bwana
    Na kumlalamikia Mungu ee Mungu
    Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake
    Kilio changu kikaingia masikioni mwake
    Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu
    Akanilipa sawasawa na haki yangu
    Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
    Hivyo nitaokoka na adui zangu.

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @WAMOTOWAMOTO-tr9ft
    @WAMOTOWAMOTO-tr9ft 10 หลายเดือนก่อน +314

    Kama umeisikiliza hii 2024 gonga like

    • @DuncanOmbati-nf5wv
      @DuncanOmbati-nf5wv 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@WAMOTOWAMOTO-tr9ft mwezi WA kumi na moja niko ndani

    • @SadikiBosko
      @SadikiBosko 2 หลายเดือนก่อน +1

      Leo tarehe 29/11/2024 nimebarikiwa sana kupitia wimbo huu

    • @peterkaranja-ui7bo
      @peterkaranja-ui7bo 2 หลายเดือนก่อน

      Nimeuskiza tena na tena leo tarehe 7 Disemba 2024

  • @marymugogo5007
    @marymugogo5007 10 หลายเดือนก่อน +110

    Who is with me 2024❤❤❤🎉🎉 🔥 🔥

  • @gracemichael9583
    @gracemichael9583 11 หลายเดือนก่อน +113

    nani yupo nami 2024

  • @sigathaddeus1176
    @sigathaddeus1176 11 หลายเดือนก่อน +235

    Who is listening 2024🎉🎉??

  • @ltlmedia8480
    @ltlmedia8480 5 ปีที่แล้ว +284

    Naupenda huu wimbo jaman acheni tu tuendelee kumsifu Mungu piga like yako hapa kama wampenda Mungu..

  • @Josephine-rv2oq
    @Josephine-rv2oq 10 หลายเดือนก่อน +14

    2024 in it fully,my love for this song can not be measured with anything❤❤❤❤❤

  • @Georgekitalu
    @Georgekitalu 2 หลายเดือนก่อน +7

    Jamais quitter mon propre église catholique, j'aime beaucoup catholique de plus que toutes choses. Merci seigneur Jésus Christ.

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  2 หลายเดือนก่อน

      Que Dieu te bénisse mon frère.

  • @EmmanuelMollel-h3h
    @EmmanuelMollel-h3h ปีที่แล้ว +27

    Twende nayo hadi 2024

  • @desmondplanets
    @desmondplanets ปีที่แล้ว +30

    Tulio tazama tena mwaka huu gonga like twende pamoja

  • @emmanuelsamwel741
    @emmanuelsamwel741 ปีที่แล้ว +13

    Nimekuja tena KUSIKILIZA 2024

  • @Davie353
    @Davie353 ปีที่แล้ว +125

    2024 anyone?

    • @KevinKiprop-ep3lo
      @KevinKiprop-ep3lo 10 หลายเดือนก่อน +1

      Here 😂

    • @Refance.o
      @Refance.o 9 หลายเดือนก่อน +2

      It's a nostalgic song because when I was young we used to live in huruma and this was like an alarm on a Sunday morning kuenda church mtu wakuuza cd akiziplay 7.00am ❤❤❤

    • @deborahmiyungo8550
      @deborahmiyungo8550 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@Davie353 Mimi❤️❤️

    • @EthanNasurutia
      @EthanNasurutia 4 หลายเดือนก่อน

      Yeah. Me

  • @salvatorystanley5887
    @salvatorystanley5887 6 หลายเดือนก่อน +54

    2024 gonga like kama unabarikiwa na wimbo huu🎉

  • @FondahTravel
    @FondahTravel 11 หลายเดือนก่อน +28

    I have been searching for this song for pass 10 years now . Thank God I finally saw it 2024 on February 26 . This was a great song in my child hood as a catholic reform Christian. We usually sing this song and even stage in school even though I don't understand the meaning because I am from Cameroon . Much love to this song .
    2024 fans gather here

    • @ashudesmond3050
      @ashudesmond3050 11 หลายเดือนก่อน

      Also watching from Cameroon 🇨🇲🇨🇲🇨🇲. March 15, 2024.
      Which part are you from? I'm from Buea

    • @RevolutionaryArt-zs4vv
      @RevolutionaryArt-zs4vv 7 หลายเดือนก่อน +1

      Good to hear that....much love from Kenya

    • @FondahTravel
      @FondahTravel 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@ashudesmond3050 from bamenda but currently in India

    • @ashudesmond3050
      @ashudesmond3050 7 หลายเดือนก่อน

      @@FondahTravel wow great 👍.
      All the best brother. How's India? I've always wanted to be there someday

    • @FondahTravel
      @FondahTravel 7 หลายเดือนก่อน

      @@ashudesmond3050 India is very Good , ohh you should come

  • @juleskadolly9520
    @juleskadolly9520 ปีที่แล้ว +22

    2024 mungu nifunge mshipi

  • @issayarashid9845
    @issayarashid9845 ปีที่แล้ว +15

    Nimekuwa Mtu wa elf 1. 1000 kucomment... YESU awatunze ❤❤❤❤

  • @tuyizereghadi1619
    @tuyizereghadi1619 5 หลายเดือนก่อน +9

    Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana
    Ni nani aliye mwamba, mwamba ila Mungu
    {Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu aha!
    Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu aha!
    Naye anaifanya kamilifu njia yangu } *2
    Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana
    Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu
    Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia
    Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu
    na ngome yangu
    Katika shida zangu nilimwita Bwana ee Bwana
    Na kumlalamikia Mungu ee Mungu
    Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake
    Kilio changu kikaingia masikioni mwake
    Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu
    Akanilipa sawasawa na haki yangu
    Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
    Hivyo nitaokoka na adui zangu

  • @leonppolygathoni3607
    @leonppolygathoni3607 ปีที่แล้ว +6

    Baada ya miaka mingi nimeupata huu wimbo naskia nimebarikiwa, 2024 still a hit

  • @dianaokwach4008
    @dianaokwach4008 10 หลายเดือนก่อน +6

    Watching in 2024 in UK and remembering how God has been so good.Amen..ni mungu ndiye anifungae mshipi wa nguvu

  • @steppermesh6964
    @steppermesh6964 ปีที่แล้ว +24

    Takes me far back in time as a very young boy. This song made me admire Catholicism at a very young age and now am a proud catholic

  • @PaulineMasasa
    @PaulineMasasa 14 วันที่ผ่านมา +3

    Watching it in 2025. Though am a Malawian n I can't everything in the song but I love it 😅❤

  • @chichiherself5698
    @chichiherself5698 8 หลายเดือนก่อน +11

    Huu wimbo ni Sifa kamili kwa Mungu,
    “Daudi alimwimbia Bwana maneno ya wimbo huu wakati Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli.”
    Ukisoma maandiko matakatifu 2Samweli‬ ‭22‬ utakutana na huu wimbo kuanzia mstari wa 32 na kuendelea.
    Glory to God 🙏🏼🔥🔥

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  6 หลายเดือนก่อน

      Umeipata kabisa, ubarikiwe sana, Chichi.

  • @babapx
    @babapx 8 หลายเดือนก่อน +12

    Mimi nipo hapa 2024. Tunawapenda kutoka Kigali, Rwanda.

  • @veronikapanga7455
    @veronikapanga7455 7 หลายเดือนก่อน +7

    Hadi Leo nausikiliza huu wimbo 2024

  • @picsandvidstv1348
    @picsandvidstv1348 4 ปีที่แล้ว +57

    This song in sang in almost every Catholic Church here in Kenya! Thank you Tanzanian choir for this masterpiece!

  • @danogeto78
    @danogeto78 7 หลายเดือนก่อน +5

    Bwana Yesu asifiwe wakatoliki wote Nchini Kenya 🇰🇪
    Mungu abiriki watu wake na Nchi nzima ❤

  • @LydiaAyieko
    @LydiaAyieko 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watoto wa elf mbili ndo tunasikiza huu wimbo 2024❤❤❤❤❤catholic my church forever

  • @kainoyano4022
    @kainoyano4022 8 หลายเดือนก่อน +9

    I’m not a catholic but I schooled in catholic schools both primary and secondary, I love their songs. I know all of them and I enjoy listening to them

    • @Rajab-l4b
      @Rajab-l4b 6 หลายเดือนก่อน

      @@kainoyano4022 likewise dear

  • @akonsinclear2934
    @akonsinclear2934 ปีที่แล้ว +33

    Who also came here from tiktok 😅😅😅😅😅😅

    • @BrianxBorne
      @BrianxBorne 5 หลายเดือนก่อน

      mimi nimeijulia kwa meme😂😂😂😂

  • @maningowakibara1159
    @maningowakibara1159 4 ปีที่แล้ว +21

    nimebarikiwa sana kama na ww umebarikiwa please usiache kugonga like

  • @Dianachesome
    @Dianachesome 3 หลายเดือนก่อน +3

    Morng,I like the song,nn kinanzuia kusema asante na nmeona day ingine.

  • @katemutzzz
    @katemutzzz ปีที่แล้ว +18

    2023 am still loving this song, such a masterpiece!

  • @RichardJonathan-on4ql
    @RichardJonathan-on4ql 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuri ya pasaka ❤❤

  • @dennismlaki686
    @dennismlaki686 7 ปีที่แล้ว +169

    Najivunia kuwa mkristu mkatoliki, mbarikiwe na babayetu wa mbinguni, wooote msikilizao nyimbi za kumsifu na kumshukuru yeye aliye juu, naiwe heri kwenu

  • @Ndonyecr7
    @Ndonyecr7 8 หลายเดือนก่อน +5

    If im not here tomorrow just know this song started my day....2024 noww

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  6 หลายเดือนก่อน

      Glad you are blessed by this song among others.

  • @officialmroso6925
    @officialmroso6925 4 ปีที่แล้ว +60

    I proud Roman Catholic 🙏

  • @akinyililian3330
    @akinyililian3330 5 ปีที่แล้ว +262

    Who else is steeling watching this song 2019 🙋🙋🙋 nice one Amen

    • @andrewwambugu6400
      @andrewwambugu6400 5 ปีที่แล้ว +5

      tena sana..... it will never loose its meaning

    • @ferdnandnyongesa6734
      @ferdnandnyongesa6734 5 ปีที่แล้ว

      Akinyi wacha kunletdown maze "" stilling notsteeling ama"""

    • @karenawor1036
      @karenawor1036 5 ปีที่แล้ว +2

      Yes Akinyi we are still watching..Amen indeed.To Nyongesa it might as well have been a typo typing error.God bless us all.

    • @lilianakinyi7389
      @lilianakinyi7389 5 ปีที่แล้ว +3

      thanks wale tunaendelea kuwatch twende,,, hadi 2030 au sio dio manake

    • @lyndahtaylor1600
      @lyndahtaylor1600 5 ปีที่แล้ว

      @@ferdnandnyongesa6734 still

  • @briankipngetich8329
    @briankipngetich8329 4 ปีที่แล้ว +30

    Any one watching this song 2020, I am so much proud to be a chatolic member God bless you all

  • @eutropiadavid3947
    @eutropiadavid3947 4 ปีที่แล้ว +180

    The unique of Roman Catholic is that we have unique tones everywhere you go,when you here these sounds you know exactly where it's belongs...😍

    • @felipechandler1633
      @felipechandler1633 3 ปีที่แล้ว

      i dont mean to be so offtopic but does any of you know of a method to get back into an Instagram account?
      I somehow lost my account password. I appreciate any help you can offer me.

    • @bensonchemonges4374
      @bensonchemonges4374 2 ปีที่แล้ว +2

      👍

    • @nambozoannet
      @nambozoannet ปีที่แล้ว +2

      {

    • @nambozoannet
      @nambozoannet ปีที่แล้ว

      P
      L
      Pop

    • @AlineNzeyimana-c2f
      @AlineNzeyimana-c2f ปีที่แล้ว

      Franchement les catholiques tanzaniens different des autres catholiques.quand on entend les sons de leurs chant avec la facons don't ils dansent,on les reconnait rapident . Je vous suis depuis le burundi.soyez richement benis

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 9 หลายเดือนก่อน +5

    This mshipi song hits differently 😢❤ asanteni sana St. Cecilia 🇹🇿

  • @elizabethtreshory7776
    @elizabethtreshory7776 5 ปีที่แล้ว +3

    Nina furaha sana kuwa mkatoriki mkamilifu,tumsifu yesu kristu wapendwa

  • @valencyvedastus9802
    @valencyvedastus9802 ปีที่แล้ว +51

    Hi brothers and sisters of year 2090,,,,.......we enjoyed alot in 2019/2023 with this song hope you are enjoying it too. Stay blessed...make Catholic more respected than we your elders did. And God will put best in your lives.

    • @christinewavinya3978
      @christinewavinya3978 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂weh

    • @TashTashliny-uh7ts
      @TashTashliny-uh7ts ปีที่แล้ว +2

      Awww😂😂😂ati 2090

    • @valencyvedastus9802
      @valencyvedastus9802 ปีที่แล้ว +2

      @@TashTashliny-uh7ts yeah probably most of us will be buried ⚰ 🙏😂🙄

    • @nancyamwoka9562
      @nancyamwoka9562 หลายเดือนก่อน

      Aww 2090 some us will be already buried ⚰️⚰️

  • @georgeziboni
    @georgeziboni 3 ปีที่แล้ว +1

    Namuona mwalimu G.MKUDE, kumbe ii kazi ameianza zamani

  • @emmanukip2769
    @emmanukip2769 6 ปีที่แล้ว +48

    Ain't catholic but these are some songs that i love listening to..God bless

  • @innocentbalemba7741
    @innocentbalemba7741 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tupo wengi kutoka pande zote za dunia

  • @vanbizopaul
    @vanbizopaul 10 หลายเดือนก่อน +18

    2024 anyone...🔥🔥🙌

    • @EthanNasurutia
      @EthanNasurutia 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@vanbizopaul Yea. Me

  • @P_D-D1000
    @P_D-D1000 ปีที่แล้ว

    hizi ni zile enzi za madvd na cd, nakumbuka jirani zangu wakituomba hii cd sundays ati wanaturudishia (listening it in 2023)

  • @pwoka5208
    @pwoka5208 5 ปีที่แล้ว +65

    Though am an Adventist this one of my all time Gospel song naupenda wimbo huu... mbarikiwe 🔥🔥💯😘

    • @beatricewanjiku8454
      @beatricewanjiku8454 4 ปีที่แล้ว +2

      Thanks Woka for liking our song. You have no idea how I love SDA hymns. You also have a unique way of singing. Let's all praise our Creator. That's why we were put in this world. Our God is one and He loves us equally. Tumtukuze forever.

  • @nanaezoro
    @nanaezoro 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nani yuko na mimi 2024

  • @lucymongare5489
    @lucymongare5489 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo mzuri hongera sanaa...2024 here am listening

  • @mayallahamis1256
    @mayallahamis1256 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo hii kwaya ilikuwa moto sana sikumbuki jina la mpiga kinanda wao tu

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  6 หลายเดือนก่อน +1

      Hata sasa bado moto. Mpiga kinanda anaitwa Gabriel Mkude.

    • @mayallahamis1256
      @mayallahamis1256 6 หลายเดือนก่อน

      @@VeronyProductions naam gabriel mkude yes ahsante

    • @domichaksdkm4001
      @domichaksdkm4001 2 หลายเดือนก่อน

      Might I add that GC Mkude is one of the greatest pianists kwa hizi nyimbo. He’s my idol.

  • @marynghumbu8437
    @marynghumbu8437 6 ปีที่แล้ว +5

    Najivunia kuwa mkatoliki nabarikiwa sana kupitia nyimbo za kikatoliki MUNGU azidi kuwabariki ili neno lake liendelee kubadili maisha yetu ya kila siku.

  • @mamabrayo3233
    @mamabrayo3233 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni Mungu ndie anifungae mshipi wa nguvu😌

  • @dottojohn4705
    @dottojohn4705 5 ปีที่แล้ว +18

    Namaliza mwaka 2019 na hii, nani tupo pamoja.

  • @TheranceBakhresa
    @TheranceBakhresa 9 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ Asante sana

  • @mauvaisguymrmatt5260
    @mauvaisguymrmatt5260 3 ปีที่แล้ว +37

    At last i saw this album,for the fact that i never knew the name of the choire i had to watch almost all the Catholic songs just to find this ,i don't speak Swahili but the Rhythms and the acent gives me a deep feeling of belonging 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @CharlesKambona
    @CharlesKambona ปีที่แล้ว +2

    Acheni Mungu aitwe Mungu, Nyimbo Katoliki ni tamu saana

  • @Dennis_Okelo
    @Dennis_Okelo 5 ปีที่แล้ว +26

    Ain't a Catholic, but as an SDA adherent, this song is so inspiring that I came back to listen to it in Oct 2019

  • @floyedlumumba1625
    @floyedlumumba1625 4 หลายเดือนก่อน

    Nimeuskia huu wimbo toka utotoni na bado naupenda hadi leo,,kutoka kenya

  • @chazkoillah2652
    @chazkoillah2652 6 ปีที่แล้ว +5

    Katika shida zangu nalimwita Bwana Eee Bwana na kumlalamikia Mungu eeh Mungu akaisikia sauti yangu Hekaluni mwake kilio changu kikaingia masikioni mwake... I love it 2019 January

  • @icekidcharisma5246
    @icekidcharisma5246 24 วันที่ผ่านมา

    I’m Cameroonian but my dad so loved this song

  • @susanwachira9035
    @susanwachira9035 4 ปีที่แล้ว +9

    Am proud to be a catholic of Roma by faith. When you sing you pray twice,, it is said so and I believe

  • @garykabuthu8713
    @garykabuthu8713 5 วันที่ผ่านมา +1

    2025❤❤❤ pita na like kama wimbo huu wakubariki

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 8 ปีที่แล้ว +50

    ni mungu ndiye anifungae mshibi wa nguvu Aha!ni mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu Aha! nae anifanya kamilifu njia yanguuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @AshleyCool-c3n
    @AshleyCool-c3n หลายเดือนก่อน +1

    Thank God I found this after so much search.
    Glory to Jésus

  • @jovinbamhiga4800
    @jovinbamhiga4800 6 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Yesu Kristo Awabariki Sana Wimbo Mzuri Sana.

    • @rigobertdimoso6637
      @rigobertdimoso6637 6 ปีที่แล้ว

      Best beautfull catholic songs am very pleased to listen them and be blessed!

  • @GodfreyNgowi-h5h
    @GodfreyNgowi-h5h 4 หลายเดือนก่อน

    Wangapi tuna sikiliza uwimbo mwaka uuu 2024

  • @ajimbacaleb6630
    @ajimbacaleb6630 8 ปีที่แล้ว +17

    I don't think my soul will be tired of loving this song. it blesses me so much

  • @jaredtheorganist937
    @jaredtheorganist937 ปีที่แล้ว +1

    Ni yeye bwana aliye nguvu zangu nampenda sana, ni yeye jabali langu na boma langu na mwokozi wangu, mungu wangu mwamba wangu ninaye mkimbilia ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yanguu.

  • @queenzeey8238
    @queenzeey8238 5 ปีที่แล้ว +189

    Anyone who still watching this song 2020🙏

  • @austinemuda2419
    @austinemuda2419 6 หลายเดือนก่อน +2

    Anyone 2024 this song reminds me my late uncle he used to love this song when I was kid rip 😢 Mr okumu

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  6 หลายเดือนก่อน

      Eternal rest grant unto him, O Lord, and let perpetual light shine upon him. May his soul rest in peace.

  • @EddieTipis
    @EddieTipis ปีที่แล้ว +8

    Whos here 2024 kenya

  • @malkiarose4955
    @malkiarose4955 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila mara ninapo sikia huu wimbo hunivuta machozi na kunipa matumaini mapya,mubarikiwe watunzi

  • @redemptahbenic7201
    @redemptahbenic7201 7 ปีที่แล้ว +16

    Najuvunia kuwa mkatoliki... barikiweni sana
    Mama maria tuombee×3

    • @hancyboy6136
      @hancyboy6136 6 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @rosekyara3711
      @rosekyara3711 5 ปีที่แล้ว

      Naifurahia kwaya ya njiro jamni ,Big up mwalimu muandaaji

  • @emmanuelkonki59
    @emmanuelkonki59 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu, akanilipa sawasawa na haki yangu...............................thanks

  • @samwelnjuguna-gz9eb
    @samwelnjuguna-gz9eb ปีที่แล้ว +3

    Kila binadamu ana unyonge ✌️ GUIDANCE❤️🇰🇪🌍Be Wise 🦉 This song is so Good 💯

  • @blessedfavoredsymoh5822
    @blessedfavoredsymoh5822 10 หลายเดือนก่อน

    Nawakilisha Kenya, 2024. Wakenya twaupenda saana huu wimbo, ama niaje?

  • @beckychinua9789
    @beckychinua9789 4 ปีที่แล้ว +9

    When I listen to this song it reminds me the day we buried our grandpa in 2011
    Continue resting in peace grandpa

    • @mercynangira1977
      @mercynangira1977 4 ปีที่แล้ว

      Myself too. Back in 2006.
      This is the song that was sung

  • @NabuguziEveline
    @NabuguziEveline 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤mungu a wabarik sana kwahizo sauti nzuri kwamungu

  • @clarisseceilo55
    @clarisseceilo55 4 ปีที่แล้ว +6

    Anyone watching in 2020 October make that thumb blue 💙 wow this song in the days of my youth choir were awesome

  • @EmmanuelBanzi
    @EmmanuelBanzi 2 หลายเดือนก่อน

    Tukopamoja mungu mwema anatupenda sana vijana tunanguvu ya kuilinda imani

  • @ashudesmond3050
    @ashudesmond3050 11 หลายเดือนก่อน +10

    2024 still watching 🇨🇲🇨🇲🇨🇲👏👏👏

  • @irenewasike8669
    @irenewasike8669 7 หลายเดือนก่อน +1

    Enjoying to the fullest...we serve one God but naona nikienda kushiri huko

  • @annagodson6573
    @annagodson6573 9 ปีที่แล้ว +9

    nothing is like God, God is my Castle, my rock, my girdle I love God
    Thank you for being rock of my weakness Amen

  • @youngvinc953
    @youngvinc953 3 ปีที่แล้ว +1

    God is great, who else does not understand but loves the songs ? Let’s gather here

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  3 ปีที่แล้ว

      Young vinc, this song is for encouragement, it's an acknowledgment of what God does in our daily lives.

    • @youngvinc953
      @youngvinc953 3 ปีที่แล้ว

      @@VeronyProductions Thanks for letting me know, even though I don’t understand The language but I do praise God in my heart when ever I listens to it, and it sounds similar with some other praise songs in my own language (IGBO)🙏✌️

  • @reginahnyakiige9765
    @reginahnyakiige9765 4 ปีที่แล้ว +22

    When am too low in spirit,I remember this song,I play it,and the beats begin,,,,I feel blessed.

  • @AlexKdomore
    @AlexKdomore 5 หลายเดือนก่อน +1

    First powa no one is powerful as God bless I hope.salver Lifes . I love music so much .I'm alex from congo I live in America I trust. Amen.

  • @lilianakinyi7389
    @lilianakinyi7389 4 ปีที่แล้ว +48

    2020 wangapi bado tunasikiza huu wimbo 👍👍👍

  • @gabbu111
    @gabbu111 3 หลายเดือนก่อน +1

    Can't believe i last watched this song in 2007 on a video cassete, the memories and the song itself remains a blessing forever

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  2 หลายเดือนก่อน

      You must be a very ardent supporter; God bless you.

  • @patriciamaasi3315
    @patriciamaasi3315 6 ปีที่แล้ว +21

    Proud being a Catholic
    The song are so sweet u just find yourself listening

  • @slysweetcandie9971
    @slysweetcandie9971 6 หลายเดือนก่อน +1

    Reminds me when I was a little girl. This choir came to perform in Kenya 🇰🇪 and we were soo happy. 🎉🥰

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  6 หลายเดือนก่อน

      That was around 2008. They were here again last year. God bless you for the support.

  • @Glo_wan
    @Glo_wan 5 ปีที่แล้ว +41

    2019 anyone??...
    This song is just beautiful... I looove it.... ❤️
    Thank you Mt. Cecilia Choir

  • @sophiakigombola9031
    @sophiakigombola9031 5 ปีที่แล้ว +2

    Leo hakika imekua cku yangu nzuri. Kwa kuzipata nyimbo nizipendazo. Huu wimbo. Na Mungu ndiyo tegemeo langu.

  • @togetherwithwinny4078
    @togetherwithwinny4078 6 ปีที่แล้ว +24

    How blessed I feel to listen to this song... It reminds me of how i used to dj in my former highschool church... @kisaugirls im coming we worship together soon

  • @eunicefalex4403
    @eunicefalex4403 3 ปีที่แล้ว +1

    Sichoki kusikiliza hii nyimbo hakiamungu ina ujumbe mzuri saana kutoka 🇩🇪nafarijika kusikiliza nyimbo za nyumbani ❤️🇹🇿

  • @davidnchoji
    @davidnchoji 9 ปีที่แล้ว +3

    Daah asee hii wimbo ilifunika sana, maana mpaka sasa kama mpya vle haki naipenda sana pia na waimbaji woote mbarikiwe sana na Mungu👏👏👏

  • @KibunjaOliver
    @KibunjaOliver ปีที่แล้ว +2

    I really love this song since day one on my TH-cam congratulations all catholic for making millions of people happy and blessed 🎉🎉🎉

  • @tomotie2008
    @tomotie2008 6 ปีที่แล้ว +15

    It's 2018 and God is still my Rock, He is the one I run to when weak, He is my strength and my salvation. He makes my ways complete...Great message and may God Bless you Mt. Cesilia Choir, you have caused the Catholic family to be Blessed through this song

    • @bubbleb3199
      @bubbleb3199 2 ปีที่แล้ว

      Hey are you still here?

    • @USD_Neo
      @USD_Neo 2 ปีที่แล้ว

      2022'23

  • @daliahassan7867
    @daliahassan7867 6 ปีที่แล้ว +2

    Sorry je ne parle pas anglais mais je tiens à vs remercier pour cette belle mélodie j'écoute cette chansson à chaque fois que je suis abattue

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  6 ปีที่แล้ว +1

      Merci mon soeur. Nous apprécions vos gentils mots. Dieu vous bénisse.

    • @rosebeauty700
      @rosebeauty700 6 ปีที่แล้ว

      Gaelle Fotso moi aussi ma chère 🥰

  • @antonylwanga2978
    @antonylwanga2978 2 ปีที่แล้ว +3

    One thing I like about this Choir is that it's members are all mixed both Old and younger members.

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  2 ปีที่แล้ว

      That is very true, Antony.

    • @antonylwanga2978
      @antonylwanga2978 2 ปีที่แล้ว

      It is a good idea coz it ensures conti nuity Incase the older ones retire.

  • @SuzanneYambayamba
    @SuzanneYambayamba 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana nawapenda na hizi wimbo nzuri sana ❤