NYIMBO PENDWA ZA KWARESMA 2024. Mtunzi Aloyce Goden KIPANGULA Chang'ombe Catholic Singers Dsm Tz
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.พ. 2021
- Nyimbo Hizi Zote zimetungwa na Mimi Aloyce Goden Kipangula na Kuimbwa na Wanakwaya wakatoliki Parokia ya Chang'ombe Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam ( CHANGOMBE CATHOLIC SINGERS). Ni wajibu wa kila Mbatizwa kuhubiri Injili kwa kadiri ya Karama aliyopewa na Mwenyezi Mungu. Nasi tumekuletea Nyimbo Hizi zenye Tafakari ya kina ili zikufae wewe na Yeyote ambaye utapenda kumshirikisha ili kwa Pamoja kupitia Nyimbo Hizi za Kwaresma Tuweze KUWAPELEKA WATU KWA KRISTO NA PIA KUMLETA KRISTO KWA WATU ( KUTAKATIFUZA MALIMWENGU). NI Nyimbo za Kwaresma lakini pia zinafaa Kuimbwa wakati wowote kwani Katika tungo hizo Hakuna Sehemu hata Moja ambayo nimezungumzia neno Kwaresma Bali nimezungumzia kuhusu umuhimu wa kutubu, kuacha Dhambi, kumgeukia Kristo, kumtegemea Kristo huku Tukiiga mfano wa Mtakatifu Agustino Hippo, Kurudi na kuacha njia ya Dhambi na kufuata njia ya Uzima.
- เพลง
Mungu atusamehe makosa yetu na kuzibariki familia zetu
Mungu akubariki kwa kutumia vema karama ya uimbaji katika uinjilishaji. Hakika nabarikiwa na nyimbo hizi
My favourite lent songs collection of all time 🙏🏾🙏🏾😘👏🏾👏🏾
🙏
Mungu awabariki kwa kutenga muda wenu na kumuimbia Mungu hakika tunaobarikiwa ni wengi kupitia nyimbo zenu na kutumbusha mambo muhimu ya kumtafuta "Mungu"
Nimekooosaa nimekoosaaa nimekoosa baba nimekosa nihurumieee😭🤲🤦🙏
napenda nyimbo za injili sana za imani zote ili mradi zina utukufu wa MUNGU.
Jaman mi ni muislam lkn naguswa sana na nyimbo za baraka sana
Ur welcome dear
Amen welcome dear
Amina
Mungu wetu ni mmoja... kuna kaswida pia nishawahi kuzisikia nikazipenda
Waislamu na wakatoliki tuko sambamba
Nimerudi hapa kuskiza tena nyimbo nzuri za kwaresma.....hongera bwana Aloyce kwà kazi nzuri,,,Mungu atuongoze kwa kipindi kinachotusubiri hivi karibuni
Mungu aishiye milele atuhurumie na atusamehe dhambi zetu sisi wakosefu na atujaze roho wake mtakatifu katika kipindi hiki cha kwaresma
I come from Christ the king Cathedral Bungoma, Bungoma diocese (western Kenya).All the best bro
Asante mwenyezi mungu kunifanyizia nafasi wakati wa shida mwanangu ulmponya waziimu sina chakukulipa Bali nitaendelea kukutukuza
1k😊😊
Nasikiya kujazwa na huu nyimbo nimekosa unihurumiye bila huruma ya Mungu hakuna maisha kwa mwanadamu tupo sote binafsi mimi ni mwenye zambi Bwana anihurumie
Mimi sio mkatoleki lakini zanibariki sana
Che bella!!!
Wimbo mzuri sana yesu krito alihulumie na anisamehe zambi Angu amina
Nyimbo ina hisia sana hii,Mungu azidi kuwabariki waimbaji
Ee Bwana unfanifhili mimi 💖 💓 ❤️ 💕 ♥️
Mimi kila wakati haipiti siku kama sijasikiliza hizi nyimbo na kurudia mara kadhaa... Mungu Ambariki kwaya hiyi. Sauti zimepangwa vilivyo
And today marks beginning of another Kwaresma, May God help us
Napenda sana nyimbo hz pia nabarikiwa sana
Nyimbo nzur mno za kwalesma zinafundisha vizuri mno
Mungu akubariki kwakutumia Karama vema aliyokupa mungu
Naguswa sana nikizisikia hizinyimbo.mungu aniurumie
Napendaa sana🙏🏿naomba mnisaidie nataka kudownload niandike vip hili kupata zotee
Am a catholic by faith.The Lenten songs are so inspiring.More please.God bless.
ikiwa jumatano ya majivu,tunaanza msimu was Kwaeresma ,hivo basi nyimbo zako zinatukumbusha kumrudia Mungu wetu kwa kutubu na kuacha nia zetu mbaya ,Nabarikiwa sana nikiwa huku Kenya
Amina
Amena
Amen
s❤❤
@@AloyceKipangulalm.
t
asante sana ndugu kwa nyimbo zenye tafakari ya Kwaresma
We really need to walk with God and lead us in the way to heaven and live happily life in paradise. Dear lord we have done many sins now its our turn to pay you for good cause you have been with us all the time you don't care if we does wrong I love you God help me out of this sin and Forgive us all Help the world
Nashukuru Mungu kwa nyimbo hizi.
Catholic from Christ The King Opanga Catholic Church of Rongo Parish,Homa Bay Diocese in Kenya.
The Kwaresma album and Nyimbo za Mama Maria albums are so spiritual to listen to.
Blessed be the composers and singers,in a special way you are preaching to generations.
May Rais Magufuli's soul continue Resting in Eternal Peace.It is during his state burial functions that I came to know about the Kwaresma Songs by Changombe Choir.Every moment I listen ,the funeral memory flows in my mind 😭.
May he rip as he sing and dances with angels till we meet again.
"Ee Bwana Unifaadhili Mimi.." was the hit that drew me to look for the song kwa TH-cam
Lccft
Keep it up
Baraka tele nyimbo tamu sana full of glory be blessed choir
Ee Bwana Unifadhili is my best song too in this album❤
I love this compilation of Chang'ombe choir. I will check out thd Homabay one also. Be blessed for feeling our hearts with such soothing songs. Listening from SA
Nyimbo nzuri sanaa 🙏🙏🙏
Mungu nimwema kilawakati
blessed again with this songs🙏on ash wednesday on 2024
🙏
HONGERA NA ASANTE KWA NYIMBO NZURI ZA TAFAKARI YA KINA HASA KATIKA KIPINDI HIKI KIZURI CHA KWARESMA. IKAWE KWETU YA MAFANIKIO MAKUBWA KIROHO NA KIMWILI PIA
Nakukubari sana kaka kazi zako nzuri
Napenda kusikiliza hizinyimbo wakatoli 🙏
Mungu aturehemu sisi na dunia nzima
Nyimbo nzuri zinafundisha sana
Nice song l'm not a cotholic but song teach me something
Nyimbo zuri zenye utulifu katika maisha hii ya ulimwengu Mungu awazidishie
Mpendwa Tuti Salim, Mungu akuimarishe katika ufuatiliaji wa nyimbo uzionazo ni za Baraka kwako
Wakati do huu turudie Mungu ni Mungu mwenye huruma na upendo atatupokea
Basi nyenyekeeni,Asante ubarikiwe Sasa.
Hongera sna umependa kitu Kitakatifu and you are close and near by Jesus cross
.
Nifurahi sana kwa nyimbo za kwa kwa rezma kunijoheza karibu n'a Mungu
Mungu wangu nisaidie katika kipindi iki kigumu ninachopitia
🙏🏼🙏🏼🙏🏼hakika nyimbo zimenigusa zaidi
Nimeguzwa sana
Eeeee mwenyenz mungu tuandalie sisi na makosa yetu sisi wenyewe tumeshindwa kuona na kutambua tunaomba utupe macho ya roho
Nazipenda hizi nyimbo mimi mlokole mpentecoste.nyimbo hizi nzuri zimeimbwa kwa utulivu na ni neno la MUNGU.Mbarikiwe sana kazi nzuri Changombe katolic
Mungu utusamehe dhambi zetu
Nyimbo na sauti nzuri sana mbarikiwe
Ewe mwenyezi mungu asante kwa kutuletea kwaya hii ambayo inatukumbusha na kutuleta karibu yako katika kipindi hiki cha kwaresma tufunge tusali kwa kuomboleza mungu tulinde soe waja wako
Tumurundieni Mungu kwa mioyo yetu yote maana yeye ni mwenye huruma nyingi.
Pamoja sana ktk.kipindi hili cha kwalezima tumrudie na tufanye toba ya kweli
I like your Lenten songs, very inspiring.
🙏
Nimekosa mm baba nimekosea naomba unihurumie 🙏🙏
Nimizuri wote ni mungu ngoja hatamimi nimuislam
😭😭😭😭.tutubu na tumrudie Mungu.i just feel relaxed when ever I hear this songs
Kiukweli ukiutafakari ukuu wa Mungu ndani yake lazima utoe 😭😭😭😭😭😭
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa nyimbo zenye ujumbe tukufu
🙏
am down on my knees wen i listen this song "nimekosa"
nice mix
God my Father indeed I have sinned,,,,,, have mercy on me
Huu wimbo naupenda sana hakuna mwanadamu ambaye anaweza jitoa kufa kwaajili yetu ila Yesu tu .
Uturehemu ee Mungu kwa kuwa tumetenda Dhabi.
And again here is Lent. Tumshukuru Mungu!
Hizi nyimbo ni nzuri sana, zinanigusa mimi sio mkatoliki lakini ninazipenda na zinagusa maisha yangu sana, Ubarikiwe sana kwa kutunga nyimbo hizi! Mungu azidi kukubariki ili uguse maisha ya watu wengi... AMEN
Asante Sana Mpendwa Katika Kristo Endelea kutufuatilia, na kwa Neema ya Mungu tutaendelea kukuletea Nyimbo Nyingine
Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri.
Asant San ubarick saw
P
@@AloyceKipangula sweet songs Mie sabato ila nazfulahia saan nabalikiwa n navutw zaid especially wakat wa unyonge na nkihc ulemevuu wa dhambi
Barikiwa sana mtumishi kwa kazi nzur.
Asante Sana
Hongera Kaka kwa kuhubiri injili ya kupitia uiimbaji, tunafarijika na nyimbo zako hasa katika kipindi hiki cha kwaresma, Asante
Asante Dada Endelea kutufuatilia kupitia hii youtube channel Yetu Ili uinjilike Zaidi
Tujichunguze mioyoni yetu bwana ju karibu
Very nice collection 👌
Listening to this songs so touching in Riyadh be blessed Mr aloyce
Mungu naomba wabariki watumishi wako waliotunga kuimba na kutupatia hizi nyimbo.
Hongera mtunzi na waimbaji nyimbo nzuri
Mungu akutunze Kaka Aloyce kwa karama hii ya Uimbaji. Hakika nimefarijika sanaa leo na haya Majonzi ya kuondokewa na Baba yetu JPM😭😭😭💔
Nakuomba unitumie wimbo namba 4 afichae dhambi zake Ikifikia inaluka huwa naupenda sana
Namshukuru mungu kwa neema na rehema zake kwa toba hii kupitia nyimbo nzuri
Amina
Mkuu uko vizuri sana,
Mungu tunakushukuru kwa kwaresma hii. Tembea nasi katika safari hii ya toba. Tunaomba utusemehe makosa yote tuliyokukusea tukijua na bila kujua. Upendo wako uwe nasi milele Amina❤❤❤
Asante sana mimi ni ni muislamu lakini napenda s⛪ana hizo nyimbo na napenda ukristo
ASANTE NDUGU AMINA SHARIFF TUMEUFURAHIA UJUMBE WAKO. NA SISI SOTE NI WATOTO WA BABA MMOJA HIVYO NAKUKARIBISHA ENDELEA KUTUFUATILIA KUPITIA CHANELL YETU YENYE JINA ALOYCE GOLDEN KIPANGULA- ILI KUPATA NYIMBO ZOTE CHA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.
Karibu jmn
Karibu sana kanisan kwetu la katoliki.
Ubarikiwe sana kwa nyimbo nzuri zenye ubora kama huu
Katika hii album wimbo Ee bwana unifadhili huwa nanyenyekea mno nikiusikiliza yaani daah nimeutafuta kwa muda sana kumbe ni kazi ya Chang'ombe Catholic Singers ubarikiwa sana Aloyce Golden..
Asante Ndugu Ramadhan sirro. Uzidi kutuombea Ili tuendelee kuinjilisha Pamoja
Hizi Ngoma ni poa sna,huigusa ndani ya roho yngu,nkiwa mkatholiki tangu utoto mwangu na maombi yangu kwamba Mungu aendelee kunineemesha na kunibariki Ili niendelee kuwa mkatholiki daima na familiar yangu!
🙏
Asante Sana kaka kwa utunzi ni bora tuvitumie vipawa vyetu kwa kumsifu mwenyezi Mungu
Beautiful songs🙏
Asant mungu kwa kunijalia uzima walinde nde na hawa wanaotupatia injili kwa njia yanyimbo mbalimbali ili tusikusahau wewe mungu 。
Asante Sana. Hellen Martin
Mungu awabariki nyinyi wote! Muwe na kwaresma njema mkitubu dhambi zenu na mkisikiliza nyimbo hizi mzuri!
Asante Sana Fr Chisomo. Tunatarajia kuwaletea Nyimbo za Pasaka
Asante mungu kwa siku nyingine na mwaka mwingine naomba baba unijalie afya njema na neno lako likae kwa wingi noyoni mwangu 🙏 kolosai 3:16_17
Mungu akubaliki sana, ninapokua ktk wakt mugumu, nyimbo zako hunifariji sana, ubalikiwe Mr Aloyce
MUNGU ATUBARIKI SOTE
Hizi nyimbo napenda kuziskiliza mda wote maana zinanipa faraja nikimkumbuka mama yangu
Ahsaante kwakutubariki tukiwa tumeianza kwaresma mungu akubariki sn natutubu nakuiamini injili nimebatikiwa amina
Asante Devotha
Mungu ulie mwingi wa Rehema tuomba Huruma yako sisi tulio wakosefu katika kipindi hiki cha kwaresma ili kubadili njia zetu na kukufata wewe
Aminah
Watoto wa mama Maria mubarikiwe sana kwa nyimbo ♥️🙏
Kwakwer naipenda njimbo hiiiii
wonderful songs.
Feeling blessed by your songs. Hongera sana na mungu aibariki kazi ya mikono yenu 🇰🇪🇰🇪
Amina
MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI SANA
MUNGU awainue na kuwafikisha ktk nchi ya ahadi
Nyimbo nzuri sana i love the songs ho🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏✅
Huu wimbo wa kwanza unaniguza sana.nakummbuka msiba wa baba yangu
Mungu aibariki kazi ya mikono yako
Mungu akubariki sana mtumishi wa mung hakika mung atisamehe zambi zetu. 😅🎉nyimbo nzur san zinatia nguvu zinafatiji zimatufundisha hasa kipindi ninachopitia mm na cha kwalesma amina😅😅
wimbo mzuri sana, wa hisia
Jamani nakumbuka tz kwaresma nyimbo zina sisimua sana
Mungu utuhurumie sisi pamoja na familia zetu
Hongera mtunzi na waimbaji nyimbo nzuri 1:35 2:09
Ee Mwenyezi Mungu, uwe nasi katika nyakati zote.
Nirudieni Mimi unanigusa sana Roho yangu mbarikiwe sana kama Mimi mkatoliki hasa huu wakati wa lent