AHLU SUNNAH WAL JAMMAH (TWARIQA ) WASHINDA MJADALA NA MAWAHABI PAMOJA NA BACHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2024
  • KUPINGA MADAI YA KUITWA MRONGO NA MUSHRIK SAYYID JAFFAR AL BARZANJI NA BACHU NA POTE LAKE | USTADH SAID SHIRAZY NA BACHU
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 376

  • @m7.mmd_
    @m7.mmd_ 10 หลายเดือนก่อน +5

    Haya hayatoshii badoo ... Na mambruhi ina haqi zaidi kumshajiisha .. kwani mcheza kwao Hutunzwa🥳 Allah akuhifadhi ust Said

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 10 หลายเดือนก่อน +7

    Imam Shafi:I never debated with a knowledgeable person except that I won the debate, and I have never debated with an ignorant person except that I lost. Allah akulipe kheir Bachu

    • @bilaligona5478
      @bilaligona5478 10 หลายเดือนก่อน +1

      Very true

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 10 หลายเดือนก่อน

      Ameen

    • @Mofaiz_11
      @Mofaiz_11 8 หลายเดือนก่อน

      hahaha not a realistic comparison im sorry

  • @khidmatulquran
    @khidmatulquran 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mmetuheshimisha wallah mola amrahamu al imam jafar al barzanj wameangukia pua mawahabi

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 10 หลายเดือนก่อน +14

    Alhamdulillah tuko na sheikh wakuaminika Mola amjaze kheri Muhamad bachu

    • @SociedadeSust1234
      @SociedadeSust1234 10 หลายเดือนก่อน +1

      Allahuma Amiin

    • @swabrianwar1020
      @swabrianwar1020 10 หลายเดือนก่อน +1

      kishekhe chenu kimekimbia

    • @ibrahimlahmar4479
      @ibrahimlahmar4479 10 หลายเดือนก่อน

      kioga hicho

    • @MayaCandy-vy5fe
      @MayaCandy-vy5fe 10 หลายเดือนก่อน +2

      Na ukaja kuskiza 😂😂😂 mahaba ya mtume yamekuingia karibu twarika 😂😂😂🎉🎉🎉❤

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 10 หลายเดือนก่อน

      Shekhe anaekimbia swali😂😂😂😂

  • @zulludezombi
    @zulludezombi 10 หลายเดือนก่อน +2

    MASHAALLAH
    SHEIKH MOHAMMAD ABUBAKARI ALLAH ALINAWIRISHE KABURI LAKE
    MOJA Y BETI ZAKE ZIKIWAFUTAHISHA VIJNA WETU
    "RUDI UKASOME TENA UKASOME SANA
    DIYADHI AU MADINA TENA UKASOME SANA
    WEWE BADO UKO NYUMA " M
    mashaallah

  • @kiumbemussa6744
    @kiumbemussa6744 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaa"Allah ustdh saeed na arash ajamiy❤

  • @husseinswalehe5561
    @husseinswalehe5561 10 หลายเดือนก่อน +6

    kweli bwana ijue haqqi uta wajuwa watu wa haqqi mumeacha sunnah mna pigatu ma twari

    • @abdallahsaid4997
      @abdallahsaid4997 10 หลายเดือนก่อน +3

      Kama kupiga twari ni sunnah wakati wa furaha ya nikah .
      Kuna furaha gani kubwa kuliko wakati wa kumsifu na kumtaja mtume

  • @rahmakhamis3493
    @rahmakhamis3493 10 หลายเดือนก่อน +23

    Mashaalallah❤ kumsifu mtume c haramu maulid yaendeleeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂

  • @hafswanaaman2911
    @hafswanaaman2911 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mashaallah mungu akujazi kila LA kheri mungu akupe umri twawili ❤❤❤

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 10 หลายเดือนก่อน +7

    Jibuni hoja wapi wanyama waliongea 😂😂😂😂😂

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 10 หลายเดือนก่อน

      Wameogopa kujibu kwa maana huko mbele ingelikuwa moto zaidi

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 10 หลายเดือนก่อน +3

    جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الطريقة الصحيحة. حي فى قلوبنا صل الله عليه وآله وصحبه وسلم تسليما

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 10 หลายเดือนก่อน

      Mwakani tufanye maulidi ya kuzaliwa nabii Adam

  • @allyzumo5832
    @allyzumo5832 10 หลายเดือนก่อน +2

    HILI JAMBO MNALOFANYA N DINI NA HIVYO MNATARAJIA KWA KUCHEZA HUKO MNAPATA THAWABU , AU MNAFANYA MCHEZO NA UPUUUUZI KAMA VILE WACHEZA MPIRA WAKISHEREHEKEAAAA
    JIBU LA KIUCHA MUNGU LITAKUPA MUONGOZO KUA HILO N NN NA HAPO MTAJUA UKWELI WA HAYO MUFANYAYO
    ALLAH SUBHAANA ATUONGOZE

  • @hafswanaaman2911
    @hafswanaaman2911 10 หลายเดือนก่อน

    Ust Said mungu akujazi kila LA kheri akupe umri twawili jaza yko utalipwa na mungu

  • @bafaaabuu
    @bafaaabuu 10 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli hata muambiwe nn hamuelewi nyinyi watu watwarika kweli nimatahira hamna elimu na kitu munashadadio upotevu wakati mumeshidwa kutetea hoja hata moja hayo tuliyaona hata kwa sabas almajazi

    • @alikalema1154
      @alikalema1154 10 หลายเดือนก่อน

      Mtu yeyote aliye soma ywajua kuwa hadithi hatakama ni dhaifu bado ni hadith. Haiwezi kutumiwa kuhalalisha au kuharamisha kitu lakini bado ni hadithi si uwongo isnad yake yaishia Kwa mtume.hadith za uwongo au kutungwa hawa zaitwa Maudhui. Mimi sija soma Sana lakini najua Hilo. Sasa Bachu anakuja anasema hadith dhaif ni kama uwongo wa kutungwa. Hapo ana khalifu ilimu za hadith ndio akashindwa kujibu Hilo swali akawa ana zungukazunguka.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Hoja yenu imejibiwa lakini mawahabi wameshindwa kuthibitisha hoja zao kielimu Bali walitaka kulazimisha nambo kimazoea

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 10 หลายเดือนก่อน +3

    Subhana Allah....😮😮 Allah ndie anajua zaidi

    • @user-rb8ir9co9k
      @user-rb8ir9co9k 10 หลายเดือนก่อน

      Lkni mafundisho yako wazi katika Uislam , hakuna kitu Maulidi katika Uislam

    • @ummusalim1991
      @ummusalim1991 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-rb8ir9co9k😅

  • @athmanshire4768
    @athmanshire4768 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hamna mulichosginda labda muende mkashinde kwenye mpunga, hamuezi kutete uongo uliopo ndani ya barzanji hata ila qiyami saa. Allah awaongoze mujue haki ilipo.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe ulitaka watu wathibitishe vipi. Tumeonyesha kuwa barzanji maneno yake hakuyatoa kichwani mwake Bali ni hadithi ipo. Sasa kamamawahabi mnasema maneno ya hadith hiyo ni yauongo mlitakiwa mtupe msingi wakuelimu unaoonyesha maneno ya hadith munkar ni uongo.watu huwenda kwa hoja zenye misingi na siyo kujirushia maneno na hukumu bila msingi kama mawahabi wanavyopenda kufanya

  • @altwafmuhammad3310
    @altwafmuhammad3310 10 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah hawakutoa ushuhuda wowote nabado mwasherehlekea,na mumeshindwa kujibu Allahu akbar

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 10 หลายเดือนก่อน

      Bachu amelikimbia swali Kwa mda mrefu lkn ahsanta kwa ustadh said hakumruhusu kukwepa swali. Swalu ala Muhammad yassalam

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Mahawabi tunawajua ni wazee wakuhukumu lkn masikini hawajui hata msingi wakutolea hukumu kitu.wao hujiropokea tu

  • @ibraa1157
    @ibraa1157 10 หลายเดือนก่อน +5

    Allahumma Swali wasalim Alaih.....❤

  • @omaryissa2562
    @omaryissa2562 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wallah naumia kuona dini ya Allah inachezewa kirahisi namna hii
    Ivi aje omary radhi za Allah ziwe juu yake anaweza kucheza mbele Allah namna hii
    Hamjui kama Allah anamiona ivyo mukicheza
    Innshaallah Allah atafanya wepesi mutakuja ijua hakk

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Kuchezea vp wachezea nn hapo kasome

  • @mehnsawadh2482
    @mehnsawadh2482 10 หลายเดือนก่อน +3

    Muislam shika sunna Mtume SAW, tuache huu udhushi .

    • @burhaanmamboleo3551
      @burhaanmamboleo3551 10 หลายเดือนก่อน +1

      Jifunze kuandika kwanza udhushi ndiyo nn

    • @mehnsawadh2482
      @mehnsawadh2482 10 หลายเดือนก่อน

      @@burhaanmamboleo3551 shukran ukhut

    • @burhaanmamboleo3551
      @burhaanmamboleo3551 10 หลายเดือนก่อน

      Ahsante..kama umekusudia kuniita ukht hali wajua ni mwanamume ALLAAH akusamehe na km hukujua basi nakujuza mm ni Mwanamume rijali AlhamdulLLAAH

  • @ramadhanisulemani9016
    @ramadhanisulemani9016 10 หลายเดือนก่อน +4

    Subhaaana llah...masuf hatar sana. Yan

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallahu ❤

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน +2

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚

  • @athumaniamiri3764
    @athumaniamiri3764 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah mashallah

  • @Captainome
    @Captainome 10 หลายเดือนก่อน +4

    Makhurafi msijifaye hamnazo kwa kelele kutaka kuziba upotevu na shirki zenu,vitabu amevijaza juyameza hata kuvitumia kashindwa kweli elimu ina wenyewe bakini kwenye ushirikina wenu.ndio tengemezi kwa masufi.

    • @ibrahimlahmar4479
      @ibrahimlahmar4479 10 หลายเดือนก่อน

      shekhe wetu (SAEED) haogopi

    • @Captainome
      @Captainome 10 หลายเดือนก่อน

      @@ibrahimlahmar4479 kama haokuwa anaogopa amepewa dalili 10 nkidogo za wasomi vp alive swali lililokuwa na msingi barazaji ni kitabu Kilo na baadhi ya maneno ya ushirikina.hilo lipo wazi.masharifu mumeshindwa tulieni

  • @shabanmohammed3882
    @shabanmohammed3882 10 หลายเดือนก่อน +6

    Maashaallah ustadh sayyid mungu amuhifadh...swal moja tu muhammed bichwa chaliii..

    • @ahmedmusa2577
      @ahmedmusa2577 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hilo swali halimo bro😂 waulizaje ulama WA Hadith kuhusu mtu ambae sir muhadith

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedmusa2577 exactly!!

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@ahmedmusa2577wewe kwanza unaelewa unacho uliza

  • @faridsalummaulid4681
    @faridsalummaulid4681 9 หลายเดือนก่อน +1

    My love for uuu❤❤❤❤❤❤❤

  • @zakiaalsinawi692
    @zakiaalsinawi692 10 หลายเดือนก่อน

    ماشاءالله مشاءالله

  • @husseinali4109
    @husseinali4109 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani Subhanallah Hata Mtume akiwaona atashangaa na vituko vyenu Ati Hawa ndio Ahlu Sunna Wal jamaa.Allah Yustir

    • @Alakhyasirabuammar
      @Alakhyasirabuammar 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kashajitangaza eti hao washindi. Heri kuwa jaahil kuliko kusoma kwa masufi.

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Awashangae kwa nn na aliwambia maswahaba kuna vipenzi zangu watakuja hawakuniona na watamuamini na kumpenda ndio twasoma maulid

    • @Alakhyasirabuammar
      @Alakhyasirabuammar 10 หลายเดือนก่อน

      @@fikafikan8484 kwaivyo kakaa waelewa fika kumpenda mtume ni kwa kupiga madufu? Kuna kheir mtume hakuifanya pamoja na maswahaba zake ? Iwapo maulid mumeifanya kuwa nguzo katika dini ya Allah subhana wa taala basi ina maana kwenu nyie mtume hakukamilishiwa dini wal iyaaudhubillah . Maulid ni uzushi na ni upotofu kitego cha iblisi kuelekea motoni allahumma atuepushie .

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      @@Alakhyasirabuammar ndugu wacha ushamba mwanzo nani kukwambia maulid ni nguzo hilo lakwanza na hio ayaa uliyoitaja Allah akimwambia mtume nimewakamilishieni dini ndio ayaa ya mwisho hakukushuka tena aya wacha uzuka ww alafu maulid ni mazazi ya mtume s a w sio nguzo usionge kitu kama hukijui kama mwanamume kweli toa dalili ama ayaa ama hadithi maulid hayafai na kam hujui maswahaba walimsifu mtume s a w na sisi twamsifu

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      @@Alakhyasirabuammar alafu nikulize una ilimu gani yakutia watu motoni kazi ya Allah umeichukua ww wahabi mpotofu sasa kama hujui kazi ya ibilisi munao ifanya ni nyinyi mawahabi utamgawanya vp Allah tawheed tatu umezitoa wapi mtume s a w hajafundisha wala maswahaba wake hawaijui tawheed tatu na ukitoa hadithi ama ayaa mtume s a w kafundisha tawheed tatu ama maswahaba nakuzawadia elfu kumi za kenya 🇰🇪 sawa afadhali wanaosoma maulid kumsifu mtume kumueleza mazazi yake hakuna ubaya elfu kumi hizo toa dalili tawheed tatu umezitoa wapi wambie na mashekhe wenu wa kiwahabi wakusaidie

  • @OmaryLiku
    @OmaryLiku 10 หลายเดือนก่อน +3

    MashaALLAH

  • @ZainabTwahir
    @ZainabTwahir 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah sisi na mtume mtume na sisi kimeleweka leo 😊

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 10 หลายเดือนก่อน

    Raha sana

  • @ibnul_auf.5985
    @ibnul_auf.5985 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi mawahabi kasherekeeni Christmas na new year tuacheni ssi tumsifu na kumswalia mtume SAW ❤❤ swallu Aleyhi ❤

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 10 หลายเดือนก่อน +3

    Innalillahi wainna ilayhi raajioun 😭ndio Wanaume hawa mbon wanafany Tabia za kike. Dufu n kwaajili ya wanawake. Allah awaongze katika Haki. Hakuna mlichokijibu Hoja ni Kitabu sio Mtunzi. N ndio mana mlisem kijadliwe kitab kimoja tuu

    • @user-or5dx8wy3v
      @user-or5dx8wy3v 10 หลายเดือนก่อน

      Kabsa hawa ndio kazi zao hizi kujibu hawa wezi wala kutetea kazi ngoma thu kama taarabu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi na ujahili wenu mtaijuaje suna

    • @gademomari7607
      @gademomari7607 10 หลายเดือนก่อน +1

      Amebaki narudi pale pale sema sijui sema sijui masaa matatu said utoto mtupu ....kwa sheikh bachu mmeoga

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      @@gademomari7607 yani mawahabi majahili kweli.kwahiyo ulitaka watu waende mbele bila kupata majibu sahihi.saaa bachu alifata nini kama hana anachoelewa

    • @gademomari7607
      @gademomari7607 10 หลายเดือนก่อน

      @@abiabi9353sheikh bachu alisema nko chini nifunze mbona said akuchukua fursa yakumfunza ..2ache hayo kama nikweli wanyama waliongea siudhihirishie watu

  • @komoraali3940
    @komoraali3940 10 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah ❤❤❤

  • @Alye777
    @Alye777 10 หลายเดือนก่อน +6

    ما شاء الله دائما نحتفل بالمولد النبي صلى الله عليه وسلم
    دائما حي في قلوبنا ❤

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน +1

      Amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲

    • @ayman4-cf7xd
      @ayman4-cf7xd 10 หลายเดือนก่อน

      Mtume na maswahaba na watu walokuja baada ya mtume hawajasherehekea kuzaliwa mtume nyinyi munazuwa kitu hajakifanya mtume wala maswahaba zake na kama wamefanya toeni dalili

    • @barzaqtradingcompany8541
      @barzaqtradingcompany8541 10 หลายเดือนก่อน +1

      عاشت ام المؤمنين عائشة زوجة المصطفي سيدنا محمد بعد وفات حبييبتها محمد ٤٠ سنة لم تحتفل ميلاد زوجها في حياتها هل هي من اتباع الوهابية

    • @abdurrahimmohammed4615
      @abdurrahimmohammed4615 10 หลายเดือนก่อน

      هل الاحتفال عبادة ولا لا!؟

    • @ayman4-cf7xd
      @ayman4-cf7xd 10 หลายเดือนก่อน

      @@abdurrahimmohammed4615 si ibada ni uzushi ambao walizuwa miaka kadhaa iliopita hakufanya mtume wala maswahaba kama ni ibada si mtume angesema tufanye
      لم يحتفل أحد بمولد النبي لا صحابة ولا تابعين ولا سلف الصالح ولا زوجات النبي أي عبادة الذي لم يفعلها نبينا فهي بدعة كما قال رسول الله صلى الله عليه (أما بعد فإن خير الحديث كتاب الله وخير الهدي هدي محمد،وشر الأمور محادثاتها وكل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار) الراوي جابر بن عبدالله.

  • @user-lr4rk3pb8h
    @user-lr4rk3pb8h 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hahaahjaja sheikh said leo tumejua urongo wa barzanjii..

  • @user-dv1ox4lk2w
    @user-dv1ox4lk2w 10 หลายเดือนก่อน

    Allahuma swalli wassallim alaa muhamadin wa alaa aali muhammad

  • @hassanhussein2422
    @hassanhussein2422 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @abasisharif1164
    @abasisharif1164 10 หลายเดือนก่อน +2

    LAU KAMA MTUME MUHAMMAD ANGELIIIMBA NA KUCHEZA KAMA HAWA BASI UJAJAHILI UNGEL......

  • @user-ze8rk9ye6r
    @user-ze8rk9ye6r หลายเดือนก่อน

    subhanaallah allah atuhifadhi na bidaa hizi

  • @AshushabuSaidi
    @AshushabuSaidi 10 หลายเดือนก่อน

    SubhannAllah hamumuone haya ata Allah

  • @islamicreligiontv2718
    @islamicreligiontv2718 10 หลายเดือนก่อน +4

    { ...................... لَا تَغۡلُوا۟ فِی دِینِكُمۡ غَیۡرَ ٱلۡحَقِّ وَلَا تَتَّبِعُوۤا۟ أَهۡوَاۤءَ قَوۡمࣲ قَدۡ ضَلُّوا۟ مِن قَبۡلُ وَأَضَلُّوا۟ كَثِیرࣰا وَضَلُّوا۟ عَن سَوَاۤءِ ٱلسَّبِیلِ }

  • @allyngale6850
    @allyngale6850 10 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilahi

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 10 หลายเดือนก่อน +12

    Mashallah sheikh Muhammad Bachu umeshinda Allah akuhifadhi

    • @ummukhalifa5033
      @ummukhalifa5033 10 หลายเดือนก่อน +2

      Wapiii ? Ameshindwa huyo

    • @muhideennoor2458
      @muhideennoor2458 10 หลายเดือนก่อน +2

      Jipeni moyo ndio muliobaki nayo

    • @salumjabir813
      @salumjabir813 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kashinda nini?mwehu huyu?

    • @salumjabir813
      @salumjabir813 10 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni mwehu..twamjua...ni mwehu haswaaa

    • @chudybalckonlionetv5495
      @chudybalckonlionetv5495 10 หลายเดือนก่อน

      @@ummukhalifa5033pole san

  • @ZKA645
    @ZKA645 10 หลายเดือนก่อน +4

    Innalillahi wainnailaihi rajiun!!!!

  • @AyubuYasini
    @AyubuYasini 10 หลายเดือนก่อน +2

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا ونبينا وحبيبنا محمد صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @abdulali753
    @abdulali753 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mashaallah ❤

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 10 หลายเดือนก่อน

      Mwaka ujao tufanye maulidi ya kuzaliwa nabii ISA

    • @abdulali753
      @abdulali753 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohamedturanardan8871 Chuki live 😂😂😂

  • @AAl-xx8rh
    @AAl-xx8rh 8 หลายเดือนก่อน

    Mashalla

  • @fahmymasoud3653
    @fahmymasoud3653 10 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah

  • @AliMagulu-hc2ve
    @AliMagulu-hc2ve 10 หลายเดือนก่อน

    Allah mustaaan
    Leo UMARA BIN KHATAB ANGEKUA HAI NYINYI NYOTE MUNGELIKUA MUSHAKATWA VICHWAAA

  • @mariamebrahim3925
    @mariamebrahim3925 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sub han Allah

  • @JumaHaruna-yg6pt
    @JumaHaruna-yg6pt 10 หลายเดือนก่อน

    subhannaAllah!!!

  • @user-fy4op1sw2f
    @user-fy4op1sw2f 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ma shaa allah safi sana wenye chuki wafee😂😂❤❤❤❤❤

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna ngoma katika uislamu.

  • @nasserabdallah5750
    @nasserabdallah5750 10 หลายเดือนก่อน +1

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه أجمعين❤

  • @hassancharo1332
    @hassancharo1332 10 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar Dunia imeisha

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nyinyi mnala imeisha watu tumeona mmeshindwa

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 10 หลายเดือนก่อน +1

    اللهم صل وسلم على سيدنا محمد و آله و صحبه أجمعين

  • @gademomari7607
    @gademomari7607 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kutuharibia bundles pigeni matwari sheikh bachu mwalimu wenu ako vizuri ...ilo baki nkelele mbona sheikh said hukumfunza mwenzako alipokuambia kubali kuja chini....pia mm ntafurahi kama n kweli viumbe viliongea kwa kuingia mimba [SAW]

  • @ibrahimnoordin3420
    @ibrahimnoordin3420 10 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran sana Ust. Said.. tumefurahi sana sisi😂😂

  • @user-be7cx3oj3o
    @user-be7cx3oj3o 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu waongoze

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Amin lkn zaidi awaongoze mawahabi kwa ufinyu wa fikra zao

  • @aminayusuf3051
    @aminayusuf3051 10 หลายเดือนก่อน +5

    Bachu is a scholar

    • @khaleedabubakar4403
      @khaleedabubakar4403 10 หลายเดือนก่อน

      Bachu is a fool

    • @chudybalckonlionetv5495
      @chudybalckonlionetv5495 10 หลายเดือนก่อน

      @@khaleedabubakar4403poleni san

    • @richdad7469
      @richdad7469 10 หลายเดือนก่อน

      A scholar from where my dear just weaked person

  • @mohdyfundi4667
    @mohdyfundi4667 10 หลายเดือนก่อน

    Mnaonaje vile tumeigiza wakristo wana christmas nasi tuna maulidi,but wako na pasaka kusherehekea kufa kwa yesu pia nasi tueke pasaka ya mtume😢😢😢

    • @ibrahimsaad617
      @ibrahimsaad617 10 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Maoni hayo yanathibitisha fikra finyu wal8zo nazo mawahabi

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mahaba yake nabiya moyoni yameniingiaaa

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 10 หลายเดือนก่อน

    حي فى قلوبنا صل الله عليه وآله وصحبه وسلم تسليما

  • @fahadhussein4846
    @fahadhussein4846 10 หลายเดือนก่อน

    Allah awaongoze Aamin

    • @ummusalim1991
      @ummusalim1991 9 หลายเดือนก่อน

      Atuongoze soote😊

  • @Princesadifaa
    @Princesadifaa 10 หลายเดือนก่อน

    اللهم صل وسلم عليه

  • @muhammadgadham2321
    @muhammadgadham2321 10 หลายเดือนก่อน +6

    Makhuraaaaaafi Hamuna Akili wala elimu.. ni kula na kucheza

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 10 หลายเดือนก่อน

      We ni mtoto wa haramu huwezi mfurahikia Mtume

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@husseinally5550ww wamshinda abubakar radhi za Allah zimuendee kumfarahikia mtume? Mbona hakupiga dufu na kucheza kama nyinyi

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 10 หลายเดือนก่อน

      @@abuuaisha6110 kwani abubakari alimshinda mtume kuikusanya Quran ktk msahafu? Soma kabla ya kuongea

    • @alnadhiry
      @alnadhiry 10 หลายเดือนก่อน

      @@abuuaisha6110😂😂😂😂 Mbona wauliza suali la kijinga? Au huelewi

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 10 หลายเดือนก่อน

      @@husseinally5550 abubakar hajafanya uzushi muogope Allah, kuikusanya quraan ilikuwa ni jambo lilihitajika baada ya mahufadhil quraan wengi kuawa vitani, na abubakar ni Khalifa muongofu aliepewa tazkiya na mtume nyinyi ni mtume gani aliewapa tazkya kufanya maulidi????

  • @mehnsawadh2482
    @mehnsawadh2482 10 หลายเดือนก่อน +1

    Innallillah wainnaillah rajiuon

  • @adamoor795
    @adamoor795 10 หลายเดือนก่อน

    Ati Ahlul Sunnah_so Maulid Ni Sunnah?please let us know

  • @JAMNDEMBO-qk8im
    @JAMNDEMBO-qk8im 10 หลายเดือนก่อน +3

    Subhana llah,, sasa ngoma hizi ndio dini?
    Ukipinda aqida umepinda na akili

  • @maktab3679
    @maktab3679 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hamukutolea points kama hio dhaifu zinatumika??

  • @ayah844
    @ayah844 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mumeulizwa kwenye barzanji imesema mimba ya mtume ilipoingia wanyama waliongea.mukawa hamuna jawabu mukabadilisha mada ili musijibu hili suala mumejulikana kama mumejipanga kubabaisha musijibu hili jawabu .muulize jawabu ambali halimo kwenye vitabu nawala halihusiani na mada.ili mufanye fujo watu wasifaidike tumewajua hata mimi siendi tena maulidi kumbe nyinyi niwatu wafujo hamutuilimishi ilikuwa nangojea jawabu labarzanji ili nifaidike mumebabaisha tu.kwanzia leo bachu nimkweli nanimstaarabu na ni alimul alama.nitaanza kusoma ilmu kwake

  • @user-tj1go4wn1j
    @user-tj1go4wn1j 10 หลายเดือนก่อน +3

    Inna lilah wainna ilahi raaajiun Allah subhanahu wataala awaongoze kwenye noor

  • @sulebeka7202
    @sulebeka7202 10 หลายเดือนก่อน

  • @doktahajejia
    @doktahajejia 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hhhhhhhh Masha Allah ust said

  • @user-mi6kz5bh2o
    @user-mi6kz5bh2o 4 หลายเดือนก่อน +1

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon

  • @ilyashamidi3811
    @ilyashamidi3811 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mingombe hyoooooo nendeni mukale pilau ya bureeee mumeshindwa

  • @ahmedmartin
    @ahmedmartin 10 หลายเดือนก่อน

    Tariqa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 10 หลายเดือนก่อน +3

    Midume inacheza ngoma jaman hii dini gani???😂😂😂

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 10 หลายเดือนก่อน

      Alafu wanajiita ni meshekh wanacheza ngoma kama watoto

    • @athmanali
      @athmanali 10 หลายเดือนก่อน

      Wacha makasiriko nendeni mkasome

  • @LamuIslamicTrustFund
    @LamuIslamicTrustFund 10 หลายเดือนก่อน +3

    جاء الحق و زهق الباطل

  • @user-lr4rk3pb8h
    @user-lr4rk3pb8h 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wallahy hakuna ilmu kwa hawa watu...subhanaAllah yani hawajatoa ayah wala hadith wala maneno ya wanazuoni hata mmoja.

    • @faraharun10
      @faraharun10 10 หลายเดือนก่อน

      Wapuzi hawa muhimu kwao ni hilo mpunga tu

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 10 หลายเดือนก่อน +2

    Aaah wapi sisi tuliotazama ndio tunajua ukweli uko wapi wacheni ubishooo...

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu ameshuhudia bachu ameshindwa kujibu hoja

  • @ilovemylord4599
    @ilovemylord4599 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah fanyeni kwawingi maulidi

  • @Fdfhhv888
    @Fdfhhv888 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ushindi upi??

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 10 หลายเดือนก่อน

    Abdallah humeid kasema zamani
    Bora mzinifu au diamond kuliko masufi

  • @omarabdallah372
    @omarabdallah372 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wallahy mwasikitisha sanaaa Allah atawapa ufahamu muone uzushi. 😢😢😢

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi na ujahili wenu mnaijuaje haki

  • @Princesadifaa
    @Princesadifaa 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya ust said pls

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 10 หลายเดือนก่อน +3

    Subuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun

  • @ibrahimnoordin3420
    @ibrahimnoordin3420 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah..

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mumeshinda nini pilau au biriani??

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 10 หลายเดือนก่อน +3

    Innalillah wainnaillaih raajeoooun!!

  • @abdulshakursaad401
    @abdulshakursaad401 10 หลายเดือนก่อน

    Hatukupata faida wala elimu yoyote hapo.mumetuharibia wakati wetu.Ustd Said angefungua vitabu atupe elimu .ila naona ni ushabiki thu kama wa team za mipira.Allah awaongoze.

  • @jafarihamad2868
    @jafarihamad2868 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwni jmn niulze, Mauli bila kusomwa barazanji hayaswih?

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sio mbaya kumswalia mtume ( s.a.w) na kumsifia

  • @kassimali511
    @kassimali511 8 หลายเดือนก่อน

    Twayyib

  • @salimjawas8123
    @salimjawas8123 10 หลายเดือนก่อน

    Innalillahi wainna ileyhi rajiun 😮