KHAIRIYYA ONLINE TV
KHAIRIYYA ONLINE TV
  • 829
  • 1 387 160
FULL MAULIDI YA KWA UST HAMAD CHUMBAGENI | JAMIAA & KISOSORA NGOME | VITA HII HAINA MUAMUZI | TAZAMA
FULL MAULIDI YA KWA UST HAMADI YALIYOFANYIKA MTAA WA JUWATA KATA YA CHUMBAGENI ILIKUWA HAPATOSHI KATIKA VIWANJA VYA NYUMBANI KWA UST HAMADI
ILIKUWA MADRASA YA JAMIAA NA KISOSORA NGOME HUYU KAPIGA HUYU KAJIBU YAANI NI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA
TAZAMA USEME NANI ALIIBUKA KIDEDEA KATIKA MAULIDI HII
USISAHAU #SUBSCRIBE #COMMENT #LIKE #SHARE KATIKA CHANNEL YETU YA @KHAIRIYYAONLINETV ENDELEA KUBAKI NASI
มุมมอง: 215

วีดีโอ

SAMAI AMBONI MAFURIKO KATI | UST ISA BIN NUHU,UST MSUBA NA UST HAMIZAJI WAMEITENDEA HAKI SAMAI HII
มุมมอง 17414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FULL SAMAI YA AMBONI MAFURIKO KATI KWA UST ISA BIN LEO TAZAMA UST ISA BIN NUHU ALIVYOTEMBEA NA SAMAI YA ASILI KWENYE QASWIDA HIZI HAKIKA KILA MTU AMESHANGAA UST RASHIDI MSUBA AMEIBUKA NA TWAIRUL HANA HAKUNA ALIYEKAA UWANJA MZIMA ULINYANYUKA UST HAMIZAJI NA USWALI FARDHWAN AKIWA KATIKA VIWANJA VYA NYUMBANI KWAO TAZAMA FULL SAMAI YA AMBONI MAFURIKO KATI BILA KUSAHAU #COMMENT #LIKE #SHARE #SUBSCRI...
ZAFA | MTAA WA JUWATA MPAKA MASJD RAUDHWA CHUMBAGENI ILIFUNGWA NA KISOSORA NGOME | TAZAMA
มุมมอง 69214 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHUHUDIA ZAFA FUPI YENYE HISTORIA YAKE NA HII INASIMULIWA NA WAKAZI WA CHUMBAGENI MTAA WA JUWATA YA KWAMBA HAIJAWAHI KUTOKEA KWA MTAA WAO KUWA NA ZAFA LA AINA HII KILA AINA YA SHUHULI ZA KIUCHUMI ZILISIMAMA KWA MUDA KUIPISHA ZAFA YA VIJANA WA KISOSORA NGOME KUELEKA USIKU WA MAULIDI NYUMBANI KWA UST HAMADI MAULIDI HII KWA MWAKA 2025 IMEKUA YA AINA YAKE TAZAMA ILIVYOPAMBIKA HUKU MAMIA YA WAKAZ WA...
RASMI MTAA WA JUWATA CHUMBAGENI UMEFUNGWA | MAULIDI IMESHAANZA NA DUA IMEFANYIKA | UFUNGUZI HADHARA
มุมมอง 16321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Familia ya bi mwanaasha iliyopo Mtaa wa Juwata chumbageni chini ya Ust Muhammad waziri Hamadi imefanya Dua maalumu ya ufunguzi wa sherehe zao maulidi ambazo zitaendelea mpaka January 18 usiku ambapo ndio siku ya Kilele Maulidi hizi hufanyika kila mwaka huku wakiwa wameboresha zaidi kwa mwaka 2025 kwani mchuano ni mkali sana na madrasa zaidi ya sita kushiriki huku Khairiyya media wakiwa wamepata...
FULL UFUNGUZI WA MAULIDI AMBONI MAFURIKO KATI KWA KATIBU MKUU WA WALIMU MAAWAL TAIFA | MWAKA 2025
มุมมอง 108วันที่ผ่านมา
Tukio la ufunguzi wa hadhara ya maulidi amboni mafuriko Kati kwa Ust isa bin leo katibu mkuu wa Walimu katika Taasisi ya maawal Islam Taifa limekamilika huku Tukiwa TUMEKULETEA matukio yote mubashara karibu yako na Khairiyya online Tv Video hii itakuonyesha Tukio zima la ufunguzi huu ambapo ulihudhuriwa na Jopo zima la walimu maawal wakiongozwa na Sheikh kassim saidi (kishk) mushrfu mkuu wa wal...
ZAFA YA MAJANI MAPANA IMESHIKILIWA NA WENYE MAPANA YAO BARABARA ZIMEFUNGA KWA MAHABA YA MTUME S.A.W
มุมมอง 520วันที่ผ่านมา
Shuhudia ZAFA YA MAPANA ilivyofunga mji wa mapana kwa hakika vijana wa mapana wameitendea Haki maulidi yao Full zafa mwanzo mpaka mwisho kwa sheikh kassim saidi (kishk) zafa la mwaka 2025 Tazama hapa bila kusahau #comment #like #share #subscribe Katika channel yetu ya @KHAIRIYYAONLINETV
SHEIKH HAMISI CHINA AWALIPUA WANAODHARAU MASHEIKH ZAO | KATIKA VIWANJA VYA MAJAN MAPANA KWA KISHK
มุมมอง 299วันที่ผ่านมา
Mada nzito na Ujumbe mzito kutoka kwa Sheikh hamisi abuubakari China kutokea makanya umewaacha watu mdomo wazi katika viwanja vya majani mapana kwa sheikh kishk (kassim saidi) mushrfu wa madrasa ya maawal makao makuu Sheikh hamisi China alibeba ujumbe juu ya wale wote ambao kwamba wanawadharau masheikh zao waliowasomesha na kuwalea ety kwasababu Tu ya vyeo walivyonavyo au Mali kitu ambacho kwam...
"HUWEZI KUSHINDANA NA ALIYEPANDISHWA NA MUNGU UTAANGUKA TU" MANENO MAZITO YA MUDIRI YAWATULIZA WATU
มุมมอง 58614 วันที่ผ่านมา
"HUWEZI KUSHINDANA NA MTU ALIYEPANDISHWA NA MUNGU UTAANGUKA" Sheikh salimu zubery wakati Akizungumza na wana mapana katika kilele cha maulidi ya majani mapana January 10 2025 katika viwanja vya msikiti wa mapana Sheikh salimu zubery ameeleza mengi sana wakati akiwa anasherehesha mada ya kijana wake ustadh Hamisi China kutokea makanya na kichwa kikui cha mada hiyo ikiwa ni "KIBRI" Sheikh salimu ...
NUURUL HUDA DONGE 2025 HALI IMEBADILIKA | UZITO WA WANAWAZUONI UMEONGEZEKA | SHEIKH RAI AFUNGUKA
มุมมอง 39814 วันที่ผ่านมา
Kuelekea katika maadhimisho matukufu ya kuiadhimisha Elimu na mazazi ya Mtume Muhammad s.a.w katika Taasisi ya nuurul huda donge Sheikh Rai Afunguka mazito Kwa Mwaka 2025 Ujio Mkubwa wa wanawazuoni kufika Katika Kilele cha maulidi haya Nuurul huda kwa mwaka huu Tayari viwanja vya Nuurul huda vimeanza kubadilika Tazama zaidi sheikh Rai akielezea Ratiba kamili ya Nuurul huda kwa mwaka huu 2025 Ma...
JIWE LA GYPSUM LACHIMBULIWA NA DOKTOR ABDALLAH MSAFIRI | WANA MAKANYA WASTAAJABU | QUR'AN IMEMALIZA!
มุมมอง 35621 วันที่ผ่านมา
JIWE LA GYPSUM LACHIMBULIWA NA DOKTOR ABDALLAH MSAFIRI | WANA MAKANYA WASTAAJABU | QUR'AN IMEMALIZA!
🔴FULL ZAFA YA KISOSORA NGOME 2024 | FINAL "IMETIKISA MJI NA KUFUNGA BARABARA" | TAZAMA
มุมมอง 978หลายเดือนก่อน
🔴FULL ZAFA YA KISOSORA NGOME 2024 | FINAL "IMETIKISA MJI NA KUFUNGA BARABARA" | TAZAMA
🔴FULL ZAFA KILULU KWA MZEE MASHANGO | TAZAMA MUDIRI SHEIKH SALIMU ZUBERY AKIKATA BEGI KILULU
มุมมอง 600หลายเดือนก่อน
🔴FULL ZAFA KILULU KWA MZEE MASHANGO | TAZAMA MUDIRI SHEIKH SALIMU ZUBERY AKIKATA BEGI KILULU
QALBY YUSARU | MALIKULA & HAMISI BONGE WAJIBU MASHAMBULIZI YA KUBO & KIMARU | NAN ZAIDI SAMAI KILULU
มุมมอง 596หลายเดือนก่อน
QALBY YUSARU | MALIKULA & HAMISI BONGE WAJIBU MASHAMBULIZI YA KUBO & KIMARU | NAN ZAIDI SAMAI KILULU
🔴FULL MAULIDI YA MASHEWA KWA ALY KIDAU | HAULI | TAZAMA MADRASA ZAIDI YA SABA ZIKICHUANA NA MAULIDI
มุมมอง 219หลายเดือนก่อน
🔴FULL MAULIDI YA MASHEWA KWA ALY KIDAU | HAULI | TAZAMA MADRASA ZAIDI YA SABA ZIKICHUANA NA MAULIDI
TAJWEED YA MTOTO WA ZECHA YAZUA GUMZO KILULU | MTOTO ANAFUATA NYAYO ZA BABA | TAZAMA ZAIDI UONE
มุมมอง 364หลายเดือนก่อน
TAJWEED YA MTOTO WA ZECHA YAZUA GUMZO KILULU | MTOTO ANAFUATA NYAYO ZA BABA | TAZAMA ZAIDI UONE
IMEWASHANGAZA WENGI | UST SALIM MAJAH AMEPATA KITU KUTOKA KWA BABA YAKE ALHABIB MAJAH | SAMAI KILULU
มุมมอง 500หลายเดือนก่อน
IMEWASHANGAZA WENGI | UST SALIM MAJAH AMEPATA KITU KUTOKA KWA BABA YAKE ALHABIB MAJAH | SAMAI KILULU
KASHESHE YA UST OMARI MUHYA YAIFUNGA MAULIDI KWA KIDAU | BARAZANJI YATENDEWA HAKI | KIDAU DAY 2024
มุมมอง 105หลายเดือนก่อน
KASHESHE YA UST OMARI MUHYA YAIFUNGA MAULIDI KWA KIDAU | BARAZANJI YATENDEWA HAKI | KIDAU DAY 2024
🔴ZAFA YA KWA ALY KIDAU IMEUFUNGA MJI WA MASHEWA KWA MUDA | TAZAMA UONE LADHA YA ZAFA HILI
มุมมอง 713หลายเดือนก่อน
🔴ZAFA YA KWA ALY KIDAU IMEUFUNGA MJI WA MASHEWA KWA MUDA | TAZAMA UONE LADHA YA ZAFA HILI
"ILI MWANAO ASOME KAMA ANATAKA PIKIPIKI MPE" | SHEIKH ALHAJI AELEZA UKWELI SAMAI KWA KIDAU MASHEWA
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
"ILI MWANAO ASOME KAMA ANATAKA PIKIPIKI MPE" | SHEIKH ALHAJI AELEZA UKWELI SAMAI KWA KIDAU MASHEWA
HABSHY BIN SHEIKH MUHAMMAD WA QADIRIYYA AWANYANYUA WATU KWA KIDAU KWA MAR"HAM HII | TAZAMA UONE
มุมมอง 205หลายเดือนก่อน
HABSHY BIN SHEIKH MUHAMMAD WA QADIRIYYA AWANYANYUA WATU KWA KIDAU KWA MAR"HAM HII | TAZAMA UONE
VIJANA WA MAR"WA NA WAZEE WAO KUTOKEA MBWENI WAMESHIRIKI KIDAU DAY 2024 TAZAMA | SAMAI | MSHIRIKI 06
มุมมอง 167หลายเดือนก่อน
VIJANA WA MAR"WA NA WAZEE WAO KUTOKEA MBWENI WAMESHIRIKI KIDAU DAY 2024 TAZAMA | SAMAI | MSHIRIKI 06
🔴FULL HADHARA YA MAULIDI YA WANAWAKE MASHEWA KWA ALY KIDAU | HAULI YA KIDAU FAMILY 2024 MASHEWA
มุมมอง 181หลายเดือนก่อน
🔴FULL HADHARA YA MAULIDI YA WANAWAKE MASHEWA KWA ALY KIDAU | HAULI YA KIDAU FAMILY 2024 MASHEWA
JASADUN TAMAKANA | MSHIRIKI NO 05 | SAMAI (MASHEWA KWA ALY KIDAU) | SAUTI ZA KIPAJI ZISIKIE HAPA
มุมมอง 1272 หลายเดือนก่อน
JASADUN TAMAKANA | MSHIRIKI NO 05 | SAMAI (MASHEWA KWA ALY KIDAU) | SAUTI ZA KIPAJI ZISIKIE HAPA
HAABA NASII | MAKANYA YA LUSHOTO HAWANA JAMBO DOGO | MSHIRIKI NO 02 | SAMAI KWA ALY KIDAU
มุมมอง 2352 หลายเดือนก่อน
HAABA NASII | MAKANYA YA LUSHOTO HAWANA JAMBO DOGO | MSHIRIKI NO 02 | SAMAI KWA ALY KIDAU
MADRASA YA MICHUNGWANI | VIJANA HAWA NAO WAMEINGIA KWENYE MCHUANO | MSHIRIKI NO 04 | SAMAI KWA KIDAU
มุมมอง 1232 หลายเดือนก่อน
MADRASA YA MICHUNGWANI | VIJANA HAWA NAO WAMEINGIA KWENYE MCHUANO | MSHIRIKI NO 04 | SAMAI KWA KIDAU
SHAMSUL MAARIF QASWIDA YA SAMAI | HADHARA KWA ALY KIDAU | MSHIRIKI NO 03 | TAZAMA UWANJA ULIVYOAMKA
มุมมอง 2132 หลายเดือนก่อน
SHAMSUL MAARIF QASWIDA YA SAMAI | HADHARA KWA ALY KIDAU | MSHIRIKI NO 03 | TAZAMA UWANJA ULIVYOAMKA
QALBY YUSARU | SAMAI MASHEWA (KIDAU) | VITTAH KUBO & KIMARU & OMARI MUHYA | MSHIRIKI NO 01
มุมมอง 4862 หลายเดือนก่อน
QALBY YUSARU | SAMAI MASHEWA (KIDAU) | VITTAH KUBO & KIMARU & OMARI MUHYA | MSHIRIKI NO 01
KIKAANGONI "UKWELI WOTE HUU HAPA KUHUSIANA NA MADA YA UST SHAABANI PEMBE" | WEMA WA SHEIKH NI ELIMU
มุมมอง 4512 หลายเดือนก่อน
KIKAANGONI "UKWELI WOTE HUU HAPA KUHUSIANA NA MADA YA UST SHAABANI PEMBE" | WEMA WA SHEIKH NI ELIMU
MAPYA YAIBUKA | MADA YA UST SHAABAN YAZUA MASWALI | "KIKAANGONI YATAFUTA SULUHU | NANI ATAWEKA SAWA?
มุมมอง 1682 หลายเดือนก่อน
MAPYA YAIBUKA | MADA YA UST SHAABAN YAZUA MASWALI | "KIKAANGONI YATAFUTA SULUHU | NANI ATAWEKA SAWA?
UST SHAABANI AWALIPUA WASIOWATENDEA WEMA WATOTO WA MASHEIKH ZAO | MAULIDI MWAKIZARO
มุมมอง 1822 หลายเดือนก่อน
UST SHAABANI AWALIPUA WASIOWATENDEA WEMA WATOTO WA MASHEIKH ZAO | MAULIDI MWAKIZARO

ความคิดเห็น

  • @ramiyawetutv
    @ramiyawetutv 2 วันที่ผ่านมา

    اللهم صل على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم

  • @AbuubakriMdigoTz
    @AbuubakriMdigoTz 3 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @MwanamisiMohamed-k6w
    @MwanamisiMohamed-k6w 5 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @hamadwazir2733
    @hamadwazir2733 5 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 6 วันที่ผ่านมา

    Vittah kubwa Sana hii

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 6 วันที่ผ่านมา

    Masha Allhah

  • @JafaryMaeda-ph1hh
    @JafaryMaeda-ph1hh 7 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @AdamDaudy-e6u
    @AdamDaudy-e6u 8 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah kazi nzuri

  • @KelvinBenard-j4t
    @KelvinBenard-j4t 8 วันที่ผ่านมา

    Issah bin hemedi hakosekani katika shughuli hapo

  • @Ashimvic-i2m
    @Ashimvic-i2m 8 วันที่ผ่านมา

    Kimaru vittah kimaru

  • @AbalMuhsin-vi9wk
    @AbalMuhsin-vi9wk 8 วันที่ผ่านมา

    Mashallah mwalim wangu Shemweta

  • @deelhkhaan
    @deelhkhaan 9 วันที่ผ่านมา

    Munguu azidii kuipaa nuruu nurulhuda

  • @SoudShabani-pj1qv
    @SoudShabani-pj1qv 9 วันที่ผ่านมา

    Mashallah maisha 😢😢 kesho inshallah kivyovyote nipoo

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 11 วันที่ผ่านมา

    Maishallah izafaimetuliasana alopafom kaanzavizuri kama shekhe Salim ❤❤❤

  • @AbuuKhadija-ev8js
    @AbuuKhadija-ev8js 11 วันที่ผ่านมา

    Allah atuwekee hadi tuzidi kunufaika naye mwalimu wetu huyu na wengineo

  • @sofiajumaa4538
    @sofiajumaa4538 11 วันที่ผ่านมา

    MashaLLAH 🌹🌹

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 11 วันที่ผ่านมา

    Masha Allhah Allhah Amjaalie Umri mrefu wenye kheri na Afya njema 🙏🙏

  • @kanunimzola579
    @kanunimzola579 11 วันที่ผ่านมา

    alhamdulillah, kila la kheri

  • @SoudShabani-pj1qv
    @SoudShabani-pj1qv 11 วันที่ผ่านมา

    Mashallah jambo letu limeanza vizuri

  • @shabani17bakari19
    @shabani17bakari19 14 วันที่ผ่านมา

    Mpiga picha ajitahidi kupiga picha mzuri na sauti aiweke vizuri

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 14 วันที่ผ่านมา

    Shekh Salim bin Zubeir Mudir wa Taasis ya maawal Islam Allhah Amjaalie Umri mrefu wenye kheri na Afya njema 🙏🙏

  • @IddiBakari-sf8lk
    @IddiBakari-sf8lk 15 วันที่ผ่านมา

    Anajiona anaelimu bdo akasome mtu wa ramu hyo swallu allannab

  • @hamisimgeni9492
    @hamisimgeni9492 15 วันที่ผ่านมา

    MaashaaAllah

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 16 วันที่ผ่านมา

    Mwamba Ostadh Mshango 🙏

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 16 วันที่ผ่านมา

    Masha Allhah 🙏

  • @JastinJula-e5k
    @JastinJula-e5k 17 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @YahyaMshamata
    @YahyaMshamata 17 วันที่ผ่านมา

    Tunaendelea tulipoishia hatuambiwi

  • @SoudShabani-pj1qv
    @SoudShabani-pj1qv 19 วันที่ผ่านมา

    Mashallah my madrasa

  • @AbdulrahmansaidiSaidi
    @AbdulrahmansaidiSaidi 19 วันที่ผ่านมา

    Tusishabikie penye hii ni penye ukweli pako wazi bachu Allah akuhifahdi dunian na kesho akhera hii ni dini so mpira

  • @AbdulrahmansaidiSaidi
    @AbdulrahmansaidiSaidi 19 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mnatia aibu Kwan mbona swali linajieleza we said si unaelimu jibu Basi wapi wanyama wameongea tudhibitishie wewe

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 20 วันที่ผ่านมา

    Masha Allhah 🙏

  • @AdamuathumaniMtungakoa
    @AdamuathumaniMtungakoa 25 วันที่ผ่านมา

    Allah bless you

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 25 วันที่ผ่านมา

    Masha Allhah Shekh Abdallah msafir Katib wa Taasis ya maawal Islam 🙏🙏

  • @HamisiHamisi-ne6mz
    @HamisiHamisi-ne6mz 25 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Allah mpe umri mrefu na akuondolee husda kwa kila mwenye kukufukiria vibaya

  • @Shani-xs4td
    @Shani-xs4td 28 วันที่ผ่านมา

    مشالله تبارك الله

  • @UmulkulthumShabani
    @UmulkulthumShabani 28 วันที่ผ่านมา

    Mashallah mashallah ikawe ya kher na baraka teleeeee inshallah 🤲❤

  • @AbuuzahirIdrissa
    @AbuuzahirIdrissa 29 วันที่ผ่านมา

    Naona ajabu muhamemdy kufanya mnakasha na mtu asie penda kher anatabia ya uwongo na ubishi na mpenda sifa kiburi huyo anajua kilakitu huyo unavyo muona hapo

  • @jumaaruwa8793
    @jumaaruwa8793 หลายเดือนก่อน

    Masha Allhah 🙏

  • @HamadKwiga-h8h
    @HamadKwiga-h8h หลายเดือนก่อน

    Mashallah! Mashallah!

  • @AbdallahShaabani
    @AbdallahShaabani หลายเดือนก่อน

    Sasa channel yenyewe niya watu wa bida'a lazima kichwa cha habari muandike huo upuuzi😂😂😂😂

  • @LatifaMashi-qo1cu
    @LatifaMashi-qo1cu หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mashaallah

  • @LatifaMashi-qo1cu
    @LatifaMashi-qo1cu หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mashaallah fainalinjanata hiyal MAAWAH🥰

  • @sofiajumaa4538
    @sofiajumaa4538 หลายเดือนก่อน

    Yasalaaaamuuu 🌹🌹🌹

  • @LatifaMashi-qo1cu
    @LatifaMashi-qo1cu หลายเดือนก่อน

    Mashaallah 🥰

  • @mudrickbachan2442
    @mudrickbachan2442 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa

  • @MwalimuMwale
    @MwalimuMwale หลายเดือนก่อน

    Mashaallah shekh shabani Allah akuhifadhi sanaaaa

  • @AbuubakriMdigoTz
    @AbuubakriMdigoTz หลายเดือนก่อน

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @sofiajumaa4538
    @sofiajumaa4538 หลายเดือนก่อน

    Yasaaaaaamuuuu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹💪🏼 maaawal islamiyaaa 🥰🥰🥰

  • @AthmanChuo
    @AthmanChuo หลายเดือนก่อน

    Mashallah vizur Sana جميل

  • @BashiruNjuga-k2c
    @BashiruNjuga-k2c หลายเดือนก่อน

    Mashaallah