NJIA RAHISI YA KUMTOA JINI MAHABA NAMNA JINI MAHABA ANAVYOWAINGIA WATU, ANAVYOHARIBU NDOA, BIASHARA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @LetisiaMwamba
    @LetisiaMwamba 13 วันที่ผ่านมา +1

    Some Zurich sheh

  • @SerinaMasika
    @SerinaMasika 8 วันที่ผ่านมา

    Asalamu aleykumu shehe mimi ninamtihani was maraadhi miaka kumi na moja shehe naomba msaada wa dua Niko mlandizi kilangalanga naitwa Salma Amilkan

  • @SerinaMasika
    @SerinaMasika 8 วันที่ผ่านมา

    Nakuomba shehe nisaidie Sina msaada shehe mume amenikimbia hali yangu ningumu sana

  • @jameswarburg5051
    @jameswarburg5051 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo zuri je kama mwenza wako ana dalili zote za kuwa na jini mahaba na unataka yamtoke bila yeye kujuwa unafanyaje

  • @user-kn2to2ii8g
    @user-kn2to2ii8g 15 วันที่ผ่านมา

    Nayapataje hayo mafuta

  • @user-qr3ko6ht3b
    @user-qr3ko6ht3b 3 หลายเดือนก่อน

    Shekh asalam aleikum samahani nayahitaji ayo mafuta nayapataje

  • @halimangome5103
    @halimangome5103 21 วันที่ผ่านมา

    Sheikh nayataka nitapata vipi

  • @mulisammy970
    @mulisammy970 19 วันที่ผ่านมา

    Mtu akiwa 🇰🇪 unaeza mzaidiaje plZ

  • @danielkirindo8635
    @danielkirindo8635 หลายเดือนก่อน

    Nitayapataje

  • @binfaadhil2563
    @binfaadhil2563 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh unapatikana wap

  • @IbrahimHamadi-to9co
    @IbrahimHamadi-to9co 26 วันที่ผ่านมา

    Nahitaji ayo mafuta

  • @KhadijaAhmada-vl3hs
    @KhadijaAhmada-vl3hs หลายเดือนก่อน

    Mm ni mwanamke kuna muda anakuja mwanamke mwenzangu ili tusagane kuna mda anakuja mwanamme ananiingilia na mwanamke huja baada ya kuswali sala ya alfajiri nikikaa kitandani tu anakuja tena huwa niko macho sjalala vizuri😢😢 aisee natamani kujinyonga hii hali

    • @AzizaMuhiddin
      @AzizaMuhiddin 25 วันที่ผ่านมา

      Pole San

    • @ibn_rajab_bilaal
      @ibn_rajab_bilaal 4 วันที่ผ่านมา

      Allah akufanyie wepesi, soma nyiradi za asubuhi na jioni na usiache