PART 2: JINSI YA KUTENGENEZA GROWER MASH
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
- Kuku wa mayai kuanzia wiki ya 9-18 wanatakiwa wapewe chakula (grower mash) chenye kiwango cha protini muhimu (Digestible Crude Protein) kuanzia asilimia 16 hadi 18%. Mchanganyiko huu wa chakula husababisha kuku kukua kwa haraka sana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea umri wa kutaga.
Asante kwa elimu Dr.
Nice work
Asante sana.umenipa maarifa kwa sehemu kubwa MUNGU akuzidishie maarifa zaidi na zaidi.
Fantastic job.But try to add the quality of your video a little more
Ubarikiwe sana Dada Frida 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Asante sanaaaa
Asante sana mimi mwanafunzi mpya
❤
hao ni chotara au?
DADA TUNASHUKULU SANA ILA KAMA INAWEZE KANA TUPE NAMBA ILI TUKIPATWA NA CHANGAMOTO BASI TUWE TUNA KUPIGIA
Asante, namba Yako ya mawasiliano tafadhali.
Naomba namba naitaji vifaranga
pia hiyo lyisine hicho kipimo chake unapimia nini maana hujusema ni robo au kilo
pia kuku hao wanakula kilo 52 hapo sijaelewa dada.ni kwa siku au wiki tafadhali
Habari jambo namba yako sister
Naomba namba yako