- 34
- 90 063
Frida Homestead
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 6 ต.ค. 2021
A journey to sustainable living
NJIA BORA YA KUTUNZA WATOTO WA MBUZI NA KONDOO ILI KUEPUKA VIFO
Nimuhimu sana kwa mfugaji anayefuga mbuzi kibiashara kuhakikisha watoto wanatuzwa kwa uangalizi wa hali ya juu kuhakikisha kila mtoto ananyonya na anapata maziwa ya utosha. Kadhalika mfugaji anapaswa kuhakikisha kuwa watoto wa mbuzi na kondoo wanalala katika banda safi na lenye hewa ya kutosha
มุมมอง: 1 256
วีดีโอ
PART 3: JINSI YA KUTENGENEZA LAYERS MASH
มุมมอง 2.7Kปีที่แล้ว
Chakula cha kuku wanaoanza kutaga huwa na kiwango muhimu cha Protini (Digestible Crude Protein) kuanzia asilimia 16 . Chakula hicho ni muhimu kikawa na madini ya Calcium (Chakula chenye chokaa) kwa ajili ya utengenezwaji wa magamba ya mayai. Kuku ambao wana kiwango kidogo cha calcium hutumia akiba ya madini haya ya calcium iliyopo kwenye mifupa yao kutengenezea magamba ya mayai. Anza kuwapa kuk...
PART 2: JINSI YA KUTENGENEZA GROWER MASH
มุมมอง 4Kปีที่แล้ว
Kuku wa mayai kuanzia wiki ya 9-18 wanatakiwa wapewe chakula (grower mash) chenye kiwango cha protini muhimu (Digestible Crude Protein) kuanzia asilimia 16 hadi 18%. Mchanganyiko huu wa chakula husababisha kuku kukua kwa haraka sana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea umri wa kutaga.
PART 1: UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI (CHICK STARTER)
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
Kuku kama wanyama wengine wanahitaji vyakula vyenye virutubisho vyote muhimu ili kuweza kufanya uzalishaji bora. Video hii imeandaliwa kwa lengo la kuweza kumfanya mkulima aweze kujitengenezea chakula cha kuku wake mwenyewe ili kuweza kupunguza gharama za uzalishaji. Sehemu ya kwanza in jinsi ya kutengeniza chakula cha vifaranga.
KUZA BIASHARA YAKO YA UFUGAJI KWA KUFUNYA HAYA....
มุมมอง 288ปีที่แล้ว
Je unatunza kumbukumbu zako za uzalishaji ?unatunza kumbukumbu za mauzo ya bidhaa yako ? je umeshawahi kufanya tathimini ya kujua maendeleo ya biashara yako kwa kuangalia ukuaji wake ili ikusaidie kupanga malengo kwa ajili ya kesho yako? Unatakiwa kuwa na mfumo wa kutunza rekodi za biashara yako. kama mfugaji ni jukumu lako kujiwekea desturi ya kutunza kumbukumbu zote katika biashara yako kwa f...
UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU YA BIASHARA YAKO YA MIFUGO
มุมมอง 235ปีที่แล้ว
UMUHIMU WA KUTUNZA KUMBUKUMBU YA BIASHARA YAKO YA MIFUGO
NAMNA MBALIMBALI YA KUPATA FAIDA KWENYE UFUGAJI WA MBUZI
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
NAMNA MBALIMBALI YA KUPATA FAIDA KWENYE UFUGAJI WA MBUZI
+
มุมมอง 278ปีที่แล้ว
Mifugo ni kama watoto, wanahitaji kuangaliwa mara kwa mara na kutibiwa pale wanapoonyesha dalili za ugonjwa. Unaweza kutumia muda wako au kuwaajili watu wa kuweza kuangalia mifugo wakati unapokuwa haupo. Maana bila usimamizi madhubuti mfugaji utaishia kupata hasara.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ufugaji wa Kuku
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ufugaji wa Kuku
UFUGAJI WA KUKU KWA KUWAFUNGIA BANDANI (DEEP LITTER SYSTEM). NI NINI FAIDA NA CHANGAMOTO ZAKE?
มุมมอง 7382 ปีที่แล้ว
UFUGAJI WA KUKU KWA KUWAFUNGIA BANDANI (DEEP LITTER SYSTEM). NI NINI FAIDA NA CHANGAMOTO ZAKE?
FAIDA YA KUFUGA KUKU KWA KUWAACHIA WAJITAFUTIE CHAKULA
มุมมอง 7842 ปีที่แล้ว
FAIDA YA KUFUGA KUKU KWA KUWAACHIA WAJITAFUTIE CHAKULA
FAIDA NA CHANGAMOTO ZA UFUGAJI WA KUKU KWENYE CAGES
มุมมอง 2512 ปีที่แล้ว
FAIDA NA CHANGAMOTO ZA UFUGAJI WA KUKU KWENYE CAGES
Fahamu tofauti zilizopo kati ya kuku chotara aina ya Kuroiler na Sasso
มุมมอง 18K2 ปีที่แล้ว
Fahamu tofauti zilizopo kati ya kuku chotara aina ya Kuroiler na Sasso
KWANINI KUKU HUPUNGUZA UTAGAJI WA MAYAI? NA NINI KIFANYIKE ILI KUONGEZA UZALISHAJI?
มุมมอง 6152 ปีที่แล้ว
KWANINI KUKU HUPUNGUZA UTAGAJI WA MAYAI? NA NINI KIFANYIKE ILI KUONGEZA UZALISHAJI?
JIFUNZE MBINU MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA GHARAMA YA CHAKULA CHA KUKU
มุมมอง 4.4K2 ปีที่แล้ว
JIFUNZE MBINU MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA GHARAMA YA CHAKULA CHA KUKU
JIFUNZE JINSI YA KUANDAA MASHIMO KWA AJILI YA UPANDAJI WA MITI YA MATUNDA
มุมมอง 3.9K2 ปีที่แล้ว
JIFUNZE JINSI YA KUANDAA MASHIMO KWA AJILI YA UPANDAJI WA MITI YA MATUNDA
AINA MBALIMBALI ZA MBOLEA NA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUOTESHEA MAZAO
มุมมอง 2.1K2 ปีที่แล้ว
AINA MBALIMBALI ZA MBOLEA NA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUOTESHEA MAZAO
AINA MBALIMBALI ZA MAEMBE YAFAAYO KWA BIASHARA
มุมมอง 7412 ปีที่แล้ว
AINA MBALIMBALI ZA MAEMBE YAFAAYO KWA BIASHARA
FAHAMU MICHE MBALIMBALI YA MATUNDA IPATIKANAYO FRIDA HOMESTEAD
มุมมอง 7782 ปีที่แล้ว
FAHAMU MICHE MBALIMBALI YA MATUNDA IPATIKANAYO FRIDA HOMESTEAD
FAHAMU AINA MBALIMBALI ZA MITI YA MATUNDA NA FAIDA ZAKE
มุมมอง 5282 ปีที่แล้ว
FAHAMU AINA MBALIMBALI ZA MITI YA MATUNDA NA FAIDA ZAKE
FAHAMU UMUHIMU WA KUPANDA MITI NA FAIDA ZAKE
มุมมอง 1.8K2 ปีที่แล้ว
FAHAMU UMUHIMU WA KUPANDA MITI NA FAIDA ZAKE
JINSI YA KUTUMIA ALOE VERA (SHUBIRI MWITU) KUTIBU MAGOJWA YA KUKU
มุมมอง 3.1K2 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUTUMIA ALOE VERA (SHUBIRI MWITU) KUTIBU MAGOJWA YA KUKU
MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA WAKATI WA KUJENGA BANDA LA KUKU
มุมมอง 1.3K2 ปีที่แล้ว
MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA WAKATI WA KUJENGA BANDA LA KUKU
NIKIWANGO GANI UNAPASWA UTUMIE ILI KUPATA VIRUTUBISHO VYOTE NA FAIDA ZITOKANAZO NA MLONGE???
มุมมอง 2052 ปีที่แล้ว
NIKIWANGO GANI UNAPASWA UTUMIE ILI KUPATA VIRUTUBISHO VYOTE NA FAIDA ZITOKANAZO NA MLONGE???
FAHAMU FAIDA ZA MAJANI YA MLONGE KWA AFYA YA BINADAMU
มุมมอง 11K2 ปีที่แล้ว
FAHAMU FAIDA ZA MAJANI YA MLONGE KWA AFYA YA BINADAMU
FAHAMU MAGONJWA HATARISHI YA VIRUSI VYA KUKU, DALILI ZAKE NA MATUMIZI SAHIHI YA CHANJO
มุมมอง 3592 ปีที่แล้ว
FAHAMU MAGONJWA HATARISHI YA VIRUSI VYA KUKU, DALILI ZAKE NA MATUMIZI SAHIHI YA CHANJO
MBINU BORA ZA UTUNZAJI WA VIFARANGA VYA KUKU
มุมมอง 3342 ปีที่แล้ว
MBINU BORA ZA UTUNZAJI WA VIFARANGA VYA KUKU
Asante kwa elimu Dr.
🙌🙌🙌 dada una madim adimu sana?
Good education
Mpo wap
Unafugia wapi ndugu tuje kujifunza huko
Fantastic job.But try to add the quality of your video a little more
Nice work
Why not nisi subscribe kwa elimu yako..❤
Elimu yako ni nzuri sana,shukrani Mungu akubariki
Je nitapata uliyo kwisha kutengeneza? Nitapataje?
Asante dada
Kuku wanakula mayai sana
Habari jambo namba yako sister
Naomba namba yako
Mm naomba kufanya biashara na wewe ya kukuuzia mlonge majani
Naomba picha ya kuku wa renmbo.
kwani huwezi kukausha na kutwanga kisha ukatumia kwenye juice
jinsi ya kukaanga mbegu za mlonge kwa ajili ya nguvu za kiume
kwani huwezi kutengeneza juice ya mlonge pekee?
Dada uko mkoa gani
Mbegu ya sasso inapatikana wapi?Nahitaji
Asante sana dada, Kuna watu wanauza elimu kama hii youtube lkn wewe umeitoa free kabisa. Mungu akubariki sana
Dada farida umbuzi unauzaje,beberu na jike, hongera sana
Naam, ni mawazo tundufu na fikra mkruro na hakika nitakuwa na wewe sako kwa bako kila mdaharo!"
Unapatikana wapi?
Idadi ya vifaranga waheshimiwa.
tunaombs no yako ya cm
pia hiyo lyisine hicho kipimo chake unapimia nini maana hujusema ni robo au kilo pia kuku hao wanakula kilo 52 hapo sijaelewa dada.ni kwa siku au wiki tafadhali
hao ni chotara au?
Hongera sana naomba uweke namba yako
Je ni dawa ya kutibu huu ukimwi?
😂😂😂😂😂😂
Kuku wenu tunawatamani lakini tunajiuliza tunawapataje
NAOMBA FORMULA YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU 100 CHOTARA WANAOTAGS
Asante kwa mafundisho mazuri, naomba namba yako ili nikiwa na swali iwe rahisi kupata msaada.
Asante naomba no yako
Hello I am from Kenya and i love chickens, where can i get F1 Kuroiler breed that is reliable.
Good Teaching indeed.
Mazingira gani bora kufuga kuku kwa kuwaachia? Mjini au vijijini.
Asante sana nataka kufuga kuko za mayayi kivyashara Nifundishe kutengeneza chakula cha vifaranga
Thx madam
Dr. Thx more kwa elimu unayo tupa by Katabila michael
Asante sana,
Asante sana
Good job
Je ni milonge mibichii
sasa wewe ndo mbuzi au kuna mbuzi wengine?tunataka kuona mbuzi sio wewe clip yote😂😂
Unaruhusiwa kutia sukar kweny iyo. chai ya mlonge ?
Asante sn dada umenisaidia sn
Nice
Habari yako Dada, hii formula inawezatumika kwa broiler!?
Na kuhusu magonjwa dr
Kama sina asali naweza kutumia sukari?