ALLAH amsamehe makosa yake na amuweke mahala pa waliowema Amiin. Na wanawake bwana yaani huyu mzee Yussuf yeye siku zote wanakwenda kumhoji hawa waandishi wa Habari ni wanawake tu. Kweli wanawake vitimbwi vyao ni vikubwa.
Zubeda Mohamedi Allahuma Amiin na kweli sio hospital tu na kuwahi na mapema kunasaidia tena iliyobakia kadara ya Allah MMungu mpe subra na amsameh makosa yake amzidishie mema yake na wakhti wake ulikuwa ushafika na sie atupe mwisho mwema
Dah nimeumia hadi nimejikumbukia Mimi uzazi wa kwanza 2013 niliponea pafupi kuchelewa Dr wa operation alinikuta ninahali mbaya akahangaika ili aniokoe Mimi tu mtoto alijua amesha kufa na alipomtoa akajua mtoto kafa kumbe Mungu ndio msemaji wa mwisho
Jamani ikifika imefika mi chupa ilipasuka nikakaa siku 4 hospitali iliposhindikana nikafanyiwa oparesheni na tukapona Mimi na mtoto ni ahadi ilifika sio uzembe
Mzee yusufu wewe mtu wa allha ila usinungunike sana kwa mungu hakuna jins alipangalo yeye ndo halina jins shukur mungu na yeye nd mwing wa rehma mwenye kurehemu
mungu amlaze mahali pema insha allah
Allahumaghfilahaa warhamhaa
Muna Hasani Muna Hasani p
mungu amlaze mahala pema
amiin
Wallah mitihani ndiyo kipimo cha imani ALLAH atuongoze
ALLAH amsamehe makosa yake na amuweke mahala pa waliowema Amiin.
Na wanawake bwana yaani huyu mzee Yussuf yeye siku zote wanakwenda kumhoji hawa waandishi wa Habari ni wanawake tu. Kweli wanawake vitimbwi vyao ni vikubwa.
innalilahi wainnailayhi raajiun,pole ndg yetu alhajji mzee yusuph kwakuondokewa na mkeo kipenzi alpha atakupa subra
Allah skype subira inshaallah
Mungu amlaze mahali pema peponi,Amiiin.
Mashaallah mzee yusuff M/ mungu ukujaalie kila lakheri pamoja nasi inshaallah
Pole sana innalillah wainnailayh rajiun. Mwanangu nae alipata tatizo hilo hilo lkn alhamdulillah alipona nashkuru
M.mungu ailaze roho yake mahala pema pepon
Michael Kunambi we unahakili sana, Mungu akubariki km unalijua hlo
mungu amlaze mahali pema pepon mamaetu
Mwenyezi Mungu akutie nguvu Mzee Yusuf. Pole sana kwa msiba
Zubeda Mohamedi Allahuma Amiin na kweli sio hospital tu na kuwahi na mapema kunasaidia tena iliyobakia kadara ya Allah MMungu mpe subra na amsameh makosa yake amzidishie mema yake na wakhti wake ulikuwa ushafika na sie atupe mwisho mwema
+Rehana Elloffy Amiin
Mungu amlaze mahala pema peponi
Daaa 😭Inauma Sanaaa🙆pole Sanaa😭😭😭Tutamkumbuka Daima😭
Mzee Yussuf MASHALLAH
Allhamndulillah mung amlaze mahli pema pepon
Allah amsameh mama uyoo
Ila mtangazaji nimekuelewa mbaya kabisa.... So beatfuly
Pole sana Mzee yusuph sote 2nakwenda kinachogomba kutangulia
Dah nimeumia hadi nimejikumbukia Mimi uzazi wa kwanza 2013 niliponea pafupi kuchelewa Dr wa operation alinikuta ninahali mbaya akahangaika ili aniokoe Mimi tu mtoto alijua amesha kufa na alipomtoa akajua mtoto kafa kumbe Mungu ndio msemaji wa mwisho
pole Sanaa
😢😢😢😢
ALLAH AMWAKILE MUBE YISHIMIRA
innallillah wainaileih warajiun Allah amlaze mahali pema peponi inshallah
Pole sana
innalillah wainna illah rajiun
Ungeenda huko siku mbili mbele sio kumwambia aswali mtoto anashuka, mjinga huyu mzeee ulichukulia . Mazihara
Kweli angelala uko kwa bi mdogo mwanangu wakwanzaalikufa tumboni kwasababu mumewangu ila nilipush alie kufa niko nahasira
Pole Sana mzee yusufu
Polesana mze you suf mungu amulaze mahala pema
Pole san muze yusuf
allaha. atakupa. subra. mzee. yusuf
Inalillah wainaillah rajiun
Mungu amlanze pema peponi
Ukewenza noma mpk siku za mwisho bado mwanaume anakuacha peke yalo anakwenza
zamu!
Hahahaaaaa.uke wenza haukusilimu.siku zote sisi waume hudhania ni kusudi tu vile mke aona mume yuko zamu.kumbe mara zingine si hivo
Hta usipokuwa uke wenza mwanaume anaweza kukuaxha vilevile watu hawa
Ili kua wampasue ila ahadi ilikua imefika Allah amrehem
Allhaa.akupee..taafifuu.msbaa.ni.mtihani.mkubwaa.allha.atakupaa.subraa.mzee.yusfu.sote.tutarejea.kwakeee.sisi.niamanaa.ya.allha
amin
Pole sana Mzee Yusuf
w sally vp kwema uko wapi ww kinyo
pole sana mzee yusufu
Allah amekupa mtihani kukukumbusha,endelea na upuzi wako kama bado hujatanabahi Mzee
Allah amsaidie mtoto pole sana mzee Yusuf
Mtoto yupi na wakat mtoto kapita
Inna lilahi wa inna ilahi wa rajiuon m’ngu amsamehe dhambi zake amuweke kwenye wema ameen ya rabb
pole sana mzee yusuf
Pole sana Mzee Yusuf Na hao madokta walikua wazembe uvunje chupa tangu asubuhi mpaka jioni?
Jamani ikifika imefika mi chupa ilipasuka nikakaa siku 4 hospitali iliposhindikana nikafanyiwa oparesheni na tukapona Mimi na mtoto ni ahadi ilifika sio uzembe
@@zuhurambonde7599 Naam Zuhura, Tuwe na imani ya kua kikiandikwa hakirudi nyuma
😢😢
Inna lilah waina ilahi rajiu
ALHAMDULILLAH RAB LALAMIN. MUNGU AMPE KAULI THABIT.
Innalilah wainnalilah rajiuun
duh! jaman Allah! amlaze pema pepon
M/mungu amlaze pahala pema peponi
allahumma ghfirlahaa warhamhaa
Duh pole
Jamaani. Wake ni muhisana
Pole sana mzeee
Pole sana mungu ampunguzie adhabu ya kaburi
I nna lillahi wainna lililahi lajuhuni mungu amlaze mahali pema peponi Amini 🙏🙏
Pole muzee yusufu
INNA LILAHI WA INNA ILAYHIRRAJIU'N
Pole sana
Doctar mshenzy kweli uyaachaje mgonjwa mahututi naunde kwenye kikao tena mbali koye kote huko jamaniii
💕
mungu amzidixhie marehem huyu
So sad 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭....
Walichelewa kumfanyia upasuaji,masaa nimengisana aliyoumwa
pole sana
Kondo baya sana jmn...dah r.i.p
Dokta ataachaje wagonjwa nankwenda mbali hivyo ..!!! So unprofessional
duh. mtu yupo kwenye siku za hatarii unamuacha peke yake
Unaonekn hujui process za kuzaa unaeza kuumwa Hadi wiki 2 na bado huzai. Sasa unaanzaje kukaa pachapacha uache kufnya shughul zak
Pole sana, pole kwa familia
Ina Lilah waina ilahi rajiun
Mtto alikuwa ameshachoka doctors mshenzi na mtto mdogo kwanini hawakufamya operations mapema
Inalilahi wainailaihirajuuna
innalillahi wainnaillahi rajiun
Ndio mwisho wa binadamu lkn hio hospital siyo ukifikwa na tatizo hapana dokta
Kila nafsi itaonja mauti. Na itakapofika muda haitaongezeka saa wala kupungua.
Hospital za tz ni mtihani
Kumbe uzembe w madactar
Muda ulishafika maana watu wanakula huo mpatakuvana hawafi muda hua haujafika na ukifika hakuna cha kuzuia tutatafuta sababu tu ili ziraili asitajwe
Allah Amrehem
Pole
pole xana MZEE yusufu
pole
MUNGU amlaze pemapeponi inshallah
Sorry 4 the loss "The Big Dad". Let her soul rest in eternal peace, Amen.
Uzembe wa hali ya juu
Co uzembe ni maandiko
إنا لله وإنا إليه راجعون
,japo nimechelewa lakin name nakupa pole sana mzee yusufu,
Mwenyezi Mimgu ampe kauloli thabiti
mungu amsamehe makosa yake
allah amfanye katika waja wema
amiin
mmumgu amlaze pema kwenye wema..amsameh madhambi yk ampe kauli thabit
Amina...
Da pole braza tumshukuru mungu yeye ndo anajuwa alipangalo
Pole San mungu amlaze mahali pema pepon
Laa nimrkubuks xiku nilipo psxuliwa mm ,mungu kampeda zsidi
allah ampe qaul thaabit inshaallah.
Mzee yusufu wewe mtu wa allha ila usinungunike sana kwa mungu hakuna jins alipangalo yeye ndo halina jins shukur mungu na yeye nd mwing wa rehma mwenye kurehemu
Walikudanganya hao madokta mkeo alifariki tokea saa kumi
Nan alokufa tena mzee
in a kill and a in nail lay rajiun sote niwakwake Na kwake tutarejea sote
Mmechelewesha upasuaji
Daaah
Anaongea huku anacheka...sijui kama anaumia kifo cha mkwewe
huyu anae hoji ana kimbele mbele siutulie mtu aongee umezoea umbe kujazia juu kabla hujajua mtu anaongea
freshi iyo vepe
Micheal Kunambu kifo hakina tiba bro.
Hata angeenda mbio vipi asingeokoa roho
Pore
Mwenyezmung amlaze mahala pema
Pele sana
mtoto alipona
Vikatun
Mtangazaji ulivyomsogelea mzee ni balaa, cyo poa...
Pole...ana mumewe asiumie uumie ww kama nan
Anaskiliza tu kwa umakini
Balaa
retained placenta
Mwachlieni mbali huyo mnafik
We mwenyewe mnafiki ndo mana unawajua wanafiki wenzio
v
Mungu amlaze mahali pema peponi, ila hao madaktari n wazembe walimchelewesha cn kumfanyia opreshen.
Reyla alifurah hiii siku maana alikuwa anamnyima usingiziiiiii
Ulikutaarifu?, embu sometimes tumuacheni Mungu ahukumu.
@@Thisisgrace979 toka kule mfyuuuu