MZEE yusuph smv sio hospital kabisaaa Mimi nilipoteza mtoto Wangu wa kwanza hivyohivyo niliumwa sana na uchungu wakawa wanamsubiri dokta bingwa ambaye ndiyo dokta mashavu!wanasingizia dokta bingwaa hicho kihospitali kifungiwe kwa kweli Mimi pia huo mtihani ulinikuta
Huyo dada alifariki kwa sababu ya uchovu na mapenzi ya Mungu. Ata mtoto pia alikuwa kachoka pia ndiyo maana akafa. Jamani hii subirisubiri mbaya sana. Mungu wangu tuhurumie. Yote ni mapenzi ya Mungu. Mungu tupe Imani ya kukuamini wewe katika maisha yetu.
masikini alicheleweshwa hivo alichoka sana razima hata kumbe kilichoka mwenyezi mungu Amrehem pole sana Mzee yusuph mungu aendelee kukuita moyo sababu mungu Akisema ndio hakuna anae weza kusema hapana
mungu akupe subra wewe na mkeo leyla mungu amuongoze aje awe mujaidati na wewe uwe mujaidina mutangaze allaah ile wengine wainge na mkeo chiku mungu amueke pema palipo na wema
smv jipu litumbuliwe hilo Mimi kilinikut kisanga sitasahau hata kidogo wanamtegemea Dr mashavu na mashavu anafanya hospitality mbili wanashindwa fanya operation mpaka tatizo litokee ndo anakuja
tusimsingizie mungu, hayo maelezo yanaonyesha wazi kwamba kifo kimesababishwa na uzembe wa madaktari, na inavyoonyesha huyo anayeitwa dactari bingwa huenda ni just clinical officer tu, tuwe makini na uhai wetu jamani, kuna vifo vingine ni vya uzembe tu like this one. poor woman, inasikitisha mno.
MZEE yusuph smv sio hospital kabisaaa Mimi nilipoteza mtoto Wangu wa kwanza hivyohivyo niliumwa sana na uchungu wakawa wanamsubiri dokta bingwa ambaye ndiyo dokta mashavu!wanasingizia dokta bingwaa hicho kihospitali kifungiwe kwa kweli Mimi pia huo mtihani ulinikuta
Mola akuruzuqu mtt mwenye afya n uzima pamoja nawe n mumeo..Ameen
Wapuuz kwelii hao dokta bingwa gani ujinga tuu kuua watu wakifunge kidude Chao Jamanii
ManshaAllah Takbiira x3 Allah azidi tuongoza nakupenda kwa ajiri ya Allah
pole sana kikubwa duaa ndixo zinazotakiwa! inshallah
Ni kweli usemayo hiyo yote mipango ya mungu,Allah akupe subra Sheikh yusuph.Mola amrehemu ln shaa Allah,
Huyo dada alifariki kwa sababu ya uchovu na mapenzi ya Mungu. Ata mtoto pia alikuwa kachoka pia ndiyo maana akafa. Jamani hii subirisubiri mbaya sana. Mungu wangu tuhurumie. Yote ni mapenzi ya Mungu. Mungu tupe Imani ya kukuamini wewe katika maisha yetu.
mzee yusuph una hekima sana.huwa nakufurahia sana busara zako.kweli Dini ni uongofu wa moyoni .
Asante mzee yusuph kwa maoni yako kweli uwokovu ni imani ya 2 mungu atakuongoza Kwa yote
subhanallah Allah amuweke mahali pema peponi hakika nimipango ya Allah. ...pole sn mzee yusuph mola akupe subrah
😀😀
Alhaji mungu akuzidishie hekima tujaaliwe kuingia fldausi ya mungu
masikini
alicheleweshwa hivo alichoka sana razima hata kumbe kilichoka
mwenyezi mungu Amrehem
pole sana Mzee yusuph
mungu aendelee kukuita moyo sababu
mungu Akisema ndio hakuna anae weza kusema hapana
Nelly Atuseth amin
pole sana kk yk mie mungu azidi kukupa subra kwa kila jambo
Allah ampe mapumziko mema huko akhera, nas atupe khatma njema, inshallah
hiyo ni Mipango ya mungu.
mungu akupe subra wewe na mkeo leyla mungu amuongoze aje awe mujaidati na wewe uwe mujaidina mutangaze allaah ile wengine wainge na mkeo chiku mungu amueke pema palipo na wema
pole sana Alhaji Yusuf.
Allah awape subra haki kinamma twapata dhiki mda wakujifunguwa alale pema awe na kauli kathabiti chiku inshaallah
May Allah grant her janhltul firdaws Ameen yarabi
Allah ampunguzie adhabu za qabur Dada yetu
MashaAllah Allah atampa fahamu leila pia
watoto wazuri mash Allah
watoto wazidi mashallah, copy ya marehemu chiku, mungu amweke pema peponi. amin.
Watoto wazuri mashallah
pole sana alhaj
mungu ampe pepo katika kabri lake aifanye Iwe kiwanja kati ya viwanja va peponi
Amiin
pole sana allah amuweke pema pepon aminn
mungu akupe mwisho mwema
pole kaka kazi yamungu aina makosa usiogope
ameen
Mungu amrehemuu
😢😭😭 Allah amrehemu na amuweke pema peponi
subhanallah wanawake tunamitihani hadi naogopa
sisi sote ni waja wa ALLAH na kwake sote tutarejea
smv jipu litumbuliwe hilo Mimi kilinikut kisanga sitasahau hata kidogo wanamtegemea Dr mashavu na mashavu anafanya hospitality mbili wanashindwa fanya operation mpaka tatizo litokee ndo anakuja
maa shaa Allah
kila nafsi itaonja mauti....kwake mola tutarejea.
huyo alimwaga damu saana coz kama mfuko wa kizazi ulipasuka yaamanisha alibleed saana mpaka akakufa.lakin siku zake zimefika hio ni sababu.
Sorry
tusimsingizie mungu, hayo maelezo yanaonyesha wazi kwamba kifo kimesababishwa na uzembe wa madaktari, na inavyoonyesha huyo anayeitwa dactari bingwa huenda ni just clinical officer tu, tuwe makini na uhai wetu jamani, kuna vifo vingine ni vya uzembe tu like this one. poor woman, inasikitisha mno.
kuwa mvimilivu kaka huo ni muda umefika tuseme inanna ilillah wainna ilaihi rajiun
Yusuf una Hekima sn
pole. sana. mzee.
mwisho wake umekua mwema iyo Dalili ya peponi
mzee Yusuf dini hairuhusu we kukaa na mwanamke hivo ikiwezekana kwass epuka hizp interview kabisa
Hawa Madiwa umeona eeh nilichota taka kumjibu umejibu tayari ila jamani kuna wa2 wanapenda kujifanya wanajua dini kushinda wenziyao subhanaAllah
ƙifo cha chiƙu ni uzemɓe wa hiƴo hosptal tu
ila kaka yetu mzee achana na haya mambo ya media tena