NAWAOMBA SANA VIONGOZI WADINI KULIKEMEYA MASHEKHE KWENDA KATIKA NYUMBA ZISIZO KUWA ZA IBADA ZETU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 เม.ย. 2022
  • #AdilTV
    • NAWAOMBA SANA VIONGOZI...

ความคิดเห็น • 70

  • @omaryseshambi6468
    @omaryseshambi6468 2 ปีที่แล้ว +4

    Shekh ALLAH akulinde na Sisi nimashahidi kwamba umefikisha.

  • @SUBU-SCRIBE
    @SUBU-SCRIBE 2 ปีที่แล้ว +4

    Kabisa. Mashallah Allah akupe umri mref sheikh wetu utuelimishe vizuri zaidi

  • @mohamedmussa5200
    @mohamedmussa5200 2 ปีที่แล้ว +4

    Umesema kweli sheikh. Allah akulipe kheri duniani, akhera na akuepushe na moto wa jahannam

  • @khamisbakari
    @khamisbakari ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe kheri sheikhe wetu.

  • @tengezashemisea1787
    @tengezashemisea1787 2 ปีที่แล้ว +5

    Kweli nivizur kushirikiana kwa maslahi yataifa lakin, jambo linalohusu dini tafadhali waachiwe wenyedini.

  • @maarufumustwapha9299
    @maarufumustwapha9299 ปีที่แล้ว +1

    Dah wallahi shekhe umefikisha ujumbe mkhsusi

  • @user-fo5ii9tl3g
    @user-fo5ii9tl3g 10 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadh shekhe letu. Yaan hii kitu ilikua inaniuma sanaaa sanaa

  • @yusuphkatimba1397
    @yusuphkatimba1397 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hakika umegusa penyewe

  • @saidimohammed4312
    @saidimohammed4312 2 ปีที่แล้ว +3

    Kuna Mashekhe na Mashekhe njaa, Mashekhe nja kwa ulimwengu wetu wa sasa wapo % kubwa mnoo na kamwe hawawezi zuia njaa zao sababu wameshindwa kuzisemea nafsi zao kutokana na njaa zao.

  • @mambonawatu5362
    @mambonawatu5362 2 ปีที่แล้ว +2

    Namimi nakuunga mkono Kwa ajili ya Allah. Maana hata suratul Kafirun

  • @williamgideme2689
    @williamgideme2689 2 ปีที่แล้ว

    Ninachoshukuru Mungu hano hao waislamu na wakristo wa wakati huu kwa maana wote wamepoteza ladha kwa Mola.

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 2 ปีที่แล้ว +1

    Sindio kazi yao halafu kwenye kuandamisha mwezi wao ndio kimbele mbele

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh ume ongea ukweli wa ambie awo wakina mzinge na kundi lake

  • @a.katunzi5815
    @a.katunzi5815 2 ปีที่แล้ว

    Sawa. Ahsante Shekhe.

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

    shukran shekhe

  • @greysonmheni5176
    @greysonmheni5176 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaan wazungu walitugawa vibaya,muislamu anajiona ni bora kuliko mkristo na mkristo anajiona mzuri kuliko muislamu,hapo hakuna umoja na mzungu akitaka kuiba anaiba kirahisi tu.Sisi tunafarakana kwa dini mzungu anachukua mali zetu

    • @rashidiramadhani7885
      @rashidiramadhani7885 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna mzungu kutugawa,ni mafunzo sahih ya dini ya kiisalm, hakuna kushirikiana ktk ibada

  • @hamzamnangona8927
    @hamzamnangona8927 2 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe

  • @alkhalilmussa5633
    @alkhalilmussa5633 2 ปีที่แล้ว +1

    innalillah

  • @aminaally7622
    @aminaally7622 2 ปีที่แล้ว

    Kweli wallah labda wana njaaa kali mashekhe wengne wapo kimaslahi

  • @madrasatulmujtabahschool3676
    @madrasatulmujtabahschool3676 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh wa mkoa wa dare salaam ujumbe una kuhusu huo

  • @greysonmheni5176
    @greysonmheni5176 2 ปีที่แล้ว +1

    Wazungu waliweza sana kutugawa waafrika

    • @Chemba67
      @Chemba67 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli .......

  • @yes2676
    @yes2676 2 ปีที่แล้ว

    Acha hayo Mzee, tafuta lingine

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe nime kuelewa
    Kunasiku nawo watasema waje msikitini KUFANYA mahubiri kwani nyinyi Simna kwenda kwao! hapo sijui mta wazuiya?

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 2 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi kabisa dah mtihani mzito

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 2 ปีที่แล้ว

      Mbona wewe mwenyewe umevaa kan u made in makafiri unavyotuita huo ni u nyanya paa ukitaka hivyo nenda Saudiarabien ukawe kafiri wa kiislamu katika nchi ya Dini ilikotoka ukiheshimiwa na kuitwa nyani hapo ndo utata bua kuheshimu binadamu mwenzio bila haijalishi anatoka Dini gani ni bora imani zote za kumuheshimu mwenyezi mungu kwa kutumia mitume wote tuu wewe sio mcha mungu ni mcha waarabu na ubaguzi na bado ni mwafrika mweusi

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 ปีที่แล้ว +2

    Upendo unatakiwa uwepo.nadhani awaendi kuswali Kule kwaiyo sidhani kama dhambi

  • @alkhalilmussa5633
    @alkhalilmussa5633 2 ปีที่แล้ว +1

    sawasawa

    • @chelucheluzo8790
      @chelucheluzo8790 2 ปีที่แล้ว

      Hao ni wanaafiik

    • @asriyaaljabry27
      @asriyaaljabry27 2 ปีที่แล้ว

      Tunaomba masheikh kabla hujatamka neno mrudi ktk hadith za mtume muhakiki aliwakaribisha walokua si waislaam ktk masjid itafuteni hii hadith na mfanye maamuzi sahiih

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว +1

    Hizi imani za kigeni ni shida... elimu dunia ni muhimu katika maisha

  • @salmaseif6284
    @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh njaa mbaya wanauza dini kwa kutaka sifa wapate cheo cha mkuu wa mk.... ?

  • @jaarif08juma81
    @jaarif08juma81 2 ปีที่แล้ว

    Semakwelikwajili yamola wako famanshar falyumin wamansha falyakfur lakinizalim mwoshoe nimoto

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 2 ปีที่แล้ว

    Shehe hao wanaofanya hivyo si wenzetu,,wnachunga mchuzi wao mwekundu hao

  • @aliy3303
    @aliy3303 2 ปีที่แล้ว

    Alikua nani plz alokaa kwenye salaa ya maiti nambieni plz

    • @hussenali7117
      @hussenali7117 2 ปีที่แล้ว

      Alikuwa Henrison Mwakiembe katika sala ya jeneza ya Marini Hassan

  • @abdallasaid9348
    @abdallasaid9348 2 ปีที่แล้ว

    Wewe Shekh Shaharan Allah akujalie uwe Salafy...Amiin.

    • @ibrahimbinwaibura9742
      @ibrahimbinwaibura9742 2 ปีที่แล้ว +3

      Inna lillah wa Inna ilayh rajiun kwani salafi ndio dini au uislamu

    • @ibrahimbinwaibura9742
      @ibrahimbinwaibura9742 2 ปีที่แล้ว

      Au mtume alikua salafi

    • @vyamunguabdulkarim4313
      @vyamunguabdulkarim4313 2 ปีที่แล้ว

      Salafy ndio nini?

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 2 ปีที่แล้ว

      Eti salafu? Nyie ndio makundi ya upotoshaji mliotabiliwa

    • @abdallasaid9348
      @abdallasaid9348 2 ปีที่แล้ว

      @@selemankishema5780 الحمد لله رب العلمين....
      Swaa Allah akulipe kila la kheri na akusamehe na mimi nishakusamehe hayo matusi yako.

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 2 ปีที่แล้ว

    Hivi kwa nini mnaniandama!!? au mnataka niwaachie huu usheikh wa mkoa wa dar.

  • @chelucheluzo8790
    @chelucheluzo8790 2 ปีที่แล้ว

    Hao ni wanaafik

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 2 ปีที่แล้ว

    Kwani mtume alikuwa dhehebu gani? Acheni kujipa ukubwa kama hivyo, Tufuate Quran ya ALLAH na Sunna ya Mtume SAW.

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 ปีที่แล้ว

    Mbona Alska Msikiti ule uliokoJerusarem mbona kunawakati Waislamhuingia na Kunawakati Wakristo huingia,Nyie ni wabaguzi tu,Kama kusikiliza Mahubiri ya Kiislamu mbona huwa tunasikiliza tu,mara nyingi Redioni Mtandaoni,Vilevile kuna Baadhi ya waislamu wanasikiliza Ukristo,,kama linawaathiri upo sawa.

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 2 ปีที่แล้ว

      Dini ya kikristo inaruhusu ila uislamu hauruhusu
      Na Jerusalema mayahudi na wakristo wanaingia kinguvu

    • @motinihatibu2116
      @motinihatibu2116 2 ปีที่แล้ว

      She umeongey pwenti hawo siy mashehe no wanafik tu wakifa wote moton hawo

    • @greysonmheni5176
      @greysonmheni5176 2 ปีที่แล้ว

      Wazungu walitugawa kwa dini zetu ili watuibie kirahisi, wewe fuatilia taratibu utaamini ninachokwambia

    • @ernestlaiza6084
      @ernestlaiza6084 2 ปีที่แล้ว

      @@greysonmheni5176 nikweli broo kwasababu waislamu wanajiona ndo dini bora kuliko sote na kuwasarau watu na dini zao

    • @jamesponeca8912
      @jamesponeca8912 2 ปีที่แล้ว

      Dini ni za Mungu sio za watu,Sasa,mtu unakuta anajitapa Dini yake anaipigania,ni,ujinga,Viongozi wa dini huwakilisha habari za Mungu,mwenye Dini sisi nikusikiliza uamini usiamini,Mungu ndie atakae hukumu,sio mtu,na Usimchukie Mtanzania Mwenzako kisa dini,dini sio yako.

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila na wewe una yoko ya kuzuwa vitu ambovio mtume muhammad aja tufundisha kama maulidi