SWALI LILILO MCHANGANYA NDACHA NA KUMPA USHINDI DR SULE JANA NIHILI NDACHA ASUBIRI KUSILIMISHWA LEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2023
  • #AdilTV

ความคิดเห็น • 604

  • @sikudhanimagembe8190
    @sikudhanimagembe8190 หลายเดือนก่อน +5

    Waislam taq taq taqbiiiiirrrr!!!! Dr. Sule maashaallah!

  • @raiyasaluum
    @raiyasaluum 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah Allah akulinde Dr sule amkupe umri mrefu kwa kuulinda uislam . Waislam takbir.🤲🤲🤲🤲

    • @SalumMustafa-hv2gh
      @SalumMustafa-hv2gh 24 วันที่ผ่านมา

      Wislam gan anaulinda bal anatia haibu

  • @AhmedNagei-et5vm
    @AhmedNagei-et5vm หลายเดือนก่อน +2

    Dr sule JazakaAllah Kheir Mungu akuzidishie elimu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +3

    Msomaji wakiislam nampenda maashaallah anasoma vizuri❤

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dkt sule mashallah mashallah Allah akubariki sana

  • @KennedyGideon-di8oh
    @KennedyGideon-di8oh 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera Dacha ,
    Dr sule hajajibu hoja ata moja ameagaika bure hadi akachoka bila point

  • @motivumotivunbktv4409
    @motivumotivunbktv4409 4 หลายเดือนก่อน +6

    Alhamdulillah Dr sule ww ni hatari sana,Allah SW akuzidishie

    • @myself4128
      @myself4128 2 หลายเดือนก่อน

      Unashabikia mganga??

  • @FadhiliMbwambo-x1r
    @FadhiliMbwambo-x1r 18 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Dr.sule m/mungu akuzidishie ghelimu na ufahamu zaidi

  • @ZigashaneByamungu
    @ZigashaneByamungu หลายเดือนก่อน +2

    Yesu si mungu bali ni mtume ❤❤❤❤❤❤❤

  • @motivumotivunbktv4409
    @motivumotivunbktv4409 4 หลายเดือนก่อน +4

    Dr sule umepigaje apo😂😂 msomaji ubarikiwe uko vizuri sana

  • @user-vb4ek9jd7x
    @user-vb4ek9jd7x 4 หลายเดือนก่อน +10

    Ndacha unajielewa sana ubarikiwe ❤❤❤❤

  • @raiyasaluum
    @raiyasaluum 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha kweli ww ni innalilahi wanna ilaih rajiu unapotosha wenzio kwa Kur Ani yauongo.

  • @mwinyiamsobabel6061
    @mwinyiamsobabel6061 6 หลายเดือนก่อน +10

    😂😂😂😂😂 dr. Sule umepigaje hapo

  • @muhamedtwaha8225
    @muhamedtwaha8225 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jazzakallahu khair Dr Sule 🙏

  • @shabanabudalah
    @shabanabudalah 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dini ya mungu Iko wazi ktk vtabu vya mungu ,soma,3,19

  • @AbdirizakSiyat
    @AbdirizakSiyat 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah by dr sule that is totally knockout

  • @AbinexHaje-rn5mv
    @AbinexHaje-rn5mv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nilichokisoma na Nilichokiona ni tofauti... Mungu akurehemu sanaa

  • @allymugisha6431
    @allymugisha6431 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ma sheikh wetu nyie.ALLAH.awaweke myaka miya pasina maradhi ao uze

  • @user-mx2ln4vn3g
    @user-mx2ln4vn3g 4 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah shekhe wetu❤

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah Allah awabariki masheikh wetu

    • @mahamudsalim-uq4xc
      @mahamudsalim-uq4xc 4 หลายเดือนก่อน

      MashaALLAH hawa wakristo hawana muelekeo juu mapaster wao wanawadanganya juu ukiulizwa maana ukristo nini?..

    • @mahamudsalim-uq4xc
      @mahamudsalim-uq4xc 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu inshaALLAH wajalie maustadh wetu awape nguvu maana hakuna cku mkristo ataweza mshinda muisilamu kwa mjadala hapo hakuna hata kidogo nadhani kila mtu anashuhudia

  • @user-xu7de2hb2c
    @user-xu7de2hb2c 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akusamehe ww tubuu mapema maana umisha dini hiyo hako sahihi

  • @issackmohamed642
    @issackmohamed642 17 วันที่ผ่านมา

    Mash Allah sh sulee mabruk alek

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 7 หลายเดือนก่อน +10

    Mashallah ushindi wetu waislamu innadina idallah al,islam

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 4 หลายเดือนก่อน

      INNA DIIN GHINDA ALLAH AL ISLAAM

  • @KhamisiJuma-xd7il
    @KhamisiJuma-xd7il หลายเดือนก่อน +1

    Uislamu ni raha sana ukweli wote umeelezew ndacha kama hautaki kusilimu jiandae na Moto wa jianam

  • @SamuelmuneneMuthoni
    @SamuelmuneneMuthoni วันที่ผ่านมา +1

    Waislamu wana maneno lakini si neno la mungu

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz 6 หลายเดือนก่อน +6

    Dr sule takbiriiiiii

  • @godsknowledgeonlinetv3899
    @godsknowledgeonlinetv3899 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 haki najifunza vitu ving kupitia hii midaharo asee 😂😂

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 4 หลายเดือนก่อน +4

    Yesu sio mungu

    • @RehemaKingu
      @RehemaKingu 2 หลายเดือนก่อน

      yesu mwana wa mungu

    • @vinny.morales
      @vinny.morales หลายเดือนก่อน

      Endeleeni kuabudu jiwe jeusi la Makka

  • @ramadhanimwambeni1259
    @ramadhanimwambeni1259 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huwa mnanifurahisha 😂😂😂 mungu azidi kuwajalia uzima na afya wote waislamu na wakristo coz tunaelimishana kimpango

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 3 หลายเดือนก่อน +15

    Ndacha ni mpuuzi tu mim mwenyewe kutokana na huo mdaharo nimeamua kusilimu (MaashaaAlla)

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah
      Allha akuongoze kwenye haki,
      Ww una akili, n km umesilimu basi Allah kakuchagua
      Kuwa muisilamu n neema kubwa kukliko chochote.
      Usirudi nyuma mdugi yangu silimu na ukasome uisilamu usikae tu.

    • @SANDUKUTV
      @SANDUKUTV 3 หลายเดือนก่อน

      Allah Akbar

    • @peterluppy8843
      @peterluppy8843 3 หลายเดือนก่อน

      Mashallah ❤❤❤

    • @HappyMunisi-ig6he
      @HappyMunisi-ig6he 2 หลายเดือนก่อน

      Huna akili

    • @directorhaji2023
      @directorhaji2023 2 หลายเดือนก่อน

      Mashallah

  • @user-zv4sx9iv8z
    @user-zv4sx9iv8z 6 หลายเดือนก่อน +8

    Tume mushukuru Allah kupitiya Dr SULE

    • @molee2339
      @molee2339 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe, Mnafik, Allah HANA Broker, kama Sule, wala MTU yeyote!

    • @SANDUKUTV
      @SANDUKUTV 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@molee2339hii inaweza kuwa shirki

  • @MamboleoKalibikoJohn-Pet-uz3kt
    @MamboleoKalibikoJohn-Pet-uz3kt 13 วันที่ผ่านมา

    Past. Ndacha ubarikiwe

  • @MaryamJumwa-mp2ds
    @MaryamJumwa-mp2ds 4 หลายเดือนก่อน +7

    Astaghafrullah mungu akusamehe ndacha...... Alhamdhulillah kwa mafunzo ya Dr. Sule Allah akuzidishie Insha'Allah 🙏

    • @johannesmusa1393
      @johannesmusa1393 4 หลายเดือนก่อน

      Sijui jina lake, Lakini kiukweli Mkristo kashinda debating fosho!! Mungu ni Mkristo

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 4 หลายเดือนก่อน +1

      Maryam ALLAH Hasemehe makafiri kamwe

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@h.alshidhani8971
      Mpaka asilimu

  • @claimministries4505
    @claimministries4505 6 หลายเดือนก่อน +4

    Knowledge and power of God be with you Ndacha.Jesus is Lord.continual revealing Jesus to Them.

    • @user-sb2tz7sk6t
      @user-sb2tz7sk6t 6 หลายเดือนก่อน +1

      wew acha upumbavu,kwahy had leo unaamin yesu ni mungu?mungu gan wa kumxhika nyie mukamuua mxalabak😂😂😂,hovyo mumetawaliwa na wazungu

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 5 หลายเดือนก่อน

      Hyu ni wazim kabisa yesu anakuaje mungu!?? Yaan ata kwa akili za kawaida tu hawezi kua binaadam mwenye amekua akienda haja anakula anakunywa jaman anapigwa na kusulubiwa yaan kiufupi hyo mungu yesu akakubali kdhalilishwa na binaadam innalillah😢😢😢 hii ni kufuru kabisa yesu ni nabii wa mungu jaman acheni kuzua ni gharam😮 tena bac tuwaulize kama mnashangaa yesu kutokea bila baba bac mtuambie kati ya kuku au yai kilianza kitu gani!???

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s 5 หลายเดือนก่อน

      OH POOR ON YOU THE BLIND OR HEART AND SOUL

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-oh6pc7zd4s Tuambie kati ya kuku na yai kilianza kitu gani ndo mshangae yesu ktokea dunian bila baba aya nabii Adam nae!?? Wakristu akili zenu mnazijua wenyewe dadeki

  • @pettybrown2655
    @pettybrown2655 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ndacha👋👋👋🤝🙏🔥📖

  • @KeleLesi
    @KeleLesi วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ Masha allah

  • @babakayla4109
    @babakayla4109 6 หลายเดือนก่อน +6

    Msomaji wa Kiislamu iko vizuri sana❤

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 6 หลายเดือนก่อน +1

      MashaAllah

  • @user-ik2fz3kg9y
    @user-ik2fz3kg9y 4 หลายเดือนก่อน +4

    Allahu Akbar❤❤❤❤

  • @aminajumale6805
    @aminajumale6805 3 หลายเดือนก่อน

    Jazakallahu kheir

  • @user-fu8iw8xb3n
    @user-fu8iw8xb3n 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha wafundishe neno waache maneno

  • @SadalaMahamdu-vj7iy
    @SadalaMahamdu-vj7iy 3 หลายเดือนก่อน

    Moto umewashwa kwa ajil ya majeuri allah aepushie mbali akuongoe na miongon mwa waliokufuata ndacha😭😭😭

  • @ZigashaneByamungu
    @ZigashaneByamungu หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha ww ni kipuuzi sana 😢😢😢😢. Dt sule mungu. Akupe maisha marefu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @LuisFaustinoLuis
      @LuisFaustinoLuis หลายเดือนก่อน

      Unalana pa kumtukana mwalimu ndacha

  • @ManenoDouglas
    @ManenoDouglas 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu dacha Ako juu sana ,pia Ako na hoja zenye mzingi

  • @samueldoweramadhani6826
    @samueldoweramadhani6826 4 หลายเดือนก่อน

    Merci pasta wa chane

  • @FrankAloyce-ic6rq
    @FrankAloyce-ic6rq 2 หลายเดือนก่อน

    Safi ndacha kiboko yao waislamu hamuuwezi mziki wa yesu yesu Yuko kazini msipookoka basi Tena mnaenda kuhuukimiwa

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mafundisho Mazuri mubarikiwe

    • @Dama-sd4qk
      @Dama-sd4qk 6 หลายเดือนก่อน

      Hi

  • @user-hg5vb5ct5g
    @user-hg5vb5ct5g 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mkusanyiko wa vtabu?hamjiuliz tuu Allah Waongoze

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha mbona mm sijakuelewa naona hapo ww wamkoseya mungu sana kwanza staghafiru sana piya msikilize dokt sule anavo kupa elimu vizur ila la muhimu rud kwa mola wako na umuombe maghafra akusamehe

  • @user-mv2zs6cx1e
    @user-mv2zs6cx1e 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahi kuwa muislamu ALHAMDULILLAH huyu ndacha hata mm namshinda🤣🤣🤣 hata hajui anaongea nn maskini karibu kwenye dini ya haki tunafurahi sana kuwa waislam tunafurahi sana wenzio washasilimu tunakusubiri ww tu unawaponza wenzio ndacha 🤣🤣🤣 UISLAM ndo dini ya haki wallah tunafurahi kuwa waislam DR.Sule ALLAHUMMA BAARIK INSHALLAH

  • @basilejuma
    @basilejuma 3 หลายเดือนก่อน

    Ndachaaaa mwalimu anae garagaza waislam

  • @user-pl8pn7qb9e
    @user-pl8pn7qb9e 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mkristo wa kwanza ni Ibilisi pinga na hilo

    • @Nim68182
      @Nim68182 4 หลายเดือนก่อน

      Towa Aya kweny Biblia kama ulisoma kwel 😂😂😂 usidanganywe na sulee jisomee mwenyewe we nip andiko kweny Biblia
      Ila usisahau kuwa majini nawo walisilimu mpk sas niwaislam

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Nim68182
      Sasa unataka waisilamu tuamini bibilia 😂
      Qur'an ishatuambia kila asiefiata maamrishi y Allah anamfuata shetani,
      Sasa hapo kila dini nyengine ni shetani.
      Kuhusu majini kuwa nibwaisilamu ni kweli ni viumbe wameumbwa kumuabudu Allah.
      Na hao majini wapo mashetani ambao ndio wamemuasi Allah ambao sio waisilamu km iblis n wafuasi wake.
      N viumbe km sisi wapo waisilamu wapo n wasiokuwa waisilamu.
      Na wala hawataki dini nyengine kwa sababu wanajua dini zote sio z haki isipokuwa uisilamu.
      Sasa wawe wakiristo kwa nini na wkt wanajua sio dini y kweli

    • @HappyMunisi-ig6he
      @HappyMunisi-ig6he 2 หลายเดือนก่อน

      Hahaaaa,,pole na Quran Yako ya kichawi

    • @user-pl8pn7qb9e
      @user-pl8pn7qb9e 2 หลายเดือนก่อน

      @@HappyMunisi-ig6he mkristo wa ni ibilisi ndacha mwenyewe amekubali andiko Hilo we nani ,makao makuu ya shetani kanisani we unasoma biblia Gani

  • @LEAHHAMISI-gg7ov
    @LEAHHAMISI-gg7ov 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe saana mchungaji ,unachanganua vzr saana sielewi hata wanaposhindwa kuelewa ni wapi?

    • @mahamudsalim-uq4xc
      @mahamudsalim-uq4xc 4 หลายเดือนก่อน

      Ushawai sikia musilamu amemuelewa mcristo akiongia

  • @nelsonrunya4686
    @nelsonrunya4686 3 หลายเดือนก่อน

    Pongezi ndacha we love your❤

  • @user-hg5vb5ct5g
    @user-hg5vb5ct5g 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole msifuate mikusanyiko y a vitabu funguken Allah awaongoze

    • @Nim68182
      @Nim68182 4 หลายเดือนก่อน

      Niulize ,kwani taurati alopew nabii Moses katika Quran imo au

  • @user-sw4wi9iw5x
    @user-sw4wi9iw5x 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atu vushe

  • @peteremanuel8022
    @peteremanuel8022 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha fundisha hawa waokoke na moto wa jehanamu hawaijui hawa maana njia ya kwenda kwa mungu ni moja tu. NI YESU KRISTO NDIYO NJIA KWELI NA UZIMA

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe una matatizo ki Akili. Huyu ndacha wako Kisha laanika utamwona baadae atakavyokuwa

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 2 หลายเดือนก่อน

      Yesu katahiriwa

  • @user-kd5eu3bn4g
    @user-kd5eu3bn4g 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wislam wezangu ndacha mwache awe mbishi lakin ubishi wake ndo chanzo cha kusilimu Allah amfanyie mwepesi dokta sule ishaallah

    • @mahamudsalim-uq4xc
      @mahamudsalim-uq4xc 4 หลายเดือนก่อน

      InshaALLAH mungu ampe nia ndacha na atasilimu juu wengi wao hao wakristo walikua wabishani mwisho wakasilimu wote kwa hvo imebaki ndacha

    • @onesmusmathitu8313
      @onesmusmathitu8313 3 หลายเดือนก่อน

      Tunakupa hizi haya Saba! Kwani mungu ni wangapi hao wanapea mtume Mohammed hizo haya?

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@onesmusmathitu8313
      Hiyo ni lugha tu inatumika, kwenue lugha y kiarabu inatumika hivyo kwa wingi km ni kujitukuza

    • @Nim68182
      @Nim68182 2 หลายเดือนก่อน

      @@zulekhaa6817 Quran inasema anaye mfanyia uadui malaika wake hasahas wawili jibrili na mikaeli ni adui wa Mungu,
      Pia ikasem kuwa alie teremsha Quran moyon mwa muhamad ni adui wa jibrili
      🤔🤔🤔🤔🤔 Hoooo hio imekaaj

  • @user-rg1fz7wr7p
    @user-rg1fz7wr7p 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika dini mbele ya Allah ni dini ya kiislam.... Ukiristo ingekua dini wangeingia kanisani wakaanza kutumbuiza na mavazi ya Uchi, et wapo ibadani na muziki unaendelea Allah awasamehe na awaoneshe njia iliyonyooka... Amini inshallah

    • @aldinazani528
      @aldinazani528 4 หลายเดือนก่อน

      Unaabudu mungu unampigia instrument na makelele zote

    • @aldinazani528
      @aldinazani528 4 หลายเดือนก่อน

      Ndacha amekuja kutafuta pesa kwnye ukristo lkn ukwl anaujua ulipo

    • @aldinazani528
      @aldinazani528 4 หลายเดือนก่อน

      Unashk bibilia na umetoka chooni kujipangusa na tissue,,dini gani hyo inaruhusu jina kitabu cha.mungu ukishike ukiwa mchafu

    • @user-pl8pn7qb9e
      @user-pl8pn7qb9e 4 หลายเดือนก่อน

      @@aldinazani528 na janaba toopu ,maana nywele Toka alisuka Zina miezi 3 kichwa hakijatiwa maji janaba linaulizana tu we umingia lini we upo Toka lini ,aisee najivunia sanaaa kuwa muislamu

  • @IssaMishi
    @IssaMishi 13 วันที่ผ่านมา

    Thak bir

  • @MathewMaliva
    @MathewMaliva 2 หลายเดือนก่อน

    Waislamu takbir...tubatizwe wazeee ndacha zamisha kwa maji wote hao

  • @user-fm8bq4pt9q
    @user-fm8bq4pt9q 19 วันที่ผ่านมา

    Waislam takbirrrri

  • @petermwelesa1749
    @petermwelesa1749 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤great

  • @user-ey9vf2xo6l
    @user-ey9vf2xo6l 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha hata ujikambe dini sahihi ni moja tu uisilim unapotea bure tu ila ww unajua vizur sana ila unapo tosha mwenzako

  • @user-ct9fb5or2n
    @user-ct9fb5or2n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha we kiboko umefanya nianze kufuatilia chanel hii una mafundisho mazuri zaidi

    • @Timonlangat
      @Timonlangat 4 หลายเดือนก่อน

      True

  • @BadruHisha
    @BadruHisha 7 วันที่ผ่านมา

    Ndacha hana hoja hajuwi kujitetea masiiiiikiiini weeeee😅

  • @aminajuma838
    @aminajuma838 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe maisha malefu mtumish wa mungu ndacha wafundish wajue njia ya kweli ya mungu muumbaji wa vitu vyote

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilisema kuwa sule hana imani na Mungu

  • @Mwendoo
    @Mwendoo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimewapenda wote kwa kunipa ufahamu lakini napenda uyu ndacha anavyochambua vitabu vyote viwili nmekuwa mkristo toka utotoni na sioni pa kwenda.

    • @RehemaKingu
      @RehemaKingu 2 หลายเดือนก่อน

      safi

  • @RobertMadolio
    @RobertMadolio 3 หลายเดือนก่อน +8

    Akuna mwalimu wa kislamu anae weza ndacha kwa uchambuzi 🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋

    • @lulkul7784
      @lulkul7784 3 หลายเดือนก่อน

      Dr sulle ndio dawa yake umejionea Wacha uwongo

    • @onesmusmathitu8313
      @onesmusmathitu8313 3 หลายเดือนก่อน

      Tumekupa hizi haya Saba! Kwani walimpea wakiwa naa nani na mungu ni mmoja?

    • @peterluppy8843
      @peterluppy8843 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Keisha habari yak

    • @HabasuFamily
      @HabasuFamily 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa kwa jina lk lilivyo unadhani utamkubali dk sule

    • @HabasuFamily
      @HabasuFamily 2 หลายเดือนก่อน

      Ndacha kapigwa ambush

  • @RehemaKingu
    @RehemaKingu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha win %100 mungu atazami kama tunavyo tazama sisi ukiwa mkristo upo sehem sahihi

  • @user-pg2pe6ye4i
    @user-pg2pe6ye4i 3 หลายเดือนก่อน

    Issipo kupendelea sisi atumuwezi ndasha, ana upeo wa kuchambuwa vizuri maandiko ya Allah tena ampe nema ya kuwa mwisilamu ili tuongezewe na walimo

    • @RehemaKingu
      @RehemaKingu 2 หลายเดือนก่อน

      yupo kwenye dini ya kweri maelezo ya menyooka

  • @Omari-w6d
    @Omari-w6d 12 วันที่ผ่านมา

    Huyu ndacha hajui wala haelewi anacho ongea zaidi ya kupiga makelele

  • @user-wl5pu4qe1z
    @user-wl5pu4qe1z 5 หลายเดือนก่อน +2

    Inshaallah nimeujua ukweli najiunga na wakristo

    • @cabylake2320
      @cabylake2320 5 หลายเดือนก่อน

      Umepotea kabisa

    • @punyetoke9343
      @punyetoke9343 4 หลายเดือนก่อน +1

      karibu kwa dini ya ukweli,,,

    • @hajiameir8688
      @hajiameir8688 4 หลายเดือนก่อน

      Toka na mwanzo tu ww ni kafiri kwa lipi kubwa alilolisema ndacha kuacha dini yako yahaki na kuufuata ukiristo we huna akili kama ndacha

    • @zahorsuleyman3429
      @zahorsuleyman3429 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu kafiri zaman

    • @user-wl8cq2rn8z
      @user-wl8cq2rn8z 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kafiri tangia mwanzo,

  • @EuniceNgigi-ot6pg
    @EuniceNgigi-ot6pg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kuna mahali manabii na mitume na mungu wanajua kitabu kinaitwa koran religion will not take us to heaven mtu ajiangalie na akae kikamilifu kwa mwenyezi mungu

  • @pettybrown2655
    @pettybrown2655 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeen ndacha Yes the lord Jesus Christ of Nazareth is the winner

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 5 หลายเดือนก่อน

      Ny'oo atawakata siku ya mwisho hyo yesu manake mmemzushia uongo😢 sio mungu bhana acheni

  • @user-rs7rg1kd7s
    @user-rs7rg1kd7s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu ndacha anajivuriga Sana Yan tatizo lake ajui kutofasir Aya za Quran anaipita hovyo hovyo shida anataka ubishi sio kuelewa na atajua anaotosha watu wengi

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 หลายเดือนก่อน

    Ukihamia ukiristo kumbe tunamuabudu Yesu sio MUNGU,hasara tupu.

  • @faqueabudo161
    @faqueabudo161 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha Ana utafauti na abujahar

  • @experiusmrefu1003
    @experiusmrefu1003 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha ni kiboko.🎉

  • @juliusmsangi6849
    @juliusmsangi6849 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mwandishi acha ushabiki! Aliyechanganyikiwa ni Sule sio Ndacha! Hoja za Ndacha haziwezi kujibiwa na muislamu yeyote hapa duniani!

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha utamueza wapi dokt sulee

  • @alphapetro4901
    @alphapetro4901 27 วันที่ผ่านมา

    Ndacha wewe umetumwa na mungu kuwaelimisha dini saf dini aliyoileta mungu duniani

  • @MohammedMo-ew7el
    @MohammedMo-ew7el 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah muoneshe nuru ya uislamu kabla aujampata umaiti

  • @AtanasioBento-sy8xn
    @AtanasioBento-sy8xn 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wape vidonge..yesu ni mashindi milele watake au wasitake

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 3 หลายเดือนก่อน

      Toka huko ktk ukristo mim mwezako nishatoka huko kitambo tu kwasababu dini yenyewe inaruhusu ushoga Sasa hiyo ni dini yamungu kweli? Tafakali ww huu ndy muda Sasa wa kusilimu kama mim mwezako nilivyoamua kusilimu

  • @prudentbulambo
    @prudentbulambo 2 หลายเดือนก่อน

    Wa islamu ni wapinga kristo wapinga kristo ni watumwa wa shetani 😢

  • @RehemaKingu
    @RehemaKingu 2 หลายเดือนก่อน

    DR SULE MASWALI YAKO YANA PASWA KULIZWA NA MTOT WA MIAKA 10 UKO NAUWELEWA MDOGO

  • @ibrahimmohamed-vv1if
    @ibrahimmohamed-vv1if 6 หลายเดือนก่อน +1

    Woi!! Kumbe kila kanisa ina bibilia yake😂😂😂😂

    • @muniraally4091
      @muniraally4091 5 หลายเดือนก่อน

      Wanajitoa fahamu tuu

  • @user-ws4rd3ub3d
    @user-ws4rd3ub3d 3 หลายเดือนก่อน

    Uislamu ndio dini ya ukweli inawezekanaje huyo yesu ni mungu kisha ni binaadamu kama ww na kama ni mungu hao wazamani waliumbwa na nani kabla yake kizaliwa

  • @user-gm3lt7ei1x
    @user-gm3lt7ei1x 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo ndacha angoje kuchomwa moto 2 jmn innalillah wainna ilaigh rajjiun

    • @peteremanuel8022
      @peteremanuel8022 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ndacha hachomwi moto bali wewe utachomwa moto pamoja na mtume wenu. Maana anasema hajui atakachofanywa nae anangojea adhabu kama wewe una

    • @Nim68182
      @Nim68182 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@peteremanuel8022ndomaan wanasem eti tumswalie mtume kmb hajui atakach fanywa😂😂

    • @MohammedMo-ew7el
      @MohammedMo-ew7el 6 หลายเดือนก่อน

      Na wewe Mungu akusamehe mana ujui unachoongea

    • @MohammedMo-ew7el
      @MohammedMo-ew7el 6 หลายเดือนก่อน

      Unapoteza wakristo wenzako na ilhali ukweli unajua uko wapi Allah akuongoze

  • @user-sb2tz7sk6t
    @user-sb2tz7sk6t 6 หลายเดือนก่อน +1

    Na hamjiulizi manabii na mitume ote wamezaliwa bara la Asia iweje wazungu wa ulaya waijuwe din ya haki na halali?Munaaminije ukristo ulioletwa na wazungu toka ulaya?mumefeli kwa kweli

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 2 หลายเดือนก่อน

    Maraika toka lini akaandika. Malaika kazi yake nikuleta ujumbe kwa mtu alie teuliwa na mungu. Ndyo hao huandika. Vitabu. Sasa huyo maraika wakuandika. Qraani cvituko hivyo. Halafu shetani naye. Mmoja wenu😮 kituko

  • @josephkaveya4284
    @josephkaveya4284 18 วันที่ผ่านมา

    Kuanzia leo nabatizwa natoka uisilamu kumbe uisilamu sio dini

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha ubarikiwe sana Mungu akutunze unaeleweka sana

    • @nelsonrunya4686
      @nelsonrunya4686 3 หลายเดือนก่อน

      Abarikiwe na mungu amueke....

  • @user-pl8pn7qb9e
    @user-pl8pn7qb9e 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani we ndacha kweli chenga unakataa biblia ya kiafrika alafu unaitumia hiyohiyo kujengea hoja

  • @ALIMUYAOFFICIAL
    @ALIMUYAOFFICIAL 4 หลายเดือนก่อน

    Subhaanallah we Muslims believe and trust in the Quran and every Quran is written and understood in Arabic with addition of unique translation based on the readers language but a Quran is original and has the same surahs regardless of geography but Bible is modified and every church has its own and they all different. That’s why there’s difference in Christianity. Either way, may Allah save us all including those who worship many gods and animals. At the end of the day we are all humans and didn’t ask to be here lol poleni Kiswahili kimenikimbia 😂😂 Ramadan Mubarak

  • @pettybrown2655
    @pettybrown2655 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha Wacha MUNGU haitwe MUNGU nauwache kibishana nawatu hawaelewi wanataka kukuchamganya ndacha kua makini na hao watu wanafiki sana

    • @BroNahashon
      @BroNahashon 6 หลายเดือนก่อน

      It's part of teaching more to many .

  • @user-bv2cb9qj9j
    @user-bv2cb9qj9j 3 หลายเดือนก่อน

    Mara corowani kateremushwa Mbinguni Leo mwakubali ya kuwa kiliandikwa kwa mikono ya wamalaika watakatifu je huo Mtakatifu waandishi WA Muhamadi wakautosha wapi!

  • @user-ek4fk3hb7e
    @user-ek4fk3hb7e 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna vya subuhana huo ndooo ukweliii mwamini Yesu upate uzima wa milele achana na hadisi za watu ndugu walizo tunga wakiwa kwenye mapango

  • @rashidnorman
    @rashidnorman 3 หลายเดือนก่อน

    May Allah bless you our shks to open up the minds of the people,be careful dear muslems

  • @rahmarizwan6357
    @rahmarizwan6357 8 วันที่ผ่านมา

    Aha anawazong wasojua2