Allah anaendelea kukufedhehesheni Mpaka kieleweke. Tubuni Toba ya kweli. Msitumie nguvu kuaminisha watu Generashen ya rasuli llahu pekee ndiyo masharifu. Na ukizidi kuendelea kufunika uovu wako. Allah nae atazidi dhihirisha. Usishindane na molla wako.
Wallah hii dini imeisha tena, wallah mtihan huu dini ishamaliza laiti km said na omar anafufuliwa bx atakata vichw vy wengi na ikiwemo kwnz kw hawa masharifu wa ibilisi
Dunia ina VITUKO sana yani huyu kijana yeye amejikita ni lazima awe Sharifu atibu na kudanganya watu ili apate hela badala ya kutumia muda huu kusoma baadae Mungu amjalie awe Shekh wa kweli
Sura yake ya uongo akilelewa ndio anachukua usharif mbona yule shekh wa south africa mpaka picha anazo kapinga jina la sharif kua jina lake ni lingine na anamjua sana huyu mpemba hana ushahidi wala picha ndio umpe jina la usharif
Alichesema sayyid swaleh ndicho watu wote wanekuwa wanamshauri huyo kijana.. Asome zaidi.. Na kama kuna utapeli anafanya awache mara moja... Kichwa cha habari cha clip hii hakifanani na maneno ya sayyid swaleh.
mbona nyinyi masufi niwaongo wmbiwa ukiwa muongi uwe na kumbukumbu mazinge alisema huyu dogo alifanya kusilimu hawa wengine walimlea njia ya muongo kweli fupi sasa huyu na mazinge nani anamjua zaidi. akili ki chwani
Tena msimsakame muache ni UYO mtoto msimkondoshe bure tuachechieni frdausi wetu tatizo watu hawataki maendeleo yawatu usiwaze mdogo wangu piga kazi kwakujiamini
Mhmhmh uyo sharifu wa kasongo yeye ata Mimi ni mwanafunzi wa sheikh sharif Hussein badawy mbona uyo simjui na apo wakati analele ilikuwa mwaka gani mbona Muna nena urongo uyo hakuwa muislam huo wakati ana lelewa mhmhmh mbona kama sio kweli hakika Allah amfich mdhwalim, haya twendeni mwisho wasiku ata sudais atakuwa kamlea
Mimi nawashangaa sana Hawa wapinga Maulid yaani wanakereka mno watu kuadhimisha mazazi ya Mtume lakini Mtume huyo huyo wasiyetaka atajwe wanatumia quraan yake kuandaa mashindano kwenye viwanja ambavyo watu wa mpira huingia na chupa za pombe, hawasemi ni lini Mtume aliandaa mashindano ya Quran kwenye uwanja wa mpira wa kikafiri Hilo kwao sio bidaa ila bidaa ni kuadhimisha mazazi ya Mtume kweli nimeamini Hawa wapinga maulid ni makafiri
Kwahio waliolelewa na Mtume wote walikua Mitume? Mbona Dini mnataka kuifanya km kabila au ukoo wa watu flani? Huyo Qur an hajui kuisoma, anafanya shirki za wazi kabisa. Umma lazima utahadharishwe kua huyo ni TAPELI na mganga wa kienyeji. Amkeni mliolala. Tusomeni TAWHEED ndo mtaelewa nn kinaendelea.
Mtaandika Hadi mtachoka, kama walivyokufa Babu zenu na baba zenu na Maulid ipo na nyie mtakufa mtaiacha maulid ipo na itaendelea watu fitina sana nyie kazi yenu ni kugombana na waislam wenzenu makafiri wamejaa mnawashindwa mmkalia tu kukata suruali na kufuga ndevu na kufanya ugaidi Serikali itambue magaidi wanatokana na hawa wapinga maulid kazi yao ni kuzusha vurugu tu na ndio waliokua wakiandaa uasi kibiti
Wewe mzee jiangalie . Muombe sana Allah akutoe huko kwa umri wako hufananii kuongea uongo na kuunga mkono washirikina
haswaa ni muhimu sana baba yake tunahheshim sasa yeye anataka kuharibu
Masha Allah Mzee Nimekuelewa Sana Umemuhusia Elimu Ukasema Asome Alhamdulillah 🤲🏿
Allah anaendelea kukufedhehesheni
Mpaka kieleweke.
Tubuni Toba ya kweli.
Msitumie nguvu kuaminisha watu
Generashen ya rasuli llahu pekee ndiyo masharifu.
Na ukizidi kuendelea kufunika uovu wako.
Allah nae atazidi dhihirisha. Usishindane na molla wako.
Wallah hii dini imeisha tena, wallah mtihan huu dini ishamaliza laiti km said na omar anafufuliwa bx atakata vichw vy wengi na ikiwemo kwnz kw hawa masharifu wa ibilisi
Sana mtihani hawawatunwa maulidi
@@HanifaOman-oo4pl chakwako ndiyo kitakua Cha kwanza
Wa kwanza wew lazima akuchinje
@@mkomboziabdallahachanen njaa nyinyi..kwaiy mtu akilelewa na mtu ndo sharifu
@@fatnasaidi3027achen njaa na uchaw wenu
Dunia ina VITUKO sana yani huyu kijana yeye amejikita ni lazima awe Sharifu atibu na kudanganya watu ili apate hela badala ya kutumia muda huu kusoma baadae Mungu amjalie awe Shekh wa kweli
Ati mzee.wake alimuona shekh sharif alipokuwa mdogo akasema atakuwa mtoto mzuri looo subhanaallah
Acha tabia za kikafiri
😂😂😊
Sasa tujue alilelewa na mazinge au na badawiy?
Mbn mnatuchanganya
Yaani kila kitu kinapatikana Tanzania masharifu wapo Tanzania kwa WAISLAM ukija kwa wachristo mitume inapatikana kwao TANZANIA nyie acheni unafiki
Na wote waganga wa kienyeji msiba mkubwa huu
Nchi zote hivyo vinapatikana
Kila ambaye anaeotumia dini kwa kitega uchumi chake na kudanganya watu ajiandae vya kwenda kujibu mbele ya Allah
Shekh hasan musa juma ana ushahidi.mpka picha za firdaus kumbe jina lake kashashila
Hakuna cha Sharifa! Sharifu kwa kweli hajitangazi wala haweki kituo cha kuwaibia watu pesa zao!
MashaaAllah kumbe ni sharifu kweli sharifu firdausi haya sasa kazi kwa sheikh Mwaipopo maana masharifu wa kweli wanamtambua sheikh sharifu firdausi
Acha uwehu wewe ukiambiwa ujiambie
Kwani unavyojua sharifu ni nini ?? Na nan anatoa hiki cheo ??
Sharif badawy Maashaallah umetoa nasaha nzuri sana vajana tusome tusome tusome
Allah atupe mwisho mwema
Mzee hajakosea lichosema kwamba huyu sharifu asome asitapeli watu.
Maulidi hatuto achanayatazidi❤❤❤❤❤❤❤ Muhammad s w l w l m❤❤❤
Sharif hajui kusoma quran, mganga tu huyu na we mzee wajidhalilisha
Njaaa hizo kaka
Ndio maana kasema asome maana anamjua kua hajui kusoma ni Aibu kubwa
Sharif gani huyo Kusoma kwenyewe mtihani , sasa hizo dua na Quraan asomaje?
😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃@@nyatya199
Njaaa! Kweli
Sura yake ya uongo akilelewa ndio anachukua usharif mbona yule shekh wa south africa mpaka picha anazo kapinga jina la sharif kua jina lake ni lingine na anamjua sana huyu mpemba hana ushahidi wala picha ndio umpe jina la usharif
Huyu jamaa naye hajasoma.Kuwa mtoto wa sheikh hussein badawi lakini elimu hakuna.
Hebu Acha kupoteza watu huyo sharifu amesoma waslamu tunapenda sana Kiki kama onaona hajasoma ni wewe na chuki zako
@@Latifa-s3n kwa wajinga kama wewe ndo unahis kasoma sasa kasoma nini kma hata qur an kusoma hajui!!??
Huyu jamaa kasoma ila huyo sharifu hajasoma
Ndugu zangu muhogopen Allah uyoo dogo aliakua mkirsto ww wasema toka msogo mkonnae
Hapo hakuna kitu wote mmepotea nyinyi
Badala ya kumsomesha dını mnampotezea mdaa
mjipatia riziki kupitia DOGO
😅😅😅😅😅😅
Mashallah
Basi hata babaako alikua hajui kusoma Quran😂😂
Uyo mze nja ndio inamuangaisha usubiri kiyama atakwenda kumueleza ALLAH sikuyakiama
Kama kamlea ndio anakua sharif anajinasabisha hao wote waongo tu
Njulugu zinatambaa kwa wanao msapoti. Mazinge anakula dogo pia😂😂😂.
Namuhimiza Asome, Kumbe Shariff Hana Elim ya Dini
😊😊
Sasa kumbee ata kusomaa ajuiii anakuajee sharifuu ivi munajielewaa kweli
Alolelewa na shekh shariff badawi, ni sharif matongo wa tabora, sio huyu, kachanganya huyu, miaka mingi
Alichesema sayyid swaleh ndicho watu wote wanekuwa wanamshauri huyo kijana.. Asome zaidi.. Na kama kuna utapeli anafanya awache mara moja... Kichwa cha habari cha clip hii hakifanani na maneno ya sayyid swaleh.
Kwahiyo. Kubebwa na babako. Ndio ameshakuwa sharifu.
Mashekh wachongo
Yaan sheikhe mjanj Sana kampamba af mwishoni akasem huyu ni bweg t Hana elmu akasome
Hahahahahhah
😂😂😂😂😂
mbona nyinyi masufi niwaongo wmbiwa ukiwa muongi uwe na kumbukumbu mazinge alisema huyu dogo alifanya kusilimu hawa wengine walimlea njia ya muongo kweli fupi sasa huyu na mazinge nani anamjua zaidi. akili ki chwani
Tena msimsakame muache ni UYO mtoto msimkondoshe bure tuachechieni frdausi wetu tatizo watu hawataki maendeleo yawatu usiwaze mdogo wangu piga kazi kwakujiamini
ukiigusa dini huwez achwa km haupo mstar wa sawa ni lazima uambiwe tu utaake usitake
Wote wapigaji hawa hawana lolote waganga uchwala kazi kuwatapeli waislamu wasiokuwa na elimu.
Haya waliokua wanampinga Sheikh Sharifu Mawahabi jinyongeni sasa
Tapeli tuu kama matapeli wengine
Huyo anaonekana tu ni mgnga sura tu inanesha ni mganga hakuna aya hapo haka kazee kanazeeka vibaya
Nenda naye kwako huko
Mhmhmh uyo sharifu wa kasongo yeye ata Mimi ni mwanafunzi wa sheikh sharif Hussein badawy mbona uyo simjui na apo wakati analele ilikuwa mwaka gani mbona Muna nena urongo uyo hakuwa muislam huo wakati ana lelewa mhmhmh mbona kama sio kweli hakika Allah amfich mdhwalim, haya twendeni mwisho wasiku ata sudais atakuwa kamlea
Kiufup kaambiwa asome maana ni mjinga haijui dini yake , laiti angekuwa amesoma basi asingewatapeli watu .
Acheni utapeli katika dini
Hata huyo badawii hana sharafa yoyote ktk dini uongo tuu
Huyu firdaus sura yake imekakaa kiwiziwiz tu jambaz mkubwa huyu
Huyo Tapeli alafu Matapeli wakongweee ndo wanamsapoti pumbavu. Na ALLAH anawadhalilisha tuu
Kitapeli kitoto .hakikuahuyu atakua ashikiki
Nimechekaaaaa kimoyo moyooooo😂😂😂
Apo alipomuhimiza kusoma kweli anatakiwa asome
kwani nyiyi mnao piga maulid kwasababuhamjui muanzilishi jee mmemuona mtume Muhammad S A W Akishindanisha kuran?????
Sisi waislam wengi wetu Wana uelewa mdogo sana kaka soma vizur mtume alimwambia swahaba wake nsomee Qur'an na akaisikiliza
@@yusufulukamata7152 sasa hapo ndo kuishindanisha Quraan
Akasome mwanzo
Kwa nguvu unazotumia inatosha kabisa kutoaminika na jamii,
Inshu sio sharifu wakweli au sio wa kweli tatizo tiba zake zakishirikina hakuna mtu mwema akawa mshirikina hakuna mtu mwema akawa mtu wa bidaa
Sharifu wa CCM😂😂😂
Sion nuru ktk uso wa firdaws
Mzee wako alimchukua akiwa bado ni mkristo kama anavyosema Mazinge au alimchukua akiwa ni muislaam ili awe mzee mazinge kadanganya?!
Ww muongo huyu hana chochote
Wanafki wakubwa nyuso sazakinafki
Nikweli alikua sharifu lakn kwa sasa amegeuka kua shetani kwan hata iblisi alikua mwema kablaa ya kulaaaniwa
Kwani badawi ana ijaza ya kisharifu kuwapa waganga
Wewe pia ni mnafiq. Huyu labda alikuwa mfanyaji kazi wa nyumbani kwenu.
Kwani hii maulid ni ya nani na imetoka wapi acheni kupotosha uma jamani
Jibuni kwanza kuhusu taksimu tauheed
Taksimu tauheed ni ya nan ? Mashindani ya Kur an ni ya nani
Wew acha mambo ya kikafiri eti maulid ya nani acha ujinga utakuja kuangamia , masalafi makafiri tu
Mimi nawashangaa sana Hawa wapinga Maulid yaani wanakereka mno watu kuadhimisha mazazi ya Mtume lakini Mtume huyo huyo wasiyetaka atajwe wanatumia quraan yake kuandaa mashindano kwenye viwanja ambavyo watu wa mpira huingia na chupa za pombe, hawasemi ni lini Mtume aliandaa mashindano ya Quran kwenye uwanja wa mpira wa kikafiri Hilo kwao sio bidaa ila bidaa ni kuadhimisha mazazi ya Mtume kweli nimeamini Hawa wapinga maulid ni makafiri
Acha uhuni mzee hatutaki hata alelewe na swahaba kisha akafanya mambo ya ajabu hatutaki
Mmmmmmm!
tafadhali waandishi wacheni ufitini waacheni mashekhe zetu waseme wnyewe kwa uhuru sio kuwahiji mbele yamtu katika mkusanyiko mwenyewe Akiwepo unadhani kwaakili yako Atamponda?
Acha kutete upuuzi ww
Achahayomambo dunia mapitokijana
Wote wawili hao hamna kitu
Wazee walio acha ulevi Sasa ndo wanavamia dini
Maulid mnayoyachukia yataendelea kuwepo nanyi mtabaki na chuki na misimamo yenu yenye kufurutu ada
acha uongo wemzee njaa inakusumbuwatu
Acha njaa wewe Kuna moto wamungu sharifu Gani ww na uliotoa wapi usharifu
Utakuta mpaka Wahadzabe wanajiita Sharifu. Wewe simmasai weweee
Nachokaa
Kwahio waliolelewa na Mtume wote walikua Mitume? Mbona Dini mnataka kuifanya km kabila au ukoo wa watu flani? Huyo Qur an hajui kuisoma, anafanya shirki za wazi kabisa. Umma lazima utahadharishwe kua huyo ni TAPELI na mganga wa kienyeji. Amkeni mliolala. Tusomeni TAWHEED ndo mtaelewa nn kinaendelea.
Huyo hana karama yyte alibaba tuu
sharifu mavi
WOTE WAZUSHI TU
toweni njaa zenu hapa tafuteni KAZI zakufanya
😂😂😂😂😂😂
hata abuu lahabi alikua ni baba mkubwa wa mtume
Mtaandika Hadi mtachoka, kama walivyokufa Babu zenu na baba zenu na Maulid ipo na nyie mtakufa mtaiacha maulid ipo na itaendelea watu fitina sana nyie kazi yenu ni kugombana na waislam wenzenu makafiri wamejaa mnawashindwa mmkalia tu kukata suruali na kufuga ndevu na kufanya ugaidi Serikali itambue magaidi wanatokana na hawa wapinga maulid kazi yao ni kuzusha vurugu tu na ndio waliokua wakiandaa uasi kibiti
هذه بدعة
Firdausi tapeli hana chochote ni kibaka tuu
Utapeli tu
Mzee kathibitisha kua ni Sharifu lkn sharifu jina. Na usia wake kwake akasome. Yupo sahihi mzee.
😂😂😂😂😂