BAHARIA: WALITOSWA BAHARINI/ SAMAKI MTU/ ALINIOKOA/ NILIKATAZWA KUSEMA/MAISHA/UMALAYA!... | PART 09

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #safari #baharia #mbanga

ความคิดเห็น • 36

  • @johnnoninhale1317
    @johnnoninhale1317 ปีที่แล้ว +8

    Unachelewa sana kua pload clips ndugu yangu. Na unapokuja kutoa unatoa clip moja ya dk 20 tu. Jarbu kutoa mara baada hata ya saa 12, usiangalie viewers, we weka vitu

    • @JOHNJOHN-pu7wb
      @JOHNJOHN-pu7wb ปีที่แล้ว

      Asiangalie viewers aje kula kwenu!??

  • @leonardmoses4484
    @leonardmoses4484 4 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimeangaria yote ila mpe nafasi ya kusikiliza sio kuingizia kama dj mack kaka maisha ya mbali na nyumbani kuna vingi sikiliza ongea kidogo sio kila neno

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa amekaa ki njaa njaa bora davista

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwanao Michael niliruka nae senyenge belt bridge Mimi Isa seketawa pmj na Marehem Fadhili,Na niliinuka nae Durban natal na nakumbuka mlijipakia jahazi lenu June au july 1994,Na mikuwa pale Durban natal,Hila hile maskani ya Bella vista Tandika bado hipo?

    • @joejoshua7791
      @joejoshua7791 7 หลายเดือนก่อน

      Umenikumbusha mbali sana issa sekatawa,Ramadhani Kingu wote wasafiri wazamani

    • @rasjamal9854
      @rasjamal9854 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@joejoshua7791 Seketawa yupo bongo

  • @abdulazizbrek4980
    @abdulazizbrek4980 ปีที่แล้ว

    Iko sawa baharia

  • @yazidusaidi8843
    @yazidusaidi8843 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimepata neno "Sista duu Changamoto"18:04-18:06 😀😃😄😁😆😅🤣😂

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว

    Safi sana My brother

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 ปีที่แล้ว

    KAZI NZURI SANA. BRO

  • @msafiridiary
    @msafiridiary ปีที่แล้ว

    Daah huyu kweli baharia, nimemskia katamka neno No Sweaty.. hatarii

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 ปีที่แล้ว

    Respect

  • @josephmay4260
    @josephmay4260 ปีที่แล้ว +1

    hizi story sio zile za kigsnga

  • @manmanixh
    @manmanixh ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri 👊

  • @bakariabdallah8702
    @bakariabdallah8702 ปีที่แล้ว

    namkubali sana gamba mla chake

  • @Ahmedsaid-cu3kh
    @Ahmedsaid-cu3kh ปีที่แล้ว +1

    Leo kakimwaga sana un'gen'ge

    • @rasjamal9854
      @rasjamal9854 ปีที่แล้ว

      Mwendao mwache kipige geli

  • @francistadayo1569
    @francistadayo1569 ปีที่แล้ว

    Mzee yuko vizuli sana

  • @numohammed926
    @numohammed926 3 หลายเดือนก่อน

    Nimesikiliza clips nyingi ila hakuna baharia ni wazamiaji tu ila clip moja tu ya haji fidadido yule ndio baharia

  • @jfourhumbhumb1754
    @jfourhumbhumb1754 ปีที่แล้ว

    Baharia kitambo sana sio powa kabisa nasikia maumivu sana nikifikilia walivyokuwa watutesa wakiludi bongo nafuull jinz brue enzi hizo ilikuwa kila kijana anataka kuzamia kusafili

  • @amlikejames646
    @amlikejames646 ปีที่แล้ว

    Ngoja zijae hata episode 3 ndo niangalie dk 20 zinakata stimu

  • @JumaHaji-kk8pw
    @JumaHaji-kk8pw ปีที่แล้ว

    Mzee leo amebadilsh tisht ilkua xjamjua dah!😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @johnnoninhale1317
      @johnnoninhale1317 ปีที่แล้ว

      Hiyo interview imefanyika siku moja ila sema anae appload ndo anatoa clips (0vipande vdogo dogo)

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 ปีที่แล้ว

    Yah ur doing good job kuleta hizi story lkn pay attention to the complain unachelewa sana kuleta content na refusha duration ya content kidogo ull be perfact

  • @jasonsaco5192
    @jasonsaco5192 ปีที่แล้ว

    Bora aende kwa davista mata kila cku Ana upload

  • @josephgamba8389
    @josephgamba8389 ปีที่แล้ว

    Kaka Mdupange tuongeze muda walau clip ifike dk 30

  • @familyalex7084
    @familyalex7084 ปีที่แล้ว

    Nafatilia Sana story...usikae kmya Sana mwamba

  • @user-bq5uf4dy5v
    @user-bq5uf4dy5v ปีที่แล้ว

    Kk unachelewa kuwaka

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว

    Dogo mdupange wasikilize wateja wako vipande unaweka muda mchache sana ongeza muda

  • @user-qf2mg1bu4u
    @user-qf2mg1bu4u ปีที่แล้ว

    Shida mda unatukwaza bac toa ada vipande viwili

  • @nehemiakiswaga1819
    @nehemiakiswaga1819 ปีที่แล้ว

    Ngryyyyyyyyyyyyyyyyy

  • @Y0u_tube
    @Y0u_tube ปีที่แล้ว

    Story zinakuwa fupi zinaboa dk 20 nzima hakuna kilichoongelewa hadi tunaacha kufatilia story zako

  • @manmanixh
    @manmanixh ปีที่แล้ว

    Mda mchache

    • @abumutwaira4892
      @abumutwaira4892 ปีที่แล้ว

      Kaka tutakuama unachelww sana kuachia clip