KISIMA _ELIMU OFFICIAL VIDEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 115

  • @HassaniWillson
    @HassaniWillson 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupata vizuri sana brother 🎉🎉🎉

  • @MatessoKashinje
    @MatessoKashinje 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jose studio unakosea huwezi kumwambia ivo director mwenzio bana

  • @MabulaNghabi
    @MabulaNghabi 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupend San tunamwomba uje daai

  • @abellutonja4589
    @abellutonja4589 8 หลายเดือนก่อน +4

    Aiseeeeeeee au basi 🎉🎉🎉🎉🎉we KISIMA ni konyo endelea kukimbizwa bro

  • @ZabronHermanNgasa
    @ZabronHermanNgasa 7 หลายเดือนก่อน +4

    Upo vzr kaka hapa chuoni UDOM wasukuma tunapenda nyimbo zako

  • @KulajaJames
    @KulajaJames 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka ongeza mwendo maisha nkupambana

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 8 หลายเดือนก่อน +5

    Umetisha bro

  • @machiyajohnmbasa2746
    @machiyajohnmbasa2746 8 หลายเดือนก่อน +7

    Hakika unamaanisha kaka, IFM university we respect this song, Congratulation to you broo,,

  • @SaimonMakoye-e4h
    @SaimonMakoye-e4h 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe unatimiza wajibu 2u❤❤❤

  • @malambimasele7415
    @malambimasele7415 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kisima kwa nyimbo zur

  • @lichstudio2024
    @lichstudio2024 8 หลายเดือนก่อน +3

    Respect Mr,keep going broothe 🙏🙏🙏💪💪💪

  • @MlekelaSendama
    @MlekelaSendama 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nime appreciate brother mm ni Dr nmeptia huo msoto; daaah!🙏🙏🙏🙏🙏

  • @NyanzobeLasa
    @NyanzobeLasa 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mm nakupend sana nyimbo zako utafika mbali bro

  • @SayimcheleSayimche-mq5wv
    @SayimcheleSayimche-mq5wv 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kaz zuri bro mungu azidi kukupa kipaji zaidi

  • @lucasbusagala4033
    @lucasbusagala4033 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ongw'amajabara salami kwinga habhugaru isole pamoja san❤

  • @MeshackLukanda
    @MeshackLukanda 8 หลายเดือนก่อน +4

    boss kweli kweli tupo tuu hatueleweki

  • @SospeterGeorge
    @SospeterGeorge 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi nzurii sanaaa pia wew unatakiwa upewe jina kingine smart boy kwa wasaniii wote unajua kuchagua mazingira hongera Sanaa ndanii wetu

  • @DavidDaud-rt4yt
    @DavidDaud-rt4yt 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kaza mwendo kak nazipenda San nyimbozak nip Der niite Daud musukum moja

  • @DirFredy
    @DirFredy 8 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani Mashabiki wa msanii wetu mpendwa wa kisima kama tunampenda msanii wetu tumwambie ukweli kabisa anajaza show ila ajui nyimbo anazo achia za video ni mbovu sana ila ss tunamwambia kazi nzuri kazi nzuri duu tunampoyosha bana ebu tumwambie hii video ni mbovu sana bora hata madeni na suzana ila hii ni manyanya ila tukiongea inaonekana kama tunaegemi ya bora yure fara migera japo anamajibu mabaya kwa watu muhimu ila linafanya kazi ila hizi anauza kwakua ni msanii mkubwa ila video hakuna

  • @TheBestPhone7918
    @TheBestPhone7918 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kabisa yaan ❤ pia elimu ya Sasa nikukusaidia Kutoboa maisha mengine inje ya Ajira

  • @MakajiGambi
    @MakajiGambi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka uko poa sana siku moja uje na sisi mwamala b huku tunakupenda sana

  • @HamisiMasesa
    @HamisiMasesa 8 หลายเดือนก่อน +6

    Sana kaka kazi zuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Pascocharles1997
    @Pascocharles1997 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nadumhaga gete ukubhala inamba, kwasababu nilikua naish mbal nashule🙏🙏

  • @ShijaKishabi-dj6nf
    @ShijaKishabi-dj6nf 8 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulations 🎉🎉🎉 my br good artist ..nawakiridha kutoka RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY..ndani ya iringa..kazi kwetu wasom

  • @yoshuapaul8300
    @yoshuapaul8300 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yani ni kazi juu ya kazi nipo mnange tabora
    Charz macomputer

  • @IsayaBomani
    @IsayaBomani 8 หลายเดือนก่อน +2

    Naielewa hy

  • @SamsonYona-xu7km
    @SamsonYona-xu7km 8 หลายเดือนก่อน +2

    Utafika bali sana kwa hizo ngoma mtc tz

  • @ras.gerzel
    @ras.gerzel 5 หลายเดือนก่อน +2

    Body moves clean reggae moves for the future

  • @masumbukojackson9675
    @masumbukojackson9675 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 Ety hayawahusu sawa

  • @ConDizzotz
    @ConDizzotz 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi Tamu sana Aiseee🎉🎉🎉

  • @LUEZVISUALARTS
    @LUEZVISUALARTS 8 หลายเดือนก่อน +3

    Duh. Kisima unajua, hakika unatupatia kinachostahili mashabiki zako. Mungu akutangulie zaidi tupate zaidi ya hiki. BHAZUNIJE tunaisubiri kwa hamu sana

  • @YesseSaimoni
    @YesseSaimoni 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizurii saana kaka

  • @fredyjames4327
    @fredyjames4327 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri og'wise

  • @ZakariaMathias-mb6mq
    @ZakariaMathias-mb6mq 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shooo soka galuuuu

  • @pawakabili6069
    @pawakabili6069 8 หลายเดือนก่อน +4

    Tuwakilishe kaka,,, hakuna mwingine.....

  • @ras.gerzel
    @ras.gerzel 5 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks bless up respect irie brother

  • @ClaudianiMakaranga
    @ClaudianiMakaranga 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ng'wana mlilasa nakukubali sana

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 8 หลายเดือนก่อน +4

    Pamoja sana chama langu la MTC endeleeni kuachia mawe mitaani , wanaokuza vichwa yawafikie 🤣🤣🤣🤣, lakin pia vita ya madirector acha iendeleee ili kila director ajue nin anatakiwa afanye katka kazi yake na katka kazi za watu,

  • @msasaboy9536
    @msasaboy9536 8 หลายเดือนก่อน +6

    good location nyanda majabala

  • @LatfaDismas
    @LatfaDismas 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuli xan jamaa

  • @Maleyboy
    @Maleyboy 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz nzur kamanda

  • @williamjames5267
    @williamjames5267 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mtc mnanipa raha kwakweri ngosha ngw'anobaba

  • @MalongoMohamed
    @MalongoMohamed 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana mkali wa nyimbo za asili.Ila hii Camera uliyoitumia awamu awamu hii imetuboa inanyesha ukungu ukungu!

  • @ndeteleleoizdory2292
    @ndeteleleoizdory2292 8 หลายเดือนก่อน +4

    Sana brother 🙏

  • @SaimonRichard-n9h
    @SaimonRichard-n9h 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wakati mwingine mapacha awe anaachia vituko vyake nilimuelewa sana ifunde

  • @patrickkapisha628
    @patrickkapisha628 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe kasekese sawaaaaa

    • @thentuzumusic
      @thentuzumusic 8 หลายเดือนก่อน +2

      Umechelewa

  • @KalibaMasele
    @KalibaMasele 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kisima unasema uhalisia wangu

  • @josestudio4534
    @josestudio4534 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mh hii inaitwa kuyabananga bora Hata Kandoroo🤠🤠🤠🤠👻

    • @MasanjaSamweli-b3r
      @MasanjaSamweli-b3r 8 หลายเดือนก่อน

      Mmmmmmhhh wew ni director haitakiwi kuongea maneno kama haya kaka tena hadharani

    • @msukumamediatanzania6437
      @msukumamediatanzania6437 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka siri zetu hazisemw hadharan 😂 s unajua tena ndo tunategemea kwa kilakitu ..

    • @msukumamediatanzania6437
      @msukumamediatanzania6437 8 หลายเดือนก่อน

      unamfata inbobo unamshaur kitu kisha tunasonga mbele sotee.

  • @ngosha_group_intertainment
    @ngosha_group_intertainment 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hiii Uakikaaa Short zake Time yake unyamaaaaaaa Sana . Saluti Mkemia

  • @nongajlumala-t5j
    @nongajlumala-t5j 3 หลายเดือนก่อน +2

    pamoja sana bulaza

  • @mageletz
    @mageletz 8 หลายเดือนก่อน +5

    good job mr

  • @msukumamediatanzania6437
    @msukumamediatanzania6437 8 หลายเดือนก่อน +2

    BINAFSI MM NILISOMA MPAKA FORM SIX
    NIKAONA HUKO MBELE HAMNA DILI 😂 Jamaa kaeleza maisha yangu kwakias flan. #MPAKA_UWE_NA_REFA_MJENGONI😅

  • @NdembejeMilenganilo-ju5wg
    @NdembejeMilenganilo-ju5wg 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakhubali kaka 🎉

  • @jimodefighter
    @jimodefighter 8 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂....axante kaka

  • @djmusakasekesetz8126
    @djmusakasekesetz8126 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tayari katinga Dj Mussa Kasekese Mpanda Kuchukuwa NYIMBO MPYA I 2024 I

  • @RichardMalimi-k2s
    @RichardMalimi-k2s 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo nzuri sana ila mwaka huu hauko vzr tatizo liko wapi mkuu pambana watakupoteza mkuu

  • @jaymansennah3052
    @jaymansennah3052 8 หลายเดือนก่อน +5

    Track Kali sana

  • @mahungujulius1788
    @mahungujulius1788 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana ila kumbe nimegundua Kuna Utofauti Mkubwa sana WA hizi studio Wimbo ukiupigia Mbasha Beat inakuwa Kali kinyama,kumbe Studio Yako ni Mbasha ndo Masanvya Yako yamekubali kinoma ukitolea Mbasha Studio,Wimbo Mzuri sana Location imetulia kinoma Tuko na wewe mwanzo mwisho piga kazi

  • @simonkakinda2524
    @simonkakinda2524 8 หลายเดือนก่อน +3

    keep pushing unajua

  • @SimonNgwenesho
    @SimonNgwenesho 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yes okay okay 💗💓💓💪💪

  • @RashidMmbaga
    @RashidMmbaga 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kisima uko vizur

  • @HamisJonas-hs6di
    @HamisJonas-hs6di 8 หลายเดือนก่อน +2

    Respectfully to the greatest singer Kisima as a one who fight with entertainment without any scramble so happy for him on the battle ground but the conflict is constant to other singers but play fear mr

  • @raphaelsimba3402
    @raphaelsimba3402 8 หลายเดือนก่อน +5

    Huo msuluali aisee umenikumbusha mbali 😂

  • @Boniphacehachili
    @Boniphacehachili 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri ila dairecta inatakiwa aongeze ujuzi kwenye matukio😅😅😅😅😅😅😅

  • @isackdaniel468
    @isackdaniel468 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tunampenda sana

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo umeporomoka voko alaa ndoho jachayi

  • @MajidyAbdallah-vh1gf
    @MajidyAbdallah-vh1gf 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali

  • @MrRWIZO23
    @MrRWIZO23 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kama unapajua aliposhutia niambia mm ni harvest

  • @RichardMakenzi-he5te
    @RichardMakenzi-he5te 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka umeuwa

  • @Suzi_Ndatulu
    @Suzi_Ndatulu 8 หลายเดือนก่อน +9

    Wakwanza

  • @chandikadechandika9852
    @chandikadechandika9852 8 หลายเดือนก่อน +2

    Big up br , lakin huyo director wako wa video amezingua video haina quality please deal with that br for more improvement

  • @nicholausjoseph3716
    @nicholausjoseph3716 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbasha studio ndo unyama ila huko kwingine hapana...rudi mbasha tu

  • @GeofreyPetter
    @GeofreyPetter 8 หลายเดือนก่อน +6

    To gather artist

  • @erastolukanya1333
    @erastolukanya1333 8 หลายเดือนก่อน +6

    Wa pili

  • @adambwitune4165
    @adambwitune4165 8 หลายเดือนก่อน +2

    Elimu olesoga Busanda 1 By Adam Boy

  • @MasumbukoScania
    @MasumbukoScania 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🇹🇿👍💯

  • @Kulwashija3263
    @Kulwashija3263 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤🙌🥀🔥🔥

  • @Jaballuhoyo
    @Jaballuhoyo 8 หลายเดือนก่อน +1

    namkubal san kwa ngoma z@ke

  • @DianaMaisha
    @DianaMaisha 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @ibrahimbaraka5262
    @ibrahimbaraka5262 8 หลายเดือนก่อน +5

    Nimeona chupa hio blo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @maigecharles301
    @maigecharles301 8 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉

  • @SaimonRichard-n9h
    @SaimonRichard-n9h 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @SNAKETV20
    @SNAKETV20 8 หลายเดือนก่อน +2

    Audio100 Video 80

  • @deusmusic3683
    @deusmusic3683 8 หลายเดือนก่อน +2

    kaharibu nyimbo vibaya ilitakiwa elimu ,Dunia,bhazunije,zishutiwe mbasha hiyo camera alishutia imeshaisha inatakiwe ishuti kwaya mziki wake anataka kuurudisha nyuma hiyo Eli kaizalilisha kwenye Hilo licamera sijapenda Yani Hadi natamani kuria kama vile nyimbo ni zangu aachane na camera za michelemichele au kafata kamseleleko Bei nafuu nachoomba bhazunije asishutie huko aishutie alikoshutie zile zilizopita bonge la kiatu limehalibiwa na camera

    • @dickmanmtumbayamwanzamoja308
      @dickmanmtumbayamwanzamoja308 8 หลายเดือนก่อน

      We nae wivu tu unakusumbua mbona video Kali au hujui kuangalia video Kali unaangalia mwanga kuumiza macho ndo unasema kamela Kali acha ushamba

    • @masumbukojackson9675
      @masumbukojackson9675 7 หลายเดือนก่อน

      Wimbo unaelezea maisha ya zamani kwaiyo zamani camera zilikuwa anolojia labda angechanganya analoji na dijito

    • @jacobomakoye1101
      @jacobomakoye1101 3 หลายเดือนก่อน

      labda kwa sababu maisha ya kale

  • @thentuzumusic
    @thentuzumusic 8 หลายเดือนก่อน +7

    Lakin nisawa acha tuone tu ss

    • @patrickkapisha628
      @patrickkapisha628 8 หลายเดือนก่อน +4

      Kidogo tu

    • @daudamos3248
      @daudamos3248 8 หลายเดือนก่อน +2

      Au sio

    • @thentuzumusic
      @thentuzumusic 8 หลายเดือนก่อน

      Upo​@@daudamos3248

    • @thentuzumusic
      @thentuzumusic 8 หลายเดือนก่อน

      Umeona e​@patrickkapisha628

    • @DirFredy
      @DirFredy 8 หลายเดือนก่อน +3

      Jamani Mashabiki wa msanii wetu mpendwa wa kisima kama tunampenda msanii wetu tumwambie ukweli kabisa anajaza show ila ajui nyimbo anazo achia za video ni mbovu sana ila ss tunamwambia kazi nzuri kazi nzuri duu tunampoyosha bana ebu tumwambie hii video ni mbovu sana bora hata madeni na suzana ila hii ni manyanya ila tukiongea inaonekana kama tunaegemi ya bora yure fara migera japo anamajibu mabaya kwa watu muhimu ila linafanya kazi ila hizi anauza kwakua ni msanii mkubwa ila video hakuna

  • @applelove1018
    @applelove1018 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hello

  • @emmanuelondoua5358
    @emmanuelondoua5358 8 หลายเดือนก่อน +2

    Translate in English

  • @DirFredy
    @DirFredy 8 หลายเดือนก่อน +11

    Jamani Mashabiki wa msanii wetu mpendwa wa kisima kama tunampenda msanii wetu tumwambie ukweli kabisa anajaza show ila ajui nyimbo anazo achia za video ni mbovu sana ila ss tunamwambia kazi nzuri kazi nzuri duu tunampoyosha bana ebu tumwambie hii video ni mbovu sana bora hata madeni na suzana ila hii ni manyanya ila tukiongea inaonekana kama tunaegemi ya bora yure fara migera japo anamajibu mabaya kwa watu muhimu ila linafanya kazi ila hizi anauza kwakua ni msanii mkubwa ila video hakuna

    • @jaymansennah3052
      @jaymansennah3052 8 หลายเดือนก่อน +2

      Umekosa kazi wewe mkundu nn umetumwa unataka umushoot ww

    • @DirFredy
      @DirFredy 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@jaymansennah3052 unajua ungetuliza ushoga kidogo ningekuelewa ila kwakua ww sio riziki acha nikuambie ww mkundu mwenzangu mm nimetoa ushauri sasa shobo za nn mama tilie ww mbona shobo nyie ndio msanii akishuka mnamuwekea vikao kwenye kijiwe tulikua tunasema acheni usenge umbwa ww

    • @lazarodaudi1689
      @lazarodaudi1689 8 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@jaymansennah3052sasa matusi ya Nini ndugu? HUO ni mtizamo wake uheshimiwe

    • @msukumamediatanzania6437
      @msukumamediatanzania6437 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hata huyo Migera hana script nzur bana .. alishuuti nyimbo Bhuhabhe ikaacha kwendana na story ya wimbo.. ase jaman ma director ukipewa kazi ya msanii mkubwa unatakiwa uumize akiri sana s#ushauru tu sna nia mbovu

    • @Emma562
      @Emma562 8 หลายเดือนก่อน

      Video ipo sawa tu kulingana na wimbo ulivo maana usitegemee kila mti ulio upanda na kuupa maitàji yake yote nao utakupa matunda lahasha.