Pole sana mama Mage huu ni mtihani Kwa kweli naomba kuuliza hizo document haziwezi kutumwa Waka sign wakiwa Tanzania manake bila kuchangiwa kwenda ni ndoto bado Mage mwenyewe Yuko hoi Bora serikali ingefanya jitihada za kufanya on behalf kuhakikisha anasafirishwa kurudishwa Tanzania .
Allah awape subra kwa hili inshallah kila kitu kitakuwa sawa nimeguswa sana na hili tukio limenitoa machozi sana jaribuni kuweka namba za simu kila alieyenacho chochote aweze kutuma
Msikate tamaa mungu yupo pamoja nanyi msilie wala kunungunika mwiteni naye ataitika bisheni naye atawafingulia naamini mungu yupo pamoja nanyi amtie nguvu mage mungu mwenyezi awainulie watu kutoka pande zote ili mtanzania mwenzetu apone tunaekemia roho ya umauti ishindwe kwa jina la yesu 🙏 na mungu awaguse hao maktari waweze kumtibu kwa upendo🙏🙏🙏
Duuuh,pole sana mama na familia kwa ujumla kama uwezekano upo tunaomb namb ya mtu mnawasiliana nae huko India Kuna waTz wanaweza fany ktu huko plz tunaomb mawasiliano tutume huko tafadhali ili wafany mawasiliano
Kuna tabia moja mbaya sana siipendi kutoka kwako zali unaona mtu analia tena analia kwa kuomboleza bado unamuachia maiki aongee sa aongee nn kwani ao wengine wanafanya nn apo pembeni siuwaoji awo sipend kabsa aya mambo kwa waandishi wa habar
Ushauli wangu japo siyo wa pesa lakini wa mawazo ikiwezekana utolewe mchango wa pesa mtu arudi siyo mtu aende kule kuongeza garama nyingine mfano mnataka akifa asizikwe kule basi kilio hapo kurudishwa mama weka subra msubilie huku pole sana tunao umia wazazi Mungu akutangulie mama katika hili gumu
Sasa hapo mtihani basi utafutwe mchango mmoja aende amrudishe hivyo hiyo tiketi ya mmoja kati ya hao wawili mama au dada asiende kauli yao wanataka arudishwe ninacho kijua hawezi kurudi pasipo mtu hivyo mmoja tuu aende anakubaliwa kuliko kupoteza muda ukiangalia wanataka hata akifa asizikwe kule sasa hapo mtafanyaje na hii hali yetu ngumu maono tuu
Pole sana mama kwa mapito ila inabidi iwefunzo mzazi ukiona mwanao ameenda njee bila njia nzuri unatakiwa utoe taarifa mapema kwasababu mwanzo mlikuwa na mawasiliano mazuri ingesaidia kumrudisha bila changamoto hizi sasa kikubwa tumwombee apone
Pole mama yangu najua uchungu unaopitia yesu mtenda miujiza hatafanya wepèsi atapona utamuona tena serikali kwann isitenge fedha ya wagonjwa naumia mm mungu tusamehe fanya jambo baba
Hivi wanaombaga maaada namba haitolewi,watanzania wanahuruma tunachanga,hata elfu moja moja wote tutapata iyo hela,namuombea mama huyu kwa mungu watu wamuonee imani,,amechoka hata kulia kwake tu kachoka,pole Mama angu jipe moyo funga mkaja
Mimi najua Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu akisema neno moja Kwa ajili ya huyu Binti hakuna litakaloshindikana fanyeni bidii hili limfikie Rais wetu ni msikivu sana na ana utu.
Nyie msipeleke huko hawa wazazi wamechoka wasije wakafia huko kwa presha bora mgonjwa aletwe huku akaendelee kutibiwa kama ikishinikana basi tumuombe tu mungu afanye miujiza yake🙏
Yani hakuna kitu cha uchungu duniani kama kuwa na mgonjwa halafu huna hela unaomba kila siku 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Mungu akutie nguvu mama
Jiongezeni matoyoyo wasomi wamejaa hapo Tz.lakini hamuwezi kuwafundisha mambo ya msingi wahindi wamejaa amelika wanajifunza kuendesha mashine muhimu nyinyi mna ubinafsi sana serkaliya Tz
Mama nendeni oficeni kwa waziri mkuu, waziri gwajima, kwa mkuu wa mkoa nina Imani Mungu atatenda lkn wadau pekeyetu hii pesa ni nyingi haitatimia upesi
Baba anaumia ila mama ndio anaumia zaid kulivumilia jambo hili kwa mama ningumu .kawaida mama au wazazi mtoto wao anapo umwa wanajisikia faraja kuwa nae wanaona kila anavyo endelea .Lakin yupo mbali hiv inauma mungu awtie moyo watanzania wenye uwezo kwa nafasi yake na mungu atalipa ziada.pia serekali yetu nisikivu na inasaidia wanyonge wasanii wakubwa toweni mungu atawalipa ziada.
Ingependeza sana Pamoja na kutangaza pia mngejaribu kuwafikishia hii taarifa kwa viongoz wetu wakubwa katika office zao ili tupate msaada wa haraka sana , jaman ni huruma sana
Jaman watazamaji wa mapito na watanzania wote tumsaidie huyu mama hata elfu 1 moja akamuone mwanae nimelia sana mama hana kosa huyu jaman ....watt wa kike tujifunze kwenye hili
Wakina mwamposa mzee wa upako gwajima mbingu duniani jiji ni watu wa Mungu jitokezeni mmsaidie mama najuwa mnauwezo watumishi wa Mungu mko wapi Nabii mkuu jo devi msimwache mtanzania mwenzetu afie uko tunaombeni msaada wenu Mungu kawapa mali najuwa uwezo mnao
Jaman tusilaumu sana kwa sababu huyu mage angefanikiwa hata wazazi wake wangefurah na kusema mtoto wetu yupo nnchi za nje wasinge kuja hapa sema bahat haijawa kwake
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Pole sana mama Mage huu ni mtihani Kwa kweli naomba kuuliza hizo document haziwezi kutumwa Waka sign wakiwa Tanzania manake bila kuchangiwa kwenda ni ndoto bado Mage mwenyewe Yuko hoi Bora serikali ingefanya jitihada za kufanya on behalf kuhakikisha anasafirishwa kurudishwa Tanzania .
Pole sana mama Kwa mtihani unao pitia mungu akupe wepesi
Anaumwa nini
Pole mama mungu yupo pamoja nawe
Allah awape subra kwa hili inshallah kila kitu kitakuwa sawa nimeguswa sana na hili tukio limenitoa machozi sana jaribuni kuweka namba za simu kila alieyenacho chochote aweze kutuma
Ni kweli namba watoe watanzania tuna umoja❤
@@NataliaKenny-vb6osNumber mbona imetolewa mda labda warudie tu kuitaja tena
Namba si ni hizo hapo zinapita hapo chin
Poleni sana Mungu ni mwaminifu atamsaidia to
Msikate tamaa mungu yupo pamoja nanyi msilie wala kunungunika mwiteni naye ataitika bisheni naye atawafingulia naamini mungu yupo pamoja nanyi amtie nguvu mage mungu mwenyezi awainulie watu kutoka pande zote ili mtanzania mwenzetu apone tunaekemia roho ya umauti ishindwe kwa jina la yesu 🙏 na mungu awaguse hao maktari waweze kumtibu kwa upendo🙏🙏🙏
Jamaniii leo nimelia sanaa ,,,,huyu mama anateseka sanaaa
Pole mama simama na guzo ya allah yy ndio kilaa kituu
Pole mzazi mwenzetu Natamani nikusaidiye lakini tarehe mbaya na muweka kwenye maombi Mtoto wetu
Pole mama yaan maumivu yako anayajua Mungu dada weka namba tusaidie kwa chochote
Mungu atamfanyia wepesi Mage 🤲🤲
Inauma Sana! Pole sana dada
Pole sana mama nimelia na huu mtihani
Pole mama halimaa mungu akutie nguvu
Nimelia mm mungu mupe shufha ya haraka mage😭😭😭
Allah awafanyie wepesi jamani kwauwezo wa Allah yatakuwa sawa.allahumaamiinn.
Poleni mama mange mungu akutia nguvu
Jamani wamemsusa kisa hiyo pesa au sababu nini kweli umaskini mbaya mbaya mno mungu tenda jambo huyu Dada apone kama alikukosea mahali msamehe😭😭😭🙏
Sasa unadhani watamtibu bure? Wanataka pesa wamtibu
Pole sana mama allah awafanyie wepesi inshallah
Duuuh,pole sana mama na familia kwa ujumla kama uwezekano upo tunaomb namb ya mtu mnawasiliana nae huko India Kuna waTz wanaweza fany ktu huko plz tunaomb mawasiliano tutume huko tafadhali ili wafany mawasiliano
duu inauma sana kuwa maskini jamani nipigo utazalilika sana pole sana mama
Kuna tabia moja mbaya sana siipendi kutoka kwako zali unaona mtu analia tena analia kwa kuomboleza bado unamuachia maiki aongee sa aongee nn kwani ao wengine wanafanya nn apo pembeni siuwaoji awo sipend kabsa aya mambo kwa waandishi wa habar
Pole xn mama mungu atamfanyia wepsi atapona kwa jina la yesu
Pole sana mama Allah awafanyie wepesi
Mama angu mwenyezi MUNGU akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu zaidi kwako mama.
Ushauli wangu japo siyo wa pesa lakini wa mawazo ikiwezekana utolewe mchango wa pesa mtu arudi siyo mtu aende kule kuongeza garama nyingine mfano mnataka akifa asizikwe kule basi kilio hapo kurudishwa mama weka subra msubilie huku pole sana tunao umia wazazi Mungu akutangulie mama katika hili gumu
Mnaambiwa jmn hawezi kurudi mtu yupo icu atarudije
Unaambiwa angekua kafumbua macho anachechemea au anakaa wangemsafirisha ila anapumulia mipira ndo pagumu apo
Sasa hapo mtihani basi utafutwe mchango mmoja aende amrudishe hivyo hiyo tiketi ya mmoja kati ya hao wawili mama au dada asiende kauli yao wanataka arudishwe ninacho kijua hawezi kurudi pasipo mtu hivyo mmoja tuu aende anakubaliwa kuliko kupoteza muda ukiangalia wanataka hata akifa asizikwe kule sasa hapo mtafanyaje na hii hali yetu ngumu maono tuu
Lln kuna Hali hairuhusu mgonjwa kupanda ndege @@zepinashatibu5149
Mama inauma sana jamani uchungu wa mwana ajuae mzazi.m/mungu atuhifadhi utupe subra.pole mama yetu
Poleni sana wapendwa, Allah hasindwi nakitu atafanya wepesi in Sha Allah
Allah ampe shifaa mage
Pole sna mama yangu
M mungu atamuafu na atawafanyia wepesi kila pazito
Polen sana mungu awatie nguvu mungu ni muweza atatenda tu
Mmmh inasikitisha sana,dada zari jaribuni kuiomba serikali zile Hela alizochangisha niffer kwenye maafa ya kariakoo
Kabisa
Mie pia nilifikiria hivo
Sawa kabisa.
Serekali Hii Au Unatania tuu
Kabisa, Bora wamsaidie zile za Niffer
Pole sana mama kwa mapito ila inabidi iwefunzo mzazi ukiona mwanao ameenda njee bila njia nzuri unatakiwa utoe taarifa mapema kwasababu mwanzo mlikuwa na mawasiliano mazuri ingesaidia kumrudisha bila changamoto hizi sasa kikubwa tumwombee apone
Pole mama yangu najua uchungu unaopitia yesu mtenda miujiza hatafanya wepèsi atapona utamuona tena serikali kwann isitenge fedha ya wagonjwa naumia mm mungu tusamehe fanya jambo baba
Poleni sana familia ya Mage wote Mungu ataleta miujiza yake Kwani Nu yeye tu ndie tunaemtegemea na naamini anatupenda sana
Mungu anissmeh mm lakin wanawake wenzangu tujitahid tupambane hapa Tanzania hata kwa kilimo kuliko hiv Aaah imeniuma sana
Hivi wanaombaga maaada namba haitolewi,watanzania wanahuruma tunachanga,hata elfu moja moja wote tutapata iyo hela,namuombea mama huyu kwa mungu watu wamuonee imani,,amechoka hata kulia kwake tu kachoka,pole Mama angu jipe moyo funga mkaja
Pole sana family ya mage
Pole Sanaa mama angu ❤❤🎉
Mimi najua Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu akisema neno moja Kwa ajili ya huyu Binti hakuna litakaloshindikana fanyeni bidii hili limfikie Rais wetu ni msikivu sana na ana utu.
Rais yeye mambo ya magoli anatoa pesa yeye na mpira kwenye haya mambo haya muhusu
Pole sana mama angu
Polesaana mama mungu aponyee
Nyie msipeleke huko hawa wazazi wamechoka wasije wakafia huko kwa presha bora mgonjwa aletwe huku akaendelee kutibiwa kama ikishinikana basi tumuombe tu mungu afanye miujiza yake🙏
daaa pole mama unatuliza sote ila allah akupe subra sana hayo ni mapit kweli
Pole mama mungu atakufanyia wepesi inshallah yote ni mitihani 😭😭😭😭😭
Yani hakuna kitu cha uchungu duniani kama kuwa na mgonjwa halafu huna hela unaomba kila siku 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mungu akutie nguvu mama
Poleni sana
Allah awape subra zaidi wazazi.
Watoto tunawatesa sana wazazi wetu yani mzazi anateseka huyuu watoto moto unatusubiri kwa machozi ya wazazi
Usikate tamaa mama yangu wapo walioumwa na wakapona kwani yeye ndio JABAR Mwenyezimungu amjaalie shifaa pole sana mama yangu
Pole sana mama yangu jamani serikari muangalieni mama huyo anavyolia kwa uchungu
Jiongezeni matoyoyo wasomi wamejaa hapo Tz.lakini hamuwezi kuwafundisha mambo ya msingi wahindi wamejaa amelika wanajifunza kuendesha mashine muhimu nyinyi mna ubinafsi sana serkaliya Tz
Pole sana mamangu kuwa na subra
Mama nendeni oficeni kwa waziri mkuu, waziri gwajima, kwa mkuu wa mkoa nina Imani Mungu atatenda lkn wadau pekeyetu hii pesa ni nyingi haitatimia upesi
Kweli kabisa waende huko ila huku mungu atawasaidia
Mungu ni mwema
Pole ndugu mungu skype subra
Mungu ni mkubwa tumuombee mungu atafanya njia pole mama
Nifer tusaidie maana ukichangisha siku moja zimetosha😢
Exactly
Poleni sana musikate tamaa
What is jumlisha? Hao wenye kazi do They offer knyans too?or ni TZs
Siafe tu bora jinga ilo lifilie mbali ....mana simtu mzuri atapata adhabu duniani kisha imfikie na kaburini inshaallah ......khujumu watanzania wenzake mbwa uyo kiukweli hakuna atobakia naweza kufa mie nilomuombea umauti mwenzangu lkn uyo simtu nimnyama tu
Anaumwa nini huyu dada au alifanya nini
@@esthersissamo1120alitoa mimba ya miezi 4
Mh ila kuugua sio kufa jamani,, ushauri Wangu ubalozi ungesaidia kumrudisha tz. Maana hiyo garama ya wazazi kufika India inaweza kusaidia matibabu
Nina rafiki yangu anaishi india ananishawishi sana kwenda sema kushukuru mungu mm sinaga tamaa jaman tuacheni tamaa nimeumia sana
Kila siku mnawahoji wazazi badala yakutafuta michango wasaidieni au wekeni namba watu watoe chchote mnakazi ya kumzalilisha Mama
Huyu mtangazaji anashindwa kuweka namba ya malipo mda mowing story ,huyu mama SI wa kuhojiwa mara Kwa mara.
Kweli kabisa
Ata mi ananikera kuhoji hoji kila mara wakati huyu mama anamaumivu na kila anapoelezea anazidi kuumia @@shabaniguma8696
😢😢😢😢Mungu amfanyie wepesi ila umasikini unatudhalilisha sana😢
Haya ,mambo ya figo haya mmh
Pole sana mama yangu Mwenyezi MUNGu akutie nguvu😭😭😭
Baba anaumia ila mama ndio anaumia zaid kulivumilia jambo hili kwa mama ningumu .kawaida mama au wazazi mtoto wao anapo umwa wanajisikia faraja kuwa nae wanaona kila anavyo endelea .Lakin yupo mbali hiv inauma mungu awtie moyo watanzania wenye uwezo kwa nafasi yake na mungu atalipa ziada.pia serekali yetu nisikivu na inasaidia wanyonge wasanii wakubwa toweni mungu atawalipa ziada.
Samahani niulize. Tangu siku waanze kuja studio huyu mama hakuna pesa yoyote watanzania waliyotoa.
Pole sana daaa
Poleeee mama Poleeee mtoto anaumaaaaaaaaa
Ingependeza sana Pamoja na kutangaza pia mngejaribu kuwafikishia hii taarifa kwa viongoz wetu wakubwa katika office zao ili tupate msaada wa haraka sana , jaman ni huruma sana
Sasa gharama za kusafiri wawazazi na bado kuna bili kubwa namna hiyo ya hospital hii sasa inachanganya sana Mwenyezi Mungu tufanyie wepesi
Wacheni kwenda Indio ao wahindi tupo nao Oman masikini wakutupwa njooni Oman mshahar mzuri Tu pole Sana mama mange
Atakuwa hai Mungu ni mwema kuliko hata kukata maa😢
Pole sana mama
Polee mama.
Wazazi weto wanasumbuka kwajili yeto jamani wallah mungu funguwa mlango w heri jamani
Polemamapole sana
Mungu Awatie nguvu family yote ila mge toa namba ili tuchange tulicho jaliwa Ata kidogo nitafunga nakuwaombea Mungu Awape nguvu smile muonbeeni tu
Jaman watazamaji wa mapito na watanzania wote tumsaidie huyu mama hata elfu 1 moja akamuone mwanae nimelia sana mama hana kosa huyu jaman ....watt wa kike tujifunze kwenye hili
😢😢😢Pole mama pole mnoo.
Huyu mama anatesekaaaa uchungu anaopata asijepata madhara kiafya naomba serikali naomba mumsaidie. Ningekuw na pesa ningetuma jamaniiiiii
Jamani poleni San wazazi wangu
Mtihan jamn mam pole jamn uyu mam kiyatu chake amna ancho weza kukivaa😢😢
Pole mama atapona
Wakina mwamposa mzee wa upako gwajima mbingu duniani jiji ni watu wa Mungu jitokezeni mmsaidie mama najuwa mnauwezo watumishi wa Mungu mko wapi Nabii mkuu jo devi msimwache mtanzania mwenzetu afie uko tunaombeni msaada wenu Mungu kawapa mali najuwa uwezo mnao
Kweli kabisa dada zar hao wadada wakamatwe ili iwe fundisho kwa wengine wanao chukua mabint wadogo
Zari madada wanasema wanateswa Oman, Subhanallah
Niko Oman nashukuru Mungu mepata boss mwenyewe ananiogopa mfanyakaz akileta zakuleta wakinyaru wanamjia juu
Warudi kwao
@@zuweinaalhabsya8773 hapo sasa kurudi hawataki na malalamiko hawaachi, Subhanallah
@@irenemichael😂😂😂😂😂
@@zuweinaalhabsya8773ss tuliopata watu wazur haturudi kwetu 😂
Mabinti wengine toka tz waache kwenda huko .hili ni somo😢😢
Maisha tuu hakupenda iwe ivo
Yaan daah kama niko ndotoni mage leo kweli kweli jamani umetuacha mama daah😭😭😭
Kwani umeambiwa amefariki?
Ndiyo hatunae tena jamani 😭😭😭@@anastaziamathias8861
Jamani Balozi wakwetu aliopo Idia atusaidiye choonde
Pole sana mama dah😢
Jmn , mama Samia tunaomba msaada au huyu mama aweze kumwona mtoto wake Kwa Hali yeyote
Jaman tusilaumu sana kwa sababu huyu mage angefanikiwa hata wazazi wake wangefurah na kusema mtoto wetu yupo nnchi za nje wasinge kuja hapa sema bahat haijawa kwake
Maskin baba na mam 😢 aiseeh Allah ndio msahad wenu Allah awape subra kila mwenye subra ndan yake Allah yup karib nae
Pole mama angu, mungu tusikie vilio vyetu kwahuyu dada , mungu onyesha miujizaa yako apone kwa haraka mwenzetu
Poleni wazazi wenza. Nashidwaniongenini
Polen sana Mungu ni mwema