🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 278

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +4

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @janethesawala6842
      @janethesawala6842 20 วันที่ผ่านมา

      Duh imeniuma huyu mage aliyetupeleka India alikua ni mtu mmoja na tulipofika tukaambiwa tujiuze ili kumlipa pesa. Na huyo mtu alikua ni rafiki yake tangu shule na huyo mtu kasharudi Tanzania. Na mage alimaliza deni kisha akaamia Bangalore

  • @ZekaniS
    @ZekaniS หลายเดือนก่อน +9

    Mama mtu nzima saut hana mwachen taaban wallah Allah akupe subira mama watoto wetu hawa pasua kichwa

  • @mpingasaidi4493
    @mpingasaidi4493 หลายเดือนก่อน +6

    Huyo jamaa kweli anatoka mbauda na ni mzee mstarabu sana tumsaidie watanzania wote

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 หลายเดือนก่อน +6

    Dada wa mapito nimeugana na ww mabint jifunzeni tulieeni kwenu huko india hakufaii kabisa india ni maskini sana pole sana mama yetu nakuonea huruma sana hawa watoto wanasumbuwa mama baba poleni sana mungu atamponya 😭😭😭😭

  • @rubythebosslady8113
    @rubythebosslady8113 หลายเดือนก่อน +8

    Jmn mama wawatu alikuwa anasikika vizuri tu,waliolalamika simu zao ndo shida au redio zao khaaa

  • @mariammgaya8319
    @mariammgaya8319 หลายเดือนก่อน

    Mama jipe moyo mkuu mama. Mwombee mwanao you mtihani utapita. Pole sana

  • @RosalinaMakenzi
    @RosalinaMakenzi 29 วันที่ผ่านมา

    Mbna unamzidishia Mama machungu😢😢 umwambie kistaarabu usimchambe

  • @AmeirhajjRamadhan-e1h
    @AmeirhajjRamadhan-e1h หลายเดือนก่อน +2

    pole sana mama angu allah akupe nguvu akupe na subra ktk kipindi hiki kigumu

  • @MonicaAgapitiBruno
    @MonicaAgapitiBruno หลายเดือนก่อน +2

    Mama anasikika vizuri tu jamani😢pole Sana mama awa ndo watoto wetu lkn kama wapo wanaotamani kwenda uko India wasiende India ni Maskini bora Ata tz 😢😢daaa kuhusu uharabuni tupo Asa hapa Oman atuna Ata Shida tunafanya tu kazi zetu mshaara tunapata Sema labda Kuna baadhi ya maeneo lkn kwa marafiki zangu ambao nawajua wapo hapa Oman wote tu napiga kazi tu Akuna mambo meusi poleni Sana wazazi pia ongereni global kwa kazi yenu tunapata Habari nyingi aisee daaa😭😭😭

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni หลายเดือนก่อน +3

    Mungu baba amrehemu Mgdalena coz hakuna mkamilifu, wote tunakosea kwa namna moja au nyingine. Mwenyezi Mungu amsamehe na amponye.

    • @mymuhnabdallahshaban7763
      @mymuhnabdallahshaban7763 หลายเดือนก่อน

      Amrehem kwn amekufa jmn hee neno amrehem linatumika kwa mtu alokuwa tayar amefariki

  • @elizabethsimba9743
    @elizabethsimba9743 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana wazazi, mabinti zetu tafadhali sana jifunzeni kutokana na hili.

  • @OmanIbra-d6u
    @OmanIbra-d6u หลายเดือนก่อน +1

    Miye kwakweli namsikia nashukulu Mwenyezi Mungu

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mabinti wa kike tuacheni kutesa wazazi wetu,ni huzuni kwa kweli, ni kama tunawadhalilisha wazazi wetu,ona huyu mama,ona huyu baba,machozi yao yanaumiza sana😢😢😢

  • @AishaMaganga-vd1jg
    @AishaMaganga-vd1jg หลายเดือนก่อน +12

    Jaman mbona mama anasikika😢 Mwenyezi Mungu atafanya wepes Mage atapona nakurud Tanzania 🤲🤲

  • @AsizaAwadi
    @AsizaAwadi หลายเดือนก่อน +4

    MashaaAllah Allah akudhishy ukujistry

  • @tagomshana4032
    @tagomshana4032 หลายเดือนก่อน +2

    Dada zari Asante kwa upendo wenu kipindi Cha mapito

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi nipo uswis, mbona namsikia vizuri sana

  • @zaiyanahashim6990
    @zaiyanahashim6990 หลายเดือนก่อน +4

    Kwan shida yako n nn? Ww kama unamtafutia msaada fanya hivo, kwa we kuongea hivo unadhani nan atamsaidia , unadhan hajui makosa , usijifanye mama we ndo wajua maisha zaidi , sie wote tunaelewa maisha yalivo

  • @TawosiTawosi
    @TawosiTawosi หลายเดือนก่อน

    Pole sana mama mungu nimwema kila mitihani inapangwa na m/mwengu kikubwa tuombeane dua

  • @rosemarytheresia6885
    @rosemarytheresia6885 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wazazi wangu.Mwenyezi Mungu atamsaidia atainuka na kuweza kurudi tz......

  • @elizabethrichard7694
    @elizabethrichard7694 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi mbn sijawahi kutamani kwenda nje ya nchi au mshamba sitamani ata kusikia ilo swala Mungu amsaidie mwanamke mwenzangu apone arudi nyumbani salama

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 หลายเดือนก่อน

    Zari hongera kwa kazi nzuri
    Mungu azidi kukutunza na kukabariki kwa yoye unayosaidia

  • @zaiyanahashim6990
    @zaiyanahashim6990 หลายเดือนก่อน +9

    Unamsema mama wa watu kana kwamba hujui watoto wa siku hizi walivo, mama wa watu anaumia unamfokea

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 29 วันที่ผ่านมา +1

      Mi pia ameniboa kufokea mtu mzima😢

    • @jadetoto
      @jadetoto 29 วันที่ผ่านมา +1

      Anaboa sana

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty หลายเดือนก่อน

    Aise dad yani mungu akubariki kweli unasaidiyaga watu kwli

  • @Aishajohn-o3m
    @Aishajohn-o3m หลายเดือนก่อน +8

    Dah kudanga kubaya jamani😅

  • @AshiraAshira-qy9gc
    @AshiraAshira-qy9gc หลายเดือนก่อน +1

    Pore sana mama watoto hawa mhhh mtihani

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน +6

    Bora nchi za kiarabu kuliko huko

  • @aishasalum4159
    @aishasalum4159 หลายเดือนก่อน

    Maskini mama anaumia😢😢pole mama mungu atajaalia atapona Alhamdulillah nipo omani nasukumana na waarabu napata rizk yangu ya halali

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso หลายเดือนก่อน +3

    Duh Allah ampe shifaa mage apone

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 หลายเดือนก่อน +1

    Tuliopo omani natumetulia kwamabos zetu natunapata kipato chahalali embu njoon apa❤

    • @BertilleCleo
      @BertilleCleo หลายเดือนก่อน

      Sowi chai kwanza

  • @happymbise-g5b
    @happymbise-g5b หลายเดือนก่อน +1

    Tuache tamaa ata hapa tanzania kuna maisha tuache uvivu tujitume tu

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty หลายเดือนก่อน

    Arusha kazi zipo sana nyigi mno mm nasaga sana ao watot wetu Wakike wanakurupoka ssna jmn mungu awabariki sana sana duwa kweli

  • @swabrahassan9948
    @swabrahassan9948 หลายเดือนก่อน

    Tunasikia bwana

  • @loner_wolf
    @loner_wolf หลายเดือนก่อน +3

    Mbona tunasikia nawewe punguza maneno eboo😢

  • @angebizokunda3447
    @angebizokunda3447 หลายเดือนก่อน

    Anaskika sanaaaaa..from Norway

  • @AishAish-t1s
    @AishAish-t1s หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana mama wazazi mnapitia magumu kizazi cha sasa muhimu kufunga mkanda

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 หลายเดือนก่อน

    Mama mwenyezi mungu atamponyesha mange

  • @AishAish-t1s
    @AishAish-t1s หลายเดือนก่อน +9

    Zaliamu mimi nilikuja bila mama yangu alikataa kuja omani lakini nikafanya kila kitu siku ya mwisho tiket mkononi nikamuaga ila sasa nilipopokea mshahara wa kwaza wote nikamtumia mama yangu akafirahi akaomba duaa mpaka leo maisha yanaenda nipo vizur mabit fanyeni kaz lau ngumu kuliko kujigeuza nyie ndiyo biashara jamani tunawaiza wazaz na kuwapa lawama

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน +2

      Katika nchi ambayo haifai kwenda kufanya chochote ni india umaskin huko hatariiii wahindi wamejaa Oman

    • @hamidahamad1905
      @hamidahamad1905 หลายเดือนก่อน

      ​Ayuminchasi wahindi wamejaa kila nchi huko kwao hakukaliki

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน

      @hamidahamad1905 sana niliwahi ambiwa na mhindi mmoja anasema kule kwao hakuna kazi ndoo maana mmoja wao akija kma hivi Tanzania akiona kipato kipo analeta na ndugu zake yaan wanaume hawana kazi za kufanya sasa nawashangaa wadada wakitanzania kwenda kule na wanaambiwa kabisa kule hakuna kazi hivi hawaona wahind walivyojaa afrika

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u หลายเดือนก่อน +2

    Subhanallah hivi kujiuza miaka 8 atakuwa mzma kweli??. Jamani maajent kuweni na huruma kuwasafurixha wadada kwenda kuwauza.

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we หลายเดือนก่อน +12

    Omani muscat Alihamdulilah mungu anatulinda chnga moto zipo lakini huku ni kazi sio umalaya

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 หลายเดือนก่อน +1

      ya nikazi mpenz ila ata uku waivo wapo mpenz wanakimbia kwa maboss zao wana enda kupanga dear sasa wengi wao wanakaa ndani tu watajuwaje toka nendeni kwenye mikutano ya embassy ndo utajionea

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 หลายเดือนก่อน +1

      Yes wanaenda kujiuza hata huku oman pia wanajiuza

    • @MonicaAgapitiBruno
      @MonicaAgapitiBruno หลายเดือนก่อน

      Hapa Oman wapo lkn kama wewe unaishi Oman nazani unajua mkakati Wa hapa awa watu wanamtafutwa Sana police omna awalali wakishasikia sehemu Kuna dangulo wanaruka ukuta wanavamia una bataka wanakushika pingu adi police wanakusafilisha kwenu pingu adi eiport 🤣🤣🤣🤣🤣karibuni muscat maabella tufanye kazi nawapenda wote wapambaji Wenzangu hapa oman

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu หลายเดือนก่อน +2

    Jamani moyo wangu unauma sana kuona mama analia

  • @swabrahassan9948
    @swabrahassan9948 หลายเดือนก่อน

    Tunasikia sana bwana acha kumsumbua mama

  • @AshaMohamedi-re4yy
    @AshaMohamedi-re4yy หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Mama

  • @sharifaal-masroori2238
    @sharifaal-masroori2238 หลายเดือนก่อน +2

    Hana sauti yeye mzee , wewe Zari ndio husikii , tunasikia vizuri

  • @brendajulius2995
    @brendajulius2995 หลายเดือนก่อน +6

    Ila we mtangazaji punguza ukali wa maneno unaongea km unasutana kipindi kizuri ila unakiharibu jifunze kwa kina dr isac wa njia panda....na temea mate chini hicho unachomchambia mama wa watu kisikurudie maana malezi ya watoto ni neema ya Mungu hyo bibi hakupenda mwanae aharibike. Km unasaidia we saidia and be polite

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 หลายเดือนก่อน

      Anakera zari saana

    • @nestinaviolachemba7914
      @nestinaviolachemba7914 หลายเดือนก่อน

      Hana adabu kabisa

    • @HannanSomaiyah-wp7ny
      @HannanSomaiyah-wp7ny หลายเดือนก่อน

      Umeona eeeh Mtangazaji utadhani paka mapepe, Mdomoo Uwiii Hana ushauri, mzuri as nataka Kujua Kila kitu,Wewe dada huna familia kweli,MTU kaja anataka Msaada ,Utadhani alimpeleka ,Anataka Kujua mpk miaka ya mgonjwa 🙄🙆🤔😭

  • @irenejason5692
    @irenejason5692 หลายเดือนก่อน

    Mungu amsaidie jaman uwii mama ake anaumia sana jaman

  • @reenesa
    @reenesa หลายเดือนก่อน

    Apart kwa yote, Hawa wanaume wa Ki Nigeria , watu wawe waangalifu sana, wamewatumia sana South African women, kwasababu Hawa watu wako very aggressive with life na hawaangalii wanamkanyaga nani kichwani ku succeed. Wanahusika sana na madawa na kutoa watu kafara. Mungu amsaidie Magdalena na awape wazazi wake nguvu na amani.🙏🏾

  • @lall2037
    @lall2037 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona tunamsikia my dear

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 หลายเดือนก่อน +5

    Hyu mtangazaji naye anaroho mbaya huo ni unyanyasaji

  • @upendolema3323
    @upendolema3323 หลายเดือนก่อน +1

    Wasiosikia labda cm zao,unamfokea mama wa watu sauti kafika mwisho aitoe wapi sasa?😮

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 หลายเดือนก่อน +7

    Wewe mtangazaji mbona hauna adabu hivyo sisi tupo Guantanamo huku tunamsikia

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 หลายเดือนก่อน

      Anakera zari anakuwa na jazba na maukweli yake alio yapata sehemu, wote tunajuwa INDIA wa TZ wanajiuza hamna kazi ingine

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu หลายเดือนก่อน +2

    Jamani moyo wangu unauma sana

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน +1

    Wanaenda kujiuza kwa wamaskin kweli hatariiii sana 😢😢😢😢😢😢

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 หลายเดือนก่อน

    |poleni wazazi wetu InshaAllah litapita salama

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah tunashukuru hakuumwa Nchi za kiarabu angeliambiwa ni mateso ya mabosi jee huko ameteswa na muarabu? tuwe wastaarab tukiongea

  • @DullahDullah-n7p
    @DullahDullah-n7p หลายเดือนก่อน

    Pole sana mama mdogo😢

  • @annaayo5303
    @annaayo5303 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo ni mzazi jmn usiwe mkal kwake jmn,, yaan mtoto hata akiwa mbaya vip Kwa mzaz wake ni mzur

  • @KhadijaKhamisi-t1f
    @KhadijaKhamisi-t1f หลายเดือนก่อน

    Pole mama kipenz siokosalako usirolijua niusik wagiza mama punguza mawazo kwanza usije ukaumwa nawew lishatokea mshukuru mungu ira watanzani niwenye huruma jitihada zitafanyika ila tumejifunza kitu tamaa yamaish mmh

  • @JosephaNdomba
    @JosephaNdomba หลายเดือนก่อน +1

    Uchungu wa mwana aujuea mzazi,hata akiwa jambazi akipata matatizo uchungu Lazima

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny หลายเดือนก่อน

    Na hapo wasikilizaji Mtihani mtupu,Sasa huyu mama anamachungu Mengi ,Mnakazana atoe sauti Simuingie You tube msikilize 🙏

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 หลายเดือนก่อน

    Tunasikia

  • @loner_wolf
    @loner_wolf หลายเดือนก่อน +1

    Hiki kidada kinamihemko yake juu ya vipindi vyke . Mama kasema alikuwa anatuma mara moja moja .

  • @AishAish-t1s
    @AishAish-t1s หลายเดือนก่อน

    Zaliamu yote unakuwaga silias lakini hill limekukwaza mpaka unashindwa kupua pole sana dada zaliam Allah atakulipa kher

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f หลายเดือนก่อน +2

    Haswaa kule wanapelekwa. Kwa biashara ya kujiuza

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah, yote ni umaskini wa maisha tu , kama ni umalaya mbona Tz....... kwenyewe uhuni upo mwingi ?

  • @AnnastaziaBoniphace
    @AnnastaziaBoniphace หลายเดือนก่อน

    Mungu amponye huyo dada

  • @ceomomtz
    @ceomomtz หลายเดือนก่อน +1

    Msikatishe watu tamaa ya kwenda nje. Kati ya maelfu wanaokwenda ni wachache ndio wanakua wanapenda maisha ya haraka sio India tu bali hata Marekani.

  • @ZuhuraAdinan-t1r
    @ZuhuraAdinan-t1r หลายเดือนก่อน

    Pole.mama kwmtin lkn allah atamponya

  • @junemwandambo4365
    @junemwandambo4365 หลายเดือนก่อน +2

    mama kuna kitu anataka kufichajapo hajui ukweli vizuri

  • @MonicaAgapitiBruno
    @MonicaAgapitiBruno หลายเดือนก่อน

    Lkn hapa Oman tunafanya kazi salama salimini ayo yapo lkn wanayo fanya ayo mambo wanajitakia wenywe nchi za watu kuangaika kama weu vile 😮😮mi wananiuzi kama mmekuja kufanya kazi fanyeni kazi umalaya kwenu tz😢😢😢😢😢aisee

  • @thevibrantafrica
    @thevibrantafrica หลายเดือนก่อน

    Jamani mama anaomboleza Mtoto wake sauti haiwezi kuwa kama yako wewe ambae uko kazini. Tunamsikia

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 หลายเดือนก่อน +1

    MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI.. wasichana tulieni mtafute maisha mazuri na halali marefu na mtafaidika mpaka uzeeni. Short cut zinaua mapema. Mimi nina binti ya dadangu alitafuta hayo akawa hasikii haelewi. Kajiona mrembo na ndio kila kitu duniani. Alirudi mahututi, akalazwa muhimbili siku 6, akafariki. Dunia tambara bovu

  • @tausiselfself6461
    @tausiselfself6461 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mama anasikika vizuri tu

  • @JosephaNdomba
    @JosephaNdomba หลายเดือนก่อน

    Punguza makali ya maneno mtangazaji,mama hana kosa kabisa,mabinti hawasikii wanafanya mambo kimyakimya,mama yangu pole sana ,mungu akupambanie

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 หลายเดือนก่อน

      Tatizo amekua mkali walidanganya kwamba mage hajawahi kuwasiliana nae

  • @Khadija-h4y
    @Khadija-h4y หลายเดือนก่อน

    Jamani wadada wenzangu tujifunze sana kupitia kipindi hiki na tuache tamaa

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu หลายเดือนก่อน +1

    Jaman 😢Mungu amponye. Jaman

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f หลายเดือนก่อน

    Polee mama

  • @Coretamtomalele
    @Coretamtomalele 29 วันที่ผ่านมา

    Umalaya tu wacha fimbo ya mungu imchape

  • @teddyaloyce8218
    @teddyaloyce8218 หลายเดือนก่อน +2

    Waindi wenyewe wapo uku uwarabuni tunatumikisha😂😂😂

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน

      Tena mpaka huruma😂

    • @teddyaloyce8218
      @teddyaloyce8218 หลายเดือนก่อน

      @@HanifaOman-oo4pl 😀😀😀

  • @flavianapeter494
    @flavianapeter494 หลายเดือนก่อน +1

    Anasikika mbona jamani?

  • @thevibrantafrica
    @thevibrantafrica หลายเดือนก่อน

    India ni nchi masikini kama nchi masiki nyingine tu. kama watoto wanataka kwenda kutafuta maisha bora waende nchi tajiri. Kama hawawezi kwenda nchi tajiri ni bora kukaa Nyumbani Tanzania

  • @emmyandrew8670
    @emmyandrew8670 หลายเดือนก่อน +1

    Wahindi.maskini sana

  • @Usertatu11683
    @Usertatu11683 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani
    Km nitakuwa nimekosea nisamehewe,
    Msimlaumu mzazi
    Hv unafikiria binti anaenda kufanya mambo yasiyomazuri atamwambia mzazi ukweli hata akimhoji.

    • @Mb0g0z
      @Mb0g0z หลายเดือนก่อน

      Yan mtangazaji anaboa kweli

    • @Usertatu11683
      @Usertatu11683 หลายเดือนก่อน

      @Mb0g0z
      Yaani wazazi wanapitia magumu mengi wanabeba misalaba yetu .
      Ni matarajio ya Kila mzazi kumuona mwanae akifanikiwa kimaisha kwa njia iliyonzuri na ya kumpendeza Mungu.
      Nainapotokea mtoto kaenda tofauti mzazi huumia sana,
      Tusiwahukumu Wazazi kwa makosa ya watoto .
      Tena ukiangalia huyo ni Binti Tena alishazaa .

  • @Shadia544
    @Shadia544 หลายเดือนก่อน

    Hao wahindi wamejaa nchi za kiaarabu wapo huku wengi sana india kwao shida tupu😢😢wadada jamaniii tuwemakini sana ndiyo hatujui tuu😢😢

  • @thevibrantafrica
    @thevibrantafrica หลายเดือนก่อน

    Jamani yaani hadi mama anaonekana yuko uncomfortable. Mbona anasikika tu.

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g หลายเดือนก่อน

    Allah amuafu mh kilanga Tu

  • @Mb0g0z
    @Mb0g0z หลายเดือนก่อน +3

    Utamuua mama wa watu na presha,HAKUMWAMBIA MAMA yake anajua atampa presha,hebu jiongeze mtangazaji

    • @HannanSomaiyah-wp7ny
      @HannanSomaiyah-wp7ny หลายเดือนก่อน

      Huyu dada Utadhani katiwa kitunguu thaumu Maneno meng Uwiii 🙆 Huyu dada ukipeleka kesi yako utajuta,Anauliza maswali uwiii

    • @Karen-o6e
      @Karen-o6e หลายเดือนก่อน

      Anakera kama nini, saut yake haina hata faraja.

  • @RosemarySimon-dx2eo
    @RosemarySimon-dx2eo หลายเดือนก่อน +1

    Imelda ndo anajua kuhoji sio huyu heshima mbovuuuu

  • @marthalusega8948
    @marthalusega8948 หลายเดือนก่อน +6

    Da Zari hiyo ni sauti ya Mtu mzima haitoki sana sababu ni Mzee huyo

    • @Jamila-c7k
      @Jamila-c7k หลายเดือนก่อน

      Dada zari unaongea ukweli India hakuna kz tupo nawahindi omani huku tunafanya nao kz kwa warabu

  • @emanuelmdee2659
    @emanuelmdee2659 หลายเดือนก่อน +1

    pole san mama ... hùyo binti sana sana anaumwa na nini ?

    • @SalesiaKipela
      @SalesiaKipela หลายเดือนก่อน

      Tatizo lilianzia mtoto alifia tumboni madactari wakataka kumfanyia operation lkn presha yake haikuwa sawa amekaa kama siku kadhaa akawa sawa akamfanyia operation kumtowa mtoto lkn pia hali ilizidi akawekwa chumba cha uangalizi wa madactari sosi iliyopo walimpeleka 🏥 ya mtu binafsi bei ni kubwa

  • @ludovicaraphael1371
    @ludovicaraphael1371 28 วันที่ผ่านมา

    Jamani mimi ninamtoto wa dada yangu yupo miaka 10.hajawahi kusema anafanya nini.hata ukimuliza hasemi.

  • @Jenifajerad
    @Jenifajerad หลายเดือนก่อน

    Ila wazazi awafunguki wana taka msaada bila kufunguka ukwelii

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty หลายเดือนก่อน

    Mm npo moshi apa uyo mzee.mama wote nawajuwa nkweli kabisa iko wazi uyo mbiti yake aliodoka muda sana yani jamn watot wekike nikuomba tu mungu amjaliye aje tz tu jamn weye uwezo wamsaidie tu aje

  • @Fatma-gf4xd
    @Fatma-gf4xd หลายเดือนก่อน

    Pore sana mama kamaunabinti mwambiye aje oman

  • @SaumuRamadhani-ef2gr
    @SaumuRamadhani-ef2gr หลายเดือนก่อน

    Inaumizaa Sana ila binadam hawajifunz kiukwel polen sana

  • @RosemarySimon-dx2eo
    @RosemarySimon-dx2eo หลายเดือนก่อน +1

    Khaaa anasikika mbona uyu mtangazaj vipi

  • @LatifaHashim-rn1ip
    @LatifaHashim-rn1ip หลายเดือนก่อน

    Wanawake wanaumivu sana you never know situation ilikuwaje

  • @tausiselfself6461
    @tausiselfself6461 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa dada zari mapito usimlaumu mama kwa sababu ata akimuuliza mtoto uko unafanya nini awezi kuongea kweli

  • @Tumaini-qd1kl
    @Tumaini-qd1kl หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂😂 pesa walikua wanatumiwa bwana 😁alafu mtu ache na mgojwa wetu kishabata nafuuu 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

    • @LallaAissata
      @LallaAissata หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wanajizima data

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @magrethdaniel8441
      @magrethdaniel8441 หลายเดือนก่อน +2

      Sawa mlipeni basi hizo pesa

    • @Tumaini-qd1kl
      @Tumaini-qd1kl หลายเดือนก่อน

      @@magrethdaniel8441 kuna sehemu tumekuomba msaada

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 หลายเดือนก่อน

    Lakini mbona india kuna ukaguzi sana ukifika pale airport,? Hao huwa wanaingiaje?