🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024
  • 🔴#Live: BINTI ALIYEMDANGANYA BABA'AKE KUFANYA KAZI DAR AKUTWA MAHUTUTI 'ICU' INDIA-VILIO VYATAWALA..
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 273

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  16 วันที่ผ่านมา +6

    ​​JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @teddytventertainer2201
      @teddytventertainer2201 16 วันที่ผ่านมา

      Jaribuni kufanyia utafiti wa watu wanaokuja kutoa taarifa wengi wao ni waongo.

    • @FrancisNgomaitara
      @FrancisNgomaitara 15 วันที่ผ่านมา

      Mbona group does not exist?

  • @AnnaobadiaMwakalobo
    @AnnaobadiaMwakalobo 15 วันที่ผ่านมา +10

    Naipenda India sana namshukuru Mungu nimeokoka kupitia hii nchi sizani kama ningekuwa Tz mpaka leo maisha Yangu yangebadilika hivi Thanks Jesus nimekupokea kwenye moyo wangu kupitia nchi hii ya India Thanks God

    • @lulumpeta6338
      @lulumpeta6338 15 วันที่ผ่านมา +2

      Karibu sana india

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 15 วันที่ผ่านมา +4

      Unaipenda india ushukuru mungu india siyo nchi yakusem et niko pazur naon wahindi wanazekea nchi zakiarabu kungekuw panamaisha wasingekuja huku

    • @lulumpeta6338
      @lulumpeta6338 15 วันที่ผ่านมา

      @@omanoman2044 point bro, here indeed they are suffering themselves lot

    • @lulumpeta6338
      @lulumpeta6338 15 วันที่ผ่านมา

      @@omanoman2044 yy anaipenda you should just welcome her otherwise u will be told that your jeleous not to prosper while not...

    • @lulumpeta6338
      @lulumpeta6338 15 วันที่ผ่านมา +1

      @@omanoman2044 wasipolipa hizo pesa hata kwa kupunguza punguza wata maltreat the women endly will endup getting differently news.. wajitahid kupunguza af private very costfulness I see here in India fortunately nipo training here

  • @salmamusa2527
    @salmamusa2527 16 วันที่ผ่านมา +5

    Masha Allah Zalia wapendaza sana ukijitanda hivyo ❤❤❤ Allah akuzidishie

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 7 วันที่ผ่านมา

      Yaani we uaangaika na mtandio uashidwa kuhusia na mada

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@basilisamsaka8469🤣🤣🤣

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli 16 วันที่ผ่านมา +5

    Mwenyezi Mungu akamponye dada wawatu 🤲🏻👏🏻🙏🏻

  • @Bles-x1v
    @Bles-x1v 14 วันที่ผ่านมา +3

    poleni sana jamani wazazi wangu kwa vile baba wa mtoto ana mawasiliano india naomba amwambia rafiki ake mage au mtu yeyote alie karibu na mage aingie you tube atafte ARISE AND SHINE TANZANIA atamkuta mtumishi wa mungu mwamposa kesho anao mkutano mkubwa wa injiri wamkonekti magè atapona

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 15 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani bora ukiwa unaenda Safari popote hata Kama ni ndani ya Tanzania 🇹🇿 au nje ya Tanzania 🇹🇿 kuaga wazazi ni Baraka sana tulitambue hilo ndugu zangu.

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtoto alikua mtukutu huyu kwa maelezo aliondoka bila kuaga

  • @Bles-x1v
    @Bles-x1v 14 วันที่ผ่านมา +3

    Uzuri na watu wa moshi washamfahamu sana mtumishi wa mungu mwamposa naomba enyi watu wa tv muwasisitize wazazi wajiungamanishe na kongamano linalofanyika mbeya pia na mage wa mkonekti kupitia mitandao ya kijamii nimeorodhesha hapo comment nimetuma

    • @Christiannyangi-u8v
      @Christiannyangi-u8v 12 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa namaji na mafuta wangekuwa nayo wangekunywa kwa imani uku wakimuombea mim leo nitafanya kwa ajili ya mage na mungu atatenda🙏

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v 11 วันที่ผ่านมา

      @@Christiannyangi-u8v ameena vip yaliojil kuhusu mage?

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 16 วันที่ผ่านมา +9

    WAZAZI WANGU MPUMZIKE KWA AMANI MAANA SISI WATOTO TUNA MAMBO MENGI😢😢

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli 16 วันที่ผ่านมา +7

    Ee Mwenyezi Mungu tupe mwisho Mwema sisi tuliopo Nnchi za watu 🤦🏻‍♀️tunapambana irudi pesa au urudi maiti 😭🤦🏻‍♀️🤲🏻Ee Mungu

    • @MustafaMgeni-c9m
      @MustafaMgeni-c9m 14 วันที่ผ่านมา +2

      Aamin ataturudisha salama sote kwa uwezo wake

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

      Aamin

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 15 วันที่ผ่านมา +1

    Polen sana wazazi . mwenyezi MUNGU amfanyie wepes kupona Amin

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 16 วันที่ผ่านมา +7

    Poleni wazazi wangu mwenyezi mungu atamsaidia atapona ila narudi kwa vijana ndugu zangu tulieni nchini kwenu ona sasa wazazi mnawapa shida nawaonea huruma sana maisha magumu sana sana tulieni Sawa umeenda kutafuta ni Sawa mbona hapa kwetu ukifanya biashara unaishi vizur tusiwape shida wazazi hapo walipo wanaumia sana nibora uumwe wanakuona hapo hapo poleni wazazi😭😭😭😭😭

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 16 วันที่ผ่านมา +2

      Ajali kazini ht Tz watu wanakufa guest na hawajui nn kimewakuta kwahy kufanyakz nje sio wote wanaenda pata madhara

    • @ceomomtz
      @ceomomtz 16 วันที่ผ่านมา +2

      Maisha ni poppte just because yeye kapata shida nje ya nchi haina maana watu wasiende nje ya nchi kutafuta maisha.
      Yeye kosa lake ni kutowasiliana na wazazi wake wakati ana mtoto mwingine kamuacha Tanzania. Hilo ndio kosa ila sio kusema watu wanaokwenda nje kutafuta maisha.

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 16 วันที่ผ่านมา

      Unachofanya kwetu hakiwi ndio maaan watu wanakimbia nje unafanya biashara tele lkn wap wakopwa hulipwi mara ndi serekali inakuja kutkaa kodi mara risiti hutoi mtihani tu

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 12 วันที่ผ่านมา

    Kweli dada zari umependeza leo Masha Allah mashaallah

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 16 วันที่ผ่านมา +2

    Poleni Wazazi wangu Mwenyezimungu atamponya Mage endeleeni kumwombea tu!

  • @mariamissa4029
    @mariamissa4029 15 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana wazazi wangu Allah awatie nguvu na mngonjwa Allah amuafu

  • @SalesiaKipela
    @SalesiaKipela 16 วันที่ผ่านมา +6

    Maradhi popote mtu hupata chakuomba mungu asaidike apate pesa ya hospital apone

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyenzi Mungu Amponye Mage arudi akiwa salama

  • @LatifaHashim-rn1ip
    @LatifaHashim-rn1ip 16 วันที่ผ่านมา +2

    Poleni sana wazazi. Mungu atafanikisha 🙏

  • @naifatiMketo
    @naifatiMketo 15 วันที่ผ่านมา +3

    Yan Wachaga🙌🙌🙌🙌🙌 uwongo sio mzuri yani daaaaaaaaah

    • @GaudenciaBasil-wk7qk
      @GaudenciaBasil-wk7qk 15 วันที่ผ่านมา

      Uongo gani sasa

    • @upendolyimo688
      @upendolyimo688 14 วันที่ผ่านมา +2

      Uongo wa nini elezea sasa ukweli wewe unayejua ukweli tuambie

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara 16 วันที่ผ่านมา +4

    Ni kweli ugonjwa mbaya sana ulinipata huko Ujeruman ni Mungu tu huwa kupona ni bahati mimi niliona kaburi lakini Mungu ni mwaminifu na leo niko hapa ni mchungaji na mtoto wangu Milka ni mzima kabisa tena ni mtoto mwerevu sana

    • @sarahSavith
      @sarahSavith 16 วันที่ผ่านมา

      Pole Sana Joyce nowara njoo inbox yangu

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 16 วันที่ผ่านมา +3

    Poleni sana wazazi wangu mungu atamponya😭😭😭😭😭😭

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 16 วันที่ผ่านมา +4

    Atapona mungu atamuafu inshaallah usilie ma halimaa jikaze jirani yangu

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 16 วันที่ผ่านมา +3

    Nawalaumu maajent ambao wanawapelekea wadada mataifa ambao hayafai. Pole Sana mzee wetu inauma sana. India ni Taifa masikini duniani wamejaa Oman kazi kufyeka mitende. Angepatikaba huyo Ajent asukumwe ndani

    • @DianaSteven-g2s
      @DianaSteven-g2s 16 วันที่ผ่านมา

      Mkiwa mnachangia mjue mnachangia nini jamani huyo msichana alikuwa mjamzito na mtoto alifia tumboni yeye alikuwa ajui

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 12 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi mungu awape subla in shaallah

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli umaskini ni mbaya jmn.

  • @SabraShaban-ce2wl
    @SabraShaban-ce2wl 7 วันที่ผ่านมา

    Pole mama angu najuwa inauma sana

  • @ruqayaissa990
    @ruqayaissa990 16 วันที่ผ่านมา +7

    😢😢😢 wazazi wameniliza poleni sana umaskini mbaya😭😭😭😭😭

    • @omanmct135
      @omanmct135 15 วันที่ผ่านมา

      Sana inaskitisha umaskin

  • @AminaShelukendo
    @AminaShelukendo 16 วันที่ผ่านมา +1

    Pole mama halima pole mungu nimwema

  • @JoyceWilliam-x2f
    @JoyceWilliam-x2f 13 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana Mungu amponye

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mtihan pole mama lkn na huyo mtt ana makosa miaka yote hajawatafuta wazee wake kwel subhanallah 😢😢😢😢saiv ndo anaona wazee wanaumuhimu jaman watt hatuna huruma na wazee saiv hawajui wapi waanzie pesa nyingi india kwenyewe hakuna maisha😢😢😢

    • @SalesiaKipela
      @SalesiaKipela 16 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu baba abasema mwanaye huwa hamsaidii chochote ni uwongo huyo mwanaye anamtoto na huwa anatuma pesa aombe msaada wa pesa bill ya hospitali basi lakn miaka mitano mtoto hawasaidii wazazi wake sio kweli

    • @Saada-g4j
      @Saada-g4j 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@SalesiaKipelausiseme hivyo kipindi niko oman nilikuwa naishi kwa Ajent kila siku kesi ndugu wafanyakazi awatumi ela ya matumizi ya watt wawo

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 14 วันที่ผ่านมา

    Polee baba na mama. Tuombemungu mtt apone akipina arudi nyumbani. India hakunakazi kunawatuhuchukua mabint nakwendakufanya biashara za ukahaba

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 7 วันที่ผ่านมา

    Ila familia hii wamwaminu YESU KRISTO maana kuna vita ya nguvu za giza

  • @IrakozeNadine-d5w
    @IrakozeNadine-d5w 16 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni jamani mungu atamusaidia atakuwa saw hii story imeniliza😭😭😭

  • @ceomomtz
    @ceomomtz 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyenzi Mungu amponye haraka. Huo ugonjwa sio kifafa ila ni aina kali ya kichefuchefu na kutapika asubuhi wakati wa ujauzito. Inatokea kwa watu wachache.

    • @tifadent1112
      @tifadent1112 15 วันที่ผ่านมา

      mim pia unitokea hii Hali yakutapika asubuh

    • @ceomomtz
      @ceomomtz 14 วันที่ผ่านมา

      @tifadent1112 ndio ni kutapika asubuhi ila kwa kupita kiasi. Wengi miezi ya mwanzoni hutapika ila kuna ambao mpaka nwezi wa none wanatapija sana na wanahitaji kwenda hospital bila hivyo wanaweza kupoteza maisha au kupoteza mtoto tumboni.

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 15 วันที่ผ่านมา +1

    Yani nimelia sana uyu mama uchungu wa mwanae akikumbuka wale waliokufa basi roho inauma sana umasikini mbaya sana😢 daa mungu fungua milango

  • @EveSaimon
    @EveSaimon 9 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana wazazi wangu

  • @NoorNOOR-l7h7g
    @NoorNOOR-l7h7g 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sisi watoto mdamwingine tuwe makn miakayoteiyo upo kwenyenchi yawatu mungu tusaidie

  • @Coretamtomalele
    @Coretamtomalele วันที่ผ่านมา

    Hivi huko wanafuataga nini?,na maisha yao bado magumu ,na huyo aliempa mimba yuko wapi?pumbavu sana wanaumiza wazazi wao na kuwazalilisha mitandaoni

  • @zawadimertus6908
    @zawadimertus6908 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeogopoa sana jmn vijan tuwapende wazazi wetuuu tuishinao kwa upendo ukute alikuwa nafanya starehee na marafiki lakn leo anaumwa wazqzi wanaangaika inaumiza sana

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

      Sadkta ndugu yangu mimi mwanangu alikuwa china kutoka mwaka 2019 mpaka 2021 tena alipofika huko alitublock sote hilo ndo tatizo lao

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 15 วันที่ผ่านมา

    Ulivo kuja oman kidog unajisitir maashaallah lakin siku za nyuma kam siyo msilim

  • @RosemaryGibore
    @RosemaryGibore 14 วันที่ผ่านมา

    Kweli mungu atamponya acha kulia Anza kuamini

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 16 วันที่ผ่านมา +2

    Subhanallah, Jamani India ndio sehemu ya kwenda kutafuta maisha ? Wenyewe ni watu mafakiri hata wanatafuta nchi za uzunguni au uarabuni 🤔🤔 ?

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 16 วันที่ผ่านมา +3

    Allah amuekee wepesi apate shufaa pole kwa wazazi inauma umasikini sio mnzuli jmn

  • @hamisamadimpozi5923
    @hamisamadimpozi5923 16 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana wazazi

  • @lisahhans295
    @lisahhans295 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mgonjwa wa mchongo hakika hakuna kitu hapoooo😊

    • @FatmaMatenga
      @FatmaMatenga 10 วันที่ผ่านมา

      Umeonaa ee

    • @pmpaga1063
      @pmpaga1063 2 วันที่ผ่านมา

      Umeona updates?!

    • @RosalinaMakenzi
      @RosalinaMakenzi วันที่ผ่านมา

      How sure are you???

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 16 วันที่ผ่านมา +7

    Kama mna taarifa yuko hospitali iliyoko Bangalore na jina la hospitali mnayo ombeni msaada wa ubalozi wa Tanzania huko India labda msaada utapatikana

    • @NiyomdikoSavera
      @NiyomdikoSavera 15 วันที่ผ่านมา

      Hawa wazazi ni waongo my dear mm Niko hapa na sisi ndo tunamuuguza Ila Maggie anapesa zake tu Ila baba Leo anasema uongo jaman 😢duh

    • @ashafelix8332
      @ashafelix8332 15 วันที่ผ่านมา

      @@NiyomdikoSaverakama unadanganya hiyo ni laana unatafuta.

    • @estermpare4078
      @estermpare4078 15 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@NiyomdikoSaverakma kitu hujuii unyamazee !! Achaa kujitafutiaa laanaa !! Fyuuu laanasumakaaa wewee😮

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@NiyomdikoSaveraMtu yupo icu anajiuguzaa vipi weweee

    • @Happizo
      @Happizo 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@NiyomdikoSavera.. acha kuropokwa Kama kichaa kaona jalala

  • @ceomomtz
    @ceomomtz 16 วันที่ผ่านมา +3

    Ila tuache tabia ya kulaumu. Watu wakienda na kufanikiwa hawalaumiwi ila wanaopata shida wanalaumiwa. Alaumiwe kuwa hakuweza kutunza mawasiliano na ndugu au wazazi wake ila sio kulaumiwa kuwa amekwenda nje kutafuta maisha. Yeye kapanda ndege na kufika fikiria hao wanaozama baharini ili kufika Spain au kutembea Jangwani ili kufika marekani. Maisha yamekuwa magumu na mtu hafanyi chochote analaumiwa na wazazi ndio wanaona ni azima kutoka nje ya nchi kutafuta maisha.

    • @marrypius576
      @marrypius576 16 วันที่ผ่านมา

      Lakin India sio nchi ya kwenda kutafut maisha

    • @ceomomtz
      @ceomomtz 15 วันที่ผ่านมา

      @marrypius576 inaweza kuwa sio kwa mtu mmoja ila kwa mwingine is better kuliko alipo Tanzania. Huwezi kujua mtu yupo desperate kiasi gani au aliyemwambia au kumkaribisha alimfahamishaje?

    • @AnnaobadiaMwakalobo
      @AnnaobadiaMwakalobo 15 วันที่ผ่านมา

      Nani kasema mpendwa umefika hiyo india Yenyewe au unaongea tu namshukuru sana Mungu India imenibaliki ​@@marrypius576

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 16 วันที่ผ่านมา +3

    Ingekuwa India kuna kazi za maana, wahindi si wangekuwa wanatapakaa kila nchi kutafuta maisha..

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 16 วันที่ผ่านมา +2

      @@Rose-ue2ho Sema ww, wametapakaa kila nchi kutafuta kazi halafu mtu atoke Tanzania aseme India Kuna kazi!

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@AlHamra-k4uumeonàee sema nimeikubl pesa yao inafaida sañ kwetu inaizid hata ya kenya sas nashangaa wahindi

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara 16 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana

  • @ashurakhamis5787
    @ashurakhamis5787 8 วันที่ผ่านมา

    Aisee mtihani kwakweli😢😢

  • @DianaSteven-g2s
    @DianaSteven-g2s 16 วันที่ผ่านมา +1

    Wazazi duuuuuu🙌🙌🙌🙌🙌

  • @HelenaMatiasi
    @HelenaMatiasi 14 วันที่ผ่านมา

    Fatilia vizuri wasije kuwataperi. Pengine ayupo hospital jilidhishe kwanza.

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 15 วันที่ผ่านมา

    Kaenda kutafuta Mai jamaan kaona haelewi tz😊😊

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 9 วันที่ผ่านมา

    Tatizo hapo hakuaga, na hata alipoenda kule india alinyamaza na kuwachunia wazazi wake kwa kuwaona hawana msaada kwake. Lakini leo hii si huyo hapo hajitambui! Jamani wazazi wana kazi. Sasa inaonekana huyo labda alikua anatoa mimba ikaogoma na afya yake haiko vizuri. Yawezekana pia alikua anafanya biashara haramu labda hata wanamtumia kupata pesa kinyume cha sheria. Yaani hapo ni ktihani mkubwa sana kwa wazazi jamani🙌🏻🙌🏻

  • @NiyomdikoSavera
    @NiyomdikoSavera 15 วันที่ผ่านมา +3

    Wazazi waongo hapa nyie wazazi Mungu anawaona munaona ugumu kuuza vitu vya Meggie ili mumusaidie mage amejipata anapesa ananyumba anaviwanja lakn mmeona mukamudhalilishe mtoto wenu kisa ubahili nyie mama na baba Maggie akiamka hapa hatowasamehe yaan baba muongo huyu mwanao anakuposti kila wakati ukiongea nae video call Ila Leo hii unasema kuwa hukuwahi kuongea nae haaaa nyie wazazi ni matapeli nyie

  • @gracemsaki1561
    @gracemsaki1561 16 วันที่ผ่านมา +9

    Yaani zari inaumiza kweli kweli kama ikiwezekana tuwasiliane alafu vip ile kesi ya rozi wa zanzibar imefikia wapi asant

  • @Kuruthum-v8j
    @Kuruthum-v8j 15 วันที่ผ่านมา

    Pole sn mama mwenyezi mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu jamani watafutaji wenzangu tujitahidi tukimaliza miaka 2 tuwetunarudi nyumbani miaka 6 nimingi sn jamani wazazi tunawatesa💔

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

      Muhimu muwe munawasiliana na wazazi mimi nipo ulaya mwaka wa 23 nawasiliana na wazazi na ndugu wote

  • @lulumpeta6338
    @lulumpeta6338 15 วันที่ผ่านมา

    Hyperemesis gravidarum , sio kifafa but ni ugonjwa of preg women mostly during first trimester they experience vomit plus other symptoms of pregnancy

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 15 วันที่ผ่านมา

    Duuuu 😢😢😢😢 mkono umsaidie hapo alipo na hao wanasema tuma utadhani Chuma ulete

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 14 วันที่ผ่านมา

    Dada zari mmh hapa kuna ulakini embu chunguza kwanza Ina mana Miaka yote kweli Mage asiwatafute wazaz wake asiwatumie kweli hata elfu moja mmh Mungu amsaidie Mage apone aseme ukweli

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 12 วันที่ผ่านมา

      yani inawezakana mpenz maana Kuna watu wana loho ngum we acha tu mmmh kwaiyo Ina wezekana mmmh et 5 bila kuwasitiana jamani ivi unawezaje kukaa miaka yote iyo bila kuwasiliana na wazazi wako wazazi wame panga jamani tuwathamini wazazi wetu jamani

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@stellahlinusi8215
      Inawezekana sana tu mimi mwanangu aliondoka hivo hivo akatublock na karudi akatafuta chumba na maisha yake na saa hii mgonjwa mimi ndie ninaetabika kwa kuwaza

  • @GaudenciaBasil-wk7qk
    @GaudenciaBasil-wk7qk 15 วันที่ผ่านมา

    Pole mama Halima jamani

  • @TatoIssa-w3q
    @TatoIssa-w3q 15 วันที่ผ่านมา +1

    Dada.zali.bora.ujitande.ushungi.unapendeza.sana

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g 15 วันที่ผ่านมา

    Mh Mungu atunusulu jmn uku kwawatu tuludi Salama tz 🇹🇿🇹🇿✈️ ila uyo mdda miaka sita mh

    • @SaumuSaleh-cn2bu
      @SaumuSaleh-cn2bu 15 วันที่ผ่านมา

      Yani jamani mi ninamwaka omani lakini najiona kama ninamiaka kumi yeye sitaaa

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 16 วันที่ผ่านมา +1

    Toka ameenda huko alikuwa anafanya nn kwa miaka 6 e mungu amponye

    • @zidadumbepo1486
      @zidadumbepo1486 16 วันที่ผ่านมา +2

      Wanawake wengi wanaoenda india wanaenda kujiuza,kuuza k

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 16 วันที่ผ่านมา +1

      @@Mery-st4nu miaka 6 imepita ameenda toka 2017 hadi Sasa ana miaka 7 India hadi kapata mimba

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 16 วันที่ผ่านมา

      @@zidadumbepo1486 Mungu atunusuru kwakweli kujiuza kwenyewe ndiyo huko ! Sasa wakijiuza hawalipwi au?

  • @mariamobedy9898
    @mariamobedy9898 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mtihani mzito poleni wazazi

  • @rayahamad5267
    @rayahamad5267 8 วันที่ผ่านมา

    Dada zalia kwani ww dinigani? mbona ukijitanda unapendeza kuliko kuvaa majinzi namarasta badilika mwanangu zalia

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kwaiyo mama magidarena ni mzigo

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 16 วันที่ผ่านมา +1

    Pole mama halima pole baba halimaa

  • @santielpascal9777
    @santielpascal9777 15 วันที่ผ่านมา +2

    Tunawatesa wazaz wetu jmn umeenda kudanga wazaz uwajali kufa tu iwe funzo una baraka za wazaz au urudi uwe funzo

  • @samiahjmlimanzilla9354
    @samiahjmlimanzilla9354 14 วันที่ผ่านมา

    Binafs ndugu yangu akienda huko bila mawasiliano na ndugu au wazazi wala hakuna msaada wowote nyumbani litakalompata apambane nalo mwenyewe mm kujipa stress kwa mtu ambae hakujari wazazi japo kwa msaada siwezi

  • @SaumuSaleh-cn2bu
    @SaumuSaleh-cn2bu 15 วันที่ผ่านมา

    Jamani baba alisema anawatoto sita wamekufa watatu wamebaki watatu mama naye anasema ana watoto watano wakiume mmoja jamani ndo kkuchanganyikiwa au vipi jamani ilaaaaa tunatakiwa kujifunza waschana kweli maisha magumu lakiniiii

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 9 วันที่ผ่านมา

    Na india hawana mzaha na pesa mjue. Huduma nzuri lakini mtakavyodaiwa hizo pesa mtazitoa tu mpende msipende. Hawana mzaha wanadai mpaka kope za macho

  • @DaheerK
    @DaheerK 15 วันที่ผ่านมา +3

    Duuh tunatafuta kwatabu mama usilie tukiangalia maisha yanyumaban ndio tunahangaika watoto pole san mama tuombee dua😭😭😭

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 2 วันที่ผ่านมา

      Sana 😢😢

  • @AishaRamadhan-r1u
    @AishaRamadhan-r1u 16 วันที่ผ่านมา +1

    Pole mama

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 15 วันที่ผ่านมา +2

    Inawezakana alikua anataka kutoa mimba

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 15 วันที่ผ่านมา

    Mzee miaka sita sema ukweli hata pesa alikuw hatumi am mnon hujaleta taarifa hum duuh mzee w

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 16 วันที่ผ่านมา +3

    Ifike mahali watoto tuache kuwavua nguo wazazi

    • @NiyomdikoSavera
      @NiyomdikoSavera 15 วันที่ผ่านมา +1

      Hawa wamejivia wao Maan wanaongea uongo

    • @jennifersongani2734
      @jennifersongani2734 15 วันที่ผ่านมา

      @@NiyomdikoSavera sikatai ndugu yangu ila aliyesababisha yote ni binti yao

  • @omanmct135
    @omanmct135 15 วันที่ผ่านมา

    Namuhurumiya uyo mama maskin

  • @LatifaHashim-rn1ip
    @LatifaHashim-rn1ip 16 วันที่ผ่านมา +1

    Umaskini mbaya Mama asante kwa maneno yenye hekima.

  • @rukiamohammed1943
    @rukiamohammed1943 15 วันที่ผ่านมา

    Kwan ubarozi wa Tanzania ulokua China wanaizo taarifa

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 16 วันที่ผ่านมา +4

    Basi si angekuwa anatuma pesa kwa wazazi , siku zote hizo?

    • @mymuhnabdallahshaban7763
      @mymuhnabdallahshaban7763 15 วันที่ผ่านมา +1

      Ety miaka 5 jmn

    • @VickyDarmas
      @VickyDarmas 14 วันที่ผ่านมา

      Ndio amekaa miaka Zaid y 5 lakn alikua anawasaidia San wazaz wake

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 15 วันที่ผ่านมา +3

    mm nimezaliwa 93 nna miaka 31 je yy 92 cjaelewa apo

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v 14 วันที่ผ่านมา

      bhas ye ana 32

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 12 วันที่ผ่านมา

      rabda kazaliwa mwezi wa 12 ndo maana ana 31

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

      93 mwezi uliozaliwa mpaka 94 mwezi uliozaliwa ndio mwaka mmoja ujue

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 16 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni
    Huyo dada ni malaya wa kujiuza sio mfanyakazi wa hospital 😂kikubwa michngo na dua.airport Tanzania watoto chini ya miaka 18wamejaa thailand uturuki china balozi zetu ziaangalie hili swala pia wanajua malaya wengi humu india

    • @ceomomtz
      @ceomomtz 16 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo sio hao watoto ila tatizo ni wazazi wanaozaa watoto wengi bila kujua,watawatunzaje? Watoto wanazaliwa jwenye umasikini mkubwa na wanajikuta wako katika mazingira magumu na kuamua kufanya chochote ili wapate kula. Tuanze kuonyesha chanzo cha watoto kufikia hapo ni kipi? Angetunzwa na kupewa elimu nzuri nafadi ya yeye kuamua kukimbilia India ingepungua sana. Tunawalaumu wao ila hatulaumu watu wanaozaa watoto wengi wakati wao wenyewe hawawezi kujitunza.

  • @HusnaMohammedramadhan
    @HusnaMohammedramadhan 15 วันที่ผ่านมา

    Ila watoto wass mtihan angaalia ss unawapa wazaz mtihan wakuzalilishwamitandaoni km unataka kusafir ili uisaidie family Familia ondoka kiustaarab nadua zawazazi wakikuombea usitoroke utailetea mtihan Familia ndio hayaa ss matokeo yake😢

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 15 วันที่ผ่านมา

    Bola uko India kunamatibabu mazuri hata tz angekuwepo angeumwa Kwan maradhi ni ibada..tz unaumwa matibabu mtihani mala vifaha hakuna exlei imealibika,,,tatizo family zetu tz wengi wetu ni ssi masikin ukiumwa unakufa tu bila matibabu na ndiomana tz tunakufa tu galama zinatushinda aisee mungu atusaidye tu

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 9 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ni morning sickness na wengi wanaumwa sema sasa yeye haijulikani kilichompelekea yeye kupoteza mpaka fahamu! Kuna issue nyingine hapo hawajaisema. Maana kwanini mtoto afie tumboni pia?

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 16 วันที่ผ่านมา +1

    WATOTO TUHURUMIE WAZAZI,, WAMEKULEA UMEKUA,, UMEENDA INDIA HUJAAGA, UNA MIMBA BABA HAJULIKANI,, WAZAZI WANADHALILIKA KUKUOMBEA MSAADA KWENYE MEDIA?? HII SIO SAWA😢😢😢😢😢TUHURUMIE WAZAZI JAMANI

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi hii stori nina mashaka nayo..

    • @AnithaJoeli
      @AnithaJoeli 16 วันที่ผ่านมา

      Mashakanayo gani??Binti kweli anaumwa alikuwa mjamzito mtoto kafia tumboni.nikweli yupo hsptl

  • @omanmct135
    @omanmct135 15 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mama mungu akupe subra

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

    Inaweza anafanyakazi hospital lakini ni mkenya huku nje ni waambie tu ukweli ukiumwa umeumwa peke yako marafiki wote hujitenga kikubwa wanatazama number za wazaziwako tu

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 13 วันที่ผ่านมา

    Mbona mimi naona kama hao wa India ni matapeli

  • @gracemsaki1561
    @gracemsaki1561 16 วันที่ผ่านมา +1

    Apo itakuaje ss bill au yuhu mm aende? Inaumiza mno mno

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 16 วันที่ผ่านมา +2

    Wanaenda kujiuza huko hakuna cha kz za saloon wala za ndan wenyewe wahind ni mackin wamejaa nch za kiarabu huko twaambiwa na ndg zetu walioko huko et mtz anatoka tz kwenda india kufanya kz kaz gan km si kujiuza au kubaba madawa tunajua vzr wanaoenda india wanaenda kujiuza 😢mungu amjalie apone arud tz

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 15 วันที่ผ่านมา

    Yaani na ninyi wasichana mnasumbua shida nini kupanda ndege ama nini mtu unaondoka miaka mitano kweli

  • @hadijamohd6028
    @hadijamohd6028 14 วันที่ผ่านมา

    Jamani tusitese wazazi wetu tutulie makwetu na kama tutasafiri tuwe na radhi za wazazi

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa wazai ni kama wanajua mtoto wao kazi anayoifanya na mtu anae ishi nae maana kuna vipengele kama vinachanganya

    • @mymuhnabdallahshaban7763
      @mymuhnabdallahshaban7763 15 วันที่ผ่านมา

      Ulishirikana nao weee au mjinga sn wewe kumbe unahukum wazaz wake una uhakika Gan km wanajua mshenzi wewe mbwa koma

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 16 วันที่ผ่านมา +1

    Chunga tamaa mmbaya

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 16 วันที่ผ่านมา +3

    Miaka 6 hajapiga sim kwa wazazi wake, mbona hii kali

    • @NiyomdikoSavera
      @NiyomdikoSavera 15 วันที่ผ่านมา +1

      Uongo anaongea nao kila wakati mpaka anaposti akiongea nao video call week ilopita alimpotsi baba ake napesa anayo ananyumba na viwanja Ila hawataki kuuza wanamizalilisha 😢

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc 15 วันที่ผ่านมา

      @NiyomdikoSavera mm ndo nashangaa miaka 6 aaimiss ata nyumbani , yani wazee wengine sijui wapoje ukute ata pesa alikuwa anawarushia ila tu wanaona global inasaidia zile za kwao wanazibania ktk vibubu

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@NiyomdikoSaverammmmh unawafahamu?

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@Leylah-pz5schahahahaha hao ndo wachaga

  • @SapraSapra-s9p
    @SapraSapra-s9p 15 วันที่ผ่านมา

    Yani hata sijaelewa hata kdgo stori ya leo

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 16 วันที่ผ่านมา +2

    😢

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 9 วันที่ผ่านมา

    Mbona huyo mwanaume mwenye huo ujauzito haonekani hapo?