Namkubali Sana 20% na busara zake,nyimbo zake nzuri ,za kuelimisha hayo mengine hatuyaoni Wala hatuyafuti maana namjua 20% no msanii Basi hayo mengine hatuyataki maana hayatusaidii
Nafikri refresh mjiongeze unamhoji msanii ambaye amepotea au kupotezwa vizuri mumpe nafasi y kuelezea mikakati yake ya kazi anarudije mjini km ana kazi mpya na ikiwezekana japo dakik mbili unyesheni kazi yake muwe nyinyi msada kwake isiwe mnamchoresha ,nakusudia kuwe na maana ya kutuonyesha mtu huyu ni kumsaidi zidi sio kutuonyesha magumu yake anopitia tuu, nimtazamo wangu
Huyu jamaa ni mtu humble sana yuko poa nakukubali bro. Ila mtangazaji rudi shule hujui kazi unaita tuzo ya mtu vyuma unajuamepitia mangapi mpaka apate hizo tuzo zote tano??love mingi from St. Louis 🇺🇸
"Unaweza ukawa unawa ule chako na bado wakakupa masharti" Dah no maneno machache Ila ukiyachambua unaweza pata kitabu, welcome back legend we miss you ♥️
il ujue clouds noma hii chanel inaweza kkupeleka mbele kimzik na inaweza kukufelisha kwa mda mfup lakin kiboko ya clouds n diamond hashindwi wao wenyewe wamenyosha mkono ona ss 20% alivokua wakat ndo msanii 3 kua n tuzo nying tz
Good Brother Unajibukwaumakini Sana Ila mtangazaji Amekukosea nakutukosea Sana mashabikiwako Tuzo ni heshimakubwa kwako vp Leo mtangazaji Anaita machuma
Chunga tamaa mbaya! Chunga tamaa mbaya! Nakumbuka sana huu wimbo na ule wa Mama nema nema ulimwa na siku nanee eeeehhh. Gonga like hapo kama nawe ulikuwa ukizipebda hizi nyimbo
Mtangazaji Hebu Siku Moja Ukipata Nafasi Ya Kumuhoji Diamond Umuulize Hivyo Hivyo Kama Unavyomuuliza 20% "MACHUMA YAKO YAPO WAPI"? Kama Utakuwa Na Kazi Tena Mbwaa Weeh
Imekuuma sana kuita machuma hayo matuzo yakipuuzi sana hata mimi nasema yakowapi hadi sasa hivi pia nayale ya EATV nayo useme matuzo au usenge tu tuzo zimetoka mala moja tu hadi leo chali unaingia kwenye tuzo unaambiwa usaini diamond amegoma tuzo kwishney fuckkkkk
Media , media usipoendana nao wanavyotaka wao wanakuangusha . Ashukuru Mungu stress na depressio hazikumpeleka kutumia unga , akili yake iko timamu , atulie , atunge nyimbo fans wake watampokea ,.
msanii bora wa mda wate na mwenyenyee ushawishi wakusikiriza nyimbo hata kama utakuwa na stores mm kwangu naamini uyuu nimsanii namba moja na nambambiri
Don't give up bro!! C tunakusubil kwenye tasinia ya mziki Na hata filam pia ,,kama wanazingua A huko B wapo kwa ajil yen,,, wasafi chama laooooooo!! Nyimbo zako ni huwag in sensitive sn bro,,,,# welcome back ,@
Kweli 20% tukumbushe tulikotoka tumekumumbuka sana na mziki wako mzuri wakuelimisha dunia kweli wewe ni kioo cha jamii. Ludi kwa uhakika zaidi MUNGU awe nawe
Mnyonge hana haki unaweza ukanawa ule chako na bado ukapangiwa masharti
Kizazi sanaaaa Kaka
Huo ni wimbo mzee anao ukiuskia utatoa machozi kaka jamaa ni mwanamuziki WA kweli kabsa ikitokea kafa ndio wataanza kumuongelea
Genius...
Nanii.....anaminiiii...
...jamaaa ni Bora leo na kesho.....mtangazajiii jipange kuliza maswar yakueleweka.....
Eeeh bwana eeee like hapa kama unaamin jamaa nyimbo zake zilikuwa za kuelimisha na hazichagua wa kusikiliza au kutazama ❤️
sio zilikua za kuelimisha zinaelimisha hadi leo kwani zimekufa si bado zipo.
Sio zilikuwa Sema zinaelimisha
Nampenda thanaaaaaaa
Nakukubali sana 20%
Namkubali sana 20 %
Nakubal sana brother rud kwenye game brother wngu tutakusapot
Walisema umekufa imekuaje tunakuona
Karibu tena bro tumekumiss sana
SIJAPENDA MASWALI YA HUYU MTANGAZAJI,,,,,,,TULETEENI KWENYE THE SWITCH TUENJOY MAELEZO YA KINA
*Team 20% achia like hapa*
20% respect tunasubiri kazi zako
Namkubali Sana 20% na busara zake,nyimbo zake nzuri ,za kuelimisha hayo mengine hatuyaoni Wala hatuyafuti maana namjua 20% no msanii Basi hayo mengine hatuyataki maana hayatusaidii
Msimzaririshe kwa kumuona alivyo...hyo ni life tu...mchukulieni kama Mwanamuziki mwenye kipaji chake. Ipo siku atasimama tena InshaAllah.
🔥🔥🔥🔥🔥20 haya maisha bana dah nakumbuka 2006 huyo mwamba alikua anabalaa dah (+_+)🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nafikri refresh mjiongeze unamhoji msanii ambaye amepotea au kupotezwa vizuri mumpe nafasi y kuelezea mikakati yake ya kazi anarudije mjini km ana kazi mpya na ikiwezekana japo dakik mbili unyesheni kazi yake muwe nyinyi msada kwake isiwe mnamchoresha ,nakusudia kuwe na maana ya kutuonyesha mtu huyu ni kumsaidi zidi sio kutuonyesha magumu yake anopitia tuu, nimtazamo wangu
Acha ujinga ww,huyu ni msanii Kama wasanii wengine we vp bhana.nyie ndo mnagundu kwa wanamziki wetu
Una point ila jua kipindi kinaagenda zipiii
Hahahah kwani wew ulitaka wamfanye je? Kkkk kama ana magumu unataka wamuoneshe kama mwenye maisha yaajabu?? Wanamchora je? Acha ufala
mohamedi mohamedi ww usimfananish 20 na kuku zingine
mohamedi mohamedi
Uko sawaa
Nakukubali sana jombaa
Huyu Jamaa aisee yuko poa sana ambaye hajamwelewa atakuwa hana timam kbs.
Ww bint naona umeelimika hivi sasa kwenye mavazi👏🏼👏🏼👏🏼
Mwezi wa Ramadhan tu huu , ukiisha utayaona yale yaleeee.
Hahah
@@chayogasperi9783 😂😂😂
@@hamisisha
Ha ha ha ha 👋👋👋
Si mwezi waramadhani huu
20% nakukbali sna Kama naww unamukubali huyu jama gonga like hapa tujuwane
Huyu jamaa ni mtu humble sana yuko poa nakukubali bro. Ila mtangazaji rudi shule hujui kazi unaita tuzo ya mtu vyuma unajuamepitia mangapi mpaka apate hizo tuzo zote tano??love mingi from St. Louis 🇺🇸
Nakupenda jmn 20 natk nikuone uwiiiiiiii nitavunja ndoa yko nakupenda saaaaaan 💋♥️♥️♥️♥️💋💋💋💋20%
Nimekuelewa sana nice and slow..!!!
Respect to this legend
Huyu jamaa huwa haongei upuuzi .. na anaweza kukupa tija katika kumsikiza.
Legend wa muziki tangu naanza kukua jmn👌❤❤❤😙😙😙NAWAPENDA wapenzi wangu😙😙❤❤
Aliya Ukijistir Unapendeza Sana mashaallah
Lengo la kuandika ni kumkomboa mtu kifikra sio kwaajili ya kupata tuzo tu na sifa mtaani 💪✌
Heshima kwako bro
Dah nimecherewa sana yn ninamkubar sana huyu jamaa 🔥
"Unaweza ukawa unawa ule chako na bado wakakupa masharti" Dah no maneno machache Ila ukiyachambua unaweza pata kitabu, welcome back legend we miss you ♥️
Mnyonge hana sauti unaweza ukawa unanawa ili ule chako bado ukapangiwa masharti ... Yamoto sana haya maneno
Shebby Sadiki
Sanaaa
Mzee huo ni wimbo ukiuskia utatoa hadi machozi Mimi nililia upo kwa man water
Kumb na ww umeyakubal haya maneno
@@fidelisraymond940 unaitwaj
Hivo HVO ila me nimeiskia ni Demo kutoka kwake mweny
ludu kwenye gemu mana hatuoni watukama ww tunakkbali pa. 🤛🤛🤛🤛👍👍👍👍👍🎸🎸🎸🎤
Uyu mtangazaji miyeyusho sanah aiseee...inabidi ajifunze kuhoji vizuri
il ujue clouds noma hii chanel inaweza kkupeleka mbele kimzik na inaweza kukufelisha kwa mda mfup lakin kiboko ya clouds n diamond hashindwi wao wenyewe wamenyosha mkono ona ss 20% alivokua wakat ndo msanii 3 kua n tuzo nying tz
Fact 👏👏
Chibu Dangote hahaha kwel kabsa CLOUDS wao wanatengeneza msanii anavuma kwa mda mfupi kisha wanamshusha wao wenyew tena
Kweli kabisa mr chibu, wajina wako noma
Sasa chibu kafanyaje au chibu Ndio kila kitu nchi hii, umefanya research ukaona ivo
Sasa chibu kafanyaje au chibu Ndio kila kitu nchi hii, umefanya research ukaona ivo
Good Brother Unajibukwaumakini Sana Ila mtangazaji Amekukosea nakutukosea Sana mashabikiwako Tuzo ni heshimakubwa kwako vp Leo mtangazaji Anaita machuma
Huyu MTU anamazito mengi sana bs tu wanadamu wabaya sana
Mtu mbaya aliye mfelisha tapeli man water
Kweli mkuu nakubali mzee walikukosea sana mzee daaa pole sana ase mzee
Chunga tamaa mbaya! Chunga tamaa mbaya! Nakumbuka sana huu wimbo na ule wa Mama nema nema ulimwa na siku nanee eeeehhh. Gonga like hapo kama nawe ulikuwa ukizipebda hizi nyimbo
Harafu nyinyi simusema anaumwa tena yuhoi yani wandishi wahabari mungu atawajibu
I like this man.....so logical!!
%20 gud gud mm nakupa 100% achiya ngoma buloo🙏🤝💪
Nimesikia raa sana leo kusikia heti heti umerudi mzee baba
We missed u 20% Endelea kutupa Mzk mzuri. Ndugu tupe vitu.
Hamonaiz mchukue 20 anaweza ,ana wapenzi wengi mno
rud mzee bab nyimbo zako zinamafunzo katika jamii
Mtangazaji Hebu Siku Moja Ukipata Nafasi Ya Kumuhoji Diamond Umuulize Hivyo Hivyo Kama Unavyomuuliza 20% "MACHUMA YAKO YAPO WAPI"? Kama Utakuwa Na Kazi Tena Mbwaa Weeh
Hiyo nayo ni pointi
👍👍👍👍
Hongera na mm imeniuma haswa
Imekuuma sana kuita machuma hayo matuzo yakipuuzi sana hata mimi nasema yakowapi hadi sasa hivi pia nayale ya EATV nayo useme matuzo au usenge tu tuzo zimetoka mala moja tu hadi leo chali unaingia kwenye tuzo unaambiwa usaini diamond amegoma tuzo kwishney fuckkkkk
Huyu mtangazaji ni yule chizi wa East Africa Tv wasafi wamemchukua ila wamepata garasa hapo nahisi ata dumu sana hapo wasafi
Waliokua wanatubeza naomba wakae pembeni mtu anarud uwanjani dadadek.......20% I'm your fans since day one
.....like you blood.....
20 Unajua sanaaa kujieleza Brother Akilo mingi sanaaa😊
Nakubari bingwa Wang! By Senga boy from kaliua
Mbona alizushiwa kasha kufa kitambo kumbo yupo hai duuuuuuuuiiíii mungu akupe maisha malefu brother
Safi sana 20 Yehova akupiganie urudi tena upya.
I love this legend ...diamond mpe colabo moja tu atarudi kwenye game.
Kijiamini ni muhimu sana kwenye maisha!!Jamaa anajisimamia sana pia ndo mwanaume anapaswa awe hvyooo
Kama umesikia nakulaga mchicha gonga like hapo chini
Namkubali saana waukweli yukovinzuli 😍
Lengo la kuandika ni kumkomboa mtu kifikra ❤️👌nimeipenda hii
Hongera 20% nakukubal sio awo matusi mengi hatuwaelewi
Safi sana kaka mkubwa nakubali toka molo team uwezo
Msanii bora sana toka TZ
Waoooooh! 20% pacent walisema unaumwa mara umefariki niliumia sana furaha kwangu
Wa Tanzania nyinyi wa nafki sana aisee....alivyofanya vizuri enzi zile msinge mtupilia namna hii🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Media , media usipoendana nao wanavyotaka wao wanakuangusha .
Ashukuru Mungu stress na depressio hazikumpeleka kutumia unga , akili yake iko timamu , atulie , atunge nyimbo fans wake watampokea ,.
Pole sana kwa kutokwa na baba aisee mungu awe nawe
Twenty % nakubali jeshiiiiiii
Broo rudi kwenyegem uko vizuri nakuku bari kinoma noma
Msanii bora namba moja wa muda woteeeeeee
Tamaa mbaya 20% nakuulewa sana sana tena sana
Hii imeniuma sana cjui kwann Blauzi fm. Wanakua na roho mbaya namna ile.
By the way Big up 20 percent and Wasafi media in General.
Mnyonge hana saut unaweza ukanawa ule chako na bado ukapangiwa mashart💪🏾💪🏾
Reality Nimekuelewa sana 20%
Baba nakubari sana ludi kwenye gemu uwakimbize
Wasanii kama hawa ni wachache huongea point na huimba vizuri na kuishape jamii
Imanuel Mahenge
he talks points at all!
suis congolais mais 20% c'estun excellent rapport.
Respect 20 Pasent Mungu Akupe Maisha Marefu 🇹🇿
20 PAAAAAAA .... . The industry not a person . Special Thanks 🤝🤝
Saf sana kijana...yaaan uyu jamaaa anaongea kielimu..taratibu anajiamin...big up
20% unahekima sana!
Ila anayemuhoji 20% anatakiwa kujirekebisha, hana ethics za utangazaji!
Mjinga Sanaa huyu mtangazaji pia ndio walewalee
Tumeku miss sana kweny muzik mwenzako anasema tuzo weye unasema chuma nihatari
msanii bora wa mda wate na mwenyenyee ushawishi wakusikiriza nyimbo hata kama utakuwa na stores mm kwangu naamini uyuu nimsanii namba moja na nambambiri
Sure broo
Tena nibora wa time yote
Sanaaa
Wachane kaka
20% wewe ndio wetu rudi broo😍😍😍
noma sanaaa uyu jamaaa
Wasafi hawana mtangazaji hapa!!! Cha ajabu na yeye anacomplain kuongezewa mshahara kwa kazi hizi
Don't give up bro!! C tunakusubil kwenye tasinia ya mziki Na hata filam pia ,,kama wanazingua A huko B wapo kwa ajil yen,,, wasafi chama laooooooo!! Nyimbo zako ni huwag in sensitive sn bro,,,,# welcome back ,@
huyu bingwa nifulahiya kumuona💕💕💕💕💓
Kweli kaka watu hawapendi kuambiwa ukweli
Nakupenda sana 20% najua unaficha unachokiona ili kwako isije leta noma
Gd- sanaa' 20 PA- mutu asiechujA
Nakubali maneno yako
Jamaa very bright
Yupo sahiiii anachosema 20
Jamani tumekumiss wengine walizusha umekufa
Kweli 20% tukumbushe tulikotoka tumekumumbuka sana na mziki wako mzuri wakuelimisha dunia kweli wewe ni kioo cha jamii. Ludi kwa uhakika zaidi MUNGU awe nawe
Nakukubar sana 20 rud mzigon baba
Asanteeeeeeee dada kwakumbusha
20% nakukubali sana mim ndo yule shabiki halali km kuna wengine wapo km mim naomb uache japo like
Dah nimekuelew san broo 20%
Mzee wa mashaili back to the music industry
20% uko vzr tunasubiri tu ngoma zako..Mm nakukubali sana!
Nakumbuka ile Mani wota man maji combination sound
Good bro
Oyooo da 20 mwanangu nimekuku bari sana kwa majibu yako
Nc umetisha
Nakupenda sana broo
Twenty sijui anakwama wapi,jamaa bonge la mwandishi,anajua sana kuandika,natamani afanye ngoma na diamond
Mtangazaji usipojiangalia wasafi watakujonijo
Nakubalii sipingi 20 percent
Bora uwe unavaa hivi mtangazaji umependeza sana