Asante Sns kwa kujibu swali letu but still tunaulizana swali hili kwanini raisi wa Iran alikua akitumia helcopter ya kizaman sana hivyo na ukiangalia nikwel inamuundo wa kizaman sana
Wacha hayo yote ukenda nchi za watu wanajua kutunza vitu vyao, unakuta mtu ana gari model ya 1970 na iko barabrani wala haitoi moshi. Utagundua tunaletewa mafuta machafu yanauwa machine, gari haiwezi kudumu. Wairan wanamafuta yao, wanarifine wenyew. Mafuta safi ni kitu muhimu katika kutunza gari idumu kwa muda mrefu.
Kweli wagonjwa wa Akili tuko wengi, Iran inategeneza vituvyake, inatoa misahada, inazamini baazi ya vkundi vya kijeshi bado unaizarau IRAN, na wala msitegemee kuwa itakuja siku kubadili misimamo yake aitatokea kwasababu ilisha kita mizz ktk mfumo wake, na ishajichagulia nchi ambazo anaendana nazo. Usifananeshe Iran na Tz Kila Rais anaingia na ajenda yke mara leo kweusi kesho kweupe maendeleo aya pmwi kwa kumiliki magari ya kifahar kama uwezi kuligengenza sio kitu.
Uwezo tunao ila misingi mikubwa ipo congo🇨🇩 na African nzima ipo inatazama tumeshindwa kuungana kuifanya africa au congo kuwa huru so sad kw kwel yan kwel Africa tunashindwa kungiza jeshi congo na ikawa huru ,na ndio wazungu wapo wanaiba vitu alf tunakuj kununua sis kw bei ya juuu
Una laana wewe unaesema nchi imechoka nenda kaolewe kwa mashoga zenu wa marekani mbwa wewe ,iran ndio taifa pekeee la wanaume waliogomea kutawaliwa na magharib ,waache wanaume wasimame kiume
Mjinga wewe maana wao wakiingia dubai sisi tuna lalamika wao wana nunua vitu hawapatan mbaka wahindi wanaingia jeuri, unaweza patana na muhindi anakwambia wacha akija muiran atanunua tu
Hongera sana Iran mko vzr sana cc bongo hatuna kikwazo hata kimoja lakini hatuwezi unda hata kijiko 😭😭😭
hapo kwenye kijiko😂😂🤣🤣
Umegongelea tindo hasaa😅😅
Huwaonagi watu wakiunda hata magari mitaani tunaweza sana tu sema uwezeshwaji ndio hamna
Jiongelee wewe maana watanzania wabunifu wapo, juzi tu Masoud Kipanya katambulisha gari lake.
Acha uwongo hatuwezi 😊 kutapeli? Hatuwez kujiibia kama viongoz wahovyo wanavyo piga 😊 ss tunamipango baba magari tuwaachie japan
Afazali kuliko kuwatumikia hawa mashitani hongera Irani❤❤
Sio gari za kizamani ni mundo wa kizamani gari ni mpya hata matreckta wanatengeneza mpya ni dizaini ya mundo tu
Atasisi hata mimi niletewe siwezi ikataa ❤
Nishawahi kufika iran nilishuhudia kila kitu cha zamani ila walisema hawaingizi kitu wanaunda kulingana na mahitaji yao
Wako nyuma sana waje hapa kwetu wajionee new model gari nzito nzito
Jana nakukusikiliza vizuri sana wewe na Idi .wa irain hawapedaki.maisha ya kujionesha
Ahasante sana kijana Msitashifa umetupati elim kamili juu ya maisha ya Iran
Msukuma
Huyu jamaa vp hichi kiswahili cha wapi😂
Mnauliza magar ya zamani hii tanzania mnatengeza nini viongozi wanakwapua mali zaumma nadhani hy bukina faso muda kidogo itakuwa njema
Tupo pamoja toka cape Town south africa 🇿🇦
Hawa jamaa wanatengeneza ndege hazina ruban nakumuuzia mrusi😮😮😮
Me nshafika Iran na kuna washirazi hili kabila wanajua Kiswahili cz walikuja Zanzibar
Wapo mkoa upo nowatembelee
Vizazi vyao hapa nchini Tanga wapo pia ni wazuri sana ni shombe shombe flani hivi wa kiajemi..
Bora kujitawala kuliko kutawaliwa.Iran ni Taifa linalojiamin❤
Vikwazo vimepelekea jamaa kuanzisha kila kitu chao...
Umeona eee sbbu yakimaendeleo
Lakini cha ajabu Iran inatengeneza drone na nyuklia sitaki kutawaliwa
Wako sawa asilimia 100%%%%
Kutoka Gikomba nairobi . ❤
Dotto upo kenya
Wako mbali sanaa
Hata Huku IST ndo nyingi Dubai wanatushangaa sana😂
Asante Sns kwa kujibu swali letu but still tunaulizana swali hili kwanini raisi wa Iran alikua akitumia helcopter ya kizaman sana hivyo na ukiangalia nikwel inamuundo wa kizaman sana
Wacha hayo yote ukenda nchi za watu wanajua kutunza vitu vyao, unakuta mtu ana gari model ya 1970 na iko barabrani wala haitoi moshi.
Utagundua tunaletewa mafuta machafu yanauwa machine, gari haiwezi kudumu. Wairan wanamafuta yao, wanarifine wenyew.
Mafuta safi ni kitu muhimu katika kutunza gari idumu kwa muda mrefu.
Kweli wagonjwa wa Akili tuko wengi, Iran inategeneza vituvyake, inatoa misahada, inazamini baazi ya vkundi vya kijeshi bado unaizarau IRAN, na wala msitegemee kuwa itakuja siku kubadili misimamo yake aitatokea kwasababu ilisha kita mizz ktk mfumo wake, na ishajichagulia nchi ambazo anaendana nazo. Usifananeshe Iran na Tz Kila Rais anaingia na ajenda yke mara leo kweusi kesho kweupe maendeleo aya pmwi kwa kumiliki magari ya kifahar kama uwezi kuligengenza sio kitu.
Rais kafa na Helkopta ya miaka 50
Hiyo ni ajal kma ajal nyngne mbn mbili zilituwa vyema
Sahihi@@HassanJambia
Wamepiga hatua sana kama wanatengeneza wenyewe watafika mbali wakiendelea ivyo
Team legend hawapendi kuskia hizi vitu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mim Wa 3
Mim wa 4
Kikubwa kufika unakokwenda bwana
Wana akili sana hao jamaa
Mimi wapili
Leo nimekuwa wa kwanza
Na cuba je
Ukienda marekani gari zao znavutia ajabu alaf iran kuna gari mbaya mbaya
Nko hapa Iran magari haya ndo pendwa huku kwetu
Effects of trade embargo
Hata Cuba nikama Iran
Cuba kaka, check na 🇨🇺 Cuba
Wako vizuri kujitengenezea vya kwenu kuliko vya mataifa ya wengine. Sasa Afrika ni lini tutatengeneza vya kwetu hata ni vya kizamani
Uwezo tunao ila misingi mikubwa ipo congo🇨🇩 na African nzima ipo inatazama tumeshindwa kuungana kuifanya africa au congo kuwa huru so sad kw kwel yan kwel Africa tunashindwa kungiza jeshi congo na ikawa huru ,na ndio wazungu wapo wanaiba vitu alf tunakuj kununua sis kw bei ya juuu
@@JohnCage-we6tpHamuwezi ruhusiwa kuungana sbbu mtakuwa nanguvu kisha mtakuwa matajiri jambo ambalo halitakiwi kbsa kwa Africa
BIA watu ni wazamani
Duu nchi imechoka kwakweli 😮😮😮
Imechoka kwa upande wa magali
SawA nimekuelewa khalfan 🙏
Pesa yao inasaman kuliko ya kwetu pia si gari zakizaman muundo ndiyo wakizaman
Choka mbaya .
Madomo mwingi ..
MISIMAMO ISIYO NA MAANA HUKU UWEZO HAWANA ..
JINGA KABISA
Imechokaje si bora ata wao kuliko sisi
Hawawezi nunua magari na vifaa vipya kwa sababu ya vikwazo vya kiuchumi na kibiadhara
Kwa sababu awataki ushoga kama nyie
Una laana wewe unaesema nchi imechoka nenda kaolewe kwa mashoga zenu wa marekani mbwa wewe ,iran ndio taifa pekeee la wanaume waliogomea kutawaliwa na magharib ,waache wanaume wasimame kiume
Umeongea nini ivyo
Punguza makasiriko, mbona mwandishi hajaiponda , Iran,sema ,katowa ,kama , ujasir, wa Iran pamoja na kuwekewa vikwazo lakini yupo Safi anatengeneza mwenywe
Kweli wanatuletea ukigwangala
Punguza UKOLONI MAOMBOLEO JIAMINI WEWE NA MCHI YAKO
@@wilondjarama1427 mimi mwenyewe najiuliza kaongea nini sasa !
Nilicho kielewa mimi maisha ya 🇮🇷 ni magum sana uchumi umeyumba watu hawana pesa
Usifananize na Afrika
👊👍✌.
Niwajinga
Lkn mm naona wanakushinda ww unaejiona mwerevu lkn 0 ni afadhali ya wao 100%
Mjinga wewe maana wao wakiingia dubai sisi tuna lalamika wao wana nunua vitu hawapatan mbaka wahindi wanaingia jeuri, unaweza patana na muhindi anakwambia wacha akija muiran atanunua tu
We jamaa utakua ni SHOGA sio buree..🚮
We ni shoga tu hujielew
Wewe bhna mtanzania kwenye nchi yako umetengeneza magari gani wewe kama wewe acha kumcheka Irani wao wame unda za kwao bora wao
Tunagari na masoud kipanya unyamaa fulani hivi😂😂😂😂😂
@@d-mediaUnaweza nisaidia zpo ngapi na zinatembea mitaa gani 😂😂😂
hata mimi nilijiuliza hilo swali wakat naangalia ile vdeo asanate #SNS
Sibora hata Iran, wanajuwakutengeza gari, cc, ist, zetu hata kutengeneza mpaka tuagize Japan, mbona nzuri tyu hizo kikubwa unakimbia bc
😜😜😜😜
Usitudanganye lran hawana maisha magumu.