Mwaisela waja na Janabi Cup

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Katika kuunga mkono juhudi za uboreshaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili watumishi wanaotoa huduma katika Jengo la Mwaisela wamezindua kombe maalum la "Janabi Cup" lenye lengo la kutoa hamasa na kuongeza chachu ya utoaji huduma bora hospitalini hapo.

ความคิดเห็น • 1

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 4 หลายเดือนก่อน

    Ss mama janabi hajakuona ulivyo kibonge