Doctor tunsomba muwasa8die wananchi WA chini wawe wanaingia hata 5 kuona wagonjwa wordini. Hii inawajenga hata wagonjwa kisaikolojia.Nb hospital za private Kwa wakubwa mbona huingia tu.t7naomba sana hili pro utusaidie
unajua kwa nini watu wa hali ya chini wanakufa hovyo hovyo? ni kwa sababu wakiambiwa hawaelewi..ushaambiwa kuna nosocomial infections mahospitalini.. mkiingia kwa msongamano unaambukizwa na unaambukiza pia, sasa kama hilo tu huwezi kulielewa unaanza kuleta siasa na huruma kwenye sayansi, then you have a big problem
Halafu usijifananishe na WAKUBWA KWA HERUFI KUBWA, wewe ukipata maambukizi yeyote Tiba ni hapa hapa. Wakubwa bima zao zinaruhusu kubebwa na Air Ambulance kwenda popote, hayo wafanyayo ni kwa ajili yetu, tushukuru na kukubali sheria, hayo yako duniani kooooooote.
Msukumo upi wameleta wakati wenyewe wamefika tz tu wameshangaa kuona imejengeka na pasafi sana na watu wake wastaarabu sasa wao wameleta msukumo gani zaidi ni wanafunzi na wametokea nchi yenye changamoto ya kisiasa, hivi wanaweza kuwa bora zaidi ya proffesors?
Keep this Dr as long as he can work so as to improve our health system here..❤
I admire you prof, your doing a great job. Mungu akuzidishie 🇹🇿🇹🇿
Yn uyu mzeee katulia jamani daaaaa mpka na mwelewa 🤗🤗🤗
Hongera Professor Janabi . Ubarikiwe ❤
Kazi nzuri prof janabj
Hongera sana Daktari kwa weredi wako!!
Keepgoing Prof
Prof ur ze best.....MNH iko🔥🔥🔥
Tangu prof janab apewe muhimbili ameleta matibabu ya magonjwa yaliokua yanatibiwa nje ya nchi hongera san Prof janab
uko sawa prof cha msingi utaratibu ufuatwe na kufanyiwa kazi
Mungu akuzidishie prof
Kazi nzur professa janabi
Mpo sawa kabisa kupunguza mlipuko wa magonjwa
Sawa professa Nimekuelewa
Nimeelewa Pro....
Hongera sana Prof. Janabi kwa utawala mzuri
Namkubali sana huyu prof
Professor mungu akuweke una akili mpaka chafu
At least layout imekaa vizuri sasa...mwanza ilikua ni hectic kwakua layout ya eneo ilikua haijakaa sawa
Tulichelewa wap kumpa Prof janab Hospital ya Taifa muhimbili
M/mugu akuzidishie tanzia nd yako Moshi majungu amefariki
Doctor tunsomba muwasa8die wananchi WA chini wawe wanaingia hata 5 kuona wagonjwa wordini. Hii inawajenga hata wagonjwa kisaikolojia.Nb hospital za private Kwa wakubwa mbona huingia tu.t7naomba sana hili pro utusaidie
unajua kwa nini watu wa hali ya chini wanakufa hovyo hovyo? ni kwa sababu wakiambiwa hawaelewi..ushaambiwa kuna nosocomial infections mahospitalini.. mkiingia kwa msongamano unaambukizwa na unaambukiza pia, sasa kama hilo tu huwezi kulielewa unaanza kuleta siasa na huruma kwenye sayansi, then you have a big problem
Halafu usijifananishe na WAKUBWA KWA HERUFI KUBWA, wewe ukipata maambukizi yeyote Tiba ni hapa hapa. Wakubwa bima zao zinaruhusu kubebwa na Air Ambulance kwenda popote, hayo wafanyayo ni kwa ajili yetu, tushukuru na kukubali sheria, hayo yako duniani kooooooote.
Kumekucha huku una mgonjwa ulipoe bill huku ulipie parking mbona jmn hamna huruma na wananchi
Natamani uje ata uwe rais wa hii nchi jamani
Wekeni taa za kutosha nje hapo
Umeboresha san Hospital ya muhimbili
Chezea madem waSudan
Heee hawa wasudani wameleta msukumo
Mmmh Mbona ujenzi umeanza ni zaidi ya miezi 6 sasa?