Kama familia au ukoo wako una historia ya Saratani tafadhali tazama video hii ili kujifunza.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Mammography ni kipimo cha kisasa cha saratani ya matiti kinachopatikana Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga), ni kipimo kinachotumia teknolojia ya mionzi kidogo katika kupiga picha za X - Ray.

ความคิดเห็น • 11

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah atulinde na haya maladhi mm nateseka kwakweri Allah atufanyiewepesi kwahurumawake. Kwani ss hatuwexi Allah yeye anawexa kwakilakitu yarabi tuondoshee maladhi makubwana madogo. Amyn

  • @halimambwana4690
    @halimambwana4690 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah
    Dr Mwajuma daktari bingwa kabisa! Allah azidi kukuongoza kusaidia wanawake kwa style ya huduma bora! Keep up the good work sisy

  • @zahrajumbe5698
    @zahrajumbe5698 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah sister we love you

  • @frankmtavangu5673
    @frankmtavangu5673 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera classmate

  • @joelkenneth3790
    @joelkenneth3790 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wow

  • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
    @AbdulRahmanAliy-sr7gw 4 หลายเดือนก่อน

    Wape hope kwamba ikiwa watagundulika mapema kua wana izo shida nyny km madaktar munao uwezo wa kuwasaidia wakopona au munataka waje wapime alafu wafe kwa presha ?

  • @gracerichard5841
    @gracerichard5841 4 หลายเดือนก่อน

    Nataka kujua garama ya kipimo na muhimbili upande upi

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mkubwa. Tunaomba mtuletee na kipimo cha LUPUS

    • @swama9820
      @swama9820 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa ni ugonjwa usiotambulika katika jamii

  • @graceandrew6718
    @graceandrew6718 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kiasi gani kupima hicho kipimo

    • @muhimbilitv847
      @muhimbilitv847  4 หลายเดือนก่อน

      Tafadhali fika Muhimbili (Upanga) kujua taratibu na gharama za kipimo karibu sana