MBINU ZA KUOMBEA NDOTO ILI USIKWAME KIMAISHA- sehemu ya pili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 84

  • @Neemameshack-cd4yb
    @Neemameshack-cd4yb 3 หลายเดือนก่อน

    Niliota mtoto wangu ameumwa na nyoka nkamuua yule nyoka. Nkaanza kupiga kelele msaada lkn nilimsihi sana mungu Kwa uchungu Ile sumu imtoke mwanangu baada ya mda nkaona mtoto amerudi kwenye Hali ya kawaida kabisa

  • @MwaduduFatma
    @MwaduduFatma 11 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 28 วันที่ผ่านมา

    Amen Asante Sana kwamafundisho. Me cjaokak nahitaj kuokoka 😢🤲

  • @SophiaThadei-hx4wd
    @SophiaThadei-hx4wd 2 หลายเดือนก่อน

    Amen asante

  • @suzzyyank7446
    @suzzyyank7446 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidie

  • @neemaneema6825
    @neemaneema6825 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina.mtumishi. mungu Akubariki.hakika.Akubariki.sana.sana.san🙋‍♀️

  • @christineneema3008
    @christineneema3008 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you mtumishi unaelimu nzuri napenda kukuskiza sana

  • @paschalrobert2690
    @paschalrobert2690 ปีที่แล้ว +1

    yaan Mimi huwa naota sana nyoka

  • @damas5665
    @damas5665 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa mtumishi wa mungu 🙏

  • @andymahengo3017
    @andymahengo3017 ปีที่แล้ว

    mimi mtumishi kunasiku niriota na okota BIBLIA njiyani kiraniripokuwa nazidi kutembeya nirikuwa nakuta BIBLIA imejifunuwa niriokota BlBLIA njiyazima niriokota BlBLIA. nyingisana badayahapo nikaota nipochmbani nimerara juyakitanda nikafumbuwa macho nirivyo fumbuwa macho nikaona kiramahari kurikuwa naBIBLIA ndaniyachumba nirichokuwa nimerara BIBLIA zote zirizo kuwa ndani yachumba nirichokuwa nimerara zirikuwa zimefunuriwa niriposhituka kwenyendoto sikuerewa manayakenini

  • @EtienneNdayikeza-g8u
    @EtienneNdayikeza-g8u 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mutumishi wa mungu God bless you a'm from burundi

  • @Shukuru-sw6pr
    @Shukuru-sw6pr ปีที่แล้ว

    Asante kwasomo hili

  • @evansmasinde4439
    @evansmasinde4439 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana asifiwe pastor

  • @jacklinekona404
    @jacklinekona404 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen, naomba nifunuliwe naota mti mkubwa una matunda lakine kila chuna na nishike imebondeka

  • @JacklineKalinga-y4j
    @JacklineKalinga-y4j 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuh unatisha duuuh

  • @mwinukatv5898
    @mwinukatv5898 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki Mtumishi na ainue zaidi huduma yako....ila kama itawezekana naomba nisaidie jina la huo wimbo nimeupenda

  • @silvapoul8463
    @silvapoul8463 6 หลายเดือนก่อน

    Be blessed

  • @ruzindanajohnpeter3032
    @ruzindanajohnpeter3032 2 ปีที่แล้ว +1

    jaana nikaota babu na alikufa inamaana gani

  • @martinasenga7496
    @martinasenga7496 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi nimepewa likizo kazini mwezi mzima basi zinanitokea ndoto za ajabu ikiwa jana tu nimeota nazini na mtu simjui iyo ilikua nimepumzka mchana usiku naota nimeuziwa gari bovu yani kama nimetapeliwa yani nafsi inatamani sana kuokoka ila nafika pahala naacha kukufuatilia

  • @seebs1156
    @seebs1156 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante mtumishi Mungu akukumbuke daima

  • @violetmaro
    @violetmaro ปีที่แล้ว +1

    Jina Martha
    Niliota nazini kny ndoto naomba msaada wa maombi yk mtumishi

  • @ArnoldPhilipo
    @ArnoldPhilipo 24 วันที่ผ่านมา

    🙏 Amen

  • @carolyneshambula6531
    @carolyneshambula6531 2 ปีที่แล้ว

    Asate

  • @pilishabani6928
    @pilishabani6928 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mtumishi wa bwana mungu azidi kukubariki sasa hv naishi kwamani Sana nikisikia neno la bwana nitazidi kuomba🙏

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi Mungu akubariki kwa ulichokitoa, maana pia mm niliwai kuota nafunga ndoa bt Pete ilikuwa ndogo kwangu so haikuniingia naniliota nafunga iyo harusi kanisani na pia watu walikuwa wengi sana, na pia izi ndo zakufanya mapenzi nilikuwa nikizuota sana bt nashukuru maana Mungu ni mwema nilimuomba na hatimae akaniondolea mara nafanya na kakangu mara ni mtu ambae kwa ss tukonamahusiano na sijawai fanya na yeye chochot lkn nashukuru kwa mafundisho yko yananisaidia San Mungu wa mbinguni akuzidishie na akupemaarifa zaidi, nakutafuta kwa WhatsApp lkn sikupati bt najua iko siku nitakupata tu

  • @biamungunestory1935
    @biamungunestory1935 ปีที่แล้ว +1

    This is more than powerful.....my life has been uplifted from the time i begun listening to this great words of God in Jesus Christ name

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn me niliota nafunga ndoa kanisani, Ila mwanaume sikumuona? Inamaana gani?

  • @emilypatrick5509
    @emilypatrick5509 ปีที่แล้ว +1

    Amen nimejifunza mambo asantekwa maarfa hayaa

  • @teresawanjiko5370
    @teresawanjiko5370 2 ปีที่แล้ว +2

    Haki wewe ndio nabii wa mungu amen

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Ameeeen

  • @jacksonenos6907
    @jacksonenos6907 3 ปีที่แล้ว +2

    Amna mtumishi

  • @happyelieza4362
    @happyelieza4362 3 ปีที่แล้ว +1

    Laiti ningejua haya mafundisho mapema ningepona mapema,asante nimejifunza umenigusa mtumishi.

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  3 ปีที่แล้ว +1

      Hujachelewa kabisa,ni wakati sahihi kwako kupona

  • @jennahyahaya1219
    @jennahyahaya1219 ปีที่แล้ว +1

    Nahisi fahari kuwa sehemu ya madhabahu hii ya Siri za biblia mungu akubariki sana baba

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mashauri.

  • @sariaoelisante3547
    @sariaoelisante3547 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi WA mungu ,mm Huwa naota ndoto za kujirudia rudia kwamba Niko shule ya msingi ila kwa Sasa ni mtu mzima kabisa na Nina watoto wakubwa tu ,naomba masaada

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  2 ปีที่แล้ว

      unakwamishwa mahali katika ulimwengu wa roho. hupaswi kuwa hatua hiyo kimaendeleo ila kuota mazingira ya zamani na umeshapita. ndoto hiyo sio nzuri

    • @salomeezekia4239
      @salomeezekia4239 ปีที่แล้ว

      @@sirizabiblia5276 Mungu akubariki Sana napenda mafundisho haya maana yananitoa mahal

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @violetwanunu8255
    @violetwanunu8255 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen god

  • @neemaneema6825
    @neemaneema6825 2 ปีที่แล้ว

    Amina.mtumishi.nikweli.mungu.
    yupo🙋‍♀️🙋‍♀️

  • @graceamran326
    @graceamran326 2 ปีที่แล้ว

    Ameen mtumishi mungu akubariki ila ninaswali nimekua nikiota nikiwa nimelala naota nanyanyuliwa afu nikitaka kuongea nashindwa nkijalibu kutafuta msaada sauti haitoki mpaka ndoto iishee

  • @gloriagidion7790
    @gloriagidion7790 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @ceciliawanga7641
    @ceciliawanga7641 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙏🙏

  • @alexmollel-dd5lb
    @alexmollel-dd5lb ปีที่แล้ว +1

    nataka kuokoka kwajina layesu kirsito Amin

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeeen

  • @catherinemalesa3304
    @catherinemalesa3304 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi

  • @siliviahmwakalobo5717
    @siliviahmwakalobo5717 ปีที่แล้ว +1

    AMEN 👏

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 3 ปีที่แล้ว

    Ukiota siafu wameingia ndani wengi wanatembea sakafuni...lkn hawang'ati nn maana yake. Msaada tafadhali

  • @marianamaemba6134
    @marianamaemba6134 ปีที่แล้ว +1

    🙏💥💥

  • @elivin8434
    @elivin8434 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏

  • @theopisterbulamu9497
    @theopisterbulamu9497 2 ปีที่แล้ว

    Bwana Yeah asifiwe naomba number yako mtumishi

  • @معنسلطان
    @معنسلطان 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi

  • @hellenmuhando3860
    @hellenmuhando3860 2 ปีที่แล้ว

    Nilimuota aliyeaga kuwa ameaga tena....ina maana gani

  • @julietliru835
    @julietliru835 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen

    • @julietliru835
      @julietliru835 2 ปีที่แล้ว +1

      Asante nami ninayo nia ya kuoka ninaomba usaidizi.

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  2 ปีที่แล้ว

      tutumie ujumbe whattsap +255 758 708804

  • @hellenmuhando3860
    @hellenmuhando3860 2 ปีที่แล้ว

    Ng'ombe yuamaanisha nn katika ndoto

  • @danielkissaka2904
    @danielkissaka2904 ปีที่แล้ว

    Je ukiota nyota ime anguka uka imeza

  • @leonicemwalimo2594
    @leonicemwalimo2594 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba zako mtumshi

  • @mikemgongo6518
    @mikemgongo6518 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani nimekuelewa saana

  • @bahatikasili6844
    @bahatikasili6844 3 ปีที่แล้ว +1

    BWANA awenawe....

  • @carolyneshambula6531
    @carolyneshambula6531 2 ปีที่แล้ว

    Ataka kutumikia Mungu

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏❤

  • @pilishabani6928
    @pilishabani6928 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj ปีที่แล้ว

    Ameeen ameeeen 🙏🙏🙏

  • @beatricemuhonja6064
    @beatricemuhonja6064 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen. Naomba ufunuliwe ndoto zaidi. Niliota tajiri wangu na mtoto wake mdogo wanafagia kwa nyumba na kutoka uchafu mwingi sana. Maana ya uchafu nini? Be blessed.

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  2 ปีที่แล้ว

      Roho Mtakatifu hutusaidia kuzitambua na kutafsiri ndoto, ikimpendeza kutujuza tutakufahamisha, lakini pia hata wewe unayo nafasi ya kumuomba ili akufunulie kile alichotaka ukielewe katika ndoto hiyo

  • @neemamushi4611
    @neemamushi4611 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuota unakula sacrament kanisani yaani ule mwili wa Yesu je ni agano

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  3 ปีที่แล้ว +1

      Yes ni Agano

    • @neemamushi4611
      @neemamushi4611 3 ปีที่แล้ว

      @@sirizabiblia5276 ni agano gani na tafsiri yake ni nini mtumishi🙏

  • @lucygathii3165
    @lucygathii3165 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ningependa kuokoka