Dr Islam Muhaamed na Mohammad Nassoro Bachu. Mnayatendea haki majina yenu Allaahu awalipe. Shekhe binafsi niombe somo kwanini Mtume amehimiza kuwa watoto wetu majina mazuri. Na msaidie kukemea yanavyo haribiwa katika jamii kwa kisingizio eti kifupi chake🤲
Bada ya kuondoka kwa shekh nassoro Bachu mapezii yangu ya kupenda yy kwa ajili ya allah ,yamehamia kwa shekh Muhammad bachu nikimsikiliza napata mingi sana ,,
Mwenyezi Mungu ampe shifaa shehe wetu Na hasa mwalimu wangu. Yaa rabi mjalie afya mpaka aweze kumaliza tafseer ya Quran yote inshaAllah na amtoe katika hofu ya Ajali inshaAllah
Wisilam ni NEMBO tosha na mtume amesema enyi waisilamu msiwadharau waisilamu wenziwe huwenda wakawa Bora kuliko nyinyi upendo huo utatusaidia kuona nuru ya Allah.
Masha allah atujaalie mshikamano huo huo lkn sio kuskiliza2 maana Leo Kuna masheikh wanapenda kuwaskiliza wenzao halaf wakiondoka hapo wanaenda kukaa na kuwajadili kuwasema vby na kuwapiga radi wakat ww ulikuwepo nae pale haukumkosoa unaenda kumkosoa mbele ya ummah Ili kujionyesha ww ni zaid yake. Allah atuhifadh.
Dr Islamحفظه الله ajibu nini ? kwani yuko kituo cha polisi au mahakamani, sheikh wako Qassim Mafuta sio jaji wa mashekhe wengine kila mmoja atahesabiwa na Allah peke yake na sio sheikh Qassim Mafuta.
Wallah Kuna watu wanawachukia waislamu wenzao utafkiri ni makafiri, wanasahau Uislamu umeeleza haqqi za muislamu kwa muislamu mwenzie, hata hii Hadith hawaizingatii. Allah atuhifadh.
Nasaha zangu kwenu nduguyangu acheni ulokole kwenye uislamu hakuna kuokoka lakini mnchukulia shekh qaasim kama vile ameokoka binnafa nampenda sheik qasim lakini msichupe mipaka allah amhiadhi yeye pamoja na maskh wengine wakisunnah
Nimeangalia hii video kwa umakini Bachu ndio ameonyesha unyenyekevu lakini kwa uongo wa media kaandika Islam ameonyesha unyenyekevu ilimradi tu muendelee kudanganya umma hata kitu kikiwa wazi
Allah atuhifadhi kuifanya dini kama Team za wasanii Tunapotea tusimamishe haki Qur'an na sunnah za mtume kumuona sheikh wako bora kuliko mwingne haitotufikisha kokote allah atuhifadhi na atupe Elimu Yenye manufaa
Aahh kwaajili wahabi mwenziwee ndio maana akampa heshimaa angekuwa sheikh wa madhehebu mengine hapoo ndio tungejua kuwa kweli anaheshimaa achenii kutuekitiaa
Nyinyi munaujinga Sanaa sherhe anamukaribiisha Ndungu Yake muna anza Ku sema mingiii muko wajinga Sanaa Allah awaogoze mulisha kuwa ma jadida ndo ma sherhe Wetu awaa!!
mashaallah ni furaha kuona mashekhe muna mapenzi ya hali ya juu kwaajili ya allah.Mungu atupe hidaya na azidishe mapenzi baina ya waislamu
Allahumma aameen Yaa Allah
Sheikh Mohammed Nassor kijana wangu, umezungumza kwa unyenyekevu na heshima ya hali ya juu Allah akupe umri mrefu kijana wetu!!!
Dr Islam Muhaamed na Mohammad Nassoro Bachu. Mnayatendea haki majina yenu Allaahu awalipe. Shekhe binafsi niombe somo kwanini Mtume amehimiza kuwa watoto wetu majina mazuri. Na msaidie kukemea yanavyo haribiwa katika jamii kwa kisingizio eti kifupi chake🤲
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiikum
Allah awaongeze elimu amiin
Ma ashaa ALLAH , Mungu atujalie afya njema leo Dunia mpk akhera , na atujalie kalma thabith mwisho wa uhai wetu Amiin
Allahumma aameen Yaa Allah
Maashaanllah nmefurah Sana na nimejifunza Jambo ktk kukutana kwa mashekh zetu Hawa wanllahi nawapenda kwaajili ya annlah
Maa shaa Allah. nyote wawili Allah awahifadhi .
Maa Shaa Allah Tabaraka Rahman Allah Awajazi Viongozi wetu Wa Ahlu sunna ... Aameen
Mm Nakupenda ww. cjuii kwann daah yan nilivyokua nampenda baba yako mapenz yamekua yako
Nawapenda mashekh zetu kwa ajil ya ALLAH
Bada ya kuondoka kwa shekh nassoro Bachu mapezii yangu ya kupenda yy kwa ajili ya allah ,yamehamia kwa shekh Muhammad bachu nikimsikiliza napata mingi sana ,,
Maaashaaaallah nawapenda sana
Mashaallah
Allah wape afya njema mashekhe wetu hawa wawili nawapenda kisha sana kwa manufaa yao kielim kwetu!
Ma sha allah,ma sha allah, ma sha allah
Masha ALLAH....hii ndio HIKMA
Maa shaa ALLAH
ماشاء الله
Mashallah Allah akupe umri mref inshaallah
Mwenyezi Mungu ampe shifaa shehe wetu Na hasa mwalimu wangu. Yaa rabi mjalie afya mpaka aweze kumaliza tafseer ya Quran yote inshaAllah na amtoe katika hofu ya Ajali inshaAllah
Amin kupitia hapa twauomba soote msamaha naafya njema
Wisilam ni NEMBO tosha na mtume amesema enyi waisilamu msiwadharau waisilamu wenziwe huwenda wakawa Bora kuliko nyinyi upendo huo utatusaidia kuona nuru ya Allah.
ما شآء الله
Nawa penda sana hawa mashekh wana fanya kazi kubwa sana Allah awalipe Amina
Masha allah atujaalie mshikamano huo huo lkn sio kuskiliza2 maana Leo Kuna masheikh wanapenda kuwaskiliza wenzao halaf wakiondoka hapo wanaenda kukaa na kuwajadili kuwasema vby na kuwapiga radi wakat ww ulikuwepo nae pale haukumkosoa unaenda kumkosoa mbele ya ummah Ili kujionyesha ww ni zaid yake.
Allah atuhifadh.
Shukran sheikh bravo
Allah awalipe kheir
Subhan'Allah mna habari mi nilikuwa nadhani kuwa nindugu hawa masheikh !🤦♀️🤭
Nam pia😂
Allah awape umri wenye swiha na afya ❤
Jibu maswali ulio ulizwa na sheikh Abul Fadh Qassim Mafuta حفظه الله
Dr Islamحفظه الله ajibu nini ? kwani yuko kituo cha polisi au mahakamani, sheikh wako Qassim Mafuta sio jaji wa mashekhe wengine kila mmoja atahesabiwa na Allah peke yake na sio sheikh Qassim Mafuta.
Wallah Kuna watu wanawachukia waislamu wenzao utafkiri ni makafiri, wanasahau Uislamu umeeleza haqqi za muislamu kwa muislamu mwenzie, hata hii Hadith hawaizingatii. Allah atuhifadh.
Wakitafutwa wajinga nyini ni namba moja laa3tullah
Yeye kunyamaza kwa watu ambao ni wajinga pia ni jawabu.
Kutojibu upuuzi pia nijibu! Allah awalinde mashekhe hawa kwa daawa yao nzuri! Insha Allah Amini!
ALLAH AMUTIE NGUVU NA SUBRA MUITETEE SUNNAH ILI DINI YETU ISALIMIKE NA MACHAFU YANAYOZUKA
كلام الشيخ أبي الفضل في هذا الرجل حق، و انتقاده فيه انتقاد بحق و علم، فبارك الله في الشيخ أبي الفضل و سائر مشايخ السنة!
Nasaha zangu kwenu nduguyangu acheni ulokole kwenye uislamu hakuna kuokoka lakini mnchukulia shekh qaasim kama vile ameokoka binnafa nampenda sheik qasim lakini msichupe mipaka allah amhiadhi yeye pamoja na maskh wengine wakisunnah
ماذا قال أبو الفضل حوله
هداكم الله
Ameen
Asalam aleykum warahmatullahi wabbarakatuh
ASalaam alaykum warahmatullah wabarkatuh umeamkajee Sheikh, naomba namba zako za Simu inshaallahu
Assalam alaikum
shekh Muhammada naomba namba yako mm dullastamp. Namba yako ile siipatii
Aa akhi insha allah ramadhan twakutamani Huku mombasa
Assalamu alaykum mimi nataka group la sheikh
Nimeangalia hii video kwa umakini Bachu ndio ameonyesha unyenyekevu lakini kwa uongo wa media kaandika Islam ameonyesha unyenyekevu ilimradi tu muendelee kudanganya umma hata kitu kikiwa wazi
Hii channel ni ya bachu islam muhammad tunamjua kwa unyenyekevu wake kwahy bachu kaamua kumshukuru islam muhammad kupitia channel yake ubaya uko wapi?
Simusikilize tu kasomeni wacheni kulopoka lopoka
Assalam alaikum. Shekh Muhammad namba yako siipati ama una nyengine?
Shekh NASSOR km tunaitaji kuuliza maswali nitakupata wap
Hemu andika vzr etii unyenyekevu Dr Islam atamnyeekea mola wake ama shekh Mohamed nasor bachu
Hujaelewa mpaka leo unyenyekevu ndio mana wapata tabu. We kaza tuu ufahamu hvy hvy
Allah atuhifadhi kuifanya dini kama Team za wasanii Tunapotea tusimamishe haki Qur'an na sunnah za mtume kumuona sheikh wako bora kuliko mwingne haitotufikisha kokote allah atuhifadhi na atupe Elimu Yenye manufaa
nimefrahi😁
amna kitu apo waongo watupu
Dawa gani muifanyayo nyinyi kazi kupotosha watu na uwahabi wenu kwendeni huko vindevu vile kama tambi za kupima
Tunawaomba hao mashekhe waache kutukanana zisiwe ikhtilaafat zao ziwafanye watukanane
Aahh kwaajili wahabi mwenziwee ndio maana akampa heshimaa angekuwa sheikh wa madhehebu mengine hapoo ndio tungejua kuwa kweli anaheshimaa achenii kutuekitiaa
Hizbiyuun
Kwakooo ila kwetu sisi mahzib ni hao washenzi wasio na adab Wala usulbu mzr adawaaa
Usiejielewa
Ni muhadith kumbe ??? Sijajua
Nyinyi munaujinga Sanaa sherhe anamukaribiisha Ndungu Yake muna anza Ku sema mingiii muko wajinga Sanaa Allah awaogoze mulisha kuwa ma jadida ndo ma sherhe Wetu awaa!!
Mahizbiii
Jadeeda
kwa kupenda sifa sasa.. unyenyekevu tena.
Haki ya mungu huyu dogo ana kibri sana
Acheni kupandishana madaraja msiokuwa nayo hebu jibuni maswali muliouliza na sheikh abul fadhil
Mahaddaad acheni chuki kila mtu mkwenu Hana kheri someni acheni talbiis
Sasa nyinyi si hamkubali video mnakuja kufanya nn huku
Mashallah hongera doctor kwa kufatwa Mombasa na All akh abuu muhaddith anataka kustafid mashallah
Sahiii mafuta ndo na nini
Mjibuni SHEIKH UTHAYMEE KWANZA, ACHENI KUMFUATA FUATA sheikh DOCTOR ISLAM MOHAMED ALLAH AMUHIFADHI, simba la suna east Africa.
MashaAllah
Mashaallah
MashaAllah